No video

UTACHEKA UFE MAJIBU YA STEVE MWEUSI, CLAM RUDISHA PESA ZANGU

  Рет қаралды 370,164

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 317
@mbengotv
@mbengotv 10 ай бұрын
Karibu ujiunge kwenye group la watsup la mbengo Tv chat.whatsapp.com/CCCCHDZ6VE0Jn6whMiVZcr
@YonaSteven
@YonaSteven 10 ай бұрын
Mromrsmr
@kevinnasibu7284
@kevinnasibu7284 11 ай бұрын
Wakenya tunampenda Steve mweusi,,big up bro
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 11 ай бұрын
Steve mweusi anajua sana na hata wakati ukiwa na stress unaweza ukawa sawa kabisa ila nae Clam Cris shughuli anaijua ipasavyo😢😢😢❤❤
@adilhabib8988
@adilhabib8988 11 ай бұрын
Clam spend
@kevinnasibu7284
@kevinnasibu7284 11 ай бұрын
Bila shaka,clam vevo ni atari bin moto,,Steve namba 1 clam vevo namba 2 unyama kama kawa
@hellenthomas6654
@hellenthomas6654 10 ай бұрын
Sana penda Sana Steve mweusi
@bestcodetz5726
@bestcodetz5726 10 ай бұрын
kama unaamin all commedians are genius gonga like
@chidzodunda
@chidzodunda 11 ай бұрын
Mm humuita Steve mtoa stress 😂😂😂😂 na hiyo Mamangu kichaa n moto saba naikubali❤❤❤❤❤❤❤❤
@Opiyoekan
@Opiyoekan 11 ай бұрын
Steve nakupenda Sana ju huna dharau Mungu akuinue zaidi
@AssinaMsafiri-ud5so
@AssinaMsafiri-ud5so 11 ай бұрын
Kweli kabisa nampenda saana mtoto mzuri saana
@sammygoparts9514
@sammygoparts9514 11 ай бұрын
Best comedian ever..much love from kenya
@Pascalkashindi76
@Pascalkashindi76 11 ай бұрын
Steve Mweusi ana chekesha sana tuuuu lakini Clam Vevo anashinda sana tu let's go mbengo tv ❤
@user-fq9ol4nr9x
@user-fq9ol4nr9x 11 ай бұрын
Nakupenda Sana Steve na ndalo mwaondolea mtu stress 😂😂😂big up guys Mungu awazidishie vipaji vya sanaaa muendelee kote duniani
@user-kt9ln3et3h
@user-kt9ln3et3h 7 ай бұрын
Mungu atakusadia utajenga kaka tunaku penda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-pd3ug6kz8s
@user-pd3ug6kz8s 11 ай бұрын
Much LOVE from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@camilasky254
@camilasky254 11 ай бұрын
This man is simple and true no faking I like it
@user-kg2yf1xk1i
@user-kg2yf1xk1i 10 ай бұрын
@bilo1106
@bilo1106 11 ай бұрын
Steve mweus Nakupenda kwa vichekesho vyako Wallahi nafarijika sana..❤
@peterkimanthi5874
@peterkimanthi5874 11 ай бұрын
😂😂😂😂Acha zako ww
@Jali-et8py
@Jali-et8py 11 ай бұрын
Much love from Uganda ,I love you Steve ❤️ 😘
@user-br3si2jf4t
@user-br3si2jf4t 11 ай бұрын
Nimekubali. Kaka. Katika. Mjibu. Yako. Kwakichechee. Shukran sana
@mr25d
@mr25d 11 ай бұрын
Huyu jamaa hakai serious kabisa namkubali sana huyu mwamba
@user-wg2sv9ti3p
@user-wg2sv9ti3p 11 ай бұрын
From Kenya penda sana Steven ❤❤❤❤
@emmanuellkfightforjusticea2474
@emmanuellkfightforjusticea2474 11 ай бұрын
My best comédien ever from africa . Steve . 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 follow you from Roma
@rabeccawakoli7250
@rabeccawakoli7250 11 ай бұрын
Steve Mimi Niko single Sina akili njoo Niko Kenya ❤❤❤
@user-hh9oh6dl6i
@user-hh9oh6dl6i 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@pkcamlesh2465
@pkcamlesh2465 Ай бұрын
Amesema anataka aliyeshindikana😂😂we umeshindikana?😂😂
@SaidiJosephine-mp2zl
@SaidiJosephine-mp2zl 9 ай бұрын
Tuna kupenda sana steve mweusi fika Uganda basi 🙏
@janjaz
@janjaz 11 ай бұрын
steve is good in his content, bt the only limitation inayomsumbua na kumfanya anaogopa hata kufanya show across border ni English na kuwasiliana na wale wanaotumia english or wasio elewa kiswahili. He need to do something on it na hapo hata communication hatapata shida kuwasiliana na mashikaji wa international wakitaka colabo.
@christinaernesto4636
@christinaernesto4636 11 ай бұрын
Huna baya Steve mweusi Mungu azidi kukupigania na husda za waulimwengu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘
@user-bo3nt4ji2c
@user-bo3nt4ji2c 11 ай бұрын
Nakukubali stivu utaki uongo unataka kuongea kitu cha kweli
@evalynekwamboka2802
@evalynekwamboka2802 11 ай бұрын
Much love from Kenya ❤❤
@patrickmusyokipaul7824
@patrickmusyokipaul7824 11 ай бұрын
Hamadi kijicho kutoka mkuranga ndo nani 🤣🤣🤣
@mohamededdi7527
@mohamededdi7527 11 ай бұрын
Muulize maswali ya maana, sio personal ishu mbele za camera.
@EbengoLenge
@EbengoLenge 4 ай бұрын
Boss Steve nakupenda saana, pokea Lakers zangu from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zachariuhmutunga
@zachariuhmutunga 11 ай бұрын
My best actor in the world ziiiidi nakupeda saana
@nuruathumani1590
@nuruathumani1590 11 ай бұрын
Naongea tu ukweli ,steve unajua kucheza na mitego ya maswali ,yani kama kuna top 5 ya interview bas wewe ni no 1
@EmmaKenea
@EmmaKenea 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤this man is a true one
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 11 ай бұрын
So lovely this guy
@MumuzaJoseph-cq7ew
@MumuzaJoseph-cq7ew 11 ай бұрын
Steve wewe ni mweu kweli afunimetcheka paka nifeee❤❤❤
@AssinaMsafiri-ud5so
@AssinaMsafiri-ud5so 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@polyglot053
@polyglot053 11 ай бұрын
Much love from Mozambique 🇲🇿
@armstrongfacinimakini
@armstrongfacinimakini 11 ай бұрын
I like ur story bro,God bless your work,much love 💕💕💕💕💕 steve
@Nashondaniel
@Nashondaniel 11 ай бұрын
SITIFU KUCHEKESHA ANAWEZA SANA, HATA INTERVIEW ZAKE PIA ZINACHEKESHA
@Herbhense
@Herbhense 8 ай бұрын
Meilleur comédien
@user-fn2wp5lj5o
@user-fn2wp5lj5o 7 ай бұрын
Steve 😂😂😂Kwani ulikosana na kizungu wapi mtu wangu😂😂😂.Much love from Mombasa Kenya
@user-ld4iz7cb8n
@user-ld4iz7cb8n 11 ай бұрын
Steve mweusi wew ninoma sana tu
@muyisakambale8230
@muyisakambale8230 11 ай бұрын
Una pendwa uku Congo 🇨🇩🇨🇩 mueusi
@johnfedrick1504
@johnfedrick1504 11 ай бұрын
Yani huyu jamaa kila akiongea nacheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 11 ай бұрын
Mimi sana😂
@bilo1106
@bilo1106 11 ай бұрын
Steve napenda vile ukipiga watu makofi🤣🤣
@SoslyneNanjala-oi9zf
@SoslyneNanjala-oi9zf 11 ай бұрын
😂😂😂
@zuhurakhasimu969
@zuhurakhasimu969 11 ай бұрын
Oyoo leo umeonekana mtangazaji leo ndo mara ya Kwanza kuona sura yako 😂😅
@mbengotv
@mbengotv 11 ай бұрын
😀😀😀🙏
@augustinsafari5699
@augustinsafari5699 11 ай бұрын
Niko Goma "DRC" naitwa safari nampenda sana stiven
@AssinaMsafiri-ud5so
@AssinaMsafiri-ud5so 11 ай бұрын
Asant saana Kaka usijali
@Sethadams_maramba
@Sethadams_maramba 10 ай бұрын
Much love from Kenya....mweusi
@mkasmamba
@mkasmamba 10 ай бұрын
Ubarikiwe Brother wangu Steve 🇨🇩🇨🇩
@gusiifame
@gusiifame 11 ай бұрын
Steve kushindana na mimi ni kama kuteleza😂😂😂
@HABAKUKVUSAKA
@HABAKUKVUSAKA 3 күн бұрын
Steve ako juu tu sana anawashinda wakina kicheche na clam
@NellyNeema-sj1wq
@NellyNeema-sj1wq 2 ай бұрын
Mambo ya comedi na mambo ya Mungu ayaendani vizuri saana kk
@IsaacWanjuki
@IsaacWanjuki 11 ай бұрын
Hello steve mweusi uko sawa kabisa mm sambiki wako kutoka Kenya 😮😮😮😮😮😮😮❤❤❤
@user-hz5dv2el4m
@user-hz5dv2el4m 11 ай бұрын
Eti akiri tutalekebishana, na hasara tutatiana. Yeye akivunja kikombe mimi navunja Glass
@user-np8dk3qn3g
@user-np8dk3qn3g 5 ай бұрын
Jamani ssitunajua umeoa kumbebado basi usitunyime ubwa bwa uku bwana auvipi wanetu wa stivin auvip tujetule mziki kwafujo sana🌹🌹💃💃💃
@user-ew6nr2gd2b
@user-ew6nr2gd2b 11 ай бұрын
Nampenda Steve,kumbe anaeza kua serious ongeta sana bro.
@ChristineMuthoni-yg5xh
@ChristineMuthoni-yg5xh 11 ай бұрын
Steven congrats kwa kumjua mungu ukusaindie na akuongoze
@MandilaKhasavuli-iq1qp
@MandilaKhasavuli-iq1qp 10 ай бұрын
Much love Brother Steve ❤
@nassibali9267
@nassibali9267 10 ай бұрын
Huyo jomba anaweza kazi bana
@achiengvelinda940
@achiengvelinda940 11 ай бұрын
Stv mm Niko hapa kuja unioe nakupenda bure brother
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc 11 ай бұрын
Nakukubali sana stive❤❤
@user-kg2yf1xk1i
@user-kg2yf1xk1i 10 ай бұрын
@adarashidi8178
@adarashidi8178 11 ай бұрын
Nimecheka paka basi 😅😅😅ila steve wew ni 🔥🔥🔥
@Young_k628
@Young_k628 11 ай бұрын
Ndaro ndio ana mvutisha bangi kicheche 😂😂😂😂😂😂😂😂 love you all comedy of my country ❤❤❤❤
@rachealkitsao259
@rachealkitsao259 11 ай бұрын
Steve nimependa majibu yako kuhusu waigizaji wenzako
@snd7681
@snd7681 9 ай бұрын
hengera sana steve much love from kenya
@user-ue1wz3yx5k
@user-ue1wz3yx5k 11 ай бұрын
Ulibalikiwe much, from Ethiopia love you my friend
@kas6754
@kas6754 11 ай бұрын
Steve Ile jacket Yako bado naikumbuka ilikuwa inakutoa sawa kabisa😂😂
@user-vh5jv3pn6t
@user-vh5jv3pn6t 11 ай бұрын
Alichana
@AssinaMsafiri-ud5so
@AssinaMsafiri-ud5so 11 ай бұрын
Kime chafuka ame kifuwa saizi kime anikwa juwani
@janesammy683
@janesammy683 11 ай бұрын
Big up Steve mweusi nakupenda tu bure
@LilianAchieng-bo9xo
@LilianAchieng-bo9xo 11 ай бұрын
Salute Steve💪💪💪
@user-it3gu1vv9i
@user-it3gu1vv9i 10 ай бұрын
Kweli ni mzuri sana ata namimi namupenda
@justusngele
@justusngele 11 ай бұрын
Stive mweusi tunaomba upinge Colombo moja na kicheche
@rifatibiden8126
@rifatibiden8126 8 ай бұрын
steve nampenda ila hana mwanamke kama yeye ni fremason aseme tusimpe like
@ManenomoshiabdallahManen-tk1nf
@ManenomoshiabdallahManen-tk1nf 11 ай бұрын
Tunaisubiri hiyo part 2 mpaka zitakapoisha epsodi
@wazir_prince2
@wazir_prince2 11 ай бұрын
😂😂😂 na hapo ndo kawa serious kidogo...
@omarymahiza9716
@omarymahiza9716 11 ай бұрын
🎉akiwa sity anakuwaga serius et stivu kwa sasa Bongo yeye ndo mchekeshaji bora
@isaacmakoga6349
@isaacmakoga6349 10 ай бұрын
Appreciate much bro... unanfurashaga sana
@lydiaachieng9179
@lydiaachieng9179 11 ай бұрын
You're very natural I love your comedy
@Zuwenasalum2788
@Zuwenasalum2788 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂hataki kucanganya malaika😂😂😂😂😂
@TheresiaTemu-ye1lm
@TheresiaTemu-ye1lm 11 ай бұрын
Steve jmn unanifurahisha sanaaaaa
@user-ob2um4rf7r
@user-ob2um4rf7r 10 ай бұрын
Jamani Stive una muzidi kicheche kweli?
@giriadbirusha7006
@giriadbirusha7006 11 ай бұрын
Mkuu, umetisha sana kutuletea mahojiano na huyu mtaalamu 😂😂 shukrani.
@bakariomari8758
@bakariomari8758 11 ай бұрын
Hapo kwa kugawa riziki na kupa hongera
@user-gd4gf5kp2h
@user-gd4gf5kp2h 11 ай бұрын
❤nampenda sana Steve mweusi
@ambrosetali
@ambrosetali 11 ай бұрын
Bongoo mm Steve ndo namtiii na hamonize
@AssinaMsafiri-ud5so
@AssinaMsafiri-ud5so 11 ай бұрын
Stive na kupenda saana yani una uchizi kama mwanangu wa kiume
@ayubkaiyongi5187
@ayubkaiyongi5187 8 ай бұрын
Steve uko sawa kwa usanii east Afrika
@user-ou8cf5ff1m
@user-ou8cf5ff1m 3 ай бұрын
Full respect man
@ThomasjohnMboroo
@ThomasjohnMboroo 11 ай бұрын
aisee yani hata haha Mahojiano tuu ni vichesho tosh
@stephaniemata2155
@stephaniemata2155 9 ай бұрын
Steve huwezi fikia clam VEVO
@boniphacebigivaintelemkokitwal
@boniphacebigivaintelemkokitwal 10 ай бұрын
Dar stivu kanifurahisha sana kasema ataangaria dishi mwenzie dar yupo sawa
@ChristineWanzala
@ChristineWanzala 9 ай бұрын
Nakupenda sana Steve mweusi naomba nafasi ukanifungulie mm ninatoka Kenya
@Nashondaniel
@Nashondaniel 11 ай бұрын
Anachekesha jamaa😅😅😅😅
@willymwema4944
@willymwema4944 10 ай бұрын
Br stive congratulation umejuwa sana
@user-on9bw2gr1e
@user-on9bw2gr1e 11 ай бұрын
Safi Steve bwana
@krizofrancisco5310
@krizofrancisco5310 11 ай бұрын
Muulize Hamad kijicho ni nani wa mkulanga mbona anapenda kumtajataja
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 11 ай бұрын
Steve unachekesha Sana na kisungu walai😂😂😂😂
@lydiahnyabwari
@lydiahnyabwari 11 ай бұрын
Steve niko nioe sasa from +254
@gabreezyfertanno5390
@gabreezyfertanno5390 11 ай бұрын
We hatariii sana brother....I salute you
@user-kt9ln3et3h
@user-kt9ln3et3h 7 ай бұрын
Mungu atakusadia kaka
@user-ce3xw5gv2p
@user-ce3xw5gv2p 11 ай бұрын
Nakupenda bule nakazi zako
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 10 ай бұрын
Steven mweusi usitusumbue nenda english corse utafanya vizuri, lakini nadhani kiingereza unakijua ila utani mwingi.
@TerryIrutingabo-nu6vj
@TerryIrutingabo-nu6vj 9 ай бұрын
Love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@user-kg2yf1xk1i
@user-kg2yf1xk1i 10 ай бұрын
Kila kitu mungu mbele
@adijoecool8509
@adijoecool8509 10 ай бұрын
Eti show zikuwa mingiii mpaka akadhani anataka kufa eti wimbo hukutoka umechomoka😅😂😂nakupnda bure Steve mweusiii😄
@christiano-i6x
@christiano-i6x 11 ай бұрын
Yaaani hapo Steve kasema ukweli
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 147 М.
USO KWA USO DIAMOND PLATINUMZ  NA STEVE KAMCHANA ANGELA
16:26
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,7 МЛН
NDARO NA STEVE MWEUSI WAGAWA UBWABWA SHULENI
9:05
Ndaro Tz
Рет қаралды 72 М.
BEST FRIEND | Full Movie |
1:25:54
CLAM VEVO
Рет қаралды 2,4 МЛН
STEVE MWEUSI  APEWA TUZO YA DHAHABU NA YOUTUBE HII HAPA
5:07
Steve Mweusi
Рет қаралды 103 М.
BEST FRIEND ❤️ | 2 |
20:01
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,8 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН