Рет қаралды 15,195
Kighetto ghetto Original hapo kabla ulikuwa wimbo wa Wababe Crack au Wababe Click kundi lililoundwa na King Sapeto na Biko.
Hapo baadae Juma Nature alikuja kurudia wimbo huu na kuuweka kwenye album yake ya Nini Chanzo
........
DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.