"Wanatabia ya kutoa shukrani mtu AKIFA , Pengo lako tutakukumbuka" Magufuli enzi ya Uwaziri.

  Рет қаралды 36,468

GADI TV

GADI TV

3 жыл бұрын

Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli alizungumza maneno hayo 2013, Novemba 14 akiwa Waziri wa Ujenzi.
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.

Пікірлер: 9
@ismailkenga1243
@ismailkenga1243 3 жыл бұрын
Hutuba nzuri Sana kwa hayati magufuli.. Wakenya tunakupenda na tutakukumbuka Sana Rais mchapa kazi
@user-qt3rb3vo1f
@user-qt3rb3vo1f 8 ай бұрын
Daah hapa ni ukiwa wazir tu kwel siasa ni ngata Rip mzee wetu
@missmrs829
@missmrs829 3 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli katika nchi yake jembe kama jembe pumzika kwa amani Baba,,mis sana mzalendo wa kweli..kazi umeimaliza kwa dhati
@kingfahad5120
@kingfahad5120 Жыл бұрын
Mungu Akulaze Pema Peponi Baba
@kelvinjuma7247
@kelvinjuma7247 3 жыл бұрын
R. I. P LEGENDARY OF AFRICA
@jamesnyamweya5753
@jamesnyamweya5753 2 жыл бұрын
Rip
@williengangamacharia2761
@williengangamacharia2761 3 жыл бұрын
Magufuli alikuwa Magufuli kweli!!
@zachariajaphet613
@zachariajaphet613 3 жыл бұрын
Bdo naumua sana napo muona huyu jamaa akiongea lkn ayuko nasisi tena kimwil... Hawa ndio viongoz wakuigwa... Nenda salam Rais wangu..
@BahatiKafuye-di8he
@BahatiKafuye-di8he Жыл бұрын
Mwamba tutamkumbuka sana
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 61 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 45 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 93 МЛН
Police surround Jimi Wanjigi’s Muthaiga home
7:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 70 М.
KIKWETE "MAGUFULI SIKUKWAMBIA YULE MSUKUMA UMFUKUZE KAZI"
4:14
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 20 М.
Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka
6:46
MAGUFULI ATUMBUA JIPU MBELE YA WANANCHI
5:27
MLIMANI TV UDSM
Рет қаралды 2,8 МЛН
Napenda Hii Sehemu ya Kauli ya Mwalimu Julius Nyerere.
1:37
DMM Visual Channel
Рет қаралды 90 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 61 МЛН