Dah ahsante Kaka angu mm pia j nmejifunza kitu ktik somo hili
@user-sv6zy3hc8o2 ай бұрын
Wew kaka Asante sana mim ni jamila yani umenichambua vilivyo
@JacklinaMteiАй бұрын
We kka jaman mbon unanisema mimi kila kitu daahh
@danieljoseph6065Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-cq8nd4ek8w3 ай бұрын
Mimi Ni J, Ni kwenye Kabisa kaka yaani yote unasema yanatokea
@JeddahSaidyАй бұрын
Asante sana
@jacklinibrahim88057 ай бұрын
Kweli kaka Mimi nipo hivo lakin kila napo Fanya biashara haidumu ila nikikorofishana na mume wangu hua ana feli pesa hapati ila akinipa pesa anapata zaidi anapata pesa kupitia Mimi. Ila mm sifanikiwi kupata pesa nikifanya kazi ina feli
@GasoreJuma Жыл бұрын
Mimi ni J na mke wangu pia ni J apo tupo viongozi wawili.
@josephn7652 ай бұрын
😂😂😂😢😢😢😅 nibalaaa aiseee
@judithnjunwa66688 ай бұрын
Haki ya MUNGU 🎉
@JariaSabiri2 ай бұрын
J❤
@jullymwaikenda5642 ай бұрын
Usemalo ni kweli nifanye Nini kujiokoa nakulogwa na kinga
@rehemaSilvester-mn7xb8 күн бұрын
R
@rehemaSilvester-mn7xb8 күн бұрын
Unagusa maisha yetu,jamani❤
@JeniphaMajalla3 ай бұрын
Hujakoseaa docta kila ulichhokiongea
@MwajummussaKabila-lh7su3 ай бұрын
Je nikichukua j mwenzangu
@asifiweminja90714 ай бұрын
Mimi nakuelewaga sana hujawahi kuniangu
@user-zk9dg1xw8b2 ай бұрын
Mmmh ama kweli yani umenisema mm kbs na maumivu ya viungo ndo usiseme
@JacklinaMteiАй бұрын
Jamn namim ni hivo🙌
@JacklinaMteiАй бұрын
Jmn na H nilikua nae ni ugomvi kila asubuhi
@kabwefrancine99 Жыл бұрын
Baba ni fanyaje nikweli mimi ni c mume wangu j ila tuna gombana muda hote
@abubakaripasto2696 Жыл бұрын
Leo kaka ally umemtaja jina mwanamke ninae kaa nae ila hatuja funga ndoa mwajuma ila tunagombana sana mie ni f kunakipi tuna achana mara tunarudiana naomba nishauli kaka na hapo kwenye tendo aisee huongopi mpaka namshangaaga
@user-vf3ye7pg2p2 ай бұрын
Nakusaidie mm kumjibia jibu lako shida ipo kwako nenda f mwanaume usikilize tabia za f utaelewa ninachokujibu