Baada ya kuzaliwa hivi yapo maziwa maalum ambayo ndama anapewa au anaruhusiwa kuyanywa ili kumsaidia na kumpea kinga kuu kupigana na magonjwa. Yapo mengi yanazingatiwa pia katika malisho yao, jiunge tujifunze zaidi.
Пікірлер: 6
@jaspermurumey0h393 Жыл бұрын
SoMo nzuri.Sukrani sana Dr na Moseh
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Nafuatilia
@edgaramutamwa24552 жыл бұрын
Very educative message about calf rearing especially on water ..Keeep the lessons flowing always..