No video

Wanahabari waandamana baada ya Catherine Kariuki kupigwa risasi na polisi jijini Nakuru

  Рет қаралды 14,543

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

waandishi wa habari jijini Nakuru chini ya muungano wao wameandamana hadi kwenye ofisi ya kamanda wa polisi wa nakuru wakitaka polisi aliyempiga risasi mwanahabari wa runinga na redio ya kameme catherine kariuki achukuliwe hatua. catherine alipigwa risasi kwenye paja alipokuwa akiandika taarifa za maandamano ya vijana wa kizazi cha genz hapo jana jijini humo.

Пікірлер: 15
@gikuni_josgi
@gikuni_josgi Ай бұрын
Freedom of the press. JUSTICE TO CATE
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Ай бұрын
Acha mtu akibeba bendera ya kenya unauliwa bure tu umebeba tu bendera ya kenya na unauliwa bure tu naruto anyamaze na hao wenye wanauwa hawaiti criminals lakini wenye wanauliwa na wanaitwa criminals
@KeepupdatedKE
@KeepupdatedKE Ай бұрын
Ruto need Vacate the office
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Police wenyewe inaonyesha wamemchoka ruto.... Wanafanya makisudi kabisa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Nembo wnhabari police w Ruto n killer hella alokula Chibbukati haijarudi,w Kenya Ruto are danger in Kenya mjipange
@bensonmugesi1834
@bensonmugesi1834 Ай бұрын
Kumbe hao ndio wahalifu
@johnniecashfar1736
@johnniecashfar1736 Ай бұрын
Hii story ya making everything about females or about any minority erodes the whole purpose. Does it mean that if it was a male journalist was shot it would matter less or what is that first speaker implying? Did cops see a woman and a man and shot the woman and left the man alone? If it shouldn't be done to any woman, it shouldn't be done to any man too
@matundatv4013
@matundatv4013 Ай бұрын
Thank you for writing my mind
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 Ай бұрын
Pole sana kwa aliyeumia, Jamani! Kwenye mazingira yenye vurugu yanaitaji umakini sana ni rahasi mtu kuumizwa hata kama ujakosa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Kazi y Ruto hawezi badilika hella alokula Chibbukati haijarudi, lazima aue watu mtajiju Bunge ameliweka mfukoni mtalia sana et Raila n Mzee
@derrickasanyo5087
@derrickasanyo5087 Ай бұрын
This is wrong
@musaandre
@musaandre Ай бұрын
wanahabari pia wanaonekana kusherehekea maandamano juu wako kazi wakati wengine tumefungiwa..bado mtaendelea kulia
Money lending scheme cons hundreds of Kenyans
4:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 8 М.
CITIZEN NIPASHE, 27th 2024
23:20
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 27 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 2,2 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
Military might: Kenya Defence Forces showcase their Hardware and Fire power
26:21
Raila's AUC Bid Launch: Tanzania President Samia Suluhu's speech
7:05
The Democratic Party's party | The Trump Trials: Sidebar
55:46
Washington Post
Рет қаралды 4 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН