Wakulima nchini Israel watumia teknolokia katika kilimo

  Рет қаралды 26,031

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Жыл бұрын

Je, mtazamaji unajua kuna nyama isiyotoka kwenye mifugo na ambayo hutengenezwa kwa kutumia mimea? Na je unajua kuna teknolojia inayotumia mawimbi ya sauti inayosababisha vifaranga wa kiume wakiwa ndani ya mayai kubadilika na kuwa kuku ili kutaga mayai? Hizo ni baadhi ya uvumbuzi wa wataalam nchini Israeli ambao wanalenga kubadilisha jinsi sekta ya kilimo itakavyokuwa katika miaka ya baadaye. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge alizuru taifa hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo kuhusu kilimo mambo leo.

Пікірлер: 46
@fredricklemiso6191
@fredricklemiso6191 Жыл бұрын
That where the difference is, Kenyan ni tu shinde kwa club na usherati kila kona, watu apigwe tax hadi waamuke😊
@edwinturere4841
@edwinturere4841 Жыл бұрын
God blessed Israel all the time.shalom Israel
@werewaciori4254
@werewaciori4254 Жыл бұрын
Now imagine Israel security if that is agriculture 😮😮😮
@thukusimon
@thukusimon Жыл бұрын
Security especially in the airport is top notch.Most cleaners in the airports are armed guards looking for any suspicious moves
@big_brayo
@big_brayo Жыл бұрын
Mkenya anapenda shortcut kwa kila kitu atatumia technology saa ngapi😅?
@philiphosea349
@philiphosea349 Жыл бұрын
Blessed is the Nation whose God is the LORD ALMIGHTY. Israel is a covenant nation they carry the name of GOD since their conception,am not surprised.
@mrbeast911
@mrbeast911 Жыл бұрын
Most evangelical christians are very stupid. Your christian brothers are persecuted by Israel and you come say this nonsense
@user-yd9yx5tt3u
@user-yd9yx5tt3u 7 ай бұрын
Wanafanya kazi
@rasmorgan9720
@rasmorgan9720 Жыл бұрын
Uku kwetu ni kugoja mvua na natural dams zimejaa maji kenya mzima🤦
@protanaman1887
@protanaman1887 Жыл бұрын
Teknologi pertanian& Peternakan Israel sangat luarbiasa
@jakee2041
@jakee2041 Жыл бұрын
Congratulations. Great technology indeed.
@arnoldabok2015
@arnoldabok2015 Жыл бұрын
Great job🎉
@justfoundout
@justfoundout Жыл бұрын
Cabinet ministers are the core source of failures in Kenya. They are sent to this workshops but never attend them rather squander the money shopping and entertainment with their families. Kenya needs a dictator with proff. PLO’s mindset.
@juddykananu1630
@juddykananu1630 Жыл бұрын
❤❤
@LEO-fw3fl
@LEO-fw3fl Жыл бұрын
innovative people
@jesee5470
@jesee5470 Жыл бұрын
In Kenya instead of supporting agriculture, tunaabiwa tujengewe manyumba. Wonders never end 😂😂😂
@iangitonga3754
@iangitonga3754 Жыл бұрын
Wonderful 👍
@sirjafricatv
@sirjafricatv Жыл бұрын
That is why I really love Israel
@Morrismutembei-sl2tq
@Morrismutembei-sl2tq Жыл бұрын
l must travel to Israel
@carolinemakena8428
@carolinemakena8428 Жыл бұрын
Karibu sana
@user-yj4co2io1p
@user-yj4co2io1p Жыл бұрын
Amazing 😮
@edwinkeen7521
@edwinkeen7521 Жыл бұрын
Great
@geoganochieng6819
@geoganochieng6819 Жыл бұрын
Shalom Yerusalem
@emilywangui
@emilywangui Жыл бұрын
Imgn Israel na hakuna mvua ni desert, na kenya kunayesha kila siki
@benjaminwatto9319
@benjaminwatto9319 Жыл бұрын
Gatete njorogeee'Runinga ya cityzen. 😂😂😂
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 Жыл бұрын
Hiyo ni ugonjwa tuu
@gideongathekiamkoloni5043
@gideongathekiamkoloni5043 9 ай бұрын
Wenye husema nyama haikuzwi shambani kujeni hapa🤣
@bashiryusuf9670
@bashiryusuf9670 Жыл бұрын
Sasa kufa mapema ndio huku nyama ya kuundwa na kufanya kuku kua mashoga mukiila na nyinnyi hayo makende yenu yatakua mboga hayana Kazi LGBT mpaka Kwa kuku wafrica tahadharini
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 Жыл бұрын
Kabisa
@tech_how
@tech_how Жыл бұрын
Huku prezo anatuambia tuombe mvua inyeshe😂 hatuezi ji compare bana
@kimutai8
@kimutai8 Жыл бұрын
Ruto and company are out here talking about serikali ya shares while other countries are making progress in eliminating hunger smh!!
@benardmakori6924
@benardmakori6924 Жыл бұрын
Is not rocket science is just irrigation !
@danmuriuki4849
@danmuriuki4849 Жыл бұрын
0:04 sossi is that you?
@thukusimon
@thukusimon Жыл бұрын
Nop,its meat that is grown in labs without using animal tissues
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 Жыл бұрын
Hii biashara ikifika kenya nitaacha kula nyama na kuku
@juddykananu1630
@juddykananu1630 Жыл бұрын
God of Israel
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 Жыл бұрын
Makubwa
@davludi2612
@davludi2612 Жыл бұрын
They came to help establish galana kulalu 😅😅 and what happened walisema hawajawai ona country corrupt and backward as Kenya
@valentinecheptum7716
@valentinecheptum7716 Жыл бұрын
That's it leadership is ROTEN
@rudiahosoro8010
@rudiahosoro8010 Жыл бұрын
If this technology will be applied to our country it will change many lives of Kenyans people won't go such for green passure outside the country but the problem is our leaders greedy for themselves 😔
@carolinemakena8428
@carolinemakena8428 Жыл бұрын
Kenyan's politicised GMO while all you see happening in Israel is all GMO
@benardmakori6924
@benardmakori6924 Жыл бұрын
Teknolokia???????
Rais Ruto atetea uamuzi wake wa kuingiza upinzani serikalini
3:35
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 12 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 122 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
TEKNOLOJIA 5 NOMA  ISRAEL /UTACHEKA, KISWAHILI NA MZUNGU
8:12
Bwana Shamba
Рет қаралды 9 М.
Matatizo ya akili kwa wanaume
5:10
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1 М.
Where is Daniel Kabusho who was abducted by unknown men?
2:47
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 673
Raila asema masharti ya Gen Z lazima yatimizwe na serikali ya Ruto
1:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,8 М.
Safari ya kubuni upya tume ya uchaguzi ya IEBC yaanza
2:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 955
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 12 МЛН