No video

WAJASIRIAMALI WAPINGA STAND YA MAGUFULI KUGEUZWA KUWA GOFU WAHOJI "WAO NI AKINA NANI, WANAHUJUMU"

  Рет қаралды 47,942

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 441
@dicksonmajaliwa127
@dicksonmajaliwa127 2 ай бұрын
Msitupangie abilia pakupandia au pakushukia wew ukion haikulipi kufanya biashala apo stendi ya magufuli badilisha mazingila
@emmanuelburchard3153
@emmanuelburchard3153 Ай бұрын
Oya unatakaje. DSM nzima ishuke na kupandia ubungo. Utawalipia Hela ya taxi. Badilini eneo la biashara mkiona mmepotea maboya.
@nazarethally9509
@nazarethally9509 2 ай бұрын
Walalamikaji wote sio wamiliki wa mabasi wala sio abira ni wapiga debe naona wameona wanakosa hela
@eliasbadyana
@eliasbadyana 2 ай бұрын
Ushaur wako niup?
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@alfanikingwan7174
@alfanikingwan7174 2 ай бұрын
Sio wote wasukuma wa mwanza kuwa na akili mbona Kuna TREN ya Mbeya Zambia lakini Kuna mabasi mengi Sana yanaenda huko,,
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 2 ай бұрын
Unakosa uelewa wewe unadhani kwanini ilijengwa stand km kila mtu anashushia anakotaka
@justinemuzanye7067
@justinemuzanye7067 2 ай бұрын
Raisi Samia apunguze ukimya na upole unaopiriliza. Kesho atoe tamko, mabasi yote yashushie Magufuli stend. Asisahau dhamilayake na Magufuli
@mcback4384
@mcback4384 2 ай бұрын
Next month SGR Dodoma Inaanza hamtaona hata nzi hapo ya Mwanza ikiisha ndio pataota nyasi
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 ай бұрын
😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@eliasbadyana
@eliasbadyana 2 ай бұрын
Hakili tope kamahizi eti Africa iwe namaendeleo kweli?
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 ай бұрын
Mawazo ya ajabu
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 ай бұрын
Bwana la vyura
@EzzyEddy-nv6ti
@EzzyEddy-nv6ti 2 ай бұрын
Daaaah ndo maana kuendelea Africa ni ngumu Sana yaan 😢😢😢
@zephaniamkondya9977
@zephaniamkondya9977 2 ай бұрын
Ubinadamu na utu ni muhimu sana!Kushusha na kupakia Urafiki haina maana mabasi hayaingii kituo cha Magufuli kushusha na kupakia.Mabasi yanaingia.Serikali ikawaonea huruma abiria wanaoishi mbali na Mbezi kwa kuwapungizia gharama za kusafiri pamoja usalama wa kutoka na kurudi makwao.Mabasi yashushe na kupakia Mbezi hata Urafiki pia kuliko abiria alale kituo cha Magufuli ni shida na taabu sana.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Ivi nyie wa tz kama nyinyi mavi mna tokea wap maana mnakuakama bendela ina fuata upepo wakati magufuli akiwa ai pale watu walikua Wana panda galii vizilii uduma mzulii etii Sasa ivii hooo shekilango oyeee kwani ao watu wote wanao safilii wana ishiii shekilango inatakiwa ifike wakati mjitambue nynyii msiejielewa
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb 2 ай бұрын
Point yako haina mashiko...kwan wakat stend ipo ubungo mbona tulikuwa tunatoka mbz kwenda kupanda bac ubungo?
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 2 ай бұрын
Pongezi mkuu umenena point ila wasikuelewe 👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏
@danielhumble4292
@danielhumble4292 2 ай бұрын
Kama unazungumzia huruma basi wakashushwe majumbani kwao na sio urafiki,lkn pia akili yako ni zero au uvivu wa kufikiri pole
@romanambelle6356
@romanambelle6356 2 ай бұрын
Ni kweli hiyo ni hujuma kama mtu katoka mbagala why aende shekilango kwa nn wasinyoshe mbezi. Wizi mtupu
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 2 ай бұрын
Angekuwa magufuli wangemchezea ivo kila mtu kushusha nakupakilia anapotaka
@adrianjames6637
@adrianjames6637 2 ай бұрын
Tatizo hapo Magufuri wezi wengi na usumbufu mwingi sana
@maloukabemba1230
@maloukabemba1230 2 ай бұрын
Ni kwelii Kabisa Wana usumbufu mpaka unachoka mtu anaona Bora akapandie kwenye ofisi zao
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 2 ай бұрын
Serikali mnamkosea Marehemu J.P.MAGUFULI Jinai kubwa na amefanya mengi mazuri. Kama Kuna vibaka hapo muwazibiti.Pia Serikali inakosa Mapato.
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 Ай бұрын
Kabisa yaani. Huo ni uhujumu uchumi
@johnshauri3130
@johnshauri3130 2 ай бұрын
Msitupangie sehemu ya kushukia nauli hamtuchangii wezi wa stendi wote mkalime!
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x 2 ай бұрын
Kaweee tunatakaa stendii ya mabasii ya mikoanii tumechokaa kwenda mbez usikuu usikuuu😅😅😅😅😅
@AllDesigningTZ
@AllDesigningTZ 2 ай бұрын
Tena mallard umechukua picha wakati mabasi yamesha ondoka na wewe una wasapoti nini maana munatengeneza picha ionekane kama hapo hakuna gari waga lina fika ACHENI HIZO sisi abilia tunapata shida sana kwanza wapigadebe wamezidi na udalali mwingi
@nehemiakingima6213
@nehemiakingima6213 2 ай бұрын
Kwakweli serikali imefanya jambo la maana kill kituo ni kikubwa mnoo bila hivyo kitakufa. Tatizo sisi watanzania hatuna jema..hongera mh samia
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Ай бұрын
TAX kutoka tandika mpk hapo kituoni mbezi ni Elfu thalathini ndiyo maana tunapandiya huku kupunguza gharama
@Kabwela776
@Kabwela776 2 ай бұрын
Ujamaa umeiharibu sana Tanzania 🇹🇿 hao ukiwauliza ni wanafanya nini hawana jibu la maana wengi wao ni wezi wapiga debe karne hii unampigia Nani debe kituo kilitakiwa kiendeshwe kisasa weka display monitors/screens na vipaza sauti matangazo, ondoa wapiga debe wote toka nje ya geti kila anayeingia awe na kazi maalumu kuwe na control room na mtu akionekana anazurura ovyo bila shughuli maalumu police wanamkamata au anawabuguzi abiria
@hamenyayohanakasase5836
@hamenyayohanakasase5836 2 ай бұрын
Yaani we ndiyo umesema lililo sahihi sana.
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 ай бұрын
TATIZO MAJIZINWENGI
@nazarethally9509
@nazarethally9509 2 ай бұрын
Basi langu munipangie pa kushusha
@didasseveline9013
@didasseveline9013 2 ай бұрын
Pole tatizo lako ni uelewa iv unadhani Kila mwenye basi akishushia abiria kwake unadhani usalama wa nchi utakuwaje? Lakini na mapato ya nchi yatapatikanaje?
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or 2 ай бұрын
Na ww nimpiga debe wale wale tu😂
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 2 ай бұрын
​@@didasseveline9013Kwahio unasema kwamba mabasi yasipoingia stand usalama wa nchi uko hatarini pamoja na mapato yake?
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Ukienda hapo unagombaniwa kama mhalifu watu wanaokudai wakuuzie tiketi ni wengi sana hakuna amani
@user-qx7yw5hq5i
@user-qx7yw5hq5i 2 ай бұрын
Kwan umeambiwa ukatie ticket magufur c ukatie hata nyumbani kwako online,tatizo mkifika stend mnababaika ndo mana mnavutwa vutwa,lakin ukiwa na msimamo hakuna anaekusumbua
@user-qx7yw5hq5i
@user-qx7yw5hq5i 2 ай бұрын
Kwan umeambiwa ukatie ticket magufur c ukatie hata nyumbani kwako online,tatizo mkifika stend mnababaika ndo mana mnavutwa vutwa,lakin ukiwa na msimamo hakuna anaekusumbua
@NorascoKipeto
@NorascoKipeto Ай бұрын
wapiga debe wanaharibu stand ya magufur mm binafs naenda tuma mzigo, wakazonga mpaka nikapigana na mpiga debe, kimekua kimbilio na wanyaji wa smart gin
@AllDesigningTZ
@AllDesigningTZ 2 ай бұрын
Millard Una wahoji na abilia hawo jamaa wanaangalia tu matumbu yao dar ni kubwa na watu hatuwezi kwenda mbezi eti kufata mchele kilo mbili nilizo tumiwa wakati gari lina ofisi huku kwetu ACHENI UJINGA
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Na kwa nn wa tenge nezee site sitendi mitaani mbona wakati wa magu walikua awa jengi sitendi mitaani Sasa ivi kafa ndio Wana Jenga Kwanzaa ayo nikukimbia Kodi naao niweziii
@AllDesigningTZ
@AllDesigningTZ 2 ай бұрын
Wewe unazani stendi zimeanzishwa baada ya magu kufa hapana urafiki ipo kabra hata magu sio mbunge yad zamagari ziko kila kona
@unknownbutterfly6310
@unknownbutterfly6310 2 ай бұрын
Kwahiyo gari garage yake ipo Chanika, akitoka huko aende na gari tupu aache abiria wanaotokea maeneo hayo aende akasubirie Magufuli? Nyinyi nanyi mnavutia kwenu sio kwamba mna roho nzuri sana na abiria....
@user-vl5tz6xt2m
@user-vl5tz6xt2m 2 ай бұрын
Haileti maana kabisa, gari la chanika liende na abiria wake, wafikirie njia za kutafuta hela zngne
@pancrasmalamla9799
@pancrasmalamla9799 2 ай бұрын
Wewe ndiye unayeihujumu Sababu mmetufanya abilia kuwa mtaji kwenu mnatuuzia vitu Bei ya juu magari yanaingia stent na wahusika wanalipa mapato yote usalama wa abilia upo chini ya Mungu na wahusika wa Mabasi ipo siku mtajua nguvu ya Abilia
@vibetz9991
@vibetz9991 2 ай бұрын
RIP magu
@shadrackjacob800
@shadrackjacob800 2 ай бұрын
Wezi sana humoooooo hamna heshima mnasumbua abiria.
@alawisaid280
@alawisaid280 2 ай бұрын
kituo kina shida kuna mijizi humo mitapeli watu wana kilalamikia sana
@AbdiAthumani-es7og
@AbdiAthumani-es7og 2 ай бұрын
Kwani lazima tatizo hapo wezi wengi shekilango hoyeee😂😂
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa 2 ай бұрын
Hapo Kila Mtu anavutia Kwake Sisi abiria wa Chanika Hatutaki Tunataka tupandie ukuuku Kwetu.
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k Ай бұрын
Na muishie uko uko kengs nyie😮😂😂😂😂😂
@boazmvellah6286
@boazmvellah6286 2 ай бұрын
Mnakosea sana mnavyomuomba Rais, Rais hyo ni kazi yake na sio kuwa anajitolea so mnapokuwa mnataka kitu mnapaswa kumuagiza na sio kumuomba mnamwombaje na wakati Urais ni kazi tuliyomwajili na anapaswa kutekeleza majukumu yake.
@DM_15
@DM_15 2 ай бұрын
Tatizo pale wahuni niwengi sanapale magufuli. Kwa wanaosafiri maranyingi mtakua mashahidi namna ya kingia pale hakuna ustaarabukabisa watu wana kuvuta marahuyu begi marahuyu anakushika mkono watu wahovyo sana pale ukumwanzo unaingia vzri tuu unalipia vzri ukisha pita tuu unapokelewa nawahuni. Ukikuta mwanamke anakupokea ndio balaa niwashenzi sana pale standi. Hawawote wanaosema hapa niwahunituu nawachukuasana maana pale nilisha poteza mzigowangu wakati nazuiabegi kunamwingine alinipora mfukowangu . Hawa watu sio wastaarabu kabisa ukiwa kwenye eneolao wanalofanyia uhuni. WAHUNI WOTE HAWA
@user-df7xo5nu9z
@user-df7xo5nu9z 2 ай бұрын
Kwel wizi upo mmoja aliibiwa simu hapohapo
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Wahuni wamezidi hapo unakata tiketi vizuri kesho ukija na mzigo ni hatari wanataka ulipie sina cha kusema ni wizi ni utapeli ni vurugu uhuni wote uko hapo😏😏😏
@shabanirajabu2002
@shabanirajabu2002 2 ай бұрын
Yawekwe mazingira bora ndio muhimu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Wewe iyo wnacho zungimzia apa kupakia abilia Sasa ww kama una taka usiitwee au una potosha uma nawee mwiziii nn
@fredducaunt
@fredducaunt 2 ай бұрын
​@@RomanMwinyi andika ueleweke
@JuliusMadaha
@JuliusMadaha 2 ай бұрын
Msidanganye watu vinginevyo nunueni mabasi yenu siyo kulazimishana hili ni soko huria
@amasaro70
@amasaro70 2 ай бұрын
Magari yote tayari yanapita Mbezi, hata kama yametokea kwingine. Na yanalipa madhuhuri stahiki. Shida yenu wapiga debe, mnapenda ile hali ya msongamano na mbanano unaotokea abiria wanapokuwa stuck hapo kwenu. Nchi imeshasonga mbele na inaendelea kusonga, siku hizi hata ticket tunakata kupitia mitandao. Siyo rahisi kurudi nyuma.
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 2 ай бұрын
Nendeni mkalime nyinyi wote madalali na vishoka wezi watupu mmejaa hapo Mbezi msimtaje Rais katika hili kutaka kupata huruma yake kituo ni cha hovyo ni kichaka cha wahalifu.
@iddyiddy7358
@iddyiddy7358 2 ай бұрын
Duh kituo cha hovyo😮😮
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k Ай бұрын
Huna akili ww boya kituo cha hovyo alikijenga ndugu yako ebu tutolee ushamba😮😮😮😮😮😮
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 Ай бұрын
@@user-mi7yx8ew1k Jiwe limekupata hilo inawezekana wewe ikawa miongoni niliowataja acha makasiriko chukua hatua huenda riziki imefika mwisho hapo katafute kibarua kingine hata cha kubeba zege.
@bakarikamote5709
@bakarikamote5709 2 ай бұрын
Tatizo kuna usmbfu mwingi umo vishka walanguzi wengi hpo
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 2 ай бұрын
Imekula. Kwenu
@himidijenga535
@himidijenga535 2 ай бұрын
Tatizo hii stend ipo mbali sana aisee
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 2 ай бұрын
Sisi wenye mabasi hatutaki
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 2 ай бұрын
kaka mm naina mabasi yanafanya sawa, huwezi kumpangia mtu pakushukia
@TaucyMasuod-md8tv
@TaucyMasuod-md8tv 2 ай бұрын
Mpaka wapiga debe waishe ndo tutabandia hapo
@user-te1gg8uj7j
@user-te1gg8uj7j Ай бұрын
Hivi hamuwezi kuacha kumsifia huyo rais kinafiki ili msikilizwe wakati mioyo yenu inaongea vingine??
@johnshauri3130
@johnshauri3130 2 ай бұрын
Kila mtu awe huru tusilazimishane Kwa maslahi yenu ya kuwaibia abiria na kuwaongezea gharama za usafiri
@abdia.hassani4384
@abdia.hassani4384 2 ай бұрын
Hao wadau wote wanafanya nini hapo , stand ni kero kwa abiria unavutwa vutwa tu
@thomasmwambe4372
@thomasmwambe4372 2 ай бұрын
Nyie wezi walanguzi munatusumbua tukija hapo kuvutwa mashati hadi yanachanika ovyo kabisa nyinyi
@Zenny89
@Zenny89 2 ай бұрын
Shida ya hiki kituo..ukiingia ndani..kila mtu anataka kukupiga hela…Kwahiyo ni bora kupakia nje..na pia wadau ni wengi sana kwenye kituo kimoja
@user-pf4gz4ns8m
@user-pf4gz4ns8m 2 ай бұрын
Mlizoea udalali kwa abiria, saivi mmekosa Cha kuongea nmajifanya mnataka mabasi yarudi huko..
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 ай бұрын
Kwa hilo hapana,ni usumbufu kwa abiria.Ni kweli wanawasaidia abiria.hata huko kuna usalama sanaa.
@damianmhagama4398
@damianmhagama4398 2 ай бұрын
Kwa hili naunga mkono hoja. Hakuna faida ya kuwa na stendi iwapo mabasi yenyewe yanaishia juu kwa juu
@user-vd2lm9ng1g
@user-vd2lm9ng1g 2 ай бұрын
Ni kwel maana hata stend ya dodom Amna utofaut Kuna haja gan ya kua na stendi
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Hii stand iko mbali sana, kama Unasafiri saa tisa ya usiku hakuna mwendokasi na wengi hatuna ewezo wa ku kodi taxi
@juchaonline4084
@juchaonline4084 Ай бұрын
Uboya uwo ,,kwann dar aijaamia na kwenu sehem ikipangwa imepangwa,,uwanja wa taifa uko mbal na watu wengine lakin wanaenda kufata huduma,,bunge liko mbali dodoma lakin watu wanaenda,,we ubazan ukitaka kupanda tren ya mwendokas unaenda wap lazima ufate kituo kiliko Acha ushamba ,nyie ndio wale utaskia umejenga mbal kwel,,ukimuuliza mbal na wap utaskia mjin,,enhe alioko kigoma utasemaje
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 ай бұрын
R. I. P JPM. Pasipo maono taifa huangamia. Mwenye maono kaenda na maono yake.Tatizo viongozi dhaifu sana.
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM Ай бұрын
Mama kwa suala la Stand naona kuna mfupa unamshinda. Tunamuombea apate meno atafune. Mkuu wa mkoa siku za mwanzo alipaza sautiiiiii lakini nahisi kashikwa sikio na kakuta mfupa. Na hapa ndipo mnapopwaya na mnafanya watu wanakumbuka mzee wa maamuzi mwenye jina la stand. Mama TAKE ACTION.
@dominickchristopher1669
@dominickchristopher1669 2 ай бұрын
Sisi abilia tunaogopa kuibiwa apa mbezi
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 2 ай бұрын
BRT. Stand. Sijui SGR.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 ай бұрын
Alafu utasikia mama anafanya kazi yakukopa ndiyo anafanya
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 ай бұрын
Mnajua bei ya bus moja shi ngapi na nyie nendeni mkanunue mabus muweke apo stend msiwapangie mabos cha kufanya
@ikokijuma-zv7wd
@ikokijuma-zv7wd 2 ай бұрын
Wote wanaongea usenge tu nitoke gomz nije mbezi kufanya nini wahuni tu nyinyi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
LIGEUZENI SOKO LA KUTEREMSHIA MAZAO YAKITOKA MIKOANI
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Hakika magufuli atabaki kuwa magufuli tuu saizi serikali hakuna
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 2 ай бұрын
Ngoja nigombeee uwaziri kazi kupambana na dada poa bizee hili havioni tu
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 2 ай бұрын
Good points guys
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 2 ай бұрын
Hilo ni kweli , Hivi huyu samia anafanya kazi gani ?? Magufuli alikuwa na lengo zuri sana,mabasi yote inatakiwa yaingie hapo stand kila siku nasema angekuwepo magufuli mwenyewe huo upumbavu usingekuwepo.
@user-vl5tz6xt2m
@user-vl5tz6xt2m 2 ай бұрын
Tafuteni njia zngne za kutafuta riziki huwezi kuwachagulia watu dunia ya leo waende wapi kupata usafiri,huo ni uvivu wa kufikiri.
@sam_ngulinzira
@sam_ngulinzira 2 ай бұрын
Mabasi yatarudi Magufuli kama tozo zitakua rafiki.
@user-tm3dx2ey7j
@user-tm3dx2ey7j 2 ай бұрын
Stendi imejengwa Kwa nn mabasi yasiingie kama vipi bomoeni hiyo sitendi basi
@fredsanga9461
@fredsanga9461 2 ай бұрын
Tukienda kupandia basi stand ya Kilimanjaro pale Shekilango, Kwanza, tunaingia bure Pili, Choo bure Tatu, Usalama wa kutosha. Huko Magufuli, migambo waonezi, vibak, ulanguzi kila kitu kwa malipo loh!
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 Ай бұрын
Hilo neno maajenti wawe na wafanyabuasha wenye bei rafiki
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 2 ай бұрын
JAMANI WAFANYA BIASHARA WANAPENDA WANOSAFIRI WATOLEWE HELAAAAA NA SAFARI SAHIVI NYINGI NI USIKU HAPO KAZI KWEL UKISHUSHWA HAPO USIKU
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 2 ай бұрын
Kwa nyie mnaona sawa! Ila abiria kwa stand hiyo ni kero aisee walanguzi ni wengi kuliko abiria. Mi mwenyewe napandia Shekilango!
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 2 ай бұрын
Kituo cha mabasi kirudishwe UBUNGO/URAFIKI.
@hostkayava6768
@hostkayava6768 2 ай бұрын
acheni ujinga nyie an mtanzania anaish zake chanika au vikindu na kuna bus inalala huko, bdo mnataka ateseke purukushani za daladala ikiwa anaeza kuanzia safar yake mtaani kwake ksa point ya kutengenezeana fursa
@syliviakente9460
@syliviakente9460 2 ай бұрын
Laisi au Raisi
@user-gc8jc1sh4z
@user-gc8jc1sh4z 2 ай бұрын
Mm naishangaa sana serikali yetu kwasbb stendi imejengwa kwa zaidi ya billion 50 kituo kimebaki empty hakuna mabasi yanaingia kupakia abiria kila tajiri anatengeneza sehemu yake ya kufanya stendi.serikali ianglie hili kwa umakini
@ElishaMahungo
@ElishaMahungo 2 ай бұрын
Hivi nyinyi mnafikira kwel eti mm naenda posta nishuke sitendi ili nilipie tena niende posta embu tafuteni mada nyingine ya kuongelea
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Ай бұрын
kabisaaa
@filbertdamiani101
@filbertdamiani101 2 ай бұрын
Kuwe na biashara nyingine kusiwe na wapiga debe, siku izi tiket ni online, acheni mabasi yajiendeshe yenyewe, mnalangua abiria
@imanibakili8028
@imanibakili8028 2 ай бұрын
Njia sahihi wasizuie watu kupanda gari mahala kwingine lakini kila gari ilazimishwe kuingia na kuchangia mlangoni boss akiona hasara atalazimisha root ianzie hapo na iishie hapo
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 2 ай бұрын
RIP Magufuli
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
Mimi nakaa kigamboni unataka nishukie hapo mbezi unaona ni sawa kweli hatutaki kushukia hapo
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 Ай бұрын
Katiba mpya ndio jibu selikali mnayo ilalamikia ndio yenye wabungewengi wanaomiliki mabasiyaendayo mikoani kwaiyo nivigogo ambao hamuwawezi kwasababu wao ndio watunga Sheria jibu nikatiba mpya itafuta yote haya hata mtaje mama mala mkuu wa mkoa Yani mtasumbuka sana mpaka aje laisi mwingine ambae atafata nyayo za maguli
@worldlytech.8991
@worldlytech.8991 2 ай бұрын
Njaa ni adui mkubwa sana yani hawa wafanya biashara wachache wana taka jidai wana uchungu sana na hiyo stand kisa wana miliki frame ndani ya stand bila kuona msaada wa hizo bus terminal kwenye mitaa mbalimbali. Wanacho kisema hawaoni kuwa wanavutia kamba kwao wakati abiria walio wengi wanazidi shukuru terminal services karibu na makazi yao.
@Simbafamily.
@Simbafamily. 2 ай бұрын
Acheni ujinga wapigadebe mnapiga makerere Kwa ajir ya maslah yenu binafsi
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 2 ай бұрын
Wewe unaongea kitu , serikali imetumia galama kubwa sana , kwahy mabasi yasipoingia maana mapato yanakosekana
@Simbafamily.
@Simbafamily. 2 ай бұрын
@@dennisezakiel3380 magari yanaingua stand yanashusha abiria alafu yanatoka kwenda sevis na car wash. Sasa hapo stand Kuna hizo huduma?
@LesingoBaraka
@LesingoBaraka 2 ай бұрын
Sasa hivi tren ya umeme 😂 bado hamjasema
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 2 ай бұрын
Ongea yenu ila habari ya kwamba miaka mitano Tena mimi naona inatosha ya
@Holiallen
@Holiallen 2 ай бұрын
Kwani lengo mama ni kusafirisha abiria au nyie kuuza bidhaa??
@madengejr
@madengejr 2 ай бұрын
Shida ipo kubwa ,,hiyo stendi inahujumiwa na viongozi wakishirikiana na wafanyabiashara
@user-qx7yw5hq5i
@user-qx7yw5hq5i 2 ай бұрын
Kama hawataki kurudi,hawa waliokuwepo na wao watafute pakwenda majengo tufugie kuku
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 ай бұрын
R. I. P JPM. Pasipo maono taifa huangamia. Mwenye maono kaenda na maono yake.
@JosephSalema-pg4ot
@JosephSalema-pg4ot 2 ай бұрын
Wameongea kuangalia upande wao tu kwan huko barabarani si wapo wakaguzi.? Hayo malalamiko yangekuepo endapo wangekua abiria wa mbezi wanapelekwa gomz afu warudi mbezi, ila watu wamabasi wanafanya uungwana wanaingia mbezi magufuli then wanatoka wanaenda wakuwashusha abiria katika vituo vyao mpaka kufika mwisho gomz... mumekosa point wadau
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 Ай бұрын
Mnatupangia kwa kushukia.acheni kutuonea abiria.
@user-gp2kh5pe1x
@user-gp2kh5pe1x Ай бұрын
Ukweli stand iko mbali na idadi kubwa ya watu, walifanya kosa kubwa kupeleka mbezi kutoka ubungo, hebu fikiria mtu anaishi mbagala kuu
@user-pf4gz4ns8m
@user-pf4gz4ns8m 2 ай бұрын
Sisi tunafurahi kupata mabasi ambayo yanafika tulipo sisi aboria.. acheni ushamba na njaa
@tisgftanzania4593
@tisgftanzania4593 2 ай бұрын
Mkuu wenu wa Wilaya anahangaika tu na Machangudoa Anaacha miradi ya msingi inakufaa hapo
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 ай бұрын
Wekeni kituo cha polic tatizo dar vibaka wote wanaishia stendi. Abiria wanakua kama yatima hapo.
@johnsonmshiu4837
@johnsonmshiu4837 2 ай бұрын
Naishi Chanika nitoke huko mpaka Mbezi kuja kupanda gari? Nadhani kwa aina ya usafiri wasasa hatuhitaji kua na stand kubwa kama hii mana. Chapili unashuka magufuli unamizigo yako utembee mpaka upande wapili kupanda daladala inachosha sana mazingira sio rafiki
@marionoti5760
@marionoti5760 2 ай бұрын
kutoa sifa kwa Raisi kwa nia ya kumlainisha ili mshibishe matumbo yenu, Ni Rushwa. Takukuru mbona hamuwakamati? Ruswa mchana kweupe. Angalia yote yanayo bwabwaja yalivyo vimbiana kwa mapato ya hila, hadaa, ghiliba na udanganyifu. wakalime ili kukuza uchumi wa nchi, badala ya kuyakusanya majizi hapo mbezi ili yaneemeke kutoka kwa wananchi waaminifu kwa taifa lao. Eti watumike palisi!
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 ай бұрын
Msiangalie upande wenu.tu.Angalieni na usumbufu atakao pata abiria.Mnampongeza leo Rais ili awajibie hoja yenu.
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 2 ай бұрын
Stendi ipo mtaa wa amana ilala dsm
@johnkashandu2117
@johnkashandu2117 2 ай бұрын
Hao ni wajasiria mali vipi kuhusu abiria nao wanasemaje
@samiramawby1257
@samiramawby1257 2 ай бұрын
Mnapenda sana bunduki na mirungi siyo??yaani hamuombi heri mnataka shari ndp ije kituoni kwenu??na mtayapata mabunduki yale ya Msomali posta hamuwezi kutaka mabas kwaajili ya bunduki nyie mna walakini duuu waislaam ni fitina tupu
@user-xy3yb8rn5v
@user-xy3yb8rn5v 2 ай бұрын
Wote mnao ongea mnamaslai naiyo stendi. Mnaiongoza kihuni hata Mimi kupanda basi uwo stendi nibora nikapande malori inje. Wauni wote
@Worldunite
@Worldunite 2 ай бұрын
Hatutaki,msitulazimishe
@goodluckmtahiko6680
@goodluckmtahiko6680 2 ай бұрын
Tafuteni na nyie kazi zingine sio kunaganagania hapo Magufuli terminal
@melkisedekkaijage2777
@melkisedekkaijage2777 2 ай бұрын
hili ni tatizo la stend kubwa zote. Wamiliki mabasi wengi wanashusha nje ya stend
@hermentmushi6282
@hermentmushi6282 2 ай бұрын
HUNA HOJA,ACHA UNAFIKI.WATU WA CHAMAZI WAKIPANDIA HUKO KWAO,INAKUUMA NINI?, UZENI UJINGA WENU HUKO, WAJINGA SANA.KODI ZINATOLEWA.WAJINGA NYIE.MMEFELI.
@bminawandu
@bminawandu 2 ай бұрын
Wapiga Debe gari zote zinaingia hapo shida abiria Wana sumbuliwa na wapiga debe
@user-kz8di5th6e
@user-kz8di5th6e 2 ай бұрын
Bora mabasi ayo mnayo yapinga kuliko kero za apo stendi ya magufuli unaingia stendi kwenye kulipia tuu 300 uingie ndani kero na wahudumu wenyewe wanafanya kazi jinsi wanavyo jisikia mimi nibora niende shekilango kupanda basi kuliko mbezi magufuli
@jamesmbwambo6142
@jamesmbwambo6142 Ай бұрын
Haina umuhimu wowote kwa abiria kushukia apo stand......zaidi ni abiriaa hasa wageni kutesekaaaa
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Ай бұрын
Wapiga debe na wauza keki na mikate ndio wanauchungu sana maana magari yalikua hayafiki😂ila nimeona kampuni Moja Ina bonge la ofisi sijui ni manzese pale,ile kituo ni noma aisee
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 2 ай бұрын
Kwa hiyo nyie mnajifikiria wenyewe tu na wale kule shekilango inakuaje hizo frem zao na wale wanaojipatia riziki hukooo. Achen tamaaa. Alf kingine sio kila mtu ana hela yakuweza kufuata gari mpka huko mbezi.
@judithfrancey7068
@judithfrancey7068 2 ай бұрын
Hawana akili very selfish
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 601 М.
🔴 Al Jazeera English | Live
Al Jazeera English
Рет қаралды 6 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН