Firauni mjaaalaanaa mange afe tu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mpe dozi🔥🔥🔥🔥mchukue manyaunyau atimbe marekani atume kimbunga ajichinje bila kuchinjwa mamaeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥
@harunazari50262 ай бұрын
Hata unapomsaidia mtu utakiwi kujisifia kwa imani ya nasibu na rajabu 🙏🏻🙏🏻🤝🤝
@anuarymyekakimolo47852 ай бұрын
Afu sjui kwann namkubali dot to margarita bro nakukubali tu yan you’re so really japo funny maker but ivo ulivo tu bro upo makin sana Mwenyezi Mungu akulinde
@merrynancesimon15622 ай бұрын
Mamaaaaaaeeeeeeeee Doto love you bro❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@salomewandya72572 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@user-uw7er1ec3v2 ай бұрын
Doto. Unanichekesha sana.nimefurah. big up sana
@zainabumartin95202 ай бұрын
Kweli kakosea sana kwani anakosagani mama samia mimi nampeda raisi wangu❤❤❤ i
@toyikudratullah14662 ай бұрын
Dogo 24 nakubali kueneza k 100
@kakamau03842 ай бұрын
Kwani Diamond Platnumz kamnyanyapaa au kamsimanga au kajisifia kuwa yeye kawatoa wasanii kadhaa kwa kujionesha ukubwa wake na proud kwa alio watoa jamani
@scolasticahpeterh86492 ай бұрын
Mbn davido hajproud hvyo au kusema kwny interviews zke kwamba alimtoa diamond kimataifa
@user-wl7ew9fn6q2 ай бұрын
Aweeeee mtoto wa mama kizimu kazi a.k dotto magari nakukubali mbk bc yani ❤
@user-tm3ug4xo5j2 ай бұрын
Kapendeza sana tatz nywele tu ndo zinamfanya awe ovyo🤣🤣
@AranimwandiasAranimwandias2 ай бұрын
Kaka nimekubali ww hatar Sana mungu akujarie maisha mema good san
@shaviercharvinho182 ай бұрын
Masomo mengi kuliko ajira dah
@dismanManota23 күн бұрын
Kamwe usiongelee maisha ya wenzako ongelea maisha yako siku juu kukiwa chini na chini kukawa juu utaelewa tu
@sophiamsangi97632 ай бұрын
Saluti kwako big up
@chantalnizigama50122 ай бұрын
Nakutumia maji ya kunywa🥤maana koo limekauka😂😂. Well done D. Magari👏👏💪
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Mara ya kwanza kusikiya mwananchi wa Tanzania kusupport Rais wake 🇹🇿 . Ama kweli hutochukiwa na wote na hutopendwa na wote. Mr. Doto Mungu atakubarik kwa imani yako.
@user-zx8kk6dc9z2 ай бұрын
Nakukubali sana kaka angu❤
@user-ch2it3qt5z2 ай бұрын
Chawa mwny akili nyingi big up Bro una point Sana....
Usinde doto wao wanasoma wapate Kaz nzuli na mishahara mkubwa Sasa tayari mafungu unayo wachie degree zao waacha waamke alufajiri we subiri sim iiite uingize nyingi million
@StellaJulius-qb3wy2 ай бұрын
Unanifurahishaga sana kaka Doto wacyokpnda ww haziwatoshi aisee
@sylvestermitanda35022 ай бұрын
Dotto upo sawa kabisa.huyu mange kavuka mpaka
@NataliaKenny-vb6os2 ай бұрын
Fidodidoooo😂😂😂
@user-te3yy8ut3j2 ай бұрын
Jamani wa TZ Muna maneno muwe kama ss wa congo
@julianamwalongo60472 ай бұрын
Kongo mavita mutaongea wakati gani
@yolo52612 ай бұрын
Jump jump who are you some people they 🙌
@roi25542 ай бұрын
Who are you some people day😂😂😂
@JacksoJMarko2 ай бұрын
Doto kakazania kuoneshwa maumbile yake😂😂😂
@sudymgeni7012 ай бұрын
Ditto mweu sana
@aishavogelmann50212 ай бұрын
Ndoto magari aaaaaa unasubuwaaaaaaas
@omarybakunda25542 ай бұрын
Ukweli
@chingyleee7562 ай бұрын
😂😂😂😂kweli huyu ndo kiboko ya mange ,tupo pamoja
@henger_msafy_0012 ай бұрын
Ety mafundi😂😂😂😂😂😂😂😂kwan si aseme waganga tu😂😂😂😂😂😂😂😂
@katabaroonlinetv96882 ай бұрын
Jina linashusha brand mafundi wanajitokeza watu wakiibiwa simu 😂😂😂
@user-jh5px2xl8u2 ай бұрын
Nimecheka jmn anavyochambwa mangi😂😂😂😂😂😂
@EliudMigishagwe2 ай бұрын
Ahhhhh doto jetii
@fababindawood83632 ай бұрын
Kweli amezinguwa bana ninmshenzi sana yule mtt
@user-eg1ts2fu9z2 ай бұрын
sema doto mkweli sana
@rosemarymsafiri32552 ай бұрын
Doto mwsho 🤣🤣🤣🤣 nmechekaa 🤣🙌
@user-oh5iu6jx2j2 ай бұрын
Masomo mengi kushinda ajiraaa😂😂😂😂ila dotto
@JafariMalekano2 ай бұрын
Unabaya dotto
@rehemayona22232 ай бұрын
Kitambi chaa minyoo😂😂😂
@denisinganga76852 ай бұрын
Jamaa kachemka ghafla tu😂😂 dah,ilah doto bana😅
@kevinoguna38072 ай бұрын
Dotto magari 😂😂 wewe inafaa you join Bongo movie
@Mojabo-qi7sv2 ай бұрын
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉Mzaramo ashindwi wewe 😂😂apo kwenye kibichwa sasa 😂😂😂