Wafanyabishara wa nafaka walia na faini kusafirisha mazao.

  Рет қаралды 3,074

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Zaidi ya malori 100 yenye shehena ya mahindi yaliyokuwa yamekwama katika eneo la njia panda kwa takribani wiki moja hatimae yameruhusiwa baada ya kulipa faini ya kati ya sh laki tano hadi sh laki nane.
Wafanyabiashara na wakulima wanaosafirisha nafaka hizo wamelalamikia masoko ya mazao ya kilimo wakihoji vikwazo vingi wakati wa kutafuta masoko huku serikali ikitoa ruzuku kwa wakulima kuwainua

Пікірлер: 7
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 Жыл бұрын
Selikali mbovu Awamu 6 watu wamepita bila kupingwa?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 7 ай бұрын
W
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Жыл бұрын
Sisi tunalima kwa tabu mazao yetu tunataka kuuza mnakwamisha watu kufikia walaji .kwani kama ni kazi rahisi njoni mlime tumechoka na serkari hii .tumechoka na nyinyi mungu upo wapi hawa kwa nini wasife tumechoka
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Жыл бұрын
UNAPASWA UWE NA KIBALI, LESENI, TAX CLEARANCE NA ATOMIC CERTIFICATE. KAMA HUNA HIVYO, NI BORA ULIPE FAINI HALAFU UKAJIPANGE KWA UPYA KULIKO KUPOTEZA MZIGO WOTE.
@nshashisaguda
@nshashisaguda 4 ай бұрын
Ni vitu Gani vinahitajika ili niweze kusafirisha mazao ya biashara kutoka eneo moja kwenda jingine
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Msipeleke nche chakula jamn mnajari kupata pesa tu hamuangalii janga la njaa linaloweza kutokea
@christamankoka5700
@christamankoka5700 Жыл бұрын
Achana na hiyo biashara utafilisika.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 27 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Hoja kuhusu jina yaibuka shauri kuhusu Kombo, Wakili Madeleka afunguka
7:24
Tazama Makamba alivyomkabidhi Balozi Kombo ofisi
1:19
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,2 М.
Wakili mwingine aiburuta TLS kortini
5:48
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,2 М.
Lawi atishiwa kupelekwa mahakamani kisa malipo ya usajili
4:13
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,2 М.
DETIK DETIK CHASIS BUS ALS 151 YG TERGULING DI MALALAK MENUJU KAROSERI MALANG
19:45
Situlang Channel Official
Рет қаралды 4,2 М.
ONYO LA TUNDU LISSU UCHAGUZI UJAO, ASEMA WATASABABISHA MAMBO MABAYA
2:38
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 27 МЛН