Wanaume wa herufi "A" hii ndio siri ya maisha yao.

  Рет қаралды 15,067

Allykk tv

Жыл бұрын

Пікірлер: 65
@tatianahomekey6211
@tatianahomekey6211 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa maalim Mimi pia naitwa Ali
@pilipili9016
@pilipili9016 Жыл бұрын
mugu akubariki sana ari upo vizuri sana
@tatianahomekey6211
@tatianahomekey6211 Жыл бұрын
Mungu akubariki maalim Ali kkk uko sawa kwa darasa Zuri sana
@user-wn6bj7fb3j
@user-wn6bj7fb3j 2 ай бұрын
Mimi ni Abdul Safi Asante Sana kwa somo lako
@AhmedAli-ur3uc
@AhmedAli-ur3uc Жыл бұрын
That true broo mm mpaka leo niko ndani nikitoka nje nahisi nitadhurikaaaa kwaiyooo tufanye nini mkuuu
@user-zz1yn1tp8i
@user-zz1yn1tp8i 10 ай бұрын
Dah ipo kwangu hii kitu naogopa Dunia,naogopa kufa
@user-zz1yn1tp8i
@user-zz1yn1tp8i 7 ай бұрын
Tupo wengi ni jasili lakini ni mtu wa wasi wasi sanaa
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 2 ай бұрын
Tupo wadau
@anlaueamisse8656
@anlaueamisse8656 Ай бұрын
É Verdade Meu Irmão/ Ni Kueli Ndugo Yango...
@Ajuboy-we2jm
@Ajuboy-we2jm 4 ай бұрын
Asante sana kaka darasa zur
@Winie-ht3zq
@Winie-ht3zq 2 күн бұрын
True bro
@user-vq2hl4jp1j
@user-vq2hl4jp1j Жыл бұрын
Ni kweli kaka Ally boyfriend wangu yupo ivyo...yani anamisimamo sana anajiamini na anaakili sana za kimaisha pia ana hasira za haraka sana mpaka sometimes mnaweza mkagombana na kama hauna uvumilivu mnaweza mkaachana kwasababu Kuna mda anakuwa kama mkorofi 😭yani sisi utakuta tunagombana then tunarudiana😭😭😭na hapo kwenye ubishi ndo kabisa😭
@suzypeter7951
@suzypeter7951 Жыл бұрын
mimi huyu
@amineahmed578
@amineahmed578 11 ай бұрын
Allhamdulilah assante moilimu dio mayecha Nîme ya inshi hapa
@BilungoJohn
@BilungoJohn 7 күн бұрын
Mtu anaweza kuwa na nyota zaidi ya moja
@WardaAlly-lt5pb
@WardaAlly-lt5pb Жыл бұрын
Asante kwa Elimu
@mariamomran6144
@mariamomran6144 Жыл бұрын
Good
@shamilakitwana-we5fk
@shamilakitwana-we5fk Жыл бұрын
100%
@AllyKelemba
@AllyKelemba 2 ай бұрын
Ni kwelii kabisaa
@aronjohn8818
@aronjohn8818 Жыл бұрын
Mimi hadi leo kichwa kinauma hatari
@PARTCOVERS
@PARTCOVERS 3 ай бұрын
Unaumri gan😮
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp Ай бұрын
Miakaa 27​@@PARTCOVERS
@iqrahiqrah377
@iqrahiqrah377 10 ай бұрын
Naomba kuuliza. Herufu hizi A hizi sifa inasimamia hata kwa A wanawake. Pia
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p 4 ай бұрын
Hapo kuhusu kichwa 🎉🎉🎉🎉🎉
@asaahamad3121
@asaahamad3121 2 ай бұрын
Upo sawa yaani 100%
@Rosefrances-bx4wo
@Rosefrances-bx4wo Жыл бұрын
Mh hatarii,,,, sana jamani
@AllyKipanguzi
@AllyKipanguzi 22 күн бұрын
Nikweli broo
@abuuqamar58
@abuuqamar58 2 ай бұрын
Nikweli kabisaaaaa
@awalimustapha7242
@awalimustapha7242 10 ай бұрын
Erufi I Ninyota yann
@anwarsaid2008
@anwarsaid2008 Жыл бұрын
ALLYKK MIMI NI NYOTA YANGU YA PUNDA SAYARI YA MOTO NA MWENZANGU NI MAJI YAAN A NA H MAELEKEZO NIMEYAPATA JINSI GANI YAKUEPUKANA NA CHANGAMOTO
@DusilaMirigo
@DusilaMirigo 3 ай бұрын
😂😂😂
@AhmadSaid-gh7lu
@AhmadSaid-gh7lu 5 күн бұрын
Mengi ulio yasema nimeyapitia
@user-sj4jh2rd6h
@user-sj4jh2rd6h 4 ай бұрын
Duuu hapo kwenye ubishi. Umeninasa kwelinilibisana na kaka yangu kuaniza saa tano usiku mpaka sasa tisausiku hapa tumebakisha kusalimianatuu
@sabrinahassan1828
@sabrinahassan1828 8 ай бұрын
Mie S mwanaume wangu A
@wardaally7233
@wardaally7233 Жыл бұрын
💯💯🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏
@JaclineSalala
@JaclineSalala 21 күн бұрын
😢😢asee mchumba wangu kbs 😭😭yanamtokea sana aya
@JaclineSalala
@JaclineSalala 21 күн бұрын
😢😢naogopa sana mm ni J na yeye ni A ajali azimuishi matatz apa na apa ndan ugomv auishi ni kweli kbs 😭😭nampenda snaa sitaki kumpoteza ila lazima nimuoneshee hii crip siwez mficha cz naishi nae nyumb moja sijui nifanyaje kushida Aya sahv anamiaka 33 😪nipe ushauri nifanyaje
@JaclineSalala
@JaclineSalala 21 күн бұрын
Nimwambie afanyaje kuepukana na hili Dr plz help 😭
@JaclineSalala
@JaclineSalala 21 күн бұрын
Ni kweli kabisa nilimwambia asiondoke na gar akaforce akaenda kupata ajali nikimwambia usishike hv anafanya anapata shida ni kweli kaka naomba uniambie cha kufanya plz
@user-wn6bj7fb3j
@user-wn6bj7fb3j 2 ай бұрын
Kaka Mimi nipo Mozambique lakini siyamini kwa mambo unayo Sema yani kama unaniona ivi
@PARTCOVERS
@PARTCOVERS 3 ай бұрын
Aliye wahikuvunjika kama mm agonge like hapa
@Awadhimohamed-dj3of
@Awadhimohamed-dj3of 2 ай бұрын
Nakuelewa A
@azizauwase9207
@azizauwase9207 2 ай бұрын
Apo kaka nakubali juu nina mtoto jina lake linaanza na A anapenda kucheza sana na moto tena ai mtu mwenye hasira sana kwa wandugu zake sijui ni fanye nini
@aweisali1723
@aweisali1723 Ай бұрын
Aweis. Nimepata ajali ya goti 😢
@VenaEliki
@VenaEliki 3 ай бұрын
Sana gonga like
@user-wn6bj7fb3j
@user-wn6bj7fb3j 2 ай бұрын
Kaka unanigusa Sana wewe msomi kaka
@alexikabakilwa2663
@alexikabakilwa2663 10 ай бұрын
What about I and M jenimara fiki wa A
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 Ай бұрын
Mimi kweli amiri ina nitokea na mimi ni mtoto ninamiaka 13
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 Ай бұрын
Apo haujakosea hata mimi niko hivo
@allygunda3616
@allygunda3616 11 күн бұрын
Hakika yote ulosema yana niandama
@AlexMboya-vf6nk
@AlexMboya-vf6nk Ай бұрын
Mim uyo
@abdullymohamed4581
@abdullymohamed4581 2 ай бұрын
Mm jina langu linaanza na A na mke wangu linaanza N na tunawatoto 3 wa kwanz ni R wa 2 ni K na wa 3 s niambie tufanyaje tuwe na maisha mazuri?
@Agricola-gj5uh
@Agricola-gj5uh 2 ай бұрын
Jmn mbon mm ni A na mwenxangu ni A pia itakuwaj hp.
@JeanNIYONZIMA-dk7ij
@JeanNIYONZIMA-dk7ij 10 ай бұрын
Baba upewe mauwa yako Kira kitu unasema ukwel
@abubakaripasto2696
@abubakaripasto2696 Жыл бұрын
Samahani kaka naomba niulize kama miaka 28 mpaka 35 umepita unamiaka 42 wanamke wako anaitwa halima majanga bado yapo au yashapita
@allykk1459
@allykk1459 Жыл бұрын
Kama mmeishi muda mrefu na bado mnaendelea kuishi atakutanguliza
@allykk1459
@allykk1459 Жыл бұрын
Sema sio jambo lakuogopa ila ni kuelewa maana kifo kipo tu
@abubakaripasto2696
@abubakaripasto2696 Жыл бұрын
Asante kaka
@amonkalungula-tf9wt
@amonkalungula-tf9wt Жыл бұрын
Si kweli mimi jina a na baba ni a na mke ni v sujawai kupitia tabia hizo
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 2 ай бұрын
​@@amonkalungula-tf9wthaya jakukuta ndugu mm vyote hv vimenikuta
@AllyKelemba
@AllyKelemba 2 ай бұрын
Kaka wewe unaongea ukwel kabisaa yaaani
@user-xu4jt8qt4j
@user-xu4jt8qt4j 29 күн бұрын
Kama mmi ni m mume wangu ni A Kuna shida
@user-xu4jt8qt4j
@user-xu4jt8qt4j 29 күн бұрын
Eti kka
@user-kx4yc1wl9x
@user-kx4yc1wl9x 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@ubahhemed6184
@ubahhemed6184 3 ай бұрын
Kweli kabisa
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 69 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 40 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 69 МЛН