UZINDUZI KAMATI MAALUM MCHAKATO WA KUTANGAZWA BAADAE J.K.NYERERE KUWA M/HERI NA HATIMAYE MTAKATIFU

  Рет қаралды 7,281

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

8 ай бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 26
@user-tl1se8mx5d
@user-tl1se8mx5d 8 ай бұрын
May God and Virgin Mary blessed this process of coronation of our late First President of Tanzania you have fought the lives of your people not even bother your family.
@beataurio5825
@beataurio5825 8 ай бұрын
Servant of God Mwalim Nyerere pray for us
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 8 ай бұрын
Ulipigania uhuru ili sisi tuwe huru,ukalinda rasilimali zetu kwa faida yetu bilakujinufaisha wewe au familia yako,uliishi maisha kama watu wengine pamoja na madaraka uliyo kua nayo.Ulisema Ikulu ni mahali Patakatifu.Unastahili kua mtakatifu.Amen.
@fabianwenga8892
@fabianwenga8892 8 ай бұрын
Blessing, blessing, blessing to you all sons of God!!! It has to be, and it will be, pray for us Mwl.Nyerere.
@honomaria7279
@honomaria7279 8 ай бұрын
Thank you our Lordships for this significant step you have made .May our good Lord Bless this work. It truly the Holy Spirit wo in the Church. May Mwl Nyerere himself made it possible N
@EdithajustineKazoya-mc6cf
@EdithajustineKazoya-mc6cf 8 ай бұрын
Kheri Maziwa Aliyonya na tumbo lililomzaa❤
@user-es3yq1wg7r
@user-es3yq1wg7r 8 ай бұрын
He was real a saint.thinking and doing for others .
@aidankibada2950
@aidankibada2950 8 ай бұрын
Blessed Nyerere
@albinaedwards3043
@albinaedwards3043 8 ай бұрын
Am very proud of knowing him and being part of his family. He never chose for which religion his children could follow. He had Buddist son. We had free education and all those because Mwalimu could travel to different countries to seek for aids to enable poor children like me to get better education.
@victoriakiwanuka5428
@victoriakiwanuka5428 8 ай бұрын
Amen 🙏
@evetaitanga2947
@evetaitanga2947 8 ай бұрын
Ee Mungu tunaomba utufanyie wepesi ili mtumishi wako atangazwe mwenyeheri
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 8 ай бұрын
Yeah! That is good!
@oswaldmgaya8935
@oswaldmgaya8935 8 ай бұрын
Amen.
@visensiakadege6608
@visensiakadege6608 8 ай бұрын
AMEN
@augustinemukandara9341
@augustinemukandara9341 8 ай бұрын
I am just thinking loud... When do the process of announcing his Eminence the late Laurian Cardinal Rugambwa, the first African Cardinal, as the Servant of God, thereafter be announced as the Blessed and finally be cannonized as Saint. Who will initiate the process...?!! Is it the Bishop of Bukoba Diocese or is it the Archdiocese of Dar es salaam, where he stayed and served the folks of our Lord for many years?!!!!!! I am just thinking loud!!
@nyucletkikonamaluhe2274
@nyucletkikonamaluhe2274 8 ай бұрын
Thanks God for your blessings,we kneel forgiveness of our sins
@kibwetere1418
@kibwetere1418 8 ай бұрын
Kumbe wanajua kiingereza
@aidankibada2950
@aidankibada2950 8 ай бұрын
Miaka 25 darasan watashindwaje ngeri
@mariamagdalena-bulegi4630
@mariamagdalena-bulegi4630 8 ай бұрын
Ombea Taifa letu la Tanzania baba ili tunu ulizotuachia ziweze kujidhihirisha wazi,upumzike kwa amani.
@marionoti5760
@marionoti5760 8 ай бұрын
Bila Maamuzi yake magumu ya kuhakikisha wanyonge wanasomeshwa Bure toka Darasa la kwanza hadi chuo kikuu, sijui mimi na wengine wa aina yangu tungekuwa wapi leo. Pumuzika kwa amani Baba.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 8 ай бұрын
Amina
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 8 ай бұрын
This was a leader who cared for his people. Hawa viongozi wa sasa ni kula kodi yetu na kusomesha watoto wao Ulaya. These are crooks who should be shot and their bodies offered to lions. Wezi, waongo wakubwa hawa viongozi wa sasa.
@visensiakadege6608
@visensiakadege6608 8 ай бұрын
MTUMISHI WA MUNGU NYERERE UTUOMBEE TAIFA LAKO.
@godsonishengoma5378
@godsonishengoma5378 8 ай бұрын
Mungu hana shrika na Marehem.. Wa ktuombea n roho mtakatfu tulie achiwa bada ya Yesu Kristo kwenda mbngun.! 1Yoh.5:6"Bas nyenyekeen chin ya mkono wa Mungu ulio hodari,ili awakweze kwa wakat wake.7"Huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote,kwa maana yeye hujshuglisha sana kwa mambo yenu".
@ignusrwelamila7355
@ignusrwelamila7355 8 ай бұрын
Mpendwa,,mtu aliye kufa akuombei,funguka neno la Mungu linasema,mathayo 7:7,ombeni nanyi mtapewa,sio ombeweni na walio kufa aliye kufa akifa inabaki uhukumu wapendwa,omba mwenyewe kupitia jina la YESU KRISTO,
Fr. Mike Reacts to Olympics "Last Supper"
8:22
Ascension Presents
Рет қаралды 119 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 94 МЛН
M N Karassery | മർമം പോകുന്ന നർമം  | MBIFL '24
57:22
Mathrubhumi International Festival Of Letters
Рет қаралды 65 М.
TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024
8:11
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
UI/UX Course | UI/UX Free Course | UI/UX Training | Intellipaat
3:34:54
Police surround Jimi Wanjigi’s Muthaiga home
7:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 89 М.
#mana  #Mwakasege  SEMINA YA NENO LA MUNGU KILIMANJARO [DAY 1. TAR 22 FEB 2023]
2:37:26
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 36 М.
MAKAMU WA RAIS TEC AFAFANUA KWA KINA MAANA YA PALLIUM ATAKAYOVALISHWA KARDINALI RUGAMBWA
14:14