No video

WAKABIDHIWA NYUMBA YAO |FURAHA YAPITILIZA

  Рет қаралды 12,754

DTV

DTV

Күн бұрын

Пікірлер: 143
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 6 ай бұрын
Nampenda uyo mzee yuko strong anatiya moyo cha msingi kwa kuwa anauwezo wa kujituma apate msingi alishe familia yako na we fabi mwenyezi mungu nawe akunyoosheye kila unacho hitaji cha kheri kwajuhudi zako
@lulushawaka6200
@lulushawaka6200 6 ай бұрын
Kaka fabi mollah akujaalie bibi tunakupenda kwaajili ya allah ❤❤
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 6 ай бұрын
Alhamdulillah 🥰 Mungu awabariki wote walioichangia familia hii❤❤❤
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 6 ай бұрын
Mashaallah Allah awajalie wote waliojitolea ktk hii familia na Allah akujalie kheri kaka Fabi kwa jutihada zako kuipambania hii famiiia Allah atakulipa
@mauasylla5024
@mauasylla5024 6 ай бұрын
Hongera sana kaka Faby. Mwenyezi Mungu akubariki wewe na team yako yote kuondoa unyonge kwa familia hizi zinazohitaji msaada.
@salmaabdallah7200
@salmaabdallah7200 6 ай бұрын
Amiin 🙏
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Mashallah bibi nampenda sana sipati picha kama angekua anaona 😂😂😂
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 6 ай бұрын
😂😂😂😂 bibi nampenda sana na nitammiss sana
@KautharMohamed-kj5zc
@KautharMohamed-kj5zc 6 ай бұрын
Ata mm nampenda❤️sana
@user-pk2km5nj3f
@user-pk2km5nj3f 6 ай бұрын
Mashalla Alhamdulillah Huyo ndio mungu wakweli hamtupi mjawake ata km tunamuudhi vopi mungu anatupenda
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 6 ай бұрын
Mashallah baba fabi anaswali na mama fabi nae amwambie kuswali
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 6 ай бұрын
Faby kazi yako njema Jehova akuinue na uwe na yaasisi kubwa ya habari iwefikie wahitaji wengi ili wapate kumtukuza Mungu nawe umebarikiwa
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 6 ай бұрын
Hivi johova ni mtu au ni nani manake umesema johova amuinue samahani lakini naomba unifahamishe
@hawakiza6067
@hawakiza6067 6 ай бұрын
​@@maryamtanzania9743swali zuri
@evarinenathaniel9838
@evarinenathaniel9838 6 ай бұрын
Jehova. Ndiye Mungu Mkuu.​@@maryamtanzania9743
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 ай бұрын
​Ubaguzi na roho yakimasikini inakusumbia sana wewe kafir ​@@maryamtanzania9743
@aysherkoja1724
@aysherkoja1724 6 ай бұрын
Mungu akujali kaka fabi
@user-kh7mx7up4w
@user-kh7mx7up4w 6 ай бұрын
Allan akulipeni nyote mnatoa kwa ajili ya watu wenye uhitaji inshallah
@user-eu4pk3eh5d
@user-eu4pk3eh5d 6 ай бұрын
Mashallah...Fabi mimi nikuombe kitu tu wahitaji ni wengi sana kwahio wale wahitaji ambao wanakiwanja nikuombe uwe unawajengea chumba kimoja au viwili na kuwezeshwa mtaji ili baadae waendeleee kujiendeleza wao wenyewee sina maana mbaya lengo langu ni kuwa wote wanaohitaji wapate kidogo kidogo sio wengine wapate wengine wakose na kama itatokezea kuna watu binafsi watajitolea kuwasaidia zaidi niwao wenyewe uko private
@aminamselem5669
@aminamselem5669 12 күн бұрын
Fabi hii taarifa ni miezi 6 iliyopita, kuna taarifa inayomunesha bibi huyohyuo na mwanae yule ambaye ana tatizo la macho yupo kwenye nyumba ambayo mbovu na anatafuta kiwanja ambayo ndio ya ndio update ni ipi ya inayoendelea hii waliohamia nyumba mpya au ile ya nyumba aliyiwekewa maji
@aishahazary4097
@aishahazary4097 6 ай бұрын
Inapendeza sana kusaidia watu wenye shukran kama hawa.Lazma ALLAH akuongezee Fabi.Mpaka machozi ya furaha yametoka kwa kumuangalia bibi anavyoshukuru na kufurahi
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 6 ай бұрын
Maashallah maashallah mwenyezi mungu akujalie kila lakheli Fadi na team yako yaarabi. Na hongera bibi na watoto wako mwenyezi akupe maisha marefu
@bintmansooralhabsi1203
@bintmansooralhabsi1203 6 ай бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu mungu awajalie kwa kila alitoa chake kwa ajili ya family na faby mwenyezi mungu akupe saha afya na akuzidishie imani na akupe kila utanachotamani kinachomridhisha allah yaraab
@user-bw7ve8ce3q
@user-bw7ve8ce3q 6 ай бұрын
Amiin yaraby Amiin 🤲
@fathimamct232
@fathimamct232 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂mwacjeni Bibi Afurahi anaona kama anaota
@user-pk2km5nj3f
@user-pk2km5nj3f 6 ай бұрын
Bibi mzuri huyu anachangamsha
@FatmaMohammed-ry8yo
@FatmaMohammed-ry8yo 6 ай бұрын
Mashaallah mashaallah tabarakallah Allah awazidishie kwaalietoa na aliewaombea dua ili Allah alete kheir yake na mimepatikana
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Uyu dada ata kuongea hajui 😂😂bibi yupo vizur mashallah
@FatumaMuya
@FatumaMuya 6 ай бұрын
Uyo dada ni mimi kabisa Wacha kuongea kutizama mtu usoni nashindwa sijui inasababishwa na nini hata sijui
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
@@FatumaMuya 😀😀😀pole ila uyo.so aibu ni shida Kwa kweli
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
@@FatumaMuya baba fabi apewe ungera yake
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 6 ай бұрын
Mashallah mnafanya kazi kubwa sana Allah awalipe Kila lenye uzito liwe jepesi
@janesemngindo4544
@janesemngindo4544 6 ай бұрын
Fabby Mungu akuinue zaidi viwango vya juu maana unamtukuza. Amen
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 6 ай бұрын
Mwenyezi mungu akubariki sana kaka Faby
@Official83640
@Official83640 6 ай бұрын
Maa'shaallah Maa'shaallah Maa'shaallah Allah akupe kila ulichopungukiwa Fabian yaani ni furaha ilioje Wallah Bibi anafurahisha watoto wapo happy Alhamdulillah tupewe maua yetu tumeweza tumeweza tumeweza tena igweeeeeeee NENGA MWEEEEE😂😂😂
@angle3600
@angle3600 6 ай бұрын
Mashallah,jazakallah kheir fabi,from Kenya❤❤❤
@aishajeanine3552
@aishajeanine3552 6 ай бұрын
Masha Allah ❤mwenyezi mungu apewe sifa Shukrani sana mtoto wetu kwa kazi nzuri unayo fanya 🙏
@mariamissa4029
@mariamissa4029 6 ай бұрын
Mashaallah mashaallah Allah Aqbaru Allah awazidishie mlotoa kaka fabian Allah akupatie kila hitaji la moyo wako na ukupe mwisho mwema in shaa llah
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 6 ай бұрын
Watachambia panga😂😂😂 yani bibi hatari anachangamsha sana
@fatmaally7252
@fatmaally7252 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 panga mmmmh
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 6 ай бұрын
fabi munguakujaliyesana wewepamoja nawazaziwako ambawonisababu yakupatikanakwako
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c 6 ай бұрын
Mashallah kk fabii Allah akujalie kila la heri na wale wote waliotoaa mchango. Na shukulu Allah akulipe kwa kumpa sapoti kaka akooo🥰🥰🤲
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 6 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka Allah lakuwata ila bilah mungu awalinde pamoja na nyumba yenu insha Allah wamin shari hasidin idhaa hasad
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 6 ай бұрын
nimelia kwa furaha
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 ай бұрын
Shukuru umeongea vizur sana Mashallah
@rahma6189
@rahma6189 6 ай бұрын
Mungu akubariki sanasana nawaote waliotoa
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 6 ай бұрын
TabarakaAllah Ma Sha Allah kwa Bibi Kheri zako nyingi Fabiyan🤲🤲
@fatuma5208
@fatuma5208 6 ай бұрын
Mpaka.machoziii.jamani.mungu.mkubwa😭😭😭😃😃😃
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
NA MUNGU AWALINDE HAO WENYE NYUMBA WAELEWANE . WASIJE TENA WATU WAKAANZA VYA KUANZA MAANA SISI WATANZANIAAA!!!.
@user-vl6hd4lb6s
@user-vl6hd4lb6s 6 ай бұрын
Kaka fabian 😂😂😂. Mungu akujaslie. Nguvu nasubr ❤❤
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 6 ай бұрын
Macho yananitoka kwafurah wallah faby mungu akuongezee ulipotoa
@user-yt9uj5cf5c
@user-yt9uj5cf5c 6 ай бұрын
Chezea wamatumbi we😅😅😅😅😅
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 6 ай бұрын
Baraka tele kaka Fabi❤❤
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 6 ай бұрын
Allah akuzidishie umri bb akujalie afya na furah kwenye nyumba yko bb nakupenda bure
@ubahamisi431
@ubahamisi431 6 ай бұрын
Mungu awabariki
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 6 ай бұрын
Mashallah ila nimecheka fabi na huyo bibi yake umegeuza viatu we mwanamke😂
@laumoshi9419
@laumoshi9419 6 ай бұрын
Fabian mungu akubariki sana pamoja timu yako yote kazi mliyoifanya ni kubwa mno mungu awabariki wote
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 6 ай бұрын
Mtoto ameshukr vzr Sana mungu awabariki wote waliochangia🤲
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 6 ай бұрын
Mashaallah bibi wa watu
@najmamgallah8154
@najmamgallah8154 6 ай бұрын
Mashalaaah bibi yng, allh azid kukujalia zaidi afya njemaa
@asiasalim9323
@asiasalim9323 6 ай бұрын
Masha ALLAH Alhamdulillah ALLAH awabarik tem dtv na wote walo changa aamiyn, ila bibi upo vizuri masha ALLAH 😂
@khadijasayeed3381
@khadijasayeed3381 6 ай бұрын
Bibi nampenda😂😂❤
@user-wm7gu8os2i
@user-wm7gu8os2i 8 күн бұрын
Mnunulieni Bibi mashungi mengine ana peda hijabu
@user-pk2km5nj3f
@user-pk2km5nj3f 6 ай бұрын
Baba sasa ufanye ibada kwasababu mungu ndio alokurudhuku hayo uloyapata nimsaada wake
@salamabakari8384
@salamabakari8384 6 ай бұрын
Hiyo sehemu yajiko choo unganisheni na nyumba kama geti la matofali nihatari nje jamani
@neemakitegile5486
@neemakitegile5486 6 ай бұрын
Yaani sijawahi fatilia ila nimeangalia uyu bibi machozi yametoka yaani
@fatimaalhabsii1728
@fatimaalhabsii1728 6 ай бұрын
Allah awape Baraka tele
@Aminahlamranl420-hw2ie
@Aminahlamranl420-hw2ie 6 ай бұрын
Fab mdg wangu Allah akulinde unaupendo sana
@mwajoma1373
@mwajoma1373 6 ай бұрын
Mashaa Allah mungu nimwema saw Alhamdulillah 🙏🙏
@mwakashee3689
@mwakashee3689 6 ай бұрын
Kaka fabi Allah akupe umri mrefu..
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
Bib kachangamka maashaallah
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 6 ай бұрын
Alhamdulilah allah awajaliyenyuba iwenakhernanyiyi
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 6 ай бұрын
Mungu akuzidishie fabi
@tato8979
@tato8979 6 ай бұрын
Mungu awabariki wote mliochangia family hii🙏
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 6 ай бұрын
Kwa nn mumetia ngazi unajuwa kuna bb haoni jaman bora zitolewe
@tato8979
@tato8979 6 ай бұрын
😂😂😂 eti watachambia panga
@khadijal9851
@khadijal9851 6 ай бұрын
Fabi please someni quran sio lazima Watu wale chakula
@bibahhadith
@bibahhadith 6 ай бұрын
Alhamdulillah MaashaaAllah Bibi kachangamka hhhh
@zhshsh-us8tf
@zhshsh-us8tf 6 ай бұрын
Tanzania mashallah mungu awajaze kheri
@aishajuma7813
@aishajuma7813 6 ай бұрын
Mashallah mungu awazidishie malipo punguza 🙏🙏🙏🙏❤❤
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 6 ай бұрын
13:40
@Zubaiba
@Zubaiba 6 ай бұрын
Hongera sana kk fabi,mungu atakulipa
@munirakhalfan5716
@munirakhalfan5716 6 ай бұрын
Mashhallah Allah awaxizidishie kila kheri
@oman1oman179
@oman1oman179 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂bibi manshallaah mcheshi
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 6 ай бұрын
MASHALLAH Kazi nzuri
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 6 ай бұрын
Masha Allah hongera febi na direta wako❤❤
@mrsab303
@mrsab303 6 ай бұрын
Gran you are good person ❤❤❤❤
@mwantumswalehe2300
@mwantumswalehe2300 6 ай бұрын
Mashallah tabaraka Rahman 😂😂😂😂bibi umenichekesh haswaa 😂😂😂
@mtumwamohd801
@mtumwamohd801 6 ай бұрын
Fabi mungu akubariki na akujaalie kila ka heri ktk maisha yako
@saay4273
@saay4273 6 ай бұрын
MashaaAllah mungu awazidishie
@user-pj2dy1eh9d
@user-pj2dy1eh9d 6 ай бұрын
Asante san ❤❤❤ kaka mungu akubariki
@SittiAbdillah
@SittiAbdillah 6 ай бұрын
Alhamdulilah mungu awabariki
@user-my5di6kx3c
@user-my5di6kx3c 6 ай бұрын
Bibii nampenda sana mchangamfu sanaaa❤
@hamidaiddy2278
@hamidaiddy2278 6 ай бұрын
Allah awalipe kila lenye kheri
@user-go6xm3ef1o
@user-go6xm3ef1o 6 ай бұрын
Shukuru nunua simu ya wasap upate wateja wa ujonzi
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 6 ай бұрын
bibi allah akupefurahhadaima duniyani na akhera
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn 6 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤ watu wangu ❤❤❤❤
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 6 ай бұрын
Uyu mzee. Namuerewaga san. Anajitums
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 6 ай бұрын
Bbi katuimnia. Leo mashaal🎉🎉🎉
@user-go6xm3ef1o
@user-go6xm3ef1o 6 ай бұрын
Allah awalipe kher nyote mlio changia
@user-yx2fj8hj4q
@user-yx2fj8hj4q 6 ай бұрын
Jaman furaha ya bibi mpaka natoka machoz bibi katuimbia
@LilianAchieng-bo9xo
@LilianAchieng-bo9xo 6 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 6 ай бұрын
Wakwetu ndumbi og
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 6 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@user-ir6xq9qh7v
@user-ir6xq9qh7v 6 ай бұрын
Mungo mkubwa
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 6 ай бұрын
Alhamdulillah ashukuriwe Allah
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 6 ай бұрын
Allah awajaliyekilaalokuwa sabanuya nyinyikuoatanyumva awazidishiyemlipopunguza
@nourrubeya7188
@nourrubeya7188 6 ай бұрын
MashaAllah❤
@zainab8251
@zainab8251 6 ай бұрын
Masha Allah ❤❤❤
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 6 ай бұрын
Kubugia bugiaa😂😂😂😂bibi umenikumbusha mbar dah🇴🇲
@user-lr2ff5mp5t
@user-lr2ff5mp5t 22 күн бұрын
❤❤❤
@cecyngitu4752
@cecyngitu4752 6 ай бұрын
Twaishukuru Mungu mnooo
MAMA ZAWADI AKABIDHIWA NYUMBA YAKE |MAPYA YAZUKA
9:55
DTV
Рет қаралды 2,3 М.
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 10 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 44 МЛН
BIBI ANATAKA MTOTO NASUBIRI NDOA
12:49
DTV
Рет қаралды 1,9 М.
HOUSE GIRL EP 30 | S2 | love story💞💕
21:05
BUSATI TV
Рет қаралды 47 М.
LIVE# NILIACHA CHUO NA KUKIMBILIA BIASHARA YA GENGE !
15:19
Agha Media
Рет қаралды 10 М.
MAMA BRIGTON AANZA DAWA RASMI
8:55
DTV
Рет қаралды 1,5 М.
MWANA DAR ES SALAAM EP 25
12:53
JUMAJICHO
Рет қаралды 6 М.
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18