No video

Volodymyr Zelensky Amshukia Modi wa India Kufuatia Ziara Yake Nchini Urusi

  Рет қаралды 11,536

The Chanzo

The Chanzo

Ай бұрын

Mapema siku ya jana Rais wa Urusi Vladimir Putin alimkaribisha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ambaye yupo ziarani nchini Urusi kwa lengo la kuimarisha uhusiano kwenye maeno ya biashara ya nishati na uchumi kwa ujumla.
Mapokezi ya Modi yalikuwa ya aina yake, kwani licha ya Putin kumtembeza Modi kwenye makazi yake yaliyopo nje kidogo ya Moscow, wawili hao waliopoonana walisalimiana kwa bashasha na kukumbatiana kitu ambacho kilidhihirisha shauku ya mashirikiano baina ya wawili hao.
Hata hivyo wakati mapokezi hayo yakiendelea jijini Moscow, huko nchini Ukraine makombora ya Urusi yamelindima katika miji mbalimbali ikiwemo mji mkuu wa Kiev kupelekea vifo vya watu takribani 38 na wengine zaidi ya 190 wakijeruhiwa.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 23
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw Ай бұрын
Asante mody kazi nzuri
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Zelensky kazi anayo
@hashirali4587
@hashirali4587 Ай бұрын
Jee gaza hakuna haki za binaadam?washenzi wakubwa
@ablestclemence7382
@ablestclemence7382 Ай бұрын
Mwamba putin,,,,hiv huyu jamaa bado hajaoa😅😅😅
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d Ай бұрын
Gazaa kule amuoni kama ni ukatili putini fanya vyovyote unavyojua ww
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm Ай бұрын
Hao mashoga wa kimarekani ni washenzi mbona hao wanauwa Kila sehem au wakiuwa Hao sio kosa ila wenzao ndio kero hakika marekani ni mashetani wasio kuwa na faida kwenye hii dunia 😊
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 Ай бұрын
Huraaa putin
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Ай бұрын
Zelensky atateseka sana
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d Ай бұрын
Zelensiky ni kicha ambaye ayaelewrki
@aeshitoyota2499
@aeshitoyota2499 Ай бұрын
Wamagharibi wakiona hivi wanachanganyikiwa
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn Ай бұрын
Zelenski anaua raia wake bila sababu ya msingi huyu kweli mpuuzi
@Chewy___
@Chewy___ Ай бұрын
Zelenskyy is like Oliver Twist “please sir can I have some more”
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 Ай бұрын
Putini unauwa watu unapata faidagani kuuwa watu nchi siyo yako mungu anakulaani
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Ай бұрын
Mpaka waseme
@MbarakSoud
@MbarakSoud Ай бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah puting kapiga hospital israil amuongei anaoiga hospital anauwaaa watoto malipo hapa hapa duniani putin piga nguruwe haooo
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Israel je! Uko gaza.
@chrisdot9914
@chrisdot9914 Ай бұрын
Zelensky kama nani? 😂 Nyie Chanzo ndio mnafanya kazi ya wabepari kupeleka agenda zao mbele
@user-qh9gw2vr6k
@user-qh9gw2vr6k Ай бұрын
Mimi nipo hapa nimekaa Wacha nione uraaàaaaaaaaaaaa
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 Ай бұрын
Kwa nini hajasema Marekani na Ulaya wamekuwa bubu wakati Israel inahua watu wasio kuwa na hatia? Hata yeye Ukraine haija lahumu mahuaje ya GAZA. Unafikiri tu ndio Democrats yenu?
@swedywamba5535
@swedywamba5535 Ай бұрын
Kubali yaishe bro utamaliza raia wako kiburi chako ndio kinampa hasira putin nyosha mikono juu maisha yaendelee? Mbona kitu simple tuh kataa kujiunga na nato huyo jamaa atakumaliza
@NassoroMbawala
@NassoroMbawala Ай бұрын
Putini hua wote paka hao huyo mmamerikani wakati anashusha mabomu Iraq. Libya. Uko akuna watoto walio stahili kuishi
@Kituramohamed9698
@Kituramohamed9698 Ай бұрын
Mashoga nipuuzi piga uko ulaya
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 6 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 32 МЛН
Hitler in Colour (4K WW2 Documentary)
1:10:44
Best Documentary
Рет қаралды 10 МЛН