WAFAHAMU MASHAHIDI WA YEHOVA BONGO, MITAZAMO NA IMANI

  Рет қаралды 9,914

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

Жыл бұрын

MAHOJIANO MAALUMU YA MASHAHIDI WA YEHOVA TANZANIA. IMANI NA MITAZAMO YAO NDANI YA JAMII. USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL HII ‪@ganganainfochannel‬

Пікірлер: 78
@robertally3538
@robertally3538 5 ай бұрын
Hongera sana ndg Kwa majbu yenyekugusa hisia ,tuwapongeza TBC Kpd Npe 5 na Khalid Gangana...
@israelpallangyo1664
@israelpallangyo1664 Жыл бұрын
Kutoka Arusha, Hongereni sana akina ndugu kwa kujibu maswali vizuri na tunashangwe sana kwa ajili yenu.
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@ndewingiya
@ndewingiya Жыл бұрын
Asanteni sana ndugu zetu wapendwa Zadok Mwaipwisi na Francis Mfuko.
@user-eo3rs2ip7k
@user-eo3rs2ip7k 8 ай бұрын
Asanteni sana ndugu zetu
@oscarkileka3722
@oscarkileka3722 Жыл бұрын
Hongereni kwelikweli... mmejibu kwanjia iliyowastarehesha waliotazama na kusikiliza mahojiano hayo... asante sana kwa kutenda kwa niaba yetu
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@samkibomusic3872
@samkibomusic3872 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kuwaona ndugu zetu mashaidi wa yehova naomba pia kipindi iki kiwe endelevu ndugu mtangazaji
@ahazimwanja1830
@ahazimwanja1830 Жыл бұрын
Asanteni ndugu zetu kwa kufunua kweli za neno la Mungu. TBC asante kuwaalika mashahidi wa Jehova. Ndugu Ahazi Mwanja Mbeya
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@Saranold
@Saranold Жыл бұрын
Yehova aendelee kuwatunza ndugu zetu 🙏
@matronafrank9838
@matronafrank9838 Жыл бұрын
Asante Yehova ww una nguvu na kweli watalazimika kumjua Yehovani nani
@dmwood5431
@dmwood5431 Жыл бұрын
intervew hii imenifundisha kujibu mawswali kwa ufupi na njia sahiii....hongereeni ...ndugu zangu na khalid...👏👏👏👏👏👏👏
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@pelesydaud7744
@pelesydaud7744 Жыл бұрын
Mimi Dada hobokela toka urambo tbr nimefurahi saana kwa kitia moyo chenu🙏

@erickbudigoma7999
@erickbudigoma7999 5 ай бұрын
I see you madam boss 💯
@pascalmruma9136
@pascalmruma9136 Жыл бұрын
Hongereni sana akina ndugu.Tunathamini sana kwa kazi yenu nzuri.
@phebbyshayo9099
@phebbyshayo9099 Жыл бұрын
Asanteni sana ndugu zetu..nawapata kutoka Kigali..Phebby Shayo
@matronafrank9838
@matronafrank9838 Жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri sababu maswali yako yanajenga sama
@elizabethmbilinyi9280
@elizabethmbilinyi9280 Жыл бұрын
Hongereni Sana kina Ndugu kwa maelezo Mazuri.
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@wilhelminamutembei8039
@wilhelminamutembei8039 Жыл бұрын
Yaani kweli ushahidi umetolewa! Ahsante Baba Yehova!!!

@dullydulle9085
@dullydulle9085 Жыл бұрын
Ahsanteni sana akina ndugu, Kwa kuwakilisha vema. Sangwi Dulle songwe Shiwinga mbeya Tanzania.
@ethlenkoko3419
@ethlenkoko3419 5 ай бұрын
Hasate ndugu zetu
@hezronmoses1082
@hezronmoses1082 Жыл бұрын
Asanteni sana
@cosmasfrancis1700
@cosmasfrancis1700 Жыл бұрын
good interview
@nicholaceseni9503
@nicholaceseni9503 Жыл бұрын
We appreciate you for all brothers to represent meaningful way, thanks Jah....!
@O11CEreview
@O11CEreview Жыл бұрын
Yehova bariki kazi za ufalme duniani
@user-hk9ch4ru8z
@user-hk9ch4ru8z 8 ай бұрын
Duniani Kote kunamashaidi wa yehova
@jonathanmbua6118
@jonathanmbua6118 Жыл бұрын
Hongeren sana ndugu kwa majibu na kuelezea vzur
@zerimwasaka-qz2hq
@zerimwasaka-qz2hq Жыл бұрын
Asante yehova
@oscarnevelle5472
@oscarnevelle5472 Жыл бұрын
Asanteni sana yehova awabariki sana akina ndugu.
@agnesappolinary4770
@agnesappolinary4770 Жыл бұрын
Hongereni sana akina ndg.
@gevissimbeye272
@gevissimbeye272 Жыл бұрын
Kwakwel tunamshukuru xan Yehova Kwa kuwategemeza mkawa wasemaji wazuli Ongelen majibu yalihusisha zaidi maandiko safi
@elizabetherenesti309
@elizabetherenesti309 Жыл бұрын
Asanteni sana Ndugu zetu mmeeleza vizuri na mmeeleweka na mmejibu maswali ya wengi waliokuwa hawawajui Mashahidi wa Yehova ni watu gani.
@neemependezamahassan4387
@neemependezamahassan4387 Жыл бұрын
Neema Hassan Asanteni akina ndugu kwa mahjiano mazuri ni baraka kwa Yehova
@laurynlyatuu6928
@laurynlyatuu6928 Жыл бұрын
Asanteni sana kina Ndugu
@user-hk1gj3bn9f
@user-hk1gj3bn9f Жыл бұрын
Hongereni sana akina ndugu kwa maelezo yenye kueleweka, Motisha simon kutoka Chimala Mbeya.
@stephanompunga1026
@stephanompunga1026 Жыл бұрын
Ni kweli ndugu zangu mmejibu kwa busara na hekima. Ila kuna baadhi ya maswali hamjajibu kwa usahihi,, yaani hayakueleweka kwa urahisi na wakati mwingine, tofauti kabisa na swali lililoulizwa. Ila hongereni sana.
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@wilhelminamutembei8039
@wilhelminamutembei8039 Жыл бұрын
Ahsanteni sana wandugu. Ahsante pia TBC kutoa nafasi hii ili ukweli usikike. Shukrani sana
@barakamwaka561
@barakamwaka561 Жыл бұрын
Jamaani hekima iliyotumika na wazee hawa katika kufanya imani yao imenichochea sana .nawapenda sana mashahidi
@hellennkalangango2515
@hellennkalangango2515 Жыл бұрын
Asanteni sana Alina ndugu
@eustacheizere6534
@eustacheizere6534 Жыл бұрын
Moyo wangu unashangwe Nyingiiii saaaaana Kwa kuwaona Wazee wetu wa Kiroho wakiliwakilisha jina la YEHOVA. YEHOVA aendelee kuwa nanyi Ndugu zetu wapendwa Mnaojitahidi kadiri Ya uwezo wenu ili Kuhubiri Habari njema ya Ufalme wa YEHOVA. Na YEHOVA awe pamoja nanyi Na kuendelea kuwalindi dhidi ya Mashambulizi ya Shetani Ibilisi. Ninawashukuru saaaaana kwa kuliwakilisha jina La Mungu wetu wa Kweli YEHOVA.Asanteni🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏. Jina langu Naitwa Eustache izere Natokea Nchini Burundi
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@lusakomwendapole8934
@lusakomwendapole8934 Жыл бұрын
Safi sana
@mebinmlwafu4762
@mebinmlwafu4762 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa mazungumzo hayo
@hellennkalangango2515
@hellennkalangango2515 Жыл бұрын
Hongereni sana ndugu zetu
@marysingambi2830
@marysingambi2830 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kuwaona akina ndugu,na mmeeleweka vizuri
@joycejulius3145
@joycejulius3145 Жыл бұрын
Asanteni sana kinandugu wapendwa
@jonasmalata4565
@jonasmalata4565 Жыл бұрын
Hongeni sana ndugu zetu wapendwa kwa kutoa ushahidi kamili
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@gracejulius3966
@gracejulius3966 Жыл бұрын
Asante Yehova Mungu kwa kuwezesha TBC kutoa fursa hii, habari njema imehubiriwa kwa Khalid Gangana pamoja na maelfu au mamilioni ya watu wanaofuatilia au watakaofuatilia mahojiano haya. Much greetings from Magu Mwanza Tz.
@jeanberchmansngendakuriyo2814
@jeanberchmansngendakuriyo2814 9 ай бұрын
Hawa wazee walisahau kuuambia umma kuwa ktk historia yao YOTE mpaka sasa, Mashahidi wamefundisha mafundisho mengi ya UONGO ikiwemo kutangaza mwisho wa dunia kufika mwaka 1914, baadaye wakauhamishia 1918, 1925, 1975 na ktk karne ya 20 (eti kabla ya izazi cha mwaka 1914 KUTOWEKA). Mafundisho mengi mengi mengi ya UONGO pamoja za katazo la kuchangia damu na kuwekewa damu huku wakikubali kutiwa chembe chembe (fractions) za damu mishipani? Hivi, ikiwa kuwekewa damu mishipani ni sawa na KULA damu, nani kawaruhusu Mashahidi KULA chembe chembe za damu kama hemoglobin, albumin, immunoglobulin, nk. Mbona hizo weruhusiwa kuzitiwa MISHIPANI? (Tembelea: www. jwfacts.com na www.ajwrb.com na www.4jehovah.org)!!!
@hellenshani1614
@hellenshani1614 Жыл бұрын
Kwa Kweli Akina Ndugu Mme jibu vema sana. Hakika Roho ya Yehova ilikuwa juu yenu wakati mnazungumza. Sichoki kuwa SikiLiza.
@ijaraeliud546
@ijaraeliud546 Жыл бұрын
Ninafuraha sana mpaka najiuliza niandikeje!
@geraldbudigoma3564
@geraldbudigoma3564 Жыл бұрын
Tumefuramefurahishwa sana na mahojiano hayo,yamesisimua sana, Mimi binafsi ningependa mazungumzo haya yafanyike mara nyingi zaidi hata ktk vyombo vingine vya habari,. Mimi naitwa Gerald Budigoma , natoka kutaniko la urambo, Tabora.
@neemependezamahassan4387
@neemependezamahassan4387 Жыл бұрын
Asante sana kwa mahojiano hayo imeleta baraka kwa watu waliosika waliatafuta majumba ya ufalme na kujionea elimu ya kiroho wamefurahi sana
@miriamnekesa3464
@miriamnekesa3464 Жыл бұрын
Asante Yehova kwa kulitetea jina lako
@ayubumwambene5342
@ayubumwambene5342 Жыл бұрын
Ayubu Mwambene songwe nimefurahi kwa mahojiano mazuri
@paulmwakalukwa1356
@paulmwakalukwa1356 Жыл бұрын
Ni furaha sanaa kuwaona Ndugu zetu.
@user-yq1wc9jz6z
@user-yq1wc9jz6z Жыл бұрын
Mimi nilikua naomba Mutu wakijifunza naye
@erickbudigoma7999
@erickbudigoma7999 5 ай бұрын
upo wapi ww
@pendokaozya506
@pendokaozya506 Жыл бұрын
Nimefrai saana mahojiano haya
@LinusdionizLinusi
@LinusdionizLinusi 10 ай бұрын
Yehova hasante
@fordrwahura3308
@fordrwahura3308 Жыл бұрын
Asante kwa kutuwakilisha vizuri ndg Zadock Mwaipwisi na Ndg Fransis Mfuko
@tuguro
@tuguro Жыл бұрын
🙏
@pauljosephtarimo2279
@pauljosephtarimo2279 Жыл бұрын
Mwaipisi hazeeki Toka nikiwa mdogo yupo hivihivi
@nathanezekiah8005
@nathanezekiah8005 Жыл бұрын
Ndaga fijo
@janeshayo4101
@janeshayo4101 Жыл бұрын
Asanteni
@norahazan796
@norahazan796 Жыл бұрын
Yehova aendelee kuwabariki ndugu zangu
@gloriambise7607
@gloriambise7607 Жыл бұрын
Hongereni Sana ndugu zetu
@asteer.mlungu5165
@asteer.mlungu5165 Жыл бұрын
Shukurani.sana
@japhetkasewa9372
@japhetkasewa9372 Жыл бұрын
Safi sana
ROSE SHAYO NA KHALID GANGANA KUNANI?, NI SAUTI YA MOYO WANGU
29:52
Gangana Info Channel
Рет қаралды 447
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 32 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 9 МЛН
Swahili Choir at the Kingdom Hall
11:48
afrikaril
Рет қаралды 154 М.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 550 М.
MASHAHIDI WA YEHOVA SIO KANISA LA YESU
1:43:48
Matendo Esaïe
Рет қаралды 796