No video

VIDEO: ZAYLISA atoa MPYA "Sipendi KUZINI/Niliogopa/HAJI MANARA/Naishi NAE/

  Рет қаралды 37,892

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Пікірлер: 83
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Huyu mdada ni mpole sana jamani. Na ni mzuri saana Ma sha allah. 😍
@RisasiRisasi-uj8fk
@RisasiRisasi-uj8fk 7 ай бұрын
Zai upo vizuri sana kwa majibu, maana hawa waandishi maswali yao yanaboa sana,safi sana
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 7 ай бұрын
Mtu anauliza swali halafu analijibu mwenyewe kwa kirefu na kisha anataka jibu toka kwa mhusika
@Tiffany340
@Tiffany340 7 ай бұрын
Wanaume wengi wanafeli kwenye kumtunza mpenzi /mke waambie zai 😂😂😂 tunadanganyikaga kwa vitu vidogo tu ..mjifunze kutunza wanaume wapenzi wenu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 7 ай бұрын
Sio wote hata wanaume wapo gubu kwani hujawahi kuona basi wewe wapo dunia nyingine😂😂😂😂
@mrsab303
@mrsab303 7 ай бұрын
You are lovely ❤❤❤❤
@zakiaissa8202
@zakiaissa8202 7 ай бұрын
❤❤❤
@catherinemtweve2748
@catherinemtweve2748 7 ай бұрын
Kwa kweli mekap aaah hapana
@Afsah90
@Afsah90 7 ай бұрын
Waandishii vilazaaaa sanaaaaaa loh....asking an immature question aiseeeee
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 7 ай бұрын
Ndo maana ya waandishi wahoji vitu vya ndani ili na ss tujue
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 7 ай бұрын
Manara anafeli wanawake wote akiwa nao huwa akiwa matembezi kutoka naona huwa yy anafuraha akiwa na mpenzi wk anajiachia lkn wao hao wapenzi huwa hawana furaha mwisho wa siku wanamuacha hv huyo zeylisa anajitetea lkn kiukweli video nyingi sio hiyo mkono tu wa manara hajauwona ht akishikwa na manara huwa km hapendi hv km Hana furaha huyo sijui km hato muacha subirini atafute tu mwanamke wa kawaida dullah kashindwa ataweza yy na dulla msuzi mwanaume mdogo na alivyo haji amtake anataka pesa na umaarufu tu huyo km alivyo yule dulla tu na kabwagwa
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 7 ай бұрын
Mashekhe mumtizame vizur akiwa maulidni hakuna kama shekh anazalilisha uisilamu
@johanjoha5262
@johanjoha5262 6 ай бұрын
Kwani maswali gani mnafika mbali
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 7 ай бұрын
Mm huyu manara
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 7 ай бұрын
Unavo jishawuwa sasa kama si manara huyu 😅😅😅😅😅😅😅😅 unaeongelea duuh ila hiii dunia
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 7 ай бұрын
Shikamoo make up daaaa
@user-bo3nt4ji2c
@user-bo3nt4ji2c 7 ай бұрын
Mbona km kakasirika kidogo km anataka kulia😅😅😅
@alhabsi6430
@alhabsi6430 7 ай бұрын
Eti anaomba wasizungumzie hayo mambo🤣
@esterpaul5856
@esterpaul5856 7 ай бұрын
Mbona huyo bugatti tushamla saaana hlf msumbufu kwel kwel kwenye hela na kinga.. we zai muulize analikumbuka chimbo la pale chini ya best bite?? Acha kujishquwa ww
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 7 ай бұрын
Ester kweli ?
@esterpaul5856
@esterpaul5856 7 ай бұрын
@@fettyrashid9042 Yaan sijui nikuambiaje..huyu kaka anachexea wanawake sana..hata huyu atamuowa atamuacha.
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 7 ай бұрын
Rushaina ni mzuri na alikua haeki cna mecap na ht hajipambi cn
@user-fm3nu5xl3u
@user-fm3nu5xl3u 7 ай бұрын
Ilo dada linaringa sana anajibu kwakujishaua yaan
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Ndio!! Analala na Bugatti hapo sasa
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 7 ай бұрын
Hamna huyuu nimpole tuu na hapendi hayo maswali aulizwe ila Ndio kisha kua maarufu na kayataka yy a jitahidi tu ajibu
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 7 ай бұрын
​@@sofiajumaa4538eti mpole angekua mpole wanaume wasingemtwangwa
@hassanabdullah2191
@hassanabdullah2191 7 ай бұрын
Zey wachana na hawo wanahabari ni wajinga sana usikubali wanahabari kama Hawa wenye wanaingilia private life ya watu Kaa mbali nawo watakuyia husda
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 7 ай бұрын
Unaona hajibu km atakaa nae au atadumu nae hajui hayo majibu tu yanamaswali yk haji analiwa tu
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Waandishi acheni kumsumbua huyu mdada. Ni mpole saana. Anaonekana amechoshwa na maswali yenu.
@boragilbert
@boragilbert 7 ай бұрын
Iyo mek up sasa😭
@mozasalum8742
@mozasalum8742 7 ай бұрын
Mbona mdamkubwa halafu hakuna maswali ya mana
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 7 ай бұрын
Eti hakuona akipewa mkono 😂😂 mjini shule
@lucianagodson437
@lucianagodson437 7 ай бұрын
USO umekongorikaaa
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 7 ай бұрын
kama wako
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 7 ай бұрын
Sijui kama atakaa nae huyo bwana
@uwimana6533
@uwimana6533 7 ай бұрын
Tumuachie mungu ,ww nibinadamu 😂😂
@user-jj9br3ve1n
@user-jj9br3ve1n 7 ай бұрын
Mekap kha nyau mbaya
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Sawa umbwa
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 7 ай бұрын
Mbon anazidi kuzeeka au mimi sioni vizir😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Huoni vizuri
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 7 ай бұрын
Wivu wanawake tupunguzeni
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 7 ай бұрын
Make u haimpendez​@@mapishiyetumazuri2312
@josephlorri431
@josephlorri431 7 ай бұрын
Kapigwa mangumi huko maporini.. amewekwa mjelele
@priscajube4239
@priscajube4239 7 ай бұрын
Hapana bwana mrembo. Labda walivorekodi
@tatungwele2728
@tatungwele2728 7 ай бұрын
Unavyolinga sasa utasema kwa manara utaushi milele 😂😂😂 safari bado
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 7 ай бұрын
Wewe Dada umenivunja mbavu 😂😂
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 7 ай бұрын
😂 😂😂mlango huwooo mwz 9 tu
@chany9950
@chany9950 7 ай бұрын
Make pe siyo zuri jmn mimi siwezi kujiweka make pe non non👎👎👎
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 7 ай бұрын
Amezeheka
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Sasa ule USO ni wako? Tuliza mshono bibi
@esterpaul5856
@esterpaul5856 7 ай бұрын
Hlf ww ni zai sio bure..Nikweli una sura ya uzee na unaonekana unashida ya afya​@@BarbaraPatience-qt9cc
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 7 ай бұрын
@Chany9950 hongera sana, I wish nikuone bila make up maana mmebaki wachache
@faridasaleh4982
@faridasaleh4982 7 ай бұрын
Acha wivu
@user-jd9jv7di5n
@user-jd9jv7di5n 7 ай бұрын
Make up shikamo
@alhabsi6430
@alhabsi6430 7 ай бұрын
Mmekosa kazi munauliza mambo ya haramu sio ya halali kunafaida gani
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Zay pia nimpole!!!! Hawa wanahabari ni wajinga sana maswali ya utoto kweli
@user-ic2xb5en9b
@user-ic2xb5en9b 7 ай бұрын
KwKwel maswali Yao yanachosha
@sitimwarakwe1830
@sitimwarakwe1830 7 ай бұрын
Acha kupoteza mda copy yko n Dula makabila
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Copy ya nini Fala wewe
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
😂😂
@sitimwarakwe1830
@sitimwarakwe1830 7 ай бұрын
@@BarbaraPatience-qt9cc Fala n ww uko
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 7 ай бұрын
Make up imemzeesha mashav yametumbukia mbon
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 7 ай бұрын
huyu si mke wa dulla makabila au nimekosea
@mariajemutai2968
@mariajemutai2968 7 ай бұрын
Ndiye
@pcmchealthcare9339
@pcmchealthcare9339 7 ай бұрын
Siye
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 7 ай бұрын
@@pcmchealthcare9339 mwaka juzi si walifungwa ndoa jaman na kudai wanapendana sana ,acha nichek yale mahojiano yao,
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 7 ай бұрын
@@mariajemutai2968 wameachana tayari au ,maana sielewi
@arafatali2796
@arafatali2796 7 ай бұрын
Sikaachwa kias khah
@sabitinaeastafrica5822
@sabitinaeastafrica5822 7 ай бұрын
Zaylisa you’re making bigger mistakes by the way you’re young woman 😂
@nunuuali5316
@nunuuali5316 7 ай бұрын
Zarau za nini dada? Wenzio walizechezea hizo hela wakaziacha so tulia dada
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Wacha atumie ni wakati wake....isikutie dhambi
@user-ik4ki3zo8c
@user-ik4ki3zo8c 7 ай бұрын
Mnafiki huyu
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 7 ай бұрын
Mwanamke unaolewa kila wakati nini kinakushinda kwenye ndoa wewe
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 7 ай бұрын
Tamaa hivi haji asingekua na ela angemkubali
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 7 ай бұрын
Rushaina ni mzuri kuliko wewe Bila make up hutizamiki
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 7 ай бұрын
Wivu tu
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
Kabisa
@FathimaZubair-jt4cg
@FathimaZubair-jt4cg 7 ай бұрын
😂😂😂ni kwl hatizamik nlion clip tik tok😂😂😂
@AdmiringRedRose-wm5be
@AdmiringRedRose-wm5be 7 ай бұрын
❤❤❤
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 38 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 29 МЛН
MAISHA YA NJE TUKIWA SAFARI ZA BIASHARA/TUCHEKE KIDOGO
9:42
Tiffany Store
Рет қаралды 18 М.