MUNGU atuwezeshe kwa sababu ndilo linahitajika .ubarikiwe sana mtumishi WA MUNGU
@paulsemba_TV2 ай бұрын
AMINA
@MhunzeSDABetogether2 ай бұрын
Be blessed pastor semba be courager don't fear
@dibogodibogo93583 ай бұрын
Mungu atufanyie wepesi. Mchungaji, Mungu akubariki sana.
@paulsemba_TV3 ай бұрын
AMINA
@MhunzeSDABetogether2 ай бұрын
Be blessed pastor may the Lord strength more
@ibrahimmasanga495 ай бұрын
Barikiwa mtumishi kwa mafundisho mazuri na ya kweli pekee wengine wakiata magumu
@paulsemba_TV3 ай бұрын
BWANA ATUKUZWE
@delickmarco39454 ай бұрын
Amen
@alexandertimberson85996 ай бұрын
Mungu akutunze sana mjoli
@josephsebastian-km5mg6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa somo zuri
@user-zg6my5oi9u3 ай бұрын
Amen Ubarikiwe
@paulsemba_TV3 ай бұрын
AMINA
@pollenjile12996 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi uwe na moyo mkuu Bwana u upande wako
@user-jf2mt5tr4j3 ай бұрын
MUNGU atukuzwe kwa ujumbe
@happyjohn51534 ай бұрын
Ubarikiwe kwa mafundisho mazuri
@gichungwamuthoni20634 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@PaulSemba-vy5dk6 ай бұрын
Amina
@bamag-0216 ай бұрын
Happy new yr pr Tulikumiss, Barikiwa sana Man of God
@EjoMagesaКүн бұрын
Sifa nautukufu zikurudie mungu wangu,ninakushukuru kutupatia mch semba
@pascalmakondo79766 ай бұрын
S.D.A hakuka wanafundisha iliyo kweli kwenye bible
@PhabianDaniel-sj5yx6 ай бұрын
Napenda sana kufundishwa biblia na ww
@maandikotv59532 ай бұрын
Pastor je vipi kuhusu mtu ambaye amekosea na hataki kutambua kosa... Hapo unaweza kusamehe bila kuombwa msamaha?
@rozinarugumisa37722 ай бұрын
Jibu Ni ndiyo. Kristo alisema Baba uwasamehe kwa kuwa hawajui watendalo. Alitangulia kuwasamehe kabla ya wao kutambua kosa lao Wala kutubu...mengine, muachie Roho amfanyie kazi apokee au asipokee msamaha wako
@josephatkaitira61006 ай бұрын
Pr. Changamoto ni hii unawezaje kumpenda Adui ambaye kila ukimsamehee Adui ana mapanga kuharibu mambo yako Mpka anapango mkakati wakukumaliza( kuua) Unawezaje kumpenda Mtu wa Namna hiyoo Pr Na mtu huyo kajaribu mara kadhaa!!
@ronaldhelmott83796 ай бұрын
Ww siyo uliotendewa ndg yangu bali ni Mungu ndo ametendewa so inabidii uwe na moyo wa kusamehe sawa.
@givenycreiny10706 ай бұрын
Lakini hata Stefano wakati anapigwa mawe tunasoma kwamba aliwaombea wasihesabiwe dhambi ile akalala .. huo ni mfano mzuri kwetu kwamba hata katika tunatendewa vibaya hali ya kufa tunapaswa kusamehe ✍🏽
@paulsemba_TV6 ай бұрын
TUWASILIANE KUANZIA 23.01.2024
@thompsonjonathan85706 ай бұрын
Kiseke ulitubaliki sana basi tu MUNGU AKUBARIKI SANA MTU WA MUNGU