No video

WAKAZI adai DIAMOND ana share kwenye kampuni ya ZIIKI inayomsimamia HARMONIZE sasa,mambo ni mazito.

  Рет қаралды 20,085

Middle simba

Middle simba

Күн бұрын

Please subscribe now on our KZfaq channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#wakazi

Пікірлер: 66
@theesankaratv
@theesankaratv Жыл бұрын
Wapili Leo naomba likes zenu
@paulpaschal6517
@paulpaschal6517 Жыл бұрын
Tafuta pesa
@mrtallentsgp2623
@mrtallentsgp2623 Жыл бұрын
Like za kutoshaaaa tushow love Kwa middle simbaa
@ONELOVE-rd3sz
@ONELOVE-rd3sz Жыл бұрын
Maoni yangu mimi asubilie na yule demu achukue 70% ndio aanze tena kusema WCB wamemtuma
@Zanga93
@Zanga93 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
Umeongeaa…. Pimbi mtihani sana Tanzania hii
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 Жыл бұрын
Shida ya mmakonde ni kutaka kushindana na diamond ambaye ni mwekezaji na anahitaji kupata huruma ya watu ili afike mahali
@maxwellbaraza
@maxwellbaraza Жыл бұрын
Middle simba unajua saana kutangaza 🇱🇾🇱🇾🇱🇾🇱🇾🇱🇾
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
Dooh!! Aibu!! Kavamia asilolijuwa! Haya tupeni nyepesi nyepesi Sasa!! Hatari na nusu!!
@aizakrashid-tq7jp
@aizakrashid-tq7jp Жыл бұрын
Wakwanza leooo
@frsprouction1925
@frsprouction1925 Жыл бұрын
Nakupenda tu bure middle simba all away mombasa kenya
@babudicky
@babudicky Жыл бұрын
Huyu jamaa anampenda sana diamond asije kua askari wa Zanzibar
@mohammedsalum3502
@mohammedsalum3502 Жыл бұрын
Bangi uyo inamsumbua shenz zake wcb ya mond ana ela ndio maana anaanza kulalamika ovyo
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 Жыл бұрын
Diamond ni master mind 🤓🤓🤓🤓 yaaan woote waliojitoa WCB wamerudi ziiki media Anza na Rich mavocko Rayvann harmo woote wameangukia mikononi mwake pale pale bila kujijua 😂😂😂😂 hiyo ndio inaitwa utajua hujui
@habibmohd8008
@habibmohd8008 Жыл бұрын
Hhhhhh
@chibubinladen7115
@chibubinladen7115 Жыл бұрын
Swadakta
@williamiteba7013
@williamiteba7013 Жыл бұрын
Kwan akiwa ana shea shida iko wapi huo ndio ukuaji wa simba
@benitokibwaa4251
@benitokibwaa4251 Жыл бұрын
Huyu mmakonde kaanza kusema anadhulumiwa baada ya kusikia Simba ana share zake ziik 😅😅😅😅😅
@hissanezrom9218
@hissanezrom9218 Жыл бұрын
Nkkbali sana bro kaz nzur
@diaroismail-dl9ki
@diaroismail-dl9ki Жыл бұрын
Sema konde ananichanganya Sana subili kwan Sarah achuke asilimia zake afu aanze kulalal Mika Tena 😂
@Zanga93
@Zanga93 Жыл бұрын
😂😂😂🔥🔥😎🔥
@tembarooney7899
@tembarooney7899 Жыл бұрын
Kushuka au kuchuka
@makambosafari2746
@makambosafari2746 Жыл бұрын
Bangi baya harmonize atavuwa nguo siku moja
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Daaaahhh aiseee acheni Kuongea maneno ya kishabik Mtu anadai chake,
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Жыл бұрын
Huyo dada wa kazi mwambieni akaoshe vyombo...tuko bize na kusheherekea ushindi wa Sarah...huyo panya mkataba alisaini mwenyewe na sasa analia mwenyewe...hapati hata buku
@festojimmy7781
@festojimmy7781 Жыл бұрын
Izi ndo mambo napenda😅😅😅😅
@Sai-th8ot
@Sai-th8ot Жыл бұрын
sasa nimeelewa, inaonekana Hormonize aligundua kuwa diamond platnumz ana hisa kwenye kampuni ya muziki na moja kwa moja akadhani pesa zake zinachukuliwa na wasafi. sasa angekuwa na mawazo gani endapo angejua diamond platnumz ana hisa kwenye majukwaa mengine ya utiririshaji wa muziki mtandaoni.
@lebelgross2656
@lebelgross2656 Жыл бұрын
Wasemajeee pande hizo,🤔🤣🤣🤣🤣🤣
@sentimali2011
@sentimali2011 Жыл бұрын
Kila ishu inayousu Diamond basi the settlement lazima akiongelee. Choko sana uyu
@hoseamsuya7038
@hoseamsuya7038 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@marynderitu3221
@marynderitu3221 Жыл бұрын
Harmonize anajaribu kumshafua diamond aonekane yy mbaya sio poa hivo harmonize ati anataka wcb ianguke vile yy anaanguka 🤣🤣 bt kwakweli diamond alikua anakupendah sana ww nae ukatoka na kumharao simba kama sio yy hatungekujua
@abubakari8684
@abubakari8684 Жыл бұрын
Huyo wakazi nikama mwanamke tuu.huwa anatafuta na yeye hajulikani.nimshamba tuu
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 Жыл бұрын
Hehehe mtu wa vipindi anaitwa rajab mmakonde
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Middle
@rahelkiteka
@rahelkiteka Жыл бұрын
Wakazi mbona anawachukia sana Wcb hasa Diamond!
@ONELOVE-rd3sz
@ONELOVE-rd3sz Жыл бұрын
Lina wivu
@livingstonelungwa4855
@livingstonelungwa4855 Жыл бұрын
🦁💪🙌🙌🙌🙌
@cheafroby_tz
@cheafroby_tz Жыл бұрын
Noumaaa..
@abdulgeorge5968
@abdulgeorge5968 Жыл бұрын
Mbn halalmiki km kajal alkula pesa zote mpuuz hyu
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Wakazi anataftaga Attention na anajionaga mwenye akili nyingi ila 0 tu.
@thomaswilbert6431
@thomaswilbert6431 Жыл бұрын
Kumbe na ndiomaana watu kusimamia mziki hawataki kumbe Ndio kama hv nilikuwa sijajua 🤔
@patrickndumba7855
@patrickndumba7855 Жыл бұрын
Basata eti harmonize hataki kwenda kwao.....sasa analalamika nini ?
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Жыл бұрын
Uyo washuhuli anatafutaga bif wcb ila wenye we wako buze namambo Yao nishaga sikiya Sana uyo ni wivu wamayisha msiji kumuwuwa diamond kama Aka nawaomba mutuaciye d kumfatiliya na ujinga wenu
@Waterboystartz
@Waterboystartz Жыл бұрын
Kaisha choka huyo hana jipya alitaka kuleta ushindani halfu ajuhi mipango 🤣🤣
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 Жыл бұрын
Makonde anaumama 😄😄😄😄
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 Жыл бұрын
Aya bana middle ongera kwakuwa na hekma kubwa kwa mond, ila angalia usijekuwa kama vyombo vya habar vya maghribi, ukraine inashinda vita
@methuselamarco7108
@methuselamarco7108 Жыл бұрын
Bangi limemchanganya
@cheafroby_tz
@cheafroby_tz Жыл бұрын
Duuuuh..
@ramayonline2281
@ramayonline2281 Жыл бұрын
Wakazi ni nani kwani
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Na Harmo kashindwa kesi ni Sarah sasa itakuwaje???
@annabadru2352
@annabadru2352 Жыл бұрын
😂
@annabadru2352
@annabadru2352 Жыл бұрын
Atabski na pumbu zake 2 homo panya😂
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Жыл бұрын
Mbona anachodai Harmonize kipo deep sana alafu comments nyingi zmebezi kwenye ushabiki? Uchoko huo mashabiki wa kisenge
@iambaizo
@iambaizo Жыл бұрын
Wasani wanafake sana unajitutumua kununua range 2 kumbe huna chanzo cha mapato kazi kumlaumu mond uzuri mond hajibu
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 Жыл бұрын
Haki ya Mungu! Kijana anaskitisha sanaaa!! Looh!! 😢
@MnoleTz1127
@MnoleTz1127 Жыл бұрын
Naww una utimu hoja zako
@minabuelysee8
@minabuelysee8 Жыл бұрын
Nihatar
@bigirimanajoseph4590
@bigirimanajoseph4590 Жыл бұрын
punguzeni kiki kondboy
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Жыл бұрын
Kunawatu mna comment upuuz achen mtu atafte hakiake
@chibubinladen7115
@chibubinladen7115 Жыл бұрын
Haki ip unayoijua wee
@vicentobedy2400
@vicentobedy2400 Жыл бұрын
Mondi hakwepeki wazee
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Mmakonde bado hajalijua jiji 😜😜 Kaingia kwa pupa. Mala pa wamelamba Tena ki
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Жыл бұрын
Uyo washuhuli anatafutaga bif wcb ila wenye we wako buze namambo Yao nishaga sikiya Sana uyo ni wivu wamayisha msiji kumuwuwa diamond kama Aka nawaomba mutuaciye d kumfatiliya na ujinga wenu
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Mmakonde bado hajalijua jiji 😜😜 Kaingia kwa pupa. Mala pa wamelamba Tena ki
Nuh Mziwanda - Nampa (Official Music Video)
3:15
NuhMziwanda
Рет қаралды 15 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 47 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 14 МЛН