WAKE WENZA (SEASON 2) - EPISODE 26

  Рет қаралды 190,441

Comedy Plus

Comedy Plus

Күн бұрын

#Bhailam#Rachel#Naomyt#comedyplus#2023#
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : www.youtube.co...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz

Пікірлер: 533
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 9 ай бұрын
Imeishia patamu lakin nalia kwa sababu ya somo yngu mariam anayo pitia kwenye ndoa yake inshallah 🙏 Allah atakufanyia wepesi somo yngu😭😭😭😭unae cheka leo kwa sababu ya mateso ya mwenzio anayo pitia pia wew yakukuta 2 kumbuka ya kwamba what goes around comes around
@user-gv6fx9sl6o
@user-gv6fx9sl6o 9 ай бұрын
Recho recho recho nakuita mara tatu 😂 tambua hakuna marefu yaso kuwa na ncha 😂😂😂
@MariamuSaed-tk4nr
@MariamuSaed-tk4nr 9 ай бұрын
Huyu mwarabu Koko anakera kweli😂😂😂team bhailam mnipe likes zangu..nawapendraa sana kutoka kenya❤
@zuhurasaid
@zuhurasaid 9 ай бұрын
Anakera mno
@MwajumaJ4-sg6gk
@MwajumaJ4-sg6gk 9 ай бұрын
Yn simpndi dinyo huyu mwarabu koko hajacheza uhalisia kabisa sijapnda badala ya kumalizana na bhairamu anamlipiza mariamu haiko saw kabixa anakosea kama nawe umeliona hilo gonga like hapa tim bhairamu na tusonge mbele🎉🎉🎉🎉🎉maua yenu haya tusonge mbele
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
Nimewahi mapema sana Leo nataka like ka ni ukweli ukiwa wa kwanza unapewa likes 😢😢😢😢😢❤❤❤❤
@user-oc6ri6in8q
@user-oc6ri6in8q 9 ай бұрын
Inakusaidia nini hzo likes unaombanga sana
@mwanaidimatanoabdarahman9135
@mwanaidimatanoabdarahman9135 9 ай бұрын
Mm nambenda babake bahiram anajua sana 2
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
@@user-oc6ri6in8q nalipishaga tuh mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
@@mwanaidimatanoabdarahman9135 yaani sanaaaaaaaaaaa❤️❤️❤️
@jeandedieumambotelikpa3624
@jeandedieumambotelikpa3624 9 ай бұрын
Uʍɮաa աɛաɛ kabisa
@nancynkya4462
@nancynkya4462 9 ай бұрын
Huyu rechoo angetakiwa aigize uko nchi za njee 😅
@MariamuSaed-tk4nr
@MariamuSaed-tk4nr 9 ай бұрын
Bhailam next part bhailam tandika muarabu koko😂😂
@user-pj6ct4dr1b
@user-pj6ct4dr1b 9 ай бұрын
😂😂 mbaka awe mwekundu
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 9 ай бұрын
Big up Asante sana DJ alhamdulillah na leo team furus nimewai aya like zenu team hammam kazi kazi
@scolas3134
@scolas3134 9 ай бұрын
Nawe umewahi kweli dada😂😂😂😂😂
@user-bt8bk7pm6e
@user-bt8bk7pm6e 9 ай бұрын
Bora tuite tim Rial kuliko tim Hamam😂
@alimanana7564
@alimanana7564 9 ай бұрын
​@@user-bt8bk7pm6ejina mbaya kabisa 😢ngo hammum
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 9 ай бұрын
@@user-bt8bk7pm6e 🤣🤣🤣🤣na ilivo ipo juu rial Hadi Raha
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 9 ай бұрын
@@scolas3134 🤣🤣💕💕💕💕🥰🥰🥰
@sheilabashiru
@sheilabashiru 9 ай бұрын
Mzee anajua sana amevaa huska vizir san nimekubsli wanaomkubali baba naombeni like zenu
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 9 ай бұрын
Nimeipenda hiyo bhailam, mchakaze huyo mwarabu ukiweza😂😂 maana anakera sana.
@user-xv9me9lm6g
@user-xv9me9lm6g 9 ай бұрын
Kuma la mamake dhinyo mwarabu koko kumamake wamuumbua mtoto wa mwenyewe kulalina kubalina nyoko walai kumaaaaaaaaaaaaaaaaaah
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 9 ай бұрын
@user-xv9me9lm6g Jamani haya ni maigizo tu siyo ukweli, kwahiyo punguza matusi basi, Yaani umemaindi kweli kweli , sema dinyo anakera sana huyu jama la jinsi anavyomfanyia Mariamu.
@user-ir9xj5yt5p
@user-ir9xj5yt5p 9 ай бұрын
Ila dinyo machozi y maryamu yatakutesa kma hujui wanaume wengu uteseka n machozi y wke zao,recho mtoe mtto w mwenyewe sio wko cku damu itakapo tafuta utaumbuka😂😂❤❤❤❤nawapenda
@anastaziagabriel8015
@anastaziagabriel8015 9 ай бұрын
Hapa wametudanganya Kwa huyo mtoto amekomaa Sana 🤣🤣
@nuruhumphrey6273
@nuruhumphrey6273 9 ай бұрын
😂😂kwanza nywele
@lydiahnyamokami5058
@lydiahnyamokami5058 9 ай бұрын
Fire🔥 🔥 leo team bhailam watching from 🇰🇪
@annenisengwe4407
@annenisengwe4407 9 ай бұрын
Bhailam natamani nikuone basi nakupenda mno unavyo igiza ❤❤❤❤ from Burundi
@kamarizabriella
@kamarizabriella 9 ай бұрын
Sasa juu bi mkubwa hivi ni vitu Gani vinambana kama majini🤣🤣🤣🤣ila anajua kuigiza nampenda sana
@efraziamedard7915
@efraziamedard7915 9 ай бұрын
Wanao muoneya uruma Mariam jaman waweke like please🙏🙏😊
@mkasihamad7225
@mkasihamad7225 9 ай бұрын
Babake Mariam nakukubali sana❤❤
@SafiaSimba
@SafiaSimba 9 ай бұрын
Wawoooo imefikia patamu bimkubwa siyo vizuri kuiba mtoto humutizami ata mzazi wake
@princessposhie8671
@princessposhie8671 9 ай бұрын
sijawahi kucoment.....ila leo acha niseme😇 HONGERENI SANA mnaweza mnoooooo,Mnajal muda ...Mungu azid kuwainua👏
@marryhancy1632
@marryhancy1632 9 ай бұрын
Mnaoomba like msinikanyage tuu🤣🤣🤣
@abdillahsalim1623
@abdillahsalim1623 9 ай бұрын
Big up bailam Haina kulala you are greatest of all time ❤ jamny nipen hata like 30
@ComedyPlustz
@ComedyPlustz 9 ай бұрын
🔥
@NathaSMART
@NathaSMART 9 ай бұрын
​@@ComedyPlustz 💥
@Shadya-ju2el
@Shadya-ju2el 9 ай бұрын
Ila bimkubwa Ana mambo hahahahaha 😆 😂 🤣 😅 😄
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 9 ай бұрын
Kumekucha yani bi mkumbwa unajua hadi unakera❤❤❤❤❤ huku kenya
@user-dx5gh8me9o
@user-dx5gh8me9o 9 ай бұрын
Ila huyu muarabu anakera mno tunaishi nao uku saudia hawana maana mno wanakera mno team saudi gather hear
@rosemerymwalongo5858
@rosemerymwalongo5858 9 ай бұрын
Yaan huyu recho ndo awe mke mwenza uwiiiiiiii namuona kbs tunavyotoka droo
@magdalenew.mwanyota5901
@magdalenew.mwanyota5901 9 ай бұрын
Nilijua tu ataiba mtoto😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we mke mkubwa noma
@nemahk2361
@nemahk2361 9 ай бұрын
Bi Mkubwa huja fanya poa regesha mtoto😢😢😢
@SuzanaFesto-oe5yp
@SuzanaFesto-oe5yp 9 ай бұрын
Aisee patamu hapo bailam mwenye simbaa kachafukwa next episode pls❤
@maryammaryam1560
@maryammaryam1560 9 ай бұрын
Safi san baba bailam unamsimamo sn kwawano weye nibaba mwema sn
@magretaugastino-gb1bj
@magretaugastino-gb1bj 9 ай бұрын
Wakwanza jamani Leo nipeni like hata moja🤣🤣🤣
@rehemamuhsin4115
@rehemamuhsin4115 9 ай бұрын
jamani Leo nimeipenda hiyo❤❤❤❤🎉🎉🎉 shemeji nilazima achapwe ili akili zi ingiye😊 from tz to brd 😘
@bellairakoze2769
@bellairakoze2769 9 ай бұрын
I'm in love with wake wenza🔥🔥
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 9 ай бұрын
Love so much Bailam, kazi nzuri from Oman
@maimunasaidi
@maimunasaidi 9 ай бұрын
Lakini sauti ni ndogo ongezeni sauti
@zainabmussa-jz2ys
@zainabmussa-jz2ys 9 ай бұрын
😂😂😂ila Rachel mnyamaaa hahahahha mume anataka kwa mke mdg mapepo yanapanda 😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 9 ай бұрын
😂😂😂
@zainabmussa-jz2ys
@zainabmussa-jz2ys 9 ай бұрын
@@RizikiZiki anaupigwa mwingi rachel
@therealhajrah0398
@therealhajrah0398 9 ай бұрын
Aweee leo na me nimewaii kama unakubali wake wenzaa gonga like zakooo kama zotee❤❤🎉🎉
@theresaandrea4611
@theresaandrea4611 9 ай бұрын
Like 😛😝😜😜
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 9 ай бұрын
Nlijua tuu huyu bi mkubwa 😅😅atabeb huyu mtoto😅
@hammedfatma8727
@hammedfatma8727 9 ай бұрын
Natamani dinyo angepata mwanamke kama recho
@minabuelysee8
@minabuelysee8 9 ай бұрын
Iyi nizaidi ya movie,MashaAllah mmejitaidi kuipangilia,inanikosha roho
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 9 ай бұрын
Recho ni🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 9 ай бұрын
Huo uwongo tena jmn recho hata tumbo halijaonekana 🤣🤣🤣🤣msifanye hivyo fanyen uhalisia jmn
@shiffahmsuya1004
@shiffahmsuya1004 9 ай бұрын
Lkn uliambiwa ukabisha
@judithpendo9985
@judithpendo9985 9 ай бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Mumy564
@Mumy564 9 ай бұрын
❤❤
@user-uf6hw6rf9t
@user-uf6hw6rf9t 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂bimkubwa shetan wake
@elizabethysamweli2187
@elizabethysamweli2187 9 ай бұрын
Bailam umetisha baba nakupeñd
@everlinekenga437
@everlinekenga437 9 ай бұрын
Mm pia cjachelewa sana leo naomba like zenu kwanza kwa team strong ❤❤❤
@PurityKyalo-mj6io
@PurityKyalo-mj6io 9 ай бұрын
Woooow congratulations guys kipindi chenu kitamu Sana endeleeni vivyo hivyo sitakosa kuwafuata kila kuchao
@witnesstanley6578
@witnesstanley6578 9 ай бұрын
Nilikuw nashangaa kwann simuon khailat jmn kumbe mamb yanaendelea huku nimekamiss ka khailat jmn ,bt much love comedy plus
@witnesstanley6578
@witnesstanley6578 9 ай бұрын
Haha ety wakuu jamn recho recho recho weyee
@mathewmlala6290
@mathewmlala6290 9 ай бұрын
Yaani kusema ukweli ungekuwa siyo unafundisha mmmmmmhhhh roho katili Rachel mtoto wa mwenzio tena unamwscha hivo hvo kweli 😢😢😢😢
@subbyraibrahimu250
@subbyraibrahimu250 9 ай бұрын
Bimkubwaa umetisha co kwa maruhani hayooo😅
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 9 ай бұрын
Ila b mkubwa w🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥wakuotea mbali
@NaimaSalim-hv6bd
@NaimaSalim-hv6bd 9 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪Nawapenda Bure wallah
@metrineokola7730
@metrineokola7730 9 ай бұрын
Kazi nzuri bhailam Kwa kutetea dadako
@MaryamJumwa-ez3xl
@MaryamJumwa-ez3xl 9 ай бұрын
Woow..... Mauwa yenu Jaman.... 🎉🎉🎉🎉🎉.... Watch from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.... Nawapenda sana
@roseebongya5088
@roseebongya5088 9 ай бұрын
Kwakweli nawapongeza Sana nyote mulio she za season iyi
@ShinunaRaki-kv3ll
@ShinunaRaki-kv3ll 9 ай бұрын
Toka nomenza kuiftilia hii move Kuna vitu vimenifjnza mungu awabliki
@timothnamunaba1233
@timothnamunaba1233 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂Leo pepo aliyempanda ni wa kiindi bana
@scolas3134
@scolas3134 9 ай бұрын
Haha😂😂😂😂😂😂😂🎉 niwakihindi kweli
@sabria7421
@sabria7421 9 ай бұрын
Piga kelele weeeeeeeeee❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@habibamohammed7774
@habibamohammed7774 9 ай бұрын
Good job Bailey,sjui itajuaje next,.mkono mwingi tu na shemeg yko dinyo,
@RizikiZiki
@RizikiZiki 9 ай бұрын
Recho kiboko yani vituko vyakilaaina ilaikosiku utaiibika tu baba mukwe kaongea pwenti utaaibika tu😅
@labelleshashank8852
@labelleshashank8852 9 ай бұрын
Nimeipenda ❤❤❤❤❤❤❤ jamani mm inanifunza kitu hii sr❤❤💯💯🙌🇧🇮
@user-fh6vu2fw8c
@user-fh6vu2fw8c 9 ай бұрын
Waaah hii Kali yani imeisha patamu kwely dinyoooo utakipata sai cha Bailam
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 9 ай бұрын
Asante dj mzuri mungu akutunze ❤❤❤
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 9 ай бұрын
Huyo dinyo anamuonea sana mariam, apambane na mwanaume mwenzie bailam na wala sio kwa mariam, hely alivyo tokea bailam mariam Ata salimika
@user-dd6mm4dn5b
@user-dd6mm4dn5b 9 ай бұрын
IMEFIKA PATHAMU MNO ATA SITKI KUPITWA❤❤❤❤ ESHIMUNI NDOA ZENU😂😂😂😂😂😂😂
@neemaalphoince1209
@neemaalphoince1209 9 ай бұрын
ila jaman kwamtoto apo mmebug mtoto mkubwa kabisa uyo bailam 😂😂😂😂😂
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 9 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
@abdallahkaruwa3566
@abdallahkaruwa3566 9 ай бұрын
bhailam uko juu Allah akuzidishie
@user-ev8oq5nf1u
@user-ev8oq5nf1u 9 ай бұрын
Mambo yanazidi kuwa motoo
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 9 ай бұрын
Bailam nakukubali baba😂😂😂❤
@AishaMunga-wn3pd
@AishaMunga-wn3pd 9 ай бұрын
Wow fire🔥🔥🔥
@assfzainab912
@assfzainab912 9 ай бұрын
Uyu recho mwisho kabsa
@user-gv6fx9sl6o
@user-gv6fx9sl6o 9 ай бұрын
Diii na ukufe tu mbwa Koko wewe 😂😂😂 BHAILAM piga huyo 😂😂😂😂
@umaima1178
@umaima1178 9 ай бұрын
Bailam Simba komesha mwarabu Koko 😂😂😂
@labelleshashank8852
@labelleshashank8852 9 ай бұрын
Next please yani nabaki narudiliya sitosheki😂❤🇧🇮
@mohamedywally-sw6sh
@mohamedywally-sw6sh 9 ай бұрын
Nyie enjoin movie...mnatak likes kwan mnauza
@nockigona5160
@nockigona5160 9 ай бұрын
bi mkubwa ana mambo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-lw9bd6xy8r
@user-lw9bd6xy8r 9 ай бұрын
Jmn mnaweza kuteka akili za funs wenu kazi nzuri
@janethmmaxxy6162
@janethmmaxxy6162 9 ай бұрын
Kutuliza stress zangu uwiii nilichelewa nikiwa wap
@mlongomlongo6680
@mlongomlongo6680 9 ай бұрын
Next part please bailam tandika mtu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@aminaas8144
@aminaas8144 9 ай бұрын
Love from burundi🇧🇮❤❤❤
@everlineaminakombe278
@everlineaminakombe278 9 ай бұрын
Waah comment section nauza tropical Na Maji barid😂😂😂😂
@AzminaHassan-oe8vg
@AzminaHassan-oe8vg 9 ай бұрын
Nanua kwa jumlaaaaa piga hesabu😊😊😊😊
@everlineaminakombe278
@everlineaminakombe278 9 ай бұрын
@@AzminaHassan-oe8vg zote itakua 1500
@nurafedrick378
@nurafedrick378 9 ай бұрын
🤝🏼😂😂😂
@labelleshashank8852
@labelleshashank8852 9 ай бұрын
Mkubwa🤣🤣🤣🤣🤣 kuskiya naenda kwa bimdogo 😂😂 jini linapanda🤣🤣🤣🤣🇧🇮 unaniuwa
@mokogoti1817
@mokogoti1817 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤❤wakuu wagani hawa❤😂😂😂😂
@aaavvv488
@aaavvv488 9 ай бұрын
Wa!hii ni Kali!!!! from Saudi Arabia
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 9 ай бұрын
Hahahahhahahahqhhqhq bimkubwa ananichosha bailam ukiona hivo piga kofi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@marynjeri6186
@marynjeri6186 9 ай бұрын
much love from UK 🇬🇧 ❤❤❤❤
@mamudequeen
@mamudequeen 9 ай бұрын
Naomba kuuliza kuwa hii tamthilia mnatuma baada ya siku ngapi
@nasrikhan4218
@nasrikhan4218 9 ай бұрын
Inategemea siku mbili au Moja ama tatu
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 9 ай бұрын
Yaani muko vizuri team yote maichallah maua yenu 🎉🎉🎉🎉
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 9 ай бұрын
Daaaah mungu wang wafanyie wepes viumbe vyako😢😢😢😢😢ndoana hiyo
@user-om4gf7cc3j
@user-om4gf7cc3j 9 ай бұрын
Bi mkubwa bhan 😁😁😁hana lolote
@evelynoscar5104
@evelynoscar5104 9 ай бұрын
recho nakpenda we dada hakiyamungu unajuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 9 ай бұрын
Duu bahilam akaly Kweli EP 27
@loveness5890
@loveness5890 9 ай бұрын
Mke mkubwa saluti kwako
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 9 ай бұрын
Huyu fala mwarabu simpendi aseee
@aishaomar9621
@aishaomar9621 9 ай бұрын
Dinyo Mungu uwakuona nmeumia Sana mwenzenu mpka nawaza ndoa huwa hivi😢 Mungu mpe subra Mariam 😢🙏 bi mkubwa we kiboko ila najuwa maumivu unayopitia😢
@user-sr1rr1fj8t
@user-sr1rr1fj8t 9 ай бұрын
Dinyo so mwanaume kabxa unamhusishaje m2 kweny ugomvi asohuska nao siashindane nabailam ananikera
@yusramwinjuma4721
@yusramwinjuma4721 9 ай бұрын
Patam apo 😂😂😂 bhailam ndan ya nyumba
@user-zp8td1mm1n
@user-zp8td1mm1n 9 ай бұрын
Asante baba Mariam from oman
@SarahKeza-lp1fv
@SarahKeza-lp1fv 9 ай бұрын
Bi mkubwa weye😂😂😂
@user-yb3od9jt8o
@user-yb3od9jt8o 9 ай бұрын
Kazi nzuri bhailam ..
@ZaldaM.ramadhani
@ZaldaM.ramadhani 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤ kazi nzuri sana Bhailam ila unatucheleweshea sana ❤❤
@masoudsafia207
@masoudsafia207 9 ай бұрын
Hata mimi nilitaka kusema hili umenisaidia❤
WAKE WENZA (SEASON 2) - EPISODE 27
28:13
Comedy Plus
Рет қаралды 148 М.
Zawadi ya mume wake Gladness kwenye birthday ya mtoto wao Henzo
9:20
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,5 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 9 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 17)
17:08
Comedy Plus
Рет қаралды 29 М.
FIRST LOVE FULL MOVIE
1:18:03
hemedy chande TV
Рет қаралды 1 МЛН
WHO AM I? EPISODE 9 DIRECTOR CHAUKUCHA
11:07
WINFRED WAVINYA
Рет қаралды 1,2 М.
MAMA WA KAMBO EP 1
7:32
Kumbau tv
Рет қаралды 409 М.
SHEMEJI FULL MOVIE
1:10:37
BHAILAM
Рет қаралды 62 М.
NGUVU YA PESA
19:22
KIM VEVO
Рет қаралды 53 М.
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Halisi tv
Рет қаралды 910 М.
WAKE WENZA (SEASON 3) - EPISODE 1
17:36
Comedy Plus
Рет қаралды 136 М.
CHAMDOMO |1|
9:11
KIM VEVO
Рет қаралды 90 М.
Бананы без кожуры 😂 #shorts
0:35
Julia Fun
Рет қаралды 702 М.