No video

MTOTO ALIYEPOTEA DAR AMEONEKANA MORO - AUNTY ALIYEMTEKA HAJULIKANI - MAMA AONGEA kwa FURAHA...

  Рет қаралды 58,884

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MTOTO ALIYEPOTEA DAR AMEONEKANA MORO - AUNTY ALIYEMTEKA HAJULIKANI - MAMA AONGEA kwa FURAHA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 365
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-ns1dg4jd7q
@user-ns1dg4jd7q Ай бұрын
Mwenyezi Mungu pokea sifa na utukufu tulindie watoto wetu Baba yetu na Mungu wetu 🙏🙏🙏
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
Kwanza niseme Alhamdllah Rabbllaamin Mwenyeez Mungu ni mwema
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Ай бұрын
Hakika
@tupegigwensajigwa2629
@tupegigwensajigwa2629 Ай бұрын
Asante Yesu, Hakika Mungu ni mwema sana
@loner_wolf
@loner_wolf 29 күн бұрын
Yesu au mungu ?😅😅😅😅😅😅😅 kuwa specific
@SungesuAngelina-id4tj
@SungesuAngelina-id4tj Ай бұрын
Mungu ni mwema, Asante Mungu kwa kusikiliza maombi yetu🙏🙏🙏🙏
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Ай бұрын
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 Ай бұрын
Sio wa Tanzania pekee yao walio umia hata sisi huku Uingereza tumeamka mno, Natulimuombea sana mtoto Angle apatikane akiwa salama.. Hilo ni let sote. Mwenyeez'mungu azidi kumlinda...Malaika wetu Angel. Hilo jina limekwenda mahali pake. Ni miujiza ya Allah.
@aminamollel3571
@aminamollel3571 Ай бұрын
Acha Mungu Aitwe Mungu kiatu chako kilikua kinambana kila mwanamke Hakika Mungu amejibu,Hongeraa mdogo wangu nilikuhurumia sana niliwaza mengi
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Àmina Mungu asifiwe.kiukweli sisi sote tulikuwa na simanzi kubwa, mama Enjoy hongera sana
@irenemlay9104
@irenemlay9104 Ай бұрын
Ashukuriwe Mungu mtoto amepatikana, ila uchunguzi uendelee.
@SuzanMkumbo
@SuzanMkumbo Ай бұрын
Asante Yesu
@loner_wolf
@loner_wolf 29 күн бұрын
Wa Yesu waendelee na wa mungu tunasema mungu mkubwa
@Precious2425
@Precious2425 Ай бұрын
Jamani Mungu ni mwemaa
@yohananyamaruri9105
@yohananyamaruri9105 Ай бұрын
Hao ndio watekaji hakuna mtu mwema hapo😢 itakuwa ni soko limedoda na Mungu kasaidia kupatikana
@vickytango5591
@vickytango5591 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MariamJuma-pe4sy
@MariamJuma-pe4sy Ай бұрын
😂😂😂😅😅 eti soko limedoda nimecheka kama mazuri😅😅
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Ай бұрын
😂😂😂😂​@@MariamJuma-pe4sy
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-xd1zk7tq4p
@user-xd1zk7tq4p Ай бұрын
Baba wa mtoto ,Mama,Nauyo kaka masamslia mwema,Nauyo mama wa uyo kijana msamalia ,Wotee wajiowe kuna jambo haliko sawa 😢😢 ,Mazingaombwee haya pumbavu😊
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
Hii kitu kuna kitu ndani yake tunataka kujua nani kampeleka huko.
@lizzyObed
@lizzyObed Ай бұрын
mmmh unapenda heka heka wewe😅aya anza upelelezi basi
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l Ай бұрын
Mungu ni mwema tumefurahi sana Angle kapatikana.
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d Ай бұрын
Hiyo shule kuna mtu tu hapo shule ndo kachora mchongo
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
@@lizzyObed Serikali ipo Na polisi naamini watachunguza sina hicho cheo 🫵🏾Bado hayajakukuta ngoja uzae ndio utakuwa wa kwanza kupiga nduru au ndio wewe 🤔mmoja wapoooo🫵🏾
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Ай бұрын
Mbona kama siwaelewi alie mchukua hamsemi yuko wapi polis au wapi mnasema tu kapatikana
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Hapo kuna kitu aise, story haieleweki kabisa😢
@user-ss3fq7vy7v
@user-ss3fq7vy7v Ай бұрын
Muwe mnasikililiza full story amesema aliemchukua ni dada yake na ana matatizo
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
​@@user-ss3fq7vy7v😅😅😅😅watu wana haraka
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Alhamdulillah Mungu ni mwema 🤲🤲🤲
@hildaminja5148
@hildaminja5148 Ай бұрын
Ila shuleni pawepo na utaratibu wa kuwasiliana na mzazi inapotokea mtoto amefuatwa na mtu tofauti na anayehusika au aliyeandikwa. Pana kauzembe kwa namna alivyochukuliwa
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
Kwa janga hili lazima watakuwa wamejifunza
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Ni Mungu tu.nililia saana.Asante Mungu usiruhusu watoto wetu wakawa wawindo Bwana Yesu.
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
Tunataka huyo mama atuambie nani kamleta hapo huu mcheki unatia mashaka🤔🤔🤔
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Bado tunaliomba Jeshi la police liangalie CCTV.inawezekana mlengwa alivyojua kuna camera alimtafuta mtu wa kumwangushia case.plss tunaomba police ziangalie CCTV kujua aliyemchukua ndio yeye aliyemkabidhi?
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Mungu ni mwema niliomba mno na wote tulioomba Mungu ni mkubwa tushukuru kwa kutupokelea maombi yetu .Asante Mungu
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Ай бұрын
Mmh kuna jambo aliko sawa hapa, mtoto kapatikana hapelekwi police anapewa mama amlinde
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Ай бұрын
nimeshangaa pia
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Kwanza MAMA ENJO MWENYEWE UNAMUELEWA WEWE?,!😂😂
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Sio kila kitu kinaoelekwa Polisi. Serikali za mitaa zinafamya Kazi vizuri. Kwani Polisi kuna chakula.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
@@GibsonNtamamilo kwani uliambiwa polisi ni jiko? Soma definition ya polisi
@sechebwanahindi8674
@sechebwanahindi8674 Ай бұрын
Uyo kaka aliemrudisha mtoto mbona kaelezea vizuri kuwa mtoto alipelekwa nyumbani kwao na dada yake ambae hakili yake haipo vizuri
@rehemaseif1785
@rehemaseif1785 Ай бұрын
Alhamdulillah 🤲sifa na utukufu ni wa M.mungu muweza wa yote. M.mungu awalinde watoto wetu. 🤲
@user-by6gh6df2h
@user-by6gh6df2h Ай бұрын
Asante mungu kwa kuwa mwema na kujibu maombi yetu
@saumukambi8562
@saumukambi8562 Ай бұрын
Kwakweli mungu Hana gumu Alhamdulillah mungu ni kila kitu Na.unachokiomba kisipokuwa Sawa mungu anakuwa Ana makusudi yake Mungu nimwema kwetu na Allah atawalipa tuliyokuwa pamoja kwenye maombi Asnt mungu❤❤❤
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Ай бұрын
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Ай бұрын
Niseme Asante YESU KRISTO
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Ай бұрын
Hongera sana Mama Angel. Duh! Yaaani! Mungu ni mwema kila wakati! Waihyuka n'omwana. Waihyuka muno.
@user-gv9zo3os2m
@user-gv9zo3os2m Ай бұрын
Asante Mwenyezi Mungu kwa kumtunza huyo mtoto
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Ай бұрын
Hongera jedhi la polisi kwa kazi zenu😊
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Ай бұрын
Yani mtoto kutoka ostabey masaki mpaka mikumi (Morogoro)😢😢😢
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
yaani alivyorusha kwenye media akasema wanataka wakacheki camera ndipo mtekaji alishtuka na kumtelekeza mtoto
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Ай бұрын
@@josephineokama2200 eeh inaonekana ni big team huyo mtoto akachekiwe now days watu wanatoa organs aisee unajiona upo sawa baadae huko miaka 6 mbele unambiwa una Figo moja aisee 🥲
@upendosanga9205
@upendosanga9205 Ай бұрын
Yaaan naungana na mzazi Kufurahi yaaan kufurah mnoooo asante Mungu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Hongera Immerda kwa kazi nzuri hongera .IMMERIDA. unafwatiria. Kwa. Kasi❤❤❤❤❤❤
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Ай бұрын
Nicolas Big up sana. Mwenyezi Mungu na akuongezee maisha marefu.
@user-dq4ur9kk6h
@user-dq4ur9kk6h Ай бұрын
Nilivuomuona mama huyu nililia sana Mungu Amejibu maombi ya Watanzania kwakweli 🙏🙏🙏
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 Ай бұрын
Mama Angel namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kupatakana kwa mjuku wangu Angel
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Ай бұрын
Yaani waendelee kuangalia camera lazima ijulikane aliyemchukua ni kweli huyo anaemzungumzia huyo kaka?
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
kweli naona Ile kauli ya camera imewashtua kutoka dar mpka Moro kweli dah
@user-ol6dk4bp9x
@user-ol6dk4bp9x Ай бұрын
Asante Mungu
@MarynessRugaimukamu
@MarynessRugaimukamu Ай бұрын
Hongera sana, Mungu ni mwema
@neemamsalege6325
@neemamsalege6325 Ай бұрын
Asante Yesu utukufu na sifa ni vyako Mungu aliye kijiji,Ooooooh hallelujah
@emilianahanzi5088
@emilianahanzi5088 Ай бұрын
Hongera Sana dada emerida mtema mungu akubariki mtt kupatikana
@user-zw6xv1vt1p
@user-zw6xv1vt1p Ай бұрын
Asante mungu nimefurahi sana
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Ай бұрын
I'm soo happy.for the news.Mungu wetu ni mwema sana.Bwana apewe sifa zote
@user-zl5mt6lk4n
@user-zl5mt6lk4n Ай бұрын
yaan anafuraha hata kumbe hajamuona daah😢 umejuaje mwanao kiundani yupo hali gan ila mwenyeezi Mungu amuhifadhi awe salama mtoto mzuri...naona mimbado nina huzuni na hofu lkn mama anacheka kwa furaha zote
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Mungu yumwema Ahsante kwa Kutenda Na Kumjibu Mama Angle .YESU yumwema
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug Ай бұрын
Mungu ni mwema
@angelamasyaga6957
@angelamasyaga6957 Ай бұрын
Thank u jesus
@navioma4882
@navioma4882 Ай бұрын
Walimu mjifuze msitoe watoto😢😢 bila tarifa ya mzazi🙏🙏
@ashurakiwanga837
@ashurakiwanga837 Ай бұрын
Mungu mkubwa.Ahsante Mungu kwa kumrudisha salama katoto Allah amezipokea duwaa za wote waliomtakia mema mtoto
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
Allahuma Amin
@user-qw6wv4hf5c
@user-qw6wv4hf5c Ай бұрын
Alhamdulillah Asante mungu yani nilikua namwazia Enjo nakumuomba mungu MTT apatikane akiwa salama niseme Asante mungu 🤝🤝🤝
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Ай бұрын
Mungu mkubwa,🤲🙏
@maimunahemedi6491
@maimunahemedi6491 Ай бұрын
Alhamdulillah, mungu ni mwema, kamlinda mja wake, walimu wsjifunze kutoksna ns tukio hili, mtoto asitolewe hadi sulizwe mzazi
@vincej9275
@vincej9275 Ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote. Asante sana.
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Ай бұрын
Mashaaallah Allhamdulillah Allah Amfanyie wepesi katika makuzi yake Allah Amuondoshee Hasad na Ubaya
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Ай бұрын
Asante Mungu ni mwema
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Mashaaalah, Engel Amina rabbi lailahailah rabbi
@user-bh3td9ld4v
@user-bh3td9ld4v Ай бұрын
Nuru Yani nimeshukuru huyu mtt aliniuma kweli mungu anaweza Alihadulirahi
@carolinemunishi1286
@carolinemunishi1286 Ай бұрын
Amina Tumshukuru Mungu kwa pamoja Mungu ni mwema
@chany9950
@chany9950 Ай бұрын
Mungu ni mwemajmn🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@subirajohn728
@subirajohn728 Ай бұрын
Mungu ni Mwema! Ahsante Mungu kwa ajili ya Angel!
@mathewpaschal8000
@mathewpaschal8000 Ай бұрын
Nani kampeleka huko? Na je inakuwaje tunafurahia? Tulipaswa kuwatafuta wote wanaofanya mambo hayo
@subirajohn728
@subirajohn728 Ай бұрын
Kweli kabisa hao watu watafutwe ili kukomesha huu mchezo mchafu Kwa watoto wetu! Na Mimi nafikili walijua watajulikana baada ya kusikia CCTV Camera ndio maana wameogopa lakini Polisi wanapaswa kufanya uchunguzi wa kina maana inawezekana hawa wanahusika na mauaji ya wstoto wengine wa maeneo tofauti!
@CatherineJamesshirima
@CatherineJamesshirima Ай бұрын
Kweli Mungu anaweza nimelia kwa furahaaaa. Pole sana Mama Angel na hongera sana kwako na familia kwa ujumla.
@aikaelMwanga
@aikaelMwanga 28 күн бұрын
Asante mungu
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Glory to God
@upendomoses2418
@upendomoses2418 Ай бұрын
Ashukuriwe Mungu kwa Yesu Kristo alomwaga damu yake msalabani na ndo ilomiminwa juu ya Angel hatimaye mikono mibaya ikamwachia utukufu una Mungu juu
@omanmobile5746
@omanmobile5746 Ай бұрын
Asant Mungu na pole bint bushiri kwa changamoto hiyo
@firmakisika5073
@firmakisika5073 Ай бұрын
Mama Angel mshukuru sana Mungu kwa Upendo wake. Kumbuka kutoa Sadaka ya Shukrani.
@domitillalyamba9006
@domitillalyamba9006 Ай бұрын
Hapo kuna kamchezo mmm!! mchafu maelezo yake mimi hayaingii moyoni jamani hizo camera ziwashe sasa unataka kusema huyo mwenye afraid ya akili ndo aliiba mtto?kutoka Dar mpaka mikumi cyo karibu Ma Angel kuna kitu wwe chizi kaleta mtto kwanni usimpeleke polisi?huyo mtto pia apelekwe hosp.huwezi jua
@user-wc6wq7rm7x
@user-wc6wq7rm7x Ай бұрын
Jamani Enjoy kapatikana Asante aMungu Kwa kuzipokea furaha ilioje nimefurahi mpk nalia,mama baba hongera sana tumelia nanye tufurahi pamoja.
@user-qw6wv4hf5c
@user-qw6wv4hf5c Ай бұрын
Hongera mdoga wangu mama Enjo napia tunakushulu da Imelda na kaka hapo mungu atawalipa inshaallah
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Ай бұрын
Huyo mtoto apelekwe hospital akachekiwe kama ana viungo vyote hasa figo au kizazi na maini kamcheki mtoto sasa hivi dunia haipo sawa 😢
@siamnyone8403
@siamnyone8403 Ай бұрын
😂😂😂
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Ай бұрын
Mmmmh
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id Ай бұрын
Khee😂😂😂
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s 26 күн бұрын
Huamin okay huoni watu wana uwawa sahv wanatolewa viungo.. Kam huamini utaona
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 Ай бұрын
Asante Mungu jmn nliumia sana kama mama nliumia sana Mungu ww ni mwema sifa na shukurani ni kwako Baba
@naomipius-dk6xh
@naomipius-dk6xh Ай бұрын
Asante yesu
@felistermatinde4640
@felistermatinde4640 22 күн бұрын
Amina
@redeemvoicetearstosmile9186
@redeemvoicetearstosmile9186 Ай бұрын
Haya maelezo yana ukakasi # kikubwa Asante MUNGU uliesikia maombi yetu
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Ай бұрын
Yaan mchezo umepangwa huy dada asiekuwa na akil aliwezaj kwenda shule mpaka kusema angel Aunt ake yaan ushaur mama angel kuwa makini tu na mwanao kuna kitu nyuma ya pazia
@upendohalvorsen6331
@upendohalvorsen6331 Ай бұрын
Nakazia hivi mashuleni hakuna utaratibu wakuandika nani ni mzazi wa mtoto na nani anaruhusiwa kumchukua mtoto shule? Utaratibu gani huo katika taasisi kama hiyo? Walimu walivyomuona mtu wasiemjua kwanini hawakuwatafuta wazazi kwanza kupata uthibitisho?
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Ай бұрын
Asanteni sana kwa Taharifa
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Hamdullillaah. Enjo japatikana❤❤❤❤❤❤.mungu ni mwemaa
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Ай бұрын
Achukuliwe Mungu 🤲🤲🤲
@user-ce1sb6ws6g
@user-ce1sb6ws6g Ай бұрын
Alhamdulillah Mungu ni Mwema.
@user-tm9ey4zt7m
@user-tm9ey4zt7m Ай бұрын
Alhamdulillah
@NuruNyanja-kz1qr
@NuruNyanja-kz1qr Ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@HusnaMahdi
@HusnaMahdi 27 күн бұрын
Asante mung tuseme mungu asante
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt Ай бұрын
Utukufu na shukuru apewe Bwana Mungu asiyeshindwa.
@yohanatlatlaa4205
@yohanatlatlaa4205 Ай бұрын
Amina mungu mkubwa amesikia maombi yetu
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Ай бұрын
She is realy Angel
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Ай бұрын
Bado najiuliza mengi
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Ай бұрын
Heshima,Utukufu na Uweza ni kwako Mungu🙏🏽
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 29 күн бұрын
Safii sana kwa kweli
@AnnoyedDodoBird-us6eb
@AnnoyedDodoBird-us6eb Ай бұрын
Yesu tunakushukuru kwa kumrudisha Angel akiwa mzima wa afya jina lako na litukuzwe.
@nourrubeya7188
@nourrubeya7188 Ай бұрын
Alhamdulilah jamani happy for her❤❤❤❤❤
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Ай бұрын
Yaan waendelee kufatilia kweny cctv camera maana watuhumiwa walivosikia wanachukua hatua hiy ya kumuangalia kwa cctv ndo wamezuga na kumleta huo ni uongo jaman na mama enjo asifurah hivy na hiy shule amuahmishe mtot
@subirajohn728
@subirajohn728 Ай бұрын
Kweli kabisa!
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Uko sahihi amuhamushiebinguni 😂😂😂
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi Ай бұрын
😅😅😅😅😅​@@GibsonNtamamilo
@rosemarykimario2880
@rosemarykimario2880 Ай бұрын
Kwamba akimuamisha ndo anapenda atakua safe wala hata mambo ni Mungu tuu
@redeemvoicetearstosmile9186
@redeemvoicetearstosmile9186 Ай бұрын
Eee MUNGU tunakushukuru # wewe usielala Wala kusinzia !! Jesus we love you so much
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Ай бұрын
Uyo bibi achukuliwe mahojiano amtoe alipo uyo mwanawe afya ya akili heee
@mgazawagaza7501
@mgazawagaza7501 Ай бұрын
Mungu ni mwema matendo yake yanatisha
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq Ай бұрын
Mungu Asante..
@nadiatanzania
@nadiatanzania Ай бұрын
Mungu hajawah shindwa kwa wanao mtumainia Asante Mungu 🙏
@LizzyMbegga
@LizzyMbegga Ай бұрын
Asante mungu kwa kumuonekania mama angel
@najathtemo3908
@najathtemo3908 Ай бұрын
Asante sana Mungu wangu🙏
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 Ай бұрын
Mweee afadhali siku zote Mungu ni mwema sana 🙏🙏🙏
@user-vp7ro6ix9q
@user-vp7ro6ix9q Ай бұрын
Mungu ni mwema nafuraha kupatikana kwa mtoto Angel. Shule zijifunze kwa hili tukio Haiwezekani mtu amfuate mtoto pasipo kuwasiliana na wazazi husika, uzembe mkubwa huo.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,2 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 172 М.
ITAKUTOA MACHOZI: MFANYA KAZI WA NDANI AMNYONGA MTOTO WA MIEZI 6/UCHAWI
25:46
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47