VITASA | Nasibu Ramadhan vs Juma Choki | Dar Boxing Derby 29/06/2024

  Рет қаралды 59,488

Azam TV

Azam TV

4 күн бұрын

Knock Down raundi ya saba imempa ushindi wa pointi Juma Choki dhidi ya Nasibu Ramadhan katika pambano kuu (main card) la Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby kwenye viwanja vya Posta , Kijitonyama, Dar es Salaam.

Пікірлер: 109
@philipomapundaa6801
@philipomapundaa6801 Күн бұрын
Daaaa awa wote nindugu zangu nawapenda sana choki nasibu najifunza kitu kwaho
@GeorgeMihambo-mo4gx
@GeorgeMihambo-mo4gx 2 күн бұрын
Nimefurahi sana aisee
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 Күн бұрын
Nanukuu"Ili uwe mkubwa lazima upigane na wakubwa"Samahani brother Ibrahim class you are next.
@aaroneu07
@aaroneu07 Күн бұрын
Nassib alipoteza umakini (concentration) akaanza kushangilia kabla ya mechi kuisha. Choki alikuwa na nidhamu ya mchezo na muda wote alizingatia game plan yake.
@quswaisizya7197
@quswaisizya7197 2 күн бұрын
Bila knockdown nasibu alikuwa ameshinda hili fight. Ila chok aliweza kum counter vizuri round ya saba
@allymagari
@allymagari Күн бұрын
Sasa ndo ishatokea kwahyo hajashinda
@NelsonKayinga
@NelsonKayinga Күн бұрын
Nakukubali sana choki hujawahi kuniangusha
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 21 сағат бұрын
Choki alifanya vizuri, Ila Nasibu alikuwa mzuri sana. Nice ile knckdown tu . na sana uwanja ulikuwa unateleza kwa kiasi fulani.
@JustineNyome-j1g
@JustineNyome-j1g 2 күн бұрын
Hiyo knockdown ni hatari, nadhani nasib alihis knockdown ya pili last round angereact ndo maana akaamua amalize pambano bila kujali kilichotokea. Akili kubwa kwa bondia... It was a clinical fight,🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Ybsgibsondaniely
@Ybsgibsondaniely Күн бұрын
Yaan ukihesabu laung kalubia 5-6 chok kaongoza lichaya hata ya nokdawn nasibu kapigwa vizuri2
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Күн бұрын
Nasibu alikua vizur Tu Ila kuanguka ndio kume mpa ushindi juma
@samunasary1449
@samunasary1449 Күн бұрын
Pambano lilikuwa kali sana na tume enjoy,NASIBU NA JUMA CHOKI WOTE WA KALI ILA LAZIMA TUPATE namba 1 na 2,hatimaye JUMA CHOKI AMEKUWA CHAMPION👑👑 kitu ambacho binafsi kime nifurahisha sana JUMA CHOKI KUWA CHAMPION😂😂😂.Watangazaji wetu wa ngumi miyeyusho sana wana msifia NASIBU kila kitu kazi ya choki hawaioni sasa hao wote ni watanzania mnahalibu sana yani.
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up 20 сағат бұрын
Juma choking anajuaa sanaa me ni moja ya fan wakee
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 23 сағат бұрын
kweli hii ni derb, maana ngumi zimechomoka balaa 💥💥💥💥
@dattyjeremiah5877
@dattyjeremiah5877 Күн бұрын
Champion choki #26
@ShokiRamadhani-qq3ds
@ShokiRamadhani-qq3ds Күн бұрын
Choki best boxer up coming hongera yke sana kwa usugu alionesha mabondia wengine hawatamgusa,mkongwe shoo kaielewa ya dogo kaweza kumuonyesha
@user-rf7ib6rl2p
@user-rf7ib6rl2p Күн бұрын
Nimejikuta machozi yananitoka congratulation 👏👏juma choki
@samweljumanne-wo2pu
@samweljumanne-wo2pu 21 сағат бұрын
Choki aliscore Sana hata ile knock down Choki hakutaka tu kumdhalilisha nasib maana alivyodondoshwa aliamka anayumba Kama kuku mwenyekideri
@joelgeorge9985
@joelgeorge9985 Күн бұрын
Nasibu talented sana, Choki aliotea tu, bado sana kwa jamaa
@user-ul6cs6kk7v
@user-ul6cs6kk7v Күн бұрын
Hapo siwezi kubashili wote wakali ❤
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 2 күн бұрын
Oya mwanangu choki💪🙌
@JohnsonDickson-ry6hz
@JohnsonDickson-ry6hz Күн бұрын
Dah Lkn watangazaji Kama mngefurahi zaidi naseb angeshinda .. 😂😂😂 Kuna mmoja naseeb akipiga anasema safiii.. Mara nice... Ila knock down 😁😁😁
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Күн бұрын
Nasibu amedhulumiwa na alistahili kushinda hili pambano kwa maana kila round inajitegemea na Nasib ameongoza round zote hata hiyo ya Saba Kama sio kuangushwa pia alikua anaongoa. Sasa vipi aliyeongoza round Saba apigwe na aliyeongoza round moja? Turudi nyuma kidogo, ktk mechi ya Kiduku na Dullah Mbabe. Kiduku aliangushwa round ya kwanza na akaongoza round zilizofuata na akawa bingwa!! Sasa hizi Sheria Ni tofauti au Ni maamuzi ya chuki?
@jokha-rp5pu
@jokha-rp5pu Күн бұрын
ina maana nock down ina pont kubwa sna lakin tukiangalia round sote nasib aliscoo sana lakin wote ni mabondia wazur najivuna kuona vijana wetu wanapafom vizur nazani watafanya haya nje ya Tanzania pia inshallah mungu awasaidie kufka katika malengo yao
@mr.performance2533
@mr.performance2533 Күн бұрын
Sijapata Kuona wakali wenye kila kitu kama hawa daah Kwa kweli nimeona boxing tamu sana
@giftprosper2355
@giftprosper2355 21 сағат бұрын
Choki ni king off the ring siku zote habahatishi
@DavisMajor-sb2oz
@DavisMajor-sb2oz 9 сағат бұрын
Watangaziji mume mchambua nasibu au ngumi msiwe wasenge Kuna za mama zenu nasibu nasibu kapigwa sasa😊 11:22 😊
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Күн бұрын
Nasib ni kamzidi sana juma choki kwa kila kila kitu. Nasibu is more technical than juma na nasib ana hands speed kubwa kuliko juma na nasib ana counter nzuri zaidi kuliko juma. Nasib is more skilled than juma. Knockdown to nasib imekuja kibahati tu. From 1st to 6th round nasib dominated the fight. Huu ndio ukweli
@MosesKilumile
@MosesKilumile Күн бұрын
Nasibu fundi zaidi ya choki ila Kwa Jana one mistake one goli Tunaomba rirudiwe chapu.
@user-sk2cr8pm1e
@user-sk2cr8pm1e 2 күн бұрын
yote kw yote nassibu n bondia mzur sana mkongwe anaesumbua kizaz kipya ongera broo👍👍👍
@mwaramially2651
@mwaramially2651 22 сағат бұрын
Sasa Naseeb wamtaka Ibrahim class Kisha hao wa chini wanakushinda
@silvanokepher6441
@silvanokepher6441 Күн бұрын
Duuuuh hiii gem ni dangerous 🔥 🔥🔥🔥
@JamesJoramu
@JamesJoramu 2 күн бұрын
mgumi kali sana sioo wa kina mandonga nikukumbatiana tuuuu apa ni ngumiii jiwe tuu mpakaa mwishoo🔥🔥🔥🔥
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 21 сағат бұрын
Hii ni fighting bora kuliko hao wakina mwakinyo sijui twaha... Wanakumbatianakumbatiana tu, hawa wauni wanatupa mawe tu
@jumanneally3303
@jumanneally3303 20 сағат бұрын
mwakinyo kaingiaje kwenye kukumbatia ni mchezo wa twaha mwakinyo foot steps zinatembea na kujilinda na anacount fuatili ngumi
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 20 сағат бұрын
@@jumanneally3303 sijamtaja pekeake, nimetaja mabondia wawili wanaofahamika kuwakilisha wengine. Na maana yangu ni kwamba kuna watu wanashawishi mtu afuatilie ngumi si wao tu. Hata yeye amesema hapo hakutegemea kuona watu wengi hivyo. Hatuwezi kuwapa kichwa watu wawili tu kilasiku
@greysonmandai132
@greysonmandai132 Күн бұрын
huyu juma choki ni bondia mzuri sana kama atapata watu wakumfundisha vizuri atakuja kuwa nembo ya taifa .
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Күн бұрын
Umri umri
@greysonmandai132
@greysonmandai132 Күн бұрын
@@GibsonNtamamilo sema umri ndio tatizo
@msemakweli243
@msemakweli243 Күн бұрын
Choki ndo King kwenye boxing 🇹🇿 kwa sasa
@AyubuMuhanga
@AyubuMuhanga 22 сағат бұрын
Unaumwa mavi kweli yaan Choki ndio king kwenye boxing nchin,🇹🇿, 😂😂😂,, je uliwah kumfuatilia yule Mnyarukolo wa Iringa,, mweny kisauti nyembamba,, Wanamuita MAWE.. 🤣🤣🤣
@msemakweli243
@msemakweli243 22 сағат бұрын
@@AyubuMuhanga wewe ni mpumbavu nadhani
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Күн бұрын
Wanamichezo hupunguza sana umri lkn Naseeb kimichezo tayari ni mtu mzima.Nasibu tunaemjua asingeweza kupoteza kwa bondia aliecheza kwa kiwango kile.Yote kwa yote Nidhamu yake na Heshima inatulazimu tuendelee kumpenda nakusimama nae hata apigwe mara mia.
@nas_2761
@nas_2761 Күн бұрын
Huyo mchanganyaji picha wa Azam tv hayupo sawa
@SiwaMudrick-ny3cc
@SiwaMudrick-ny3cc 16 сағат бұрын
Bwanga,juma,ton, nimefurai sana
@user-ex7bh1np4t
@user-ex7bh1np4t Күн бұрын
Choki kiukweli anajua sana, Kila round alikuabors
@fadhilisanga3679
@fadhilisanga3679 Күн бұрын
Aibu sanaa michambuzi yote ilikuwa inamsifia mno naseeb
@Alexismadimo
@Alexismadimo Күн бұрын
Ni kawaida yao hawa ni team kiduku team class na timu kidunda,mfaume pia yan wakipigana hawa watu wenywe wanawasifia tu wapo upande wao
@Bakari-dr1if
@Bakari-dr1if Күн бұрын
Kweli kaka imepata aibu
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up 20 сағат бұрын
Haswaa yule wa wasafi George job alimponda sana chokii
@daudiraphaeli2928
@daudiraphaeli2928 16 сағат бұрын
Kama si choki kumuangusha nasibu bas ao watangazaji ad majaji ushindi wange mpa nasibu wakati tangu pambano lina anza choki anachukua pwenti nyingi kila round
@NkondokayaJoe
@NkondokayaJoe Күн бұрын
Nimegundua kuna wakati hata wachambuzi wa ngumi nao kama wale wanaochambua simba na yanga,mnazidisha mpenzi wa upande mmoja.
@hassankistaokazungu2707
@hassankistaokazungu2707 23 сағат бұрын
hii ndio fight 🔥🔥🔥
@TomasIsdor
@TomasIsdor 2 күн бұрын
Nasibub kaigwa kwa raund moja
@ASALABOY
@ASALABOY 14 сағат бұрын
Awa jamaa wanavipaji sana🙏🙏
@abelmwakipesile9868
@abelmwakipesile9868 Күн бұрын
Ngumi nzuri
@user-sk2cr8pm1e
@user-sk2cr8pm1e 2 күн бұрын
dah wote wanangu na mmecheza vzur ila choki amestail ushind👑👑
@EmmanuelEmmanuel-b5w
@EmmanuelEmmanuel-b5w Күн бұрын
Nasibu unajua Brooo
@jumanneally3303
@jumanneally3303 20 сағат бұрын
nyinyi wachambuzi waongo kazi msifia mtu mmoja mnabondia wenu mtu anachezea makonde amsemi kapigwa sasa
@AugustinoMateru
@AugustinoMateru Күн бұрын
Yani wachambuz wapo kishabik siy kuchambua ngumi haipendez ila kikumbw kila mtu anaona kilichopo ulingon chok yup juuuuu
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Күн бұрын
Daaaa nasibu alikua anashinda
@AshaMwamba
@AshaMwamba Күн бұрын
Mmemdhukumu nasibu
@SelemaniKidundo
@SelemaniKidundo 2 күн бұрын
Woteniwazurisana❤❤❤❤
@user-uq3dq7sr3l
@user-uq3dq7sr3l 2 күн бұрын
Bondia ukiendekeza sana chini kiwango chako lazima kishuke
@Clex-f5s
@Clex-f5s 2 күн бұрын
Kazi na umri🤓
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka Күн бұрын
Amezowea kuwakosowa wenzake haya ni mapinduzi anayoyaweza ni clace TU.
@gavethhans5242
@gavethhans5242 Күн бұрын
Nawibu kapigwa ngumi nyingi sana
@ONEdreamfilmtz
@ONEdreamfilmtz Күн бұрын
Kiukweli nimeinjoi sana
@user-hy3en6vk5f
@user-hy3en6vk5f Күн бұрын
Hii fight naomba irudiwe
@clemenceleonard1089
@clemenceleonard1089 Күн бұрын
Kilimponza Nasseb Alimdharau Mpinzani Wake Na Ilo Ndo Kosa Kubwa , Akapunguza Umaskini Wa Kujilinda
@saidyusuph-g3x
@saidyusuph-g3x Күн бұрын
Nilikuwa sijui kitakachootokea kwahii fight maana ni moto
@user-dz7wq2ql3p
@user-dz7wq2ql3p 2 күн бұрын
Kaz kaz ni shidaaa
@shebanishebe7866
@shebanishebe7866 2 күн бұрын
Jamaa mko vzr
@abdallahussi2978
@abdallahussi2978 Күн бұрын
Hii game inahitaji revenge ya haraka mno ili choki athibitishe kama kweli ni mshindi isingekuwa ile knock down round ya saba nasibu alikuwa anaongoza kqa kila hali choki kabahatisha ili kusiwe na maneno pambano lirudiweapema tu.
@ramajuma1071
@ramajuma1071 Күн бұрын
Kabahatisha wapi wakati kampiga wote tumeona tuwe wakweli ngumi ni mchezo wa makosa choki katumia nafas aliyoipata haijulishi nasib alkua akiongoza kwa round nying
@shabanimkange3512
@shabanimkange3512 2 күн бұрын
Hawa jamaa wote washindi nimewakubali sana sio yule muimba taarabu wa Tanga😂😂😂
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 Күн бұрын
Mwakinyo na Twaha bado sana kwa hawa jamaa
@odingamawe
@odingamawe 2 күн бұрын
Choki kiboko inabidi ucheze na class
@MoosaMzinga
@MoosaMzinga Күн бұрын
Class anaogopa
@Hope-ok9dy
@Hope-ok9dy Күн бұрын
Wewe class abari nyingine wewe
@yoramnhayo6099
@yoramnhayo6099 Күн бұрын
Class afikii uwezo wa choki .pia choki akipata muekezaji wa pesa mzuri atasumbua sana ndani ya nchi mbaka majuu ana style kama Davis USA
@SaidDilunga-q6e
@SaidDilunga-q6e Күн бұрын
Wote mabondia wazr izo ndio ngum
@jumanneally3303
@jumanneally3303 20 сағат бұрын
wachambuzi waongo waongo chupli chupli amsemi ukweli nassib anapigwa panchi nyingi amsemi mna watu wenu
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 күн бұрын
nasibu bondia mzr ila UTOPOLO wamemtia nuksi kusema et watamshangilia na wapo upande wke ndo maana akapoteza 😂😂
@strongfighternal6512
@strongfighternal6512 8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@user-wq4us6nm8b
@user-wq4us6nm8b Күн бұрын
Uyuu mtangazaji ameumia san😢
@JovitusJames-gy4rk
@JovitusJames-gy4rk Күн бұрын
Jamn tuwapongez hao wote wanaume🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅
@user-ei9xd4qs7o
@user-ei9xd4qs7o Күн бұрын
Mabondia wa mologolo wajfunze ngumi apa kiukweli tu bila majungu, yan uwez kuacha kununua kifurush au bando
@hasheemabby2583
@hasheemabby2583 Күн бұрын
Nasibu kashinda huu mchezo 100%
@SamwelMshana-x3l
@SamwelMshana-x3l Күн бұрын
Mabigwa wamekutana
@user-wq4us6nm8b
@user-wq4us6nm8b Күн бұрын
Ujuu mtangazaji anatim yake apa😂😂
@ndolimanaamani9106
@ndolimanaamani9106 Күн бұрын
Hizi ndio ngumi sasa
@MoosaMzinga
@MoosaMzinga Күн бұрын
Round ya 6 ndio imekuponzaa Nasibu....uwezi kutoa bikra kama ulivyosema
@user-mm3nr8fv5o
@user-mm3nr8fv5o Күн бұрын
Ila juma choki ni mwakinyo wa pl kiukwl yn inxhort role modal wake ni mwakinyo
@user-cn8zp3ly7f
@user-cn8zp3ly7f Күн бұрын
we nawe usifananishe uchafu wako na choki xa mwakinyo anajuwa nn wakati kwa twaha anamhogopa bondia wako mzaaa changa za tanga hko
@SubiraBushiri
@SubiraBushiri Күн бұрын
Ila juma choki apewe maua yake
@BrianKazaula-so3zf
@BrianKazaula-so3zf Күн бұрын
Hizi ndo ngumi sasa za kutufikisha tunapopataka kwenye boxing ya tz
@AshaMwamba
@AshaMwamba Күн бұрын
Nasibu amejitahid
@user-uq3dq7sr3l
@user-uq3dq7sr3l 2 күн бұрын
ila mmmmh nasibu angemuangusha maramoja TU juma choki kama yeye alivyo angushwa majaji wangembeba nasibu ila ndo ivyo Tena aikuwezakana but juma choki anajua sana Mimi namkubali sana choki king of the ring fundi sana huyu dogo big up God bless u
@chayomgonja3131
@chayomgonja3131 2 күн бұрын
Juma choki kuanzia round ya tano alitulia na kupunguza miheuko ya mashabiki…pambano zuri.. huyo Nassib ana umri gani sijui?
@careemissa2502
@careemissa2502 Күн бұрын
31naseeb choki 27 sikosei
@chayomgonja3131
@chayomgonja3131 10 сағат бұрын
@@careemissa2502 ok
@hajjymohamedy-qk4ow
@hajjymohamedy-qk4ow Күн бұрын
Borà apigwe kinamwaju wanyamaze kushangilia
@felixngaiza3078
@felixngaiza3078 Күн бұрын
Nasib kashinda, mi sio mshabiki wa yoyote apo ila napenda boxing.
@user-uq3dq7sr3l
@user-uq3dq7sr3l 2 күн бұрын
Jamani nasibu naye kashaanza kuchoka mmmmh mke wake kama namuona vile anavyolia
@MamuJuakali
@MamuJuakali 2 күн бұрын
Nasibu wangu jamani imekuwaje
@abubakarjumakhamisi370
@abubakarjumakhamisi370 2 күн бұрын
Nyi3 ndio mnaa mmaliza
@Ahsamc
@Ahsamc Күн бұрын
Hahahah ​@@abubakarjumakhamisi370
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 63 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 170 М.
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 42 М.
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 4,9 МЛН
UTACHEKA NDARO NA STEVE WALIVO VAMIA MNADA BILA HELA
8:50
Ndaro Tz
Рет қаралды 198 М.
Фанат напал на Роналду
0:13
Новостной Гусь
Рет қаралды 414 М.
Футбольное поле провалилось под землю
0:13
Короче, новости
Рет қаралды 2,5 МЛН
Фанат напал на Роналду
0:13
Новостной Гусь
Рет қаралды 414 М.
Приземлил борзого бойца!
0:50
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 554 М.