Рет қаралды 6,273
#EXCLUSIVE: DAKTARI MTANZANIA ANAYEMILIKI HOSPITALI TANGA, AFUNGUKA ALIVYOBOBEA KUPANDIKIZA UJAUZITO
Dkt Joseph Mbelesero ni mkurugenzi mkuu wa Safi Medic's hospitali ambae ni daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama
Hospital hii inatoa huduma za akina mama na watoto na kwenye upande wa ugonjwa wa akina mama wameongeza wigo wa huduma ambapo kwa sasa wanatoa huduma za akina mama kwa maana ya clinic za akina mama wajawazito, operation na kuzalisha wakina mama wajawazito na vilevile wanafanya huduma za ugumba na uzazi kwa wanawake ambao wanamatatizo ya kupata ujauzito kirahisi .
Global tv imefanikiwa kufanya mahojiano nae na kusema kuwa mpaka sasa hivi wamefikia kwenye lengo la kupandikiza mbegu za mwanaume kwenye kizazi cha mwanamke nia ni kuendelea na huduma za kupandikiza katika kiwango cha kupandikiza mtoto katika uzazi wa mwanamke yani IVF
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx