#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 20,007

Global TV  Online

Global TV Online

6 күн бұрын

#EXCLUSIVE: EX-WIFE wa Q CHIEF AFICHUA KUNYANG'ANYWA WATOTO 2 UINGEREZA - JINI MAHABA LILIVYOMSUMBUA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 72
@globaltv_online
@globaltv_online 4 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@evakessy3282
@evakessy3282 4 күн бұрын
Sasa dida mpaka hapa kunavitu vingi Sanaa umevificha inaonekana hata kunyang'anywa watoto ilikua sawa kabisa hukuonewa ulikuwa na mauzauza sanaaaa nivile tu hutayaweka wazi
@UkhtyDidas-maarifa
@UkhtyDidas-maarifa 3 күн бұрын
Muombe Allah akustiri, mitihani haimfiki mmoja. Kuna wewe na vizazi vyako, Mwenyezi Mungu akusamehe
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 4 күн бұрын
Pole sister yamenikuta hayo habibty lakini ya kwangu baba yao ndoo alinifanyiya ivyo allahum ameen
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 4 күн бұрын
Akili za kishirikina tatizo kubwa kwa jamii zetu. Mungu atuongoze njia ilio nyooka.
@RayChausa
@RayChausa 3 күн бұрын
Ameen
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 2 күн бұрын
Bismillah Masha'allah Allah ajuongoe zaid
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 күн бұрын
Mashallah mashallah ndo inavyotakiwa kurejea kwa Allah kabla ya mauti
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 17 сағат бұрын
Mashallah nimelud Tena kufatilia interview yangu mashaallah wallah nimependa sana ulivyolud kwa allah
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 3 сағат бұрын
I can feel your pain my sister!! Tunaoishi Ulaya tunafahamu pole sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Күн бұрын
Mm nimekuelewa nimekupenda mnoo mdada anaongea vizuri anafunza nimejifunza kitu ❤pole na mingiii dear nimetamani nikuonee una kitu kizuri nimewaza hivyo
@hanifamziray277
@hanifamziray277 4 күн бұрын
Manshallah mzuri sn
@spreadlove5300
@spreadlove5300 4 күн бұрын
Mental health hiyo ndio maana hao social services waliwachukua 😮😮 mshukuru kama umeungana na watoto wako
@tatually1366
@tatually1366 3 күн бұрын
Asalam Alyekum waramahatualha wabarakatuha🎉 mama we tu mwenyezi mungu akupe Afya njemaa ❤️
@hanifaa1487
@hanifaa1487 4 күн бұрын
Mashallah mashallah ❤❤❤❤
@acylaking7990
@acylaking7990 3 күн бұрын
Pole sana ukhty Allah awaongoze watoto wako waelekee ktk na sisi pia wtt wetu mengine tumuachie Allah bin Adam tusimbeze wala kumhukumu huyu ni mwanamke na nusu tumewaona wengi yamewafika maskini Allah atupe subra na nguvu tuwashinde kwa ajili ya Allah.
@lenniefei6710
@lenniefei6710 12 сағат бұрын
Urekebishaji wa vp ilhali mwanao anavaa visivyo ?! Mbona munatupiga makopo jamani ?! Allahu yaallam !
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 4 күн бұрын
Walichukuliwa watoto Kwa sababu ulikuwa hunaakili walikuona hamnazo
@UkhtyDidas-maarifa
@UkhtyDidas-maarifa 3 күн бұрын
Wewe ulie kuwa nazo, hongera yako. Umenizidi akili, Allah akujaalie na akuongezee zaidi na ziada.
@mrokay1time958
@mrokay1time958 18 сағат бұрын
Poleee saaaanaaa sisi tupo haapa karibu piaa tumeyapitiaa polee saaaanaaa
@user-bo1cn3dw6o
@user-bo1cn3dw6o 3 күн бұрын
Pole sana
@nashnene6326
@nashnene6326 3 күн бұрын
Naona kama shery makope wa US, Mashallah, mahodari sana nyie
@josephjohn2114
@josephjohn2114 4 күн бұрын
Kwa maelezo yako ni kweli ulikua changamoto ya afya akili ila kikawaida mtu huwezi kujijua
@user-ds5tf9xx1d
@user-ds5tf9xx1d 15 сағат бұрын
Pole sn dida
@spreadlove5300
@spreadlove5300 4 күн бұрын
Yaani jamani eti "anasoma sheria anasoma finances" 😮
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 күн бұрын
Inawezekana mtu anaweza soma multiple degrees so sio ajabu hata labda ka ulikua hujui
@aminarajabu5795
@aminarajabu5795 3 күн бұрын
Sasa Futa mchanga machoni Kumbe hujui!!? 😂inawezekana zaidi ya hizo mbili ni wewe tu uwezo wako hata nne inategemea vipindi kuvimeneji je haviingiliani?.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 күн бұрын
@@aminarajabu5795 humu mitandaoni nmegundua watu kuuliza jambo wasilojua ni mwiko ivyo huanza na kulaumu au kukosoa hatari sana sa mtu anashangaa mtu kusoma vitu multiple yni
@spreadlove5300
@spreadlove5300 3 күн бұрын
@@FahadAbubakari Sio ajabu ila jinsi anavoeleza ndio shida
@tamimakhalfanikhani8403
@tamimakhalfanikhani8403 Күн бұрын
Eeeh jamani msiongelee vibaya haya maswala kama hujaishi ulaya huwezi yajua mm yalinikuta kunyanganywa wtt 3 na sikufanya kitu chochote wiki nzima nikalala kituoni siku moja baada ya kujiridhisha wakanirudishia lkn nikawa na social worker miezi 3 pia hawakuona kosa lolote wakaachana na mm kisa mpk leo sikijui kiufupi aya mambo yasikieni tuu
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 10 сағат бұрын
Dear mrudie Allah ukweli wa kumrudia kuvaa hijab kufanya ibada halafu kufanya uganga ni kumshirikisha Allah ndio kubaya zaidi hakuna dawa za kiswahili ktk dini ya uislam kuna dawa za kisunna vipi mtume na wema walijitibu..kama kutumia asali,habat soda tangawizi,thomu n.k sura za quran kama tiba na sio mitishamba
@spreadlove5300
@spreadlove5300 4 күн бұрын
Ulaya malezi yanapewa kipaumbele na ndio maana mama na watoto wanalipwa ukipuyanga tuu wanawachukua
@ishe_ngo8926
@ishe_ngo8926 Күн бұрын
Wazungu wanajua na ulikuwa haujakaa sawa, washukuru hao wazungu.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Күн бұрын
Mungu wangu 😢
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 күн бұрын
Sasa chilah uliish nae muda gani
@HanzFudr
@HanzFudr 4 күн бұрын
Aline persson that's coming for you sameting 😂😂😂😂😂😂
@alsam4881
@alsam4881 2 күн бұрын
Mie ninavyojuwa kwa serikali ya Ulaya kama mzazi akimnyàngànywa mtoto basi ujuwe wameshafanya uchunguzi wa kutosha kuwa huyo mzazi ana matatizo na hawezi kumlea mtoto ipasavyo, na itakuwa huyo mzazi wamemchunguza na kujiridhisha aidha ana matatizo ni alcoholic au anatumia madaya ya kilevya au anamtesa mtoto au ana ugonjwa wa akili , na wakishachunguza na kujiridhisha basi na atanyàngànywa mtoto na kupelekwa kwenye familia bora ili apate malezi bora, na serikali itakuwa inamlipa ile familia gharama zote za mtoto kila mwezi,kwasababu watoto wa Ulaya wana haki yao ya kutunzwa ipasavyo.
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 4 күн бұрын
Wewe dida umevaa vizuri lakin bint wako kavaa vibaya hebu jaribu kumfundisha bint wako kuvaa vizuri
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 3 күн бұрын
Kuvaa vizuri ndio kukupeleka mbinguni, ulizaliwa na nguo?, enjoy maisha Acha kuogopa moto. Dini ni uongo hakuna pepo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 3 күн бұрын
Ukhty sio neno la kiislamu na ww ni la kiarabu
@rehemakilele2751
@rehemakilele2751 4 күн бұрын
😢😢😢
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 4 күн бұрын
Ulikuwa kicha kweli na mpaka sasa naona bado hupo Babara yaani hata ukiongea unaonyesha bado unamatatizo ya akili
@UkhtyDidas-maarifa
@UkhtyDidas-maarifa 3 күн бұрын
Mishipa imekusimama kweli, wewe mwenye akili. Allah akuzidishie akili, na akupe maendeleo na hizo akili zako.
@sharifamnavi6699
@sharifamnavi6699 3 күн бұрын
Astaghfurillah. Wangekuwa wanaombeana, wewe dada ningeomba Allah akupitishe kwenye huo mtihani uone maumivu yake. Acha haya maneno hujui huyu dada anapambania wangapi!! Hivi unaijua mitihani ya Allah?!.
@sharifamnavi6699
@sharifamnavi6699 3 күн бұрын
Astaghfurillah. Wangekuwa wanaombeana, wewe dada ningeomba Allah akupitishe kwenye huo mtihani uone maumivu yake. Acha haya maneno hujui huyu dada anapambania wangapi!! Hivi unaijua mitihani ya Allah?!.
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 күн бұрын
Ibilisi mkubwa hasadi zimekujaa kichwan
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Күн бұрын
Acha uongo
@GiftAbduly
@GiftAbduly 3 күн бұрын
Anafanana na yule anapikaga mapish oman au ndo huyu🤔
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 3 күн бұрын
Jamila kizondo auu😂😂😂😂
@GiftAbduly
@GiftAbduly 3 күн бұрын
@@nahlahassan-fd6le uyo uyo🤣🤣
@missmoona4497
@missmoona4497 4 күн бұрын
Wanawachukua kuwaleaaaaa au kuwafundisha ushoga mapenz ya jinsia moja?
@omarkhelaifi5888
@omarkhelaifi5888 4 күн бұрын
Kuwaadopt maanake wawe na wazazi wakizungu
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 күн бұрын
Kuadopt ni makubaliano lakini huku wanatabia watt usiwagombe wale usiwapige lakini ukizaa huku lazima upate msongo wa mawazo kwa kuwa upo peke yako sasa yy alivohojiwa alijielezea ndio maana walichukuliwa watoto
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 күн бұрын
Huku kila siku watu wanachukuliwa watt wao usimuazibu mtt wala usimgombe sisi wazazi wa kiafrica hatuna malezi hayo
@omarkhelaifi5888
@omarkhelaifi5888 4 күн бұрын
@@FatimaAli-of4gh safi sana umeiweka sawa nahisi watakuwa wameelewa maana kuna watu hawaelewi kile ambacho huyo mama alikua akikiadidhia wengi wao wamehisi kuwachukua ni kwasababu ya kitu kingine alicho kifanya kumbe iyo tabia wazungu wanayo san hata mimi ninapoishi kuna mdada wakiburundi alijifungua akiwa na myaka 17 alafu mwanae wakampeleka mpeleka mpaka sasa huyo mdada nikama ilapagawa ivi
@user-dl2cr9dk1m
@user-dl2cr9dk1m 4 күн бұрын
Hiyo ya kumuaidi mtu kakuvisha pete harafu kumuacha ilishanikuta na mm nikatupiwa majini mahaba ma mahangaiko
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 күн бұрын
Pole sana mimi kuna mwanaume alinitolea mahari lakini mimi nilikuwa sijui baba angu mkubwa analazima mimi niolewe nae hawajanishauri walikaa wenyewe wakapokea pesa nilipokataa akarudishiwa pesa yake nilipigwa kitu ikifika jioni napandisha mashetani naona watu wote walioshakufa nawataja niliumwa sana
@sabrinakamikazi2142
@sabrinakamikazi2142 2 күн бұрын
​@@FatimaAli-of4ghpole sanaa ALLAH akutibu na akunusuru
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 күн бұрын
@@sabrinakamikazi2142 Alhamdullah ndugu nilipoa nikaolewa na ninaemtaka mie nikaenda kuishi kwao zanzibar akaondoka kuenda ulaya miaka 6 akaniacha huko nikaona mkosi mwengine huo unakuja na akaowa kisha baada ya miaka 6 akanichukua nashukuru saa hii nipo nje ya nchi na nikapata watt wengine Alhamdullah maisha yanaendelea
@sabrinakamikazi2142
@sabrinakamikazi2142 2 күн бұрын
@@FatimaAli-of4gh Mola hawatupi waja wake.Allah aendeleye kukulinda nawatu wako.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 күн бұрын
@@sabrinakamikazi2142 Aamin kwa sote
@alimohamedali9824
@alimohamedali9824 4 күн бұрын
Anataka umarufu tu sifa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 күн бұрын
SIDE B TAFADHALI
@user-bo1cn3dw6o
@user-bo1cn3dw6o 3 күн бұрын
Mungu mkubwa
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 4 күн бұрын
Mcharuko mtupu tuache Tu wewe
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 3 күн бұрын
Sasa ww umerejea kwa allah mbn mwanao hajistiri?
@user-fc4vl8zi4r
@user-fc4vl8zi4r Күн бұрын
Naona kama huna lakiongea bora tunyamalize mana watoto wengi siku hizi hawasii na wengine wazee hawataki bali ndio mitihani Allah awaongoe watoto wote
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 күн бұрын
Sasa mume wake alikuwa wapi wakati huo anapata hio Familiya mpaka wakamchukua
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 3 күн бұрын
Wanaume huwa hawapendi kulea watoto,
@lenniefei6710
@lenniefei6710 12 сағат бұрын
swali zuri sana ila Imelda alikosa kutouliza
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 3 күн бұрын
Kwa hiyo ulikua na matatizo kweli wazungu waliyaona Ulikwenda kuzalia Ireland ili upate makaratasi mahali ambapo hukua hata na marafiki. Story yako inaonyesha kweli ulikua na mental illness, umesema tokea ulipo kua mdogo ulikua unaongea na majini
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 19 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 29 МЛН
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 60 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 19 МЛН