No video

Wakazi amsifia Harmonize kwa kugoma kuweka wazi utajiri wake wakati akihojiwa na Clouds

  Рет қаралды 6,293

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 34
@twaahbrown1042
@twaahbrown1042 Ай бұрын
Kuna mtu anasema pesa inaongea eti konde Hana kitu pumbavu maisha anayoishi konde anawashinda vijana na wasanii wengi hapa bongo ni tosha kwamba mkwanja anao ila hataki majigambombo kwani wangapi washatudabganya na tukawaamini hata yy asingeshindwa kutudanganya .
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p Ай бұрын
Senge nn tofautsh utajir na kua na pesa Mana pesa ta mm nawe tunayo Ila utajir hatuna nd Kama ndgu yak kistuli anajua kbsa utajir Hana Ila anapesa maan ta book n pesa😂😂😂😂
@twaahbrown1042
@twaahbrown1042 Ай бұрын
@@user-pk1yl7zt8p umasikini unakutesa sana ndio maana unachuki unachukia mtu hata hakujui aibu kwer kijana tafuta ela
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Ай бұрын
Thanks wakazi american boys
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Ай бұрын
Respectful boy hamo tz
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Ай бұрын
🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@veryboyplatnumz3506
@veryboyplatnumz3506 Ай бұрын
Hana utajiri sasa
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p Ай бұрын
Akwende uko pesa haijfch 😂😂😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Pesa alizonazo Harmonize ukizipata wewe kijijini kwenu wanakuloga
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
SAsa we kama una akili timamu konde boy WA Leo ana fanana na konde wa miaka 7 nyuma au Muna ongea ukuma 2 nyinyi makuma msiejielewa
@humbleshoal
@humbleshoal Ай бұрын
​@@RomanMwinyi We nae kwani kuna ulazima wa kutukana?
@josephngasa6984
@josephngasa6984 Ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@rumdeesonsoa1811
@ShaibuMkullu-ck6sl
@ShaibuMkullu-ck6sl Ай бұрын
😂😂😂😂​@@rumdeesonsoa1811
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 Ай бұрын
Utajiri haufanywi kusemwa utajiri huonekana yeye Hana hela
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
ana ela nani wewe au unaoshinda mitandaonii
@joozeycraft2361
@joozeycraft2361 Ай бұрын
Heri wew unayo hela😂
@dannysengata2298
@dannysengata2298 Ай бұрын
Hahaahahaha duuu 😂😂😂😂 Wewe unayoooo
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 Ай бұрын
@@joozeycraft2361 nashukuru mungu
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 Ай бұрын
@@dannysengata2298 nashukuru mungu
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Ай бұрын
Anautajiri Gani sasa,,,zaidi ya kuwa na pesa ya kumtosha yeye na wanawake,,,,,kashindwa kusimamia wasanii wake
@aishamagoshi2852
@aishamagoshi2852 Ай бұрын
Wewe nimjingawawapi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Pesa alizonazo Harmonize ukizipata wewe kijijini kwenu wataona una pesa nyingi sana na watakuloga
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 alizipata kwa Diamond PLATENUMZ
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 Ай бұрын
Acha wivu wa kike
@mabrouckmtandika9908
@mabrouckmtandika9908 Ай бұрын
Ww wasanii wako unaowasimamia vzr wako wapi 😂😂
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 Ай бұрын
Uyu jamaa mbea tu
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi Ай бұрын
Kabixa nakubal
@abnassirkarriem-ko5pw
@abnassirkarriem-ko5pw Ай бұрын
Kiufupi jama Hana hela ya kujigamba zaidi ya kuficha ficha tu Ana hela gani konde ? kmkashindwa kuwa na lebo kama wengine ila hla ya kumikiki demu anayo kabisa
@rizionemajura4707
@rizionemajura4707 Ай бұрын
Sio Kila kitu uweke wazi kunawatu hawapend mafanikio
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Ай бұрын
Utajiri upi alionao labda
@rizionemajura4707
@rizionemajura4707 Ай бұрын
@@jeremiahcharles6027 ivi ww bro kw hamo upo ata robo yake ama unajskia2 kuongea
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
​@@jeremiahcharles6027Ukoo wenu kuna anaemfikia?
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 Ай бұрын
Afu sikieni nyie..kamfundisheni hesabu za mangazijuto ndo atajuwa tofauti ya #SAID SALIM BAKHRESA NA #SALIM KIKEKE jamaa kamua utajiri wake kuufugia ndevu 😂😂😂😂 Chizi huyo utajiri haufichiki😂😂😂
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 157 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
KESI YA HARMONIZE & CRDB - USWEGE MURDERER
6:35
Uswege Murderer
Рет қаралды 40 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10