UZINDUZI WA PESA MTANDAONI (PI NETWORK CRYPTOCURRENCY) SASA RASMI NDANI YA ZANZIBAR. #vop_news

  Рет қаралды 3,974

VOP TV TZ

3 ай бұрын

KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI
VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri
Subscribe sasa ili upate Taarifa na mambo mengi mazuri.
Follow VOP Tv
Facebook | Voptvtz
INSTAGRAM |Voptvtz
Contact us via number +255 620 535 768

Пікірлер: 18
@BeatriceDusabe
@BeatriceDusabe 40 минут бұрын
Vizuri sana
@ByamunguChalom
@ByamunguChalom 7 сағат бұрын
Pi network en avant 💪💪
@khamisabdi723
@khamisabdi723 19 күн бұрын
Majanga mengine yanakuja hayo
@aamirydutch6656
@aamirydutch6656 2 ай бұрын
safi sana
@lucasmasalu
@lucasmasalu 3 ай бұрын
pi network is big 🇹🇿
@mohamedimustapha7839
@mohamedimustapha7839 Ай бұрын
Iyo sarafu ina thamani ya shingapi kwa TZS naona watu wameanza exchange Na je wahusika wakuu wametoa bei elekez ya thamani ya hiyo pi
@benjaminkilepo8489
@benjaminkilepo8489 Ай бұрын
Kwasasa bado Haina value yeyote lkn very soon itafanya mapinduzi Mkubwa ya crypto currency ambyo wanasema miak ya hivi karibu kuza pi moja ni Dola 314.154 According to Global consense value( GCV)🎉🎉
@mohamedimustapha7839
@mohamedimustapha7839 Ай бұрын
@@benjaminkilepo8489 Nimekuelewa swal langu Hao wanaofanya hiyo exchanges wanatumia Rate gan kwa saiz
@OnesmoKahalawe
@OnesmoKahalawe Ай бұрын
Siyo mbaya Mzee ameeleweka lakin je pi haina madhara yeyote kwet watanzania?
@DuniaBilaka-kt3jq
@DuniaBilaka-kt3jq 7 күн бұрын
Haina kabisa
@rahimaibrahim7646
@rahimaibrahim7646 3 ай бұрын
Hakuna pesa hata shilingi utaweka. Hii unafanya mining ni utility token sio exchange
@ahlamjuma5966
@ahlamjuma5966 3 ай бұрын
Hujatak kuelewaa ila mm nimeelew mwanz mwisho
@Moinfotv-me6tk
@Moinfotv-me6tk Ай бұрын
hapana hii huweki pesa hata kidogo ila hapo baadae utaijua inakuwaje
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Isije ikawa kama Callynda
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Tunataka kujua Security ya pesa zetu tunazoweka ktk hi pi
@lizyjoseph2385
@lizyjoseph2385 4 күн бұрын
Huweki pesa huko wew n kufanya mining ,Fanya harak kuifanya
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Mzee hatujamuelewa asaaaaaa hebu tafteni mtu ambae anaeleweka
@yahyajuma9353
@yahyajuma9353 2 ай бұрын
hujaelewa sehem gani
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН