Kitu kizuri sana ujumbe mzuri yatupasa kujiandaa vizuri kiroho kwa maombi na kwa kusali maana hatujui siku wala saa wakati mwana wa Adamu atakapokuja kulichukua kanisa lake ambalo ni mimi na wewe na yule.Amina.
@annanziku36428 жыл бұрын
wana uvikanjo Wa njombe hongereni kwa uimbaji wenu mzuri na mungu awape maarifa mengi zaidi.Ameen
@georgekahabi96997 жыл бұрын
hongereeni sana vipi mmetoa tena nyengine? naomba mnaambea inaitwaje ili ninunue nina matoleo yote ya kwenu mpo vzr mnainjilisha vizuri sana.
@nkubapaul85315 жыл бұрын
Ya zaman but still on hit
@francismhagama9165 Жыл бұрын
Naweza kupata mawasiliano ya mwalimu Mapunda ambaye ni mtunzi wa wimbo huu
@claramwanyalila3289 жыл бұрын
Hongereni sana kwa nyimbo zenu nzuri.
@NaomiKevin.
🎉🎉🎉
@beatusshayo20373 жыл бұрын
Be blessed
@baltazarirosie92745 жыл бұрын
hongereni sana mbarikiwe naomba jina LA mtunzi pliiiz