Vatican News Watilia Mkazo Tamko la Maaskofu Kuhusu Bandari, Hatuungi Mkono, Watu Wasikilizwe

  Рет қаралды 109,791

Jugo Media

Jugo Media

11 ай бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Ijumaa tarehe 18 Agosti 2023, Baraza la Maaskofu Katoliki Nchini Tanzania (TEC) limetoa tamko la kupinga mkataba wa usimamizi na uendelezaji wa bandari za Nchi uliosainiwa kati ya serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania na Nchi za Falme za Uarabuni huko Dubai na kuridhiwa kupitia azimo la Bunge mnamo tarehe 10 Juni 2023, huku wakifafanua kwa kina jinsi ambavyo mkataba huo haukubaliki kwa watanzania wengi, tangu kuanza kwa mjadala. Tamko hilo limesainiwa na Maaskofu wakuu na maaskofu wote 37 wa Majimbo Katoliki Tanzania ambapo kabla ya kukabidhiwa kwa Mkataba huo kwa waandishi wa Habari, imetangazwa kwa umma na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Mheshimiwa Padre Charles Kitima kwa vyombo vya Habari
Kwa upande wake Padre Kitima amesema Maaskofu hawaungi mkono bandari kuwekwa chini ya mwekezaji mmoja na kwamba tamko hilo la Maaskofu lina kauli moja ambayo ni kwamba “kama wananchi hawautaki mkataba, serikali iwasikilize wananchi. Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo na zaidi ni kutokana na vifungu flani fulani ambavyo haviendani na Katiba ya Nchi na matakwa ya raia”. Hata hivyo hii siyo kwa mara ya kwanza sauti ya Viongozi wa kidini kusikika, hata siku zilizopita waliweza kutoa maoni yao na sio viongozi wakatoliki tu, lakini hata wa makanisa mengine na madhehebu mbali mbali kupitia mijadala.
Mjadala juu wa uwekezaji unaotarajiwa katika usimamizi wa bandari za Tanzania umedumu tangu mwanzoni mwa mwezi Juni 2023 huku kukiwa na mitazamo tofauti kati ya wanaounga mkono na wanaopinga. Na hii ilisababishwa na kukosekana muda wa wanachi wote kupewa fursa zaidi ya kuadili. Na siku za hivi karibuni, baadhi ya wanasheria, walipeleka hata mashtaka, katika mahakama ili kutaka haki za wananchi, lakini hatimaye wakaishia kuwekwa ndani, ambapo wameachiliwa huru tarehe 18 Agosti 2023. Katika muktadha wa haki za binadamu (Amnesty International), hivi karibuni lilinaomba: “waachilie mara moja Wakosoaji waliozuiliwa wa mkataba wa bandari nchini Tanzania.
Tanzania:Amnesty International inaomba waachiliwe wakosoaji wa mkataba wa bandari
Hawa ni Dk. Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao wote walikamatwa kati ya 12 na 13 Agosti 2023, kwa kosa la kukosoa makubaliano kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuhusu bandari”. Hayo yalisemwa na Shirika la Amnesty International mnamo tarehe 14 Agosti 2023, kupitia kwa msemaji wake Tigere Chagutah, Mkurugenzi wa Kanda ya Amnesty International ya Afrika Mashariki na Kusini.
Kwa mujibu wake alisema “ Makubaliano hayo yanaweka mfumo wa kisheria kwa UAE kushirikiana na Tanzania katika maendeleo, usimamizi na uendeshaji wa bandari za Tanzania, kanda maalum za kiuchumi, mbuga za usafirishaji, korido za biashara na miundombinu mingine inayohusiana nayo. Ukandamizaji wa mamlaka ya Tanzania dhidi ya wakosoaji wa mpango wa bandari ya UAE unaonesha kuongezeka kwa kutovumilia kwao upinzani. Kwa hiyo Mamlaka lazima ziache kuwashikilia wanaharakati kiholela kwa sababu tu ya kutoa maoni yao kwa amani na kuwaachilia mara moja na bila masharti wanaharakati hawa ili kuhakikisha kuheshimiwa kwa haki ya uhuru wa kujieleza.” Alisisisitiza Tigere Chagutah.
Idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican, inakutleta Hati nzima ya Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania iliyopchapishwa tarehe 18 Agosti 2023:
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 279
@user-hq3ld9nk8n
@user-hq3ld9nk8n 11 ай бұрын
Tunawapongeza tec kwa kutusemea watanzania masikini na mafukala mungu awabariki nyinyi ni mabarozi wa mungu
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
👏👏👏👏Asanteni kwa kuitetea nchi yetu kwa uzalendo wa kweli
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 11 ай бұрын
Hongera Maaskofu wa Kanisa Katoliki kwa Hekima yenu kuwasemea Watanzania wanaoishi kama watumwa.
@brunomchalla4439
@brunomchalla4439 11 ай бұрын
Nashauri pia,Jumuiya zote za Kanisa zisambaziwe Waraka huu waelewe ubovu wa mkataba, badala ya propaganda zinazo utetea.
@shabanbaheza4711
@shabanbaheza4711 11 ай бұрын
Xyo uzalendo Bali ni maslah yao na kanisa tu
@shabanbaheza4711
@shabanbaheza4711 11 ай бұрын
​@@brunomchalla4439hii nchi ni ya makanisa wezi wakubwa mmezoea maruzuku hakuna 😂😂😂😂 hayo ni maslah tumeelewa, hao wananchi mnawasemea lkn sis wananch tunajitambua sis tupo na serikal nguvu moja kama kweli hawa niwakweli mbn hawajaandika waraka kupinga ushoga mbwa nyie
@gracewilly5143
@gracewilly5143 11 ай бұрын
Jamani maasikofu asanteni kwa ukombozi mmetukomboa wananchi asanteni mungu wabariki wote maasikofu
@sadallahbataza1906
@sadallahbataza1906 11 ай бұрын
Ameeen
@FurahaRogers-qw1ch
@FurahaRogers-qw1ch 11 ай бұрын
Maskofu wetu tunawashuru sana mubalikiwe
@wilsonjeremia7894
@wilsonjeremia7894 11 ай бұрын
sisi ni wanyonge msipo tusemea ninyi sisi hatutakuwa salama, asanteni sana mababa askof kwa mioyo yenu ya huruma kwetu,
@user-to2vq5xy3h
@user-to2vq5xy3h 11 ай бұрын
Maaskofu wote mbarikiwe kwa kutuombea tanzania yahamani mbarikiwe sanatu
@anosiata8242
@anosiata8242 11 ай бұрын
Mungu awarinde maasikofu kwa kutetea rasimali zetu
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 11 ай бұрын
Nilikuwa nimekata Tamara na kanisa Sasa naanza kuwa na Imani na na aaza kurudi kanisani Kwa adabu zote
@anosiata8242
@anosiata8242 11 ай бұрын
@@KaburuKimath-eu5nf ni vizuri kwenda kumuomba mungu
@drallan6879
@drallan6879 11 ай бұрын
Maaskofu tuteteeni CCM Wana maslahi binafsi mkataba ni mbovu mno;u will be blessed over this!
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 11 ай бұрын
Asnteni baba Maaskofu
@user-kx5ht4ov6o
@user-kx5ht4ov6o 11 ай бұрын
Amina maaskofu wetu.
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 11 ай бұрын
Ahsante Sana MUNGU Akubariki Baba Padre Tuko nyuma yenu
@WediMwamahonje-eb3dh
@WediMwamahonje-eb3dh 11 ай бұрын
Asante Sana maaskofu wa dini la katoliki,kkkt mnajificha kwa nn mnataka nn kupitia hili la bandari
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 11 ай бұрын
Amina hawatafaniwa juu ya Mali zetu za nchi
@CanonLuhunga-oc9sx
@CanonLuhunga-oc9sx 11 ай бұрын
Mwl aliwahi kusema Wazanzibari wakijitenga, Watanganyika watabaki wameduwaa , hata Mimi nimeduwaa niwe sehemu ipi , lakini serikali kweli imekosea? hebu wakae pamoja waonyeshane penye wasiwasi waelewane Nina wanangu nawapenda mno wanangu
@roseyohana3500
@roseyohana3500 11 ай бұрын
Uko peke yako huoni aibu
@husnapeterkisiri2072
@husnapeterkisiri2072 10 ай бұрын
Amina baba zangu
@boniphacesholla4433
@boniphacesholla4433 11 ай бұрын
Amina katoriki .
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 11 ай бұрын
Cc wananchi wa Tanzania tumefurahi sana kwa uamuzi wa kanisa kuu Katoliki kwa kutupazia sauti cc wananchi, Kanisa Katoliki limeonesha ukomavu mkubwa kwa kutupazia sauti cc tusio kuwa na sauti, hongereni sana maaskofu wasomi wa Kanisa Katoliki.
@shabanbaheza4711
@shabanbaheza4711 11 ай бұрын
We ni mwanachi au kafir 😂😂😂😂😂😂😂mbwaa ww
@acquelinapissa2968
@acquelinapissa2968 10 ай бұрын
@@shabanbaheza4711tulia na mkeo huna unachokielewa acha wanaume watanzania waongee we uweze kuendesha nyumba yako
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 10 ай бұрын
Mwenyez mungu awabarik nakuwalinda maaasikofu wetu wote wanaopambania rasilimali zetu.
@silviangowi6634
@silviangowi6634 10 ай бұрын
Amina
@FrankMwaiswasu-dt5ey
@FrankMwaiswasu-dt5ey 10 ай бұрын
Hongo mbaya pamoja na kelele hizi za wananchi hawataki kuzitapika wameshupaza shingo zao
@wilsonjeremia7894
@wilsonjeremia7894 11 ай бұрын
ATUKUZWE MUNGU MILELE NA MILELE
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 11 ай бұрын
AMINA
@petrochonya4582
@petrochonya4582 11 ай бұрын
Safi sanaaaaa
@angelsulle7177
@angelsulle7177 11 ай бұрын
Doctorate ya maaskofu wetu ni ya kusomea so ya kupachikwa kama ya hao wengine wanao soi soi TEC wametingishaaa!!!! Hongereni Baba zetu nyuma yenu sisi
@camilluskassala8362
@camilluskassala8362 11 ай бұрын
Wimbo wetu wa Taifa unatukumbusha kuwa hekima ni ngao yetu ya kwanza!
@floramote6939
@floramote6939 11 ай бұрын
Amina baba zetu
@samwelyesaya1202
@samwelyesaya1202 11 ай бұрын
Hapo nawaunga mkono mko sahihi mkataba huuni mbovu kwa nini unalazimishwa na serikali
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 11 ай бұрын
Amina Amina ❤❤
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 11 ай бұрын
Eti watanzania wengi hawataki uwekezaji wa bandari toeni takwimu acheni uongo mapunda haya .
@user-gv9zo3os2m
@user-gv9zo3os2m 11 ай бұрын
Hizo kauli zako mkristo hawezi kuzitoa. Ina maana unamkisoa Mungu aliyewaimba. ikiwa wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu pia nawewe umeumbwa kwa mfano wa Mungu basi na wewe ni punda umejitukana indirect.Elimu ni ya muhimu sana kwetu.Unapotoa hoja toa hoja yenye mashiko hatimaye utamtukana muumba wako bila kujua mwishowe itakula kwako. Pole sana na hongera kwa k Malezi mabovu.Mimi binafasi siwezi kwa binadamu yeyote yule
@festokemibala5832
@festokemibala5832 11 ай бұрын
Farao alijifanya mbabe kutotii sauti ya mungu kupitia mtumishi wake Musa. Kilichomkuta wale wasomaji wa biblia wanajua, ni mapigo kumi ya haja! Viongozi tuepushe na hasira za mungu wa kutotii sauti yake
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 11 ай бұрын
Njaa ni mbaya sana hawa viumbe wanaharibu nchi ajili ya njaa ya siku moja
@BlandinaMassawe
@BlandinaMassawe 11 ай бұрын
Asante mungu tungekuwa watumwa wa shetani tungefan,ishwa kazi kama babu zwtutungeuzwa mnadani km mbuzi ĥ
@kiatu
@kiatu 11 ай бұрын
Maaskofu ni WASOMI na wakweli popote duniani, si WAOGA?
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 11 ай бұрын
Samia ndiye aliyesaini. Samia anajua kuwa 2025 hatoboi, anatafuta chake mapema 2025 akaishi marekani kwa ustawi wake
@annasolomon9855
@annasolomon9855 11 ай бұрын
Ni kweli umeongea ukweli 😊😊
@Ibnimohd-tr6qc
@Ibnimohd-tr6qc 11 ай бұрын
Ahsanten maaskof na nyinyi kwa kuafata mkumbo!! Sawa na nyie ndo mshaskilkana! Ila muje tu kelele za chura hazimsababishi tembo kunywa maji!!! Mama endelea msumari ushawaingia ao!!! Apo apo!! Mpk tukamilishe mkataba!!!!
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@safisimkoko1932
@safisimkoko1932 11 ай бұрын
Eee mwenyezi MUNGU tusaidie DAIMA utudumishie AMAN UPENDO NAUTURIVU amen
@kakasayohana637
@kakasayohana637 11 ай бұрын
😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤nimeipenda hiyo na imepita watanzania tumelogwa na hata hao baadhi ya viongozi wa dini wanafki walishindwa hata kuikosoa serikali wakawa wanaponda waraka huo tec wakombozi tumepigwa sana.sasa kilicho baki ni mapinduzi tumechoka
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Siyo nchi za jumuiya ya falme za kiarabu bali kampuni dpw ya Dubai.
@user-zz3wm3nf1j
@user-zz3wm3nf1j 10 ай бұрын
Inauma sana ila tu tumwachie mungu,ila tunawashuru sana viongozi baadhi mnao tusemea,mungu awasaidie sana,asntn
@venerandaaloyce1947
@venerandaaloyce1947 11 ай бұрын
Maaskofu wapewe mauayao❤❤
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 11 ай бұрын
Amina Amina Amina
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 11 ай бұрын
Kanisa katoriki nimewapenda Mungu awabariki
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 11 ай бұрын
Huo ndo wokovu
@GozbertAliseni-vp6kj
@GozbertAliseni-vp6kj 11 ай бұрын
Mungu.awabariki
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 11 ай бұрын
Sio wananchi semeni Maaskofu
@AnuwarHamis-zg3mg
@AnuwarHamis-zg3mg 11 ай бұрын
Ndio sisi wananchi hatutaki uo mkataba
@Mohamedkitulu
@Mohamedkitulu 11 ай бұрын
TAKIBIIIIII
@SanaiKiruki-db3nf
@SanaiKiruki-db3nf 11 ай бұрын
One broad question is how we achieve particularization of our identity as one nation with competing antimonies for change trajectories: politics, economy, media, science, law, religion as far as globalisation is concern on debate on value for de-regulation with modern Tanzania investment and foreign policy
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 11 ай бұрын
Ona yamevaa majoho mekundu ishara ya kuua.ueni tu hivi punde mtakiona za mtema kuni.
@twalibkabota6249
@twalibkabota6249 11 ай бұрын
Tatizo ninyinyi hamuwaambii watanzania wamshindwa kujisimamia maguful wamemuona mbaya alipowafunza hayo akiwamteule mpakwa mafuta aliekula nanyi karam mbalmbali ,nanyimkamkana gorigota kimyakimya ,mamakapewa msaraba mnamwambia arudi misr kwenye mkate ,mama wawatu akiwanamsalaba ndani yasafa katkat maski naakumbuka anakubar ajitutumua ageuke ndokanun ndani yask tat tatu 🙏misr ili wamwelewe arudi anabedha ndowatoto wale sasa mtanzania usalama upiwewe unafata mkumbo dunia moja ,usarama uchumi mtuanakupiga akiwa chumbani wee acheni mama afanye maajab kamandoa inavunjika sembuse mkataba bubirin mwarab amwage hela wanahela awooo mzungu anajua nanyimpeni moyo ,mkimkera sana mana ajawambia anashida saana naurahis mpaka kuuwa watu atawaachia atawachia nalaana yakuachiwa ukichanya na hii hili taifa utapigwa laana heee toen matamko kama haya kwakuomba nakufunga wanasiasa ni michezo uhalisia nitifauti ,kwahaya naimani mtakanusha bakusimama unapostahil shalomshalom
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 11 ай бұрын
❤❤
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 10 ай бұрын
Hakuna nchi duniani ambayo ilishawahi kuendelezwa na wageni
@Mhandisi2008
@Mhandisi2008 11 ай бұрын
Inahitaji jicho la mbali sana kufahamu huu mkataba haufai, vizazi vijavyo vitatulaumu sana...
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 11 ай бұрын
Upo sahihi Angalia loliondo wale masai wanakipata sema hawana platform ya kusemea it's sad lakini pangepatikana watu ambao hawakula hela ya muarabu wakaenda kufanya enterview na wale masai mngejua madhila ya wale jamaa pale juu wanayopitishwa na wale Waarabu nimsala sema wanaotumwa ulikula hela ya hao watu so wanawakingia kifua ili laana isiwarudi lakini jiulizeni nani analaaniwa Kati ya mtu anayeuza utu wa watu wake au aliyepewa chakula na mgeni na kuogopa kusema ajili ya kipande cha mkate mtakua ndani ya laana ambayo haitakwisha kama ilivyo sasa damu za masai zinavyomwagwa kwa kuingilia kipande alichopewa muarabu mnauwa wa kwenu mnaremba wa jirani aloo mungu awasimamie kweli njaa nimbaya mtakula lakini baada ya.kula mtakufa hakika mungu hadhihakiwi msimuonee mnyonge
@michaeljumanne5921
@michaeljumanne5921 11 ай бұрын
Hawa maaskofu wa kanisa Katoliki hawana hata chembe ya kuwasemea watanzania juu ya utawala wa inchi. Mungu sio wa kwao peke yao ni wa wote.
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Na rasilimali ni za watanzania wote na wao ni sehemu ya watanzania. Lazima wakemee uovu kwenye jamii zetu kama viongozi wa kijamii na kiroho pia. Hiyo ndiyo kazi yao haswaaa.
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Tungewashangaa sana kama wangekaa kimywa wakati wao ni sehemu ya jamii yetu na ambao hata wao mkataba huu unawahusu kwa kweli wangetuudhi sana. Wao ni sehemu ya jamii yetu na viongozi wetu wa kimaadili. Lazima wakemee uovu na kukosoa pale maadili yanapokiukwa….hiyo ndiyo kazi yao haswa katika jamii zetu. Viongozi wa serikali nao ni wanajamii hii hii na maadili yanawahusu. Huelewi nini hapo?
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Na nchi hii siyo ya wengine bali ni ya kwao pia. Ni ya ndugu zao na jamii zao. Tumepewa wote na Mungu tuilinde kwa pamoja. Huelewi nini hapo?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 11 ай бұрын
​@@marialesulie6798nimewapenda Sana maaskofu wa katolik , sio yule Mzee wa upako aliyepewa bahasha 😊😊
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b 10 ай бұрын
Mmefanya vizuri kutounga mkono mkataba Mbovu
@benedictoshadrack2573
@benedictoshadrack2573 10 ай бұрын
Kiukweli huo mkataba hatuutaki kabisa kwa nn wanalazimisha inchi hii siyo ya mtu mmoja au kikundi cha watu badala yake ni inchi ya mamilioni ya watu wengi ambao niwanainchi wenyewe pia
@EdgaKatare-xp6rj
@EdgaKatare-xp6rj 11 ай бұрын
Nami naungana
@issaabdi9129
@issaabdi9129 11 ай бұрын
Ni wanafi tu wanekosa mahali pa ulaji. Dp world inasimamia hata bandari ya uingereza na nchi krb 50.acheni ulofa
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i 11 ай бұрын
Sijui kama kichwan mwako Kuna kitu
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 10 ай бұрын
Nikipofu na mwenye mtindio wa uwezo wa kufikiri pekee ndiye atakubali hili maana hajui Kati ya nyeupe na nyeusi so jaribuni kuchambua kabla yakuweka saini za makubaliano maana nyie kua mbele haimanishi mnaakili kuwazidi wengine au mnaona mbele zaidi so nivyema maswala ya nchi yakazingatia katiba na sio vile mtu mmoja au kakikundi flani kanataka basi iamuliwe kua sheria hiyo sio sawa
@danielshauri6390
@danielshauri6390 11 ай бұрын
SERIKALI ILIPASWA KUSEMA MITAMBO YA KISASA YAKUIFANYA BANDARI KUWA YA KISASA ,,NA YENYE UFANISI , NI KIASI GANI ??? ILI TUONE KWAMBA KWELI SISI KAMA TAIFA HATUZIWEZI HIZO GHARAMA . NDIPO TUSHAWISHIKE KUONA KWAMBA KWELI TUNAHITAJI MUWEKEZAJI. HALAFU TUWEKE MIKATABA YENYE FAIDA KWA TAIFA , SIO HII YA HASARA
@sabraham5308
@sabraham5308 11 ай бұрын
wazungu/wakristo ndio mnaowafanya mabwana zenu,mwadui minning wanaichukua almasi/dhahabu mpaka leo,toka uhuru wamekabidhiwa wakoloni hawa watunyonye mpaka leo,msitubabaishe wakatoliki,nchi haina dini,nyinyi mna ubalozi Vatican,waislamu wanazuiliwa wasijiunge na jumuiya ya kiislamu ya ulimwengu OIC,haya tuyajadili,ni mengi tunayo,msituchokoze
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Uko sahihi kabisa
@user-jz6dd8cj8s
@user-jz6dd8cj8s 10 ай бұрын
Binafsi na amini, kila kitu kitakuwa sawa, maana nchi niyetu, but rais samia afahamu kuwa nchi hii ni nchi ya wananchi au watanzania, hasilazimishe
@johanesrwemela5250
@johanesrwemela5250 11 ай бұрын
Nakupata katika ubora wako
@user-mm9mq8db1d
@user-mm9mq8db1d 11 ай бұрын
Mungu tutetee wana wako kwakweli
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 11 ай бұрын
💪💪💪💪💪💪🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@user-xb7iy9mr6w
@user-xb7iy9mr6w 10 ай бұрын
Kweli kabisa mkataba huu hatuutakii ila serikali imeshupaza shingo yake.
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 10 ай бұрын
CCT TOENI TAMKO KMYA CHENU KINA MSHINDO
@kawiche4911
@kawiche4911 10 ай бұрын
TANGANYIKA HATUTAKIBALI KUTOA BANDARI ZETU MKATABA UFUTWE HARAKA SANA
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 10 ай бұрын
Kila anayeshabikia mkataba huu wana masilahi binafsi
@user-su8yp7sc3e
@user-su8yp7sc3e 11 ай бұрын
Ungu atilinde juu ya majanga
@salminsomba2491
@salminsomba2491 11 ай бұрын
Wapi wa Tanzania wengi wamsema hautaki huo mkataba bali ni kanisa katoloki tu ndiyo hamuutaki msiiwaingize watanzania tunaomba watoe ushahidi wapi watanzania wasema hawataki kwahiyo hao watanzania ambao hawataki baraza la wakatoliki ndilo linawasemea hao watanzania ambao hawataki? Baraza liweke wazi kuwa varaza ndiyo wakili wa watanzania kupinga huo mkataba ? Lakini baraza litoe idadi ni asilimia ngapi ya watazania imekataa ili tuone wingi wao Hilo tamko la baraza linaonekana hapo baraza ndilo linataka kuipangia serikali ifanya hilo wanalotaka wao naunga mkono mzee wa upako huyo ni askofu wa kweli Tanzania amezungumza ukweli kuhusu huo waraka wa maaskofi mkristo mwenzao ansema ukweli kuwa waraka huo ni wa maslai binafsi ya baraza tunaomba baraza lijikite kwenye dini tu wasijuchanganye na siasa wataleta vurugu sasa tunaomba kila taasisi ya dini itoe waraka alafu tuone maamuzi ya taasisi zingine wataamua nini baraza la maaskofu wanaposema rais afute huo mkataba maana yake tayari baraza limeishatoa hukumu na kumtaka rais afute katika taasisi za kidini nchini ni nyingi kwanini kelele nyingi zinapigwa na baraza la wakatolikii? TCS walikuwepo hapa kwa miaka 25 baraza lilikaa kimya je baraza linaweza kutueleza faida ambayo nchi ilipata kupitia TCS ? Tumechoka kusikia kelele za baraza hilo
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Wewe nawe inaonekana hauko Tanzania au siyo mwananchi maana dah! Yaani Hivi vilio vyoooote hata kwenye mitandao napo huoni kweli? Da ama kweli sikio la kida halisikii dawa. Tunakusamehe bure maaana huelewi
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Wewe vipi? Kwani inachopinga ni nini hasa?Baraza wametoa waraka kusomwa hata wiki haijapita. Mbona Watu wengi wakowemo wachumi wakubwa na wanasheria wabobezi wameongea kuanzia day one mkataba ulipovuja au wewe haikuwa unaangalia hata vyombo vya habari? Mbona hata mahakama kuu mbeya majaji wamezungumza? Mbona hata mkutano wa sauti ya watanzania na Chadema kule mbagala wamezungumza sana toka mwanzo kabisa? Kwani wewe inaishi wapi ambako hata mitandao huwezi kuona? Shoda yake ni baraza la wasomi mangili maaskofu au ni jambo jingine? Shida yako ni waraka na ujumbe iliomo ndani au ni watoa waraka unawachukia? Ujue hata wao ni watanzania wananchi hii ni yao pia wana haki zote kikatiba kukosoa au kutoa ushauri pale inapobidi. Huwezi kuwazuia hata kama unawachukia bila sababu ya maana.
@adamndoi2376
@adamndoi2376 10 ай бұрын
Rc mko sawa Makanisa mengine na Waislamu Mbona hamtu tetei? (Bandali yetu)
@adimudachi7984
@adimudachi7984 11 ай бұрын
Kumbe vatcani ndo inaivuluganchi waingereza wanawapawaarabu nyinyi mnapinga kumberoma ndo wanakulanchi pekeyao da lakini poa putiniyupo somari wanaakili hawataki dhurma
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Kama huna la kuongea nyamaza. Hujielewi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 11 ай бұрын
😂😂vjinga kubwa wew ndio maana unaandikia somaria badala ya somalia
@msengimakala2280
@msengimakala2280 11 ай бұрын
Aminaaaaa !
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 11 ай бұрын
Walimshauri Magufuli aibe na kuchukua fedha za wafanya biashara kwa nguvu kwa kosa hilo wakamsababishia madhara makubwa.Yote hayo tunayajua farasi majike .
@user-gv9zo3os2m
@user-gv9zo3os2m 10 ай бұрын
Toa hoja usikurupuke kama ni msomi toa kisomi kama la achia ngazi kaa pembeni. Matusi si utamaduni wa wakristo hatujafundishwa hivyo.
@alphonceassenga2843
@alphonceassenga2843 10 ай бұрын
Aisee wewe jamaa una shida sana.
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 11 ай бұрын
Mkataba ukiwa Mubaya Ukaungwa na wengi kwa Ujinga wote Tuta Umizwa
@user-cy1zu3zq8v
@user-cy1zu3zq8v 10 ай бұрын
Yote kwa mungu
@user-ih6yy3so5q
@user-ih6yy3so5q 11 ай бұрын
Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi hii tuoo nyuma ya Mababa Askofu tunapinga kwa nguvu zote bandari kuuzwa kwa waarabu na pia KIA yetu je
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 11 ай бұрын
unaunga mkono utumbo?wapi bandari imeuzwa?mmefundishwa utii wa woga ndo maana mnakubali kila kitu.biblia inasema mjinga hukubali kila lisemwalo.
@SanaiKiruki-db3nf
@SanaiKiruki-db3nf 11 ай бұрын
Tumlindie mama Heshima yake na Imani ya kuliongoza taifa letu
@benson20301
@benson20301 11 ай бұрын
Imefika huko tena jamani
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 11 ай бұрын
Waache unafki wajibu hoja za mzee waupako mbona swala laushoga hawakutoa waraka inamana mungu karuhusu ushoga watawadanganya hao hao uliogubikwa na giza kanisa ndio chombo kinachoongoza kua na taasisi zinazoingiza bizaa sawa nabure inch hii mtawadanganya wajinga ndio maana hata mwendazake mlimchukia alivyo anza kuwabana wa wadini kuhusiana na vitu wanavyo ingiza inchni
@angelashitindi5427
@angelashitindi5427 11 ай бұрын
Kwani kuna mkataba wa ushoka ulioletwa inchini kwetu, TEC ina wasomi mjomba hawakurupuki
@S.SWarfa
@S.SWarfa 10 ай бұрын
Vatican ni nani? Nyinyi maaskofu ndio munagawa wananchi. Munaogopa kuwa manaopata faida na bandari hamtapata tena.
@martinlaurence947
@martinlaurence947 11 ай бұрын
Mfumo wa uundaji wa serikali unakasoro na ndo maana watu hawasomi mikataba kwa kuwa wengi wao elimu Yao ni ndogo, pia jk asijihusishe na uongozi uliopo madarani
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 11 ай бұрын
Tanzanite ndiyo akina Msiba.Mmeingia mkenge Mtapigwa kila Kona.
@kassimualli1755
@kassimualli1755 11 ай бұрын
Nyie mnaopinga muda si mrefu mtaharisha kwa kuona uwekezaji unafanyika
@felistermedard9876
@felistermedard9876 11 ай бұрын
Utaharisha wew
@fmbilinyi5137
@fmbilinyi5137 11 ай бұрын
Kinachopingwa ni mkataba mbovu sio uwekezaji. Tupo tayari Dp world waje wawekeze ila hayo mashart ya mkataba yarekebishwe
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
@@fmbilinyi5137 hatuwataki dpw wameonesha nia mbaya na sisi. Wawekezeji waje lakini iwekwe tenda mezani washindaniehwe. Atakayekuja na manufaa zaidi achukuliwe. Bandari ni yetu wanaitamani wengi lazima turinge. Anayekuja afate masharti yetu. Tusiwe wanyonge
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Hara wewe usiyejitambua. Huwezi kutafakari mambo akili yako inaonekana imeganda
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Hujui moja na moja ni ngapi nahisi hata shule uilifeli wewe. Hata Kibarua cha kusafisha mbwa wao hawatakupa wewe labda kuzoa mavi yao
@emmanuel_mangula
@emmanuel_mangula 11 ай бұрын
Tunajivunia kuwa ninyi Maaskofu wetu wote Asanteni saana na mmbarikiwe saana🙏🙌
@CanonLuhunga-oc9sx
@CanonLuhunga-oc9sx 11 ай бұрын
TEC,Askofu Kilaini anasemaje
@fransiskamwinuka4750
@fransiskamwinuka4750 10 ай бұрын
Kwa mtu. Asiye na shule kichwani ndiye atakayeshabikia huu mkataba, lakini kwa mtu ambaye ameingia darasani na elimu yake ya kutosha hawezi kuushabikia huu mkataba. Shida iliyopo hapa shule hakuna kwa walio wengi ndio maana kila ki2 ndioooooo hata kama hakina manufaa kwao. Shida sana. Nenda kafute ujinga uliopo kichwani kwako ili ujue baya na zuri. Watanzania wengi akili ndogo.
@fransiskamwinuka4750
@fransiskamwinuka4750 10 ай бұрын
Wakatoliki akili nyingi sana. Elimu imejaa kwa viongozi wetu. Hawabahatishi wanaposema jambo lao. Wanaona mbali sana. Mama Achana na hiyo hiashara haina issue. Sikia maneno ya wabobezi wa kila ki2. PHD zipo vichwani kwa hao maaskofu. Achana na hao wanaokuvika kilemba cha ukoka. Sikiliza maneno yenye busara kutoka kwa wasomi Maaskofu.
@user-dw3my3xp4d
@user-dw3my3xp4d 11 ай бұрын
Tunaingia kwenye ukolon kama miaka yote tunao leo tunabadilixhwa kwenye ukolon
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
God bless you bishops. You are really true patriotic. Mmeonesha uzalendo wa kweli wa hali ya juu kwa taifa lenu
@eidkipande2670
@eidkipande2670 11 ай бұрын
Qwerty
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 11 ай бұрын
WAGALATIA WARAKA WENU UKO OUT OF DATE 🥵🥵🥵🥵🥵🥵UMEKUWA TOILET PAPER 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 11 ай бұрын
Miaka sita ya mwamba kalotengeza taifa miaka miwili keshalibomoa😂
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 11 ай бұрын
Huu sio muda wa kuwasikiliza nyinyi westerners, mapinduzi makubwa yako mllangoni!
@janetmutashubilwa3041
@janetmutashubilwa3041 11 ай бұрын
Zuberi mwambie mama apeleke keki hii ya mkataba Zanzibariiiii unapotoka AM INA
@SanaiKiruki-db3nf
@SanaiKiruki-db3nf 11 ай бұрын
Antimonies : politics, economy, law, science, media, must bring one answer to de-regulation
@user-su6xu7ks7m
@user-su6xu7ks7m 11 ай бұрын
TEC HAZUNGUMZA DINI.
@HumphreyNoah-yx8jf
@HumphreyNoah-yx8jf 11 ай бұрын
Good
@MichaelLigi
@MichaelLigi 11 ай бұрын
Hatutaki mkataba wa bandari yetu kwani tokea
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 10 ай бұрын
Sami wewe mzanzibari ondoa pamba masikioni acha bandari za Tanganyika
@sadallahbataza1906
@sadallahbataza1906 11 ай бұрын
Mimi nalia na bunge tu linamuwakilisha nani bungeni? Serikali au wananchi? Kwanini wametusariti kiasi hiki? Wasitake tuamini walichaguliwa kimagumashi na si ridhaa yetu
@joycemosha1898
@joycemosha1898 11 ай бұрын
KAMA UKIWA KIONGOZI HUWEZI KUTENGANISHA AKINA MAMA KWENYE MAGUNIA USEME UNA MAMbo ya kuwaambia hiyo sio siri tena
@user-yq4bf9wy1v
@user-yq4bf9wy1v 11 ай бұрын
K wa hiyo wewe unaesema magufu alifanya uovu mwingi lakini kanisa halikunyenyua mdomo unamaana kuwa nao huu niuovu?
@fmbilinyi5137
@fmbilinyi5137 11 ай бұрын
Jibu hoja za mkataba sio kufananisha uongozi
@samuelmulumba1892
@samuelmulumba1892 11 ай бұрын
TEC wamedadavua suala la bandari kisomi, kizalendo kwa maslahi mapana ya nchi. Asiyetaka kutambua hivyo atakuwa na matatizo ya akili.
@sharifakhalfan2475
@sharifakhalfan2475 11 ай бұрын
Ingekuwa wazungu wacnge SEMA Ila kwa MWAARABU imekuwa balaa Allah tulinde. Cc pamoja na Dini yako INSHAALLAH
@marialesulie6798
@marialesulie6798 11 ай бұрын
Tumia akili acha kuwa na mawazo finyu yasiyo na tija. Hii ni nchi yetu sote siyo ya wageni bali wazawa. Acha fikra potofu hutafika popote
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 11 ай бұрын
Sisi hatuna shida na mwarabu wala mzungu, aje ye yote tu. Shida kwetu ni kilichoandikwa ndani ya mkataba, rekebisha uozo ulioko kwenye mkataba tu, kisha tusonge mbele. Hayo ya mwarabu au uislamu ni ya kwako na wenye akili kama zako. Sisi wazalendo wakiwemo TEC tunaangalia raslimali zetu kwa sasa na vizazi vijavyo, si vinginevyo.
@user-ze6bh9zv9s
@user-ze6bh9zv9s 10 ай бұрын
Tunaomba mushirikiane kama hivi kupinga ushoga na ulawiti tunataka kusikia kauli zenu maaskofu
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 10 ай бұрын
Pumbs u kuliko upumbavu wenyewe.hata huyio mwarabu hatakutambua hata kukupa makombo yake. Subiri uone utajits sana. Kama wewe ni fungu la waislamu kwa nini asikutambue sasa? Hakutambui wala hatajua kama kuna mtu kama wewe uliyekuwa unang'anania mkakataba usioijia. Mpimbavu ana asili ya upumbavu ni kazi bure kimfundisha hafundishiki kamwe.
MEDIA VATICAN ILIVYORIPOTI A-Z MSIMAMO WA MAASKOFU TEC KUHUSU UWEKEZAJI BANDARINI
14:04
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 109 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 30 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
5:42
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 27 МЛН
🔴LIVE: LAVI DAVI NDANI YA WASAFI FM -07-08-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 44
Kama Yesu ni Mwana wa Daudi , Maria ni nani kwa Daudi?
1:01
7 August 2024
11:39
Nuru Okanga Ke
Рет қаралды 16
KUBWA KULIKO-AICT BUJORA CHOIR-(official video)
8:50
AICT BUJORA CHOIR
Рет қаралды 345 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН