Рет қаралды 56,739
WAKE ZANGU |3| New Swahili Series | Adam Leo | Bongo Movies 2024
Ni timbwili kwa kwenda mbele, changamoto anazokutana nazo Adam kwa kuoa wake wawili zinatosha kumfanya apagawe, fuatilia tamthilia hii nzuri ya wake zangu.
#wakezangu #bongomovie #swahilimovies #adamleobongomovie