No video

TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA

  Рет қаралды 1,101,797

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 511
@ramadhanramadhan1847
@ramadhanramadhan1847 3 жыл бұрын
2021 Kama unasikiliza Mpaka Leo gonga like hapa
@lazarouskisotangukuukoromo4963
@lazarouskisotangukuukoromo4963 3 жыл бұрын
Sokone
@danieloleringa9185
@danieloleringa9185 3 жыл бұрын
Nipo
@ngova12345
@ngova12345 3 жыл бұрын
Memorable person
@ramadhanijbirijabiri2942
@ramadhanijbirijabiri2942 3 жыл бұрын
Kamanda wetu,nchi yetu imepata viongoz Bora kutokana namsimamo wako baba wataifa good job mwl,👁️👁️👁️👁️👁️
@kafbethfelix2246
@kafbethfelix2246 2 жыл бұрын
Nipo
@focusmagesa7964
@focusmagesa7964 4 жыл бұрын
_mnao mkubali uyu jamaa tupia like kwanza tuwende sawa kaka tunaomba makala ya JPM mana uwa unatoa makala nzuri sana kaka nakukubali sana kwa makala zako_
@jamesmzaak7258
@jamesmzaak7258 4 жыл бұрын
Ya JPM IPO kitambo tu
@focusmagesa7964
@focusmagesa7964 4 жыл бұрын
@@jamesmzaak7258 _nataka makala mfululizo za magu_
@rescotv8804
@rescotv8804 4 жыл бұрын
😏😏
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Hizo za JPM ziandae wew maana hujielewi mtu bado hajawa legendary unataka aandaliwe story
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 5 ай бұрын
Nyie wote hamjakimbiza gari lamaiti mkizani sukari nyerere mjanja mjanja wa kuongea Lkn mbinafsi wa madaraka hstari
@jeniphermaiko3886
@jeniphermaiko3886 4 жыл бұрын
kauli ya Nyerere nguvu ya kumpiga tunayo, sababu ya kumpiga tunayo na nia ya kumpiga tunayo ni bongeeeee la kauli ya kishujaa I like it
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Dah maraisi tanzania ni wawilitu mzee wetu muasisi wetu nyerere na magufuri
@AYUBUSAMWELLY
@AYUBUSAMWELLY 2 ай бұрын
Hakika😢😢
@kennedysalanomashairi7187
@kennedysalanomashairi7187 4 жыл бұрын
Mwalimu Nyerere nilianza kumsikiza hapa Kenya nikiwa na umri mdogo sana. Baba wa taifa la Tanzania alikuwa kipawa kikuu Afrika Mashariki.
@charleskipuyo507
@charleskipuyo507 11 ай бұрын
Mzee alikuwa Noma sana
@nisilesanga3602
@nisilesanga3602 4 жыл бұрын
Yani leo umenigusa sana kwani BABA ALIKUWA MWALIMU KWELI LALA SALAMA🙏 pita na like🤛
@christophermachibya1496
@christophermachibya1496 4 жыл бұрын
Mungu awe nawe popote ulipo mzazi
@mussasimba7125
@mussasimba7125 3 жыл бұрын
@@christophermachibya1496 lo)lppp)pl po
@sophydaud5351
@sophydaud5351 4 жыл бұрын
pumzka kwa Aman baba Wa taifa hakika ulikuwa kiongz bora tulikupenda sana kwan tulizaliwa tunayakuta mengi uliyofanya mpka unatuacha tutakukumbka daima.,,,,,,kama unaamin alitutoa mbali gonga like twend sawa.
@sophydaud5351
@sophydaud5351 4 жыл бұрын
ambae yupo online anaskiliza maneno10 ya baba Wa taifa tujuane
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Indigo children 1. Mwalimu Julius Nyerere 2. John Pombe Magufuli .. .. .. .. .. .. ......... Prince Katega II ...........
@shijamayala8127
@shijamayala8127 4 жыл бұрын
And shija mayala
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
@@shijamayala8127 Sawa I love your confidence
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 3 жыл бұрын
2 mkapa
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Bado mpaka saiv sjaona kiongozi aliyemfikia hata nusu mwl.Nyerere,atabaki wa pekee kwenye Taifa hili
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 4 жыл бұрын
Mwalimu Alikuwa mtu anayefikiri sana. Yaani mwanazuoni na alikuwa na elimu ya kawaida saana ila tofautisha na wasomi wenye elimu kubwa Leo wanachotaka ni kujulikana tu wanazo elimu na kupata kuogopwa mitaani labda na kutisha wenye elimu darasa ndogo. Ila kuelimika pamoja na ukubwa wa Darasa huwa ni kuonekana kwa matumizi chanya ya hiyo elimu ndugu zangu
@cpabrysonjk9389
@cpabrysonjk9389 4 жыл бұрын
Nyerere my hero...2020 , kenya
@georgembilinyi2824
@georgembilinyi2824 4 жыл бұрын
Kama sio judi zako nyerere na uhuru 2ngepata wapi....leo Tz 2mezaliw 2mekuta nchi inauhuru respect kwako.....
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 жыл бұрын
Kiongozi. ....Chief. ....Teacher....Baba wa Taifa... JPM anatambaa mulemule. .Rushwa...Udini...U chama. .Umoja....Maendeleo. .Utetezi wa wanyonge...Pambana na Colonial master. .Make tanzania great again
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Hapo kwenye udini umenikosha!! Mambo ya dini yangu hayamuusu mwingine! Bravo! Hakuna vita mbaya km ya udini!
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Kama hakua na udini, kwa nn watu wengi wakati wake walibadili majina na kujiita majina ya kikiristo?
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 жыл бұрын
Halafu watendaji wake wengi walikuwa wagalatia why..!?
@pjones1035
@pjones1035 4 жыл бұрын
@@hassanmfaume4522 sasa we ulitaka achague viongozi kwa kubalance dini anachagua kutokana na uwezo ikitokea wagalatia ni wengi au wajukuu wa mtume haimaanishi alikuwa ni mdini
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
@@pjones1035, Watu walikua na uwezo wao na ndio ukaona wengine walipobadili majina walichaguliwa.
@pjones1035
@pjones1035 4 жыл бұрын
hahahah propaganda hizo mbona alivyomchagua mwinyi agombee urais mbona hamkusema alikuwa mdini au mwinyi mgalatia
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Mwalimu aliongea point. Na alijitahidi kadri ya uwezo wake kulingana na mazingira Yale kwa utawala wake. Tusimlaumu saaaana. Hakujipendelea na familia yake hakujikweza hakuishi kifahari hakujilimbikizia Mali. Hakujiuzia nyumba za umma. Watoto wake tunapishana nao kwenye daladala aliondoka madarakani mwenyewe katiba iliyopo ilimkera hata yeye. Bigup mzee
@madlipztanzania1931
@madlipztanzania1931 4 жыл бұрын
Ni moja ya viongozi Simba saana wa Afrika! Mwl Julius Nyerere.
@herimallya3385
@herimallya3385 4 жыл бұрын
Huyu si mwalim ni Mwalim Mkuu,
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 жыл бұрын
Uliipenda Tanzania" Hukuwapendelea wazanaki hukujenga sana msoma. Naamini ulimpendeza mwenyezi Mungu.
@lomwardkupingwa3659
@lomwardkupingwa3659 4 жыл бұрын
2020 kama unasikia mpaka Leo gonga like, udini ahahahahahahaaaaaaaaa
@yudamsafiri7427
@yudamsafiri7427 4 жыл бұрын
Utakuwa na serikali ya watu laki tatu,tena unakuwa na serikali ya watu mil12 unakuwa na serikali ya watu mil kumi na mbili na laki tatu kama umeelewa hiyo dondosha like
@philliplebahati6850
@philliplebahati6850 4 жыл бұрын
Mwalimu tunapenda mafundisho yake hapa Kenya.
@user-cp9fb3hd6k
@user-cp9fb3hd6k 6 ай бұрын
Nyerere namkubali huyu mzee sana
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 4 жыл бұрын
Akika trh14 oct ilikua nisiku mbaya sana kwetu, mwenyezi mungu akulinde na akuangaze daima baba yetu
@AlissonJB_77
@AlissonJB_77 4 жыл бұрын
Kama unaamini Nyerere ni kakaake magufuli gonga me like kibao
@shabanmohamed1545
@shabanmohamed1545 4 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya huyu marehemu mahali pema peponi .
@shabanmohamed1545
@shabanmohamed1545 4 жыл бұрын
Magufuli ni no2 ya hayati mwl julias nyerere
@khalidmwingiro4738
@khalidmwingiro4738 4 жыл бұрын
Baricki Zakayo : Siyo kaka yake ila ni baba yake hata kwa umri
@allyderossi9742
@allyderossi9742 4 жыл бұрын
Khalid Mwingiro GOOD broooo.
@allyderossi9742
@allyderossi9742 4 жыл бұрын
Khalid Mwingiro FOR your comment.
@precioussimkoko7283
@precioussimkoko7283 3 жыл бұрын
Huyu baba aliandaliwa na mwenyezi mungu kabla hata ya kuzaliwa kwake rest in peace we all love you and miss u😔
@mkenyaog3170
@mkenyaog3170 4 жыл бұрын
Bila ya baba wa taifa tusingekuwa hapa r. I. P mwalim🙏🙏🙏🌷
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 4 жыл бұрын
Asingekua Allah tusingekua hapa
@mohamedindalo2663
@mohamedindalo2663 4 жыл бұрын
Sio kwel
@mkenyaog3170
@mkenyaog3170 4 жыл бұрын
@@mohamedindalo2663 jeh amani na utulivu wa huu nch tungeiptje???
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 4 жыл бұрын
Tusingeli kuwa hapa . Kwani muwapi?
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 4 жыл бұрын
Hizi Sasa kufuru.
@dnmedia3172
@dnmedia3172 4 жыл бұрын
Tunaomba full history of mwalimu nyerere plz plz plz plz gonga like kwa wingi km na wewe unataka
@lipukilawilliam6456
@lipukilawilliam6456 Жыл бұрын
Ndiyo
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Nenda kule kwenye channel yake utakuta amahadithia historia za watu mbali duniani
@mikasatv1597
@mikasatv1597 4 жыл бұрын
LEO UMENIFURAHISHA SANA TUANDALIE STORY NZURI INAYO MUUSU ATA YA MASAA MAWILI NAAMINI UMEACHA MENGI
@tibasimamkutano3862
@tibasimamkutano3862 4 жыл бұрын
Tanzania tumebalikiwa sana upande wa viongozi kutoka kwa baba had kwa mzee magu
@batromeonassoro3273
@batromeonassoro3273 4 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima milele Babuyetu NYERERE ulale pepma peponi
@iddyomary3736
@iddyomary3736 3 жыл бұрын
2021 jpm magu amekufata mwalim mpokeh mdogo wako dah mungu awapunguzie adhab y kaburi insha allaah
@smartsam629
@smartsam629 4 жыл бұрын
Hatuta pata kiongozi ambae ni INTELLIGENCE katika hili taifa kama huyu salut baba wa taifa🎓
@michaelfrank6360
@michaelfrank6360 4 жыл бұрын
JK fikra mitazamo yake itatusumbua sana na haitofutika, daima. Ninyi wasomi wa ss mnowaza starehe na vito vya dhamani mmeifanyia nn tanzania
@jamesclement3066
@jamesclement3066 4 жыл бұрын
Like zenu wadau, Leo October 14 2019, R .I.P baba wa taifa daima tutakuenzi kwa ushujaa wako na kuudumisha pia umoja na mshikamano
@keyakeya8911
@keyakeya8911 4 жыл бұрын
Pumuzika kwaa Amani baba japo nime zaliwa umesha fariki Lakin wewe ni mwamba maana mzee wangu kanisimulia mazuri yako na mengine naona kwenye mtandao mungu akupe Amani ya milele uliijenga CCM imara Lakin saiv kilichobaki ni kivuli tuu cha CCM viongozi ni wachumia tumboo tuu wote
@mustayoo
@mustayoo 4 жыл бұрын
the great leader sio kama jomo kenyatta
@phdhemed358
@phdhemed358 4 жыл бұрын
Rest in peace baba wataifa amini wewe ulikuwa kiumbe Cha pekee kuwai kutokea kwenye aridh ya tz
@zittotv9972
@zittotv9972 4 жыл бұрын
Baba NYERERE I love you Dady
@eddsonnestory2645
@eddsonnestory2645 3 жыл бұрын
Tunamkumbuka Sana baba wataifa
@rosieeliahu7720
@rosieeliahu7720 4 жыл бұрын
We still lv yo,hotuba zako zinamanufaa San kwel,plz tunaomben na historia ya maisha yake ya baba wa taif .
@saidamary6939
@saidamary6939 4 жыл бұрын
Mtangazaji NA Kupenda Sana Aswa Sauti yako2💪💪💪
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 4 жыл бұрын
Siyo kwamaba Mwalimu alisema hataki dini,naomba muwe na uelewa kwanza ameanzia wapi kuongea na kwanini kauli hiyo akaitamka..Nikusaidie,amezungumzia njia zinazoweza kutugawa katika nchi moja,akazungumzia Ukabila na Udini,Kwamba isifikie tukautukuza udini wetu na ukabila hata ikafikia tukachaguana kwa erementi hizo mbili za ukabila na udini..Siyo kwamba dini hakuitaka kwanj yeye mwenyewe alikua na dini.
@japhetnyangusi4113
@japhetnyangusi4113 2 жыл бұрын
Huyu ni mwamba
@chrisshonga
@chrisshonga 4 жыл бұрын
May 2020 bado ujumbe una nguvu na utakuwa na nguvu milele! Natamani kama viongozi wetu wangechota hii HEKIMA ya huyu Masiya wa MUNGU R I. P
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 3 жыл бұрын
Akika mwalimu wa maono alifariki akilili Taifa la Tanzania,mungu jatupa JPM,pumzika kwa amani muanzilishi wa Tanzania😭😭😭😭🇦🇫
@pindabutter2736
@pindabutter2736 4 жыл бұрын
nampenda sana nyerere
@sharoombay8997
@sharoombay8997 3 жыл бұрын
Mungu akupumzishe mahali pema peponi. Amina.
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
Nmependa ulipomalizia Mr. Ananias Edgar
@umojaafrika2447
@umojaafrika2447 4 жыл бұрын
Mwalimu tunakupenda kutoka Ufaransa !
@jamesmwiko4843
@jamesmwiko4843 4 жыл бұрын
unadhani MWL Wa walimu duniani alitoka wapi kama si tz butiama busara zako hazijafa zinatuongoza nakuombea ukae mkono Wa kiume kwa baba alie juu amen
@jovinsylivester3601
@jovinsylivester3601 3 жыл бұрын
Habari ya ufaransa
@bulilotv279
@bulilotv279 4 жыл бұрын
Hii kichwa hatar,, ama kweli watu wema hawadum RIP Jk nyerere
@benjaminezekiel5339
@benjaminezekiel5339 4 жыл бұрын
Alikuw future minded Nyerer
@justineulimule6530
@justineulimule6530 4 жыл бұрын
Fikra zako baba wa taifa zinaishi milele.
@estherbarakaelia4985
@estherbarakaelia4985 2 жыл бұрын
FIKRA ZAKO ZINAISHI MILELE
@charssamwel1015
@charssamwel1015 4 жыл бұрын
A man from Nowhere....
@kikongajoel2693
@kikongajoel2693 4 жыл бұрын
Hakuna kama mwl j k nyerere alikuwa MTU makini sana rest in peace utakumbukwa na watanzania siku zote
@samweljasson4029
@samweljasson4029 4 жыл бұрын
He was a philosopher by nature,it is real your speech is a value for the development of our country..Rest In Peace our Mwalimu.
@francisgibe8579
@francisgibe8579 4 жыл бұрын
Mwalimu amefariki,lakini hajafa
@IsayaKudeli
@IsayaKudeli 3 ай бұрын
Kama una amini mwl. Nyerere alikuwa jembe gonga like
@stephenf.sikolia7588
@stephenf.sikolia7588 3 жыл бұрын
I love you my father...president Nyerere. You loved the young generation. Your ahead of time. You loved Africa. Remember us in doing our best. African fathers
@fadhilijuma5513
@fadhilijuma5513 4 жыл бұрын
Nice father of national
@edsonsalvatory5121
@edsonsalvatory5121 3 жыл бұрын
He will stay in our life forever.... 🇹🇿
@rashidhassankadege1455
@rashidhassankadege1455 4 жыл бұрын
Daaah Leo wa 58
@CHOLjames
@CHOLjames 4 жыл бұрын
There is no doubt that Nyerere was, and remains in History as one of the outstanding figures of the national liberation revolution in Africa, outstanding leader of the State, who ventured to reject capitalism and private property and to make a socialist choice.
@peternationsuffix3700
@peternationsuffix3700 4 жыл бұрын
Nyerere alikua ninabii kweli
@chrysnthuschacha8900
@chrysnthuschacha8900 2 жыл бұрын
@@peternationsuffix3700 w2
@faridamin6383
@faridamin6383 4 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba wa taifa hili kubwa la Tanzania
@kibobomanguvu
@kibobomanguvu 4 жыл бұрын
kwa mara ya kwanza hujamsemea umemuacha akajisemea
@cosmaskamugisha5918
@cosmaskamugisha5918 Күн бұрын
Wengi maadui wa nchi yetu wametumia hotuba hiyo kuhusu dini kujiimarisha kisiasa ila kweli hizo zilizo ibuka baada ya hiyo speech hazimuwakilishi Mungu!
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 4 жыл бұрын
Imekaa poa sana, You are the good presenter...
@meronstudioz
@meronstudioz 4 жыл бұрын
Hakutuwepo kwenye Uongozi wako ila we miss you
@shabanshaban1795
@shabanshaban1795 4 жыл бұрын
octavian hellen
@j4uj4u32
@j4uj4u32 2 жыл бұрын
tutakukumbuka baba
@cghmarcb6563
@cghmarcb6563 3 жыл бұрын
Mwalimu Nyerere the true African hero💯 Sisi Wakenya tunakukubali sana
@hassanimapanga2889
@hassanimapanga2889 4 жыл бұрын
Hatukuepo kweny uongozi wake ila we mis u niga
@piusilugata3795
@piusilugata3795 4 жыл бұрын
Mungu alimpatia hekima sana
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 жыл бұрын
Tanzania were blessed Nyerere was the best here again we have magufuli my president forever
@siaelilyimo5258
@siaelilyimo5258 4 жыл бұрын
mwalimu Nyerere he is a very good man
@isakabaragomwa296
@isakabaragomwa296 2 жыл бұрын
Hakuwa tu Rais bali Baba wa Afrika. Kwakua aliamini sana njia pekee ya kuepukana na umasikini, nikujikomboa kifikra, kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea. Hakika najivunia yeye.
@zesootv6726
@zesootv6726 4 жыл бұрын
Tutamukumbuka nyerere Milele.
@kenedsamweli1421
@kenedsamweli1421 4 жыл бұрын
Zesoo Tv mungu mukubwa huyo mwlm km magufur
@mariammammu9641
@mariammammu9641 4 жыл бұрын
Zesoo Tv km tu utakuwepo milele
@digalaahmad6314
@digalaahmad6314 4 жыл бұрын
@@mariammammu9641 m
@zesootv6726
@zesootv6726 4 жыл бұрын
Kuongoza nchi au kuwa kiongozi unatakiwa uwe na busara hekima na uzalendo pia lazima uwe na mutazomo wa kutazama mbele.
@zesootv6726
@zesootv6726 4 жыл бұрын
Tanzania kwanza mungu atubari na kutulinda Milele pia tupate viongozi wenye uzalendo na nchi yetu.
@frankdanford8245
@frankdanford8245 2 жыл бұрын
Mimi ni kazazi kipya lakini sijawahi kuacha wala kuchoka kuyasikiliza madini ya mzee baba Kambarage wa Nyerere We love you baba and We miss you Papa.😍😢
@amosjoliga7121
@amosjoliga7121 2 жыл бұрын
Great, watching today 14.10.2021 His soul may rest in Paradise.
@kalikumtimamaganya4448
@kalikumtimamaganya4448 Жыл бұрын
A son of absolutely king.
@venancemalima1181
@venancemalima1181 4 жыл бұрын
Baba wa Taifa Mwalimu haupo ila Tanzania imepata mrithi wako.Magufuli in mtoto wako.
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Una makengeza. Usimfananishe mwalimu na MTU mwingine yeyote hapa
@edwardbukwaya559
@edwardbukwaya559 3 жыл бұрын
Kweli ni damu moja na Magufuli
@abelmwaipungu8287
@abelmwaipungu8287 2 жыл бұрын
Usinfananishe mwalimu na uyoo kibaraka wako aise
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Ni kweli magufuri alifuata maadili ya mwalimu.
@alphaboy0130
@alphaboy0130 4 жыл бұрын
huyu mzee nilimkubali alipomtowa Ediy Ami Dadaa pale alipojipendkeza TZ kutok UGANDA, yaan ni noma alimficha kbsa
@islamkarata9655
@islamkarata9655 4 жыл бұрын
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
@maxmaxmo5545
@maxmaxmo5545 4 жыл бұрын
Asante bro kwa kutukumbusha baba yetu wa taifa
@habibumkalanga8959
@habibumkalanga8959 4 жыл бұрын
Nikweli Bora adhabu ya viboko ilejeshwe,nawawe wanachapwa hadhalani nasi mahakamani iwe kwenye eneo la wavi ili wananchi tushuhudie wakichapwa
@idefonsiwilla7747
@idefonsiwilla7747 4 жыл бұрын
Akili za ww hazikua za kawaida ....,thanks GOG bless our Tanzania
@khaashfarfarid4221
@khaashfarfarid4221 4 жыл бұрын
Nakukubali Sana mwalimu na kwa Hakika nitaendelea kukubali, lkn ulipokosea sna budi kunena. Kauli Dini ya nini aaaah hapa kdg Nina mushkeli, ila all in all no one perfect except God.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 жыл бұрын
Dini inaleta ubaguzi kwenye nchi endapo serikali itafata mkumbo,waislam kuweni waelewa serikali ya nchi yetu Haina dini ndo Mana inaziheshimu dini zote na wasio na dini pia
@mwitawambura2548
@mwitawambura2548 4 жыл бұрын
Amizing sound and logic person never happened after him and no one will happen hundred years to come, big up baba wa taifa
@samweligawa5247
@samweligawa5247 4 жыл бұрын
Hongera and RIp
@silverman6930
@silverman6930 4 жыл бұрын
You always gonna be missed Baba , the founder of my nation 🙏❤️🙏
@kubabukonda2527
@kubabukonda2527 4 жыл бұрын
Mungu nisaidie na mniombee watanzania nami ni malengo ya kuendeleza uongozi kama huu
@kingsoboropayani5127
@kingsoboropayani5127 4 жыл бұрын
Huyu mzee mimi namuheshimu sana coz alituwekea misingi mizuri na imara katika nchi hii.. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 R I P mchonga baba wa taifa hili Tz Mwalimu Julius Kambalage Nyerere
@kassimmohammed4949
@kassimmohammed4949 4 жыл бұрын
Sio kweli kabisa kabisa maneno yako huyu alipandikiza mbegu ya ubaguzi pale Zanzibar uunguja NA upemba mpaka Leo wapemba Wana baguliwa uunguja!!????? Aliokuwa akisema Sio aliotenda....!!!!
@octavianlameck4922
@octavianlameck4922 4 жыл бұрын
@@kassimmohammed4949 mlibaguana wenyew acha uongo hizo mbegu unazosema amepanda ni kazi rahisi sana, Fanya hivi chukua panga nenda kakate miche yake kama imechipua shida iko wapi!
@kubabukonda2527
@kubabukonda2527 4 жыл бұрын
Mungu awajalie uongozi uliotukuka raisi magufuli endelea baba kuyafanya ambayo hata nyerere kwa uwezesho wa mwenyezi Mungu kuyaona
@harounbuzohera4797
@harounbuzohera4797 3 жыл бұрын
Busara za baba wa TAIFA letu Mar. Mwalimu NYERERE zidumu daima.
@yonamwakamele
@yonamwakamele 4 жыл бұрын
R.I.P Dady...
@habibumkalanga8959
@habibumkalanga8959 4 жыл бұрын
Yaani huyu MZEE mungu amsamehe tu ila tutamkumbuka Sana kwa mengi
@habibumkalanga8959
@habibumkalanga8959 4 жыл бұрын
Angekuwepo mpaka Sasa watanzania tusigechezewa hivi ila magu tunamshukuru kwa ujasili wake anao uonyesha kwa watanzania mabeberu alijua mwl hayupo watatunyanyasa Sasa kumbe Kuna jembe jingine
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 2 жыл бұрын
Haya ni majembe tupu.huyu anaishi mpaka leo.akili Mingi na uzalendo mwingi.mwenye maono,I live in his legacy,hautafutika milele na milele,vizazi na vizazi miongoni mwa Watanzania.
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 3 жыл бұрын
Bado na kuangalia mzee wangu hadi Leo 2021/04/21
@isamiloprezdent6807
@isamiloprezdent6807 4 жыл бұрын
Mwalimu Nyerere baba yake Anko Magu
@allyrashid3202
@allyrashid3202 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@ntemikingi3531
@ntemikingi3531 4 жыл бұрын
Channel yenu mko safi kwa kuweka MAMBO makini .Asanteni sana.
@gladnesslango135
@gladnesslango135 4 жыл бұрын
Sawa Raisiwetu
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Mwl alisema watanzania wanataka mabadiliko hakusemaa hakusema watanzania wanataka viongozi wa kudumu. Tusibishane hapa. Maana hamkawii
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 4 жыл бұрын
🤔Mbeba maono hafi hadi mpango wa Mungu utimie
@josewanjombetz8571
@josewanjombetz8571 4 жыл бұрын
bado tunakukumbuka kwa mengi na mazuri uliyolifanyia taifa letu la Tanzania
@petersoka6747
@petersoka6747 4 жыл бұрын
Kwa kweli bado tunamkumbuka mwalimu. Bado tunakupenda sana watanzania
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Huyu mtu kwani alikuwa mtu wa namna gani?? Hakika alikuwa mtu mkali sana..tunakushukuru hata kesho na siku zote...amen.
@sevelindimoso3423
@sevelindimoso3423 4 жыл бұрын
Mwarim kiboko ya wote
@sadickhamis9343
@sadickhamis9343 4 жыл бұрын
Enzi izo No makeup
@mnyalumykt1980
@mnyalumykt1980 4 жыл бұрын
Rest in peace general.... national founder father
@benardyengo1241
@benardyengo1241 2 жыл бұрын
Nyerere N Makufuli are my people ever
@wakanda5659
@wakanda5659 3 жыл бұрын
Mwalimu was ahead of his time
@petermahimbo9450
@petermahimbo9450 4 жыл бұрын
Rest in piece father.we stil love u.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,3 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 29 МЛН
KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA MWL J K NYERERE NA SENSA
19:53
Nbs Tanzania
Рет қаралды 2 М.
HOTUBA YA J K NYERERE MBEYA MWAKA 1969
49:55
TZ TRENDING
Рет қаралды 245 М.
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Global TV Online
Рет қаралды 936 М.
NYERERE BABA YETU TUNAKUSHUKURU  SONG BY (T.O.T) Komba.
7:48
Rick Visuals
Рет қаралды 115 М.
Nyerere Speech 1995
1:42:25
Tanzania Yetu
Рет қаралды 1,8 МЛН
Kumbukumbu ya mwalimu Nyerere
2:12:09
Tununu
Рет қаралды 206 М.