RISASI ZARINDIMA ARUSHA, MADALALI WAKITAKA KUVUNJA NYUMBA ZAIDI YA 100, DC ATOA TAMKO

  Рет қаралды 48,514

Wasafi Media

Жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: wasafitv || wasafifm
TWITTER: wasafitv || wasafifm/
FACEBOOK: wasafitv/
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 59
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Watanzania tuzingatie Sheria.. Maeneo ya Taasisi na asasi za kijamii yamekuwa yakivamiwa hovyo mno. Wanasiasa kwa kutaka kura wanasingizia maslahi mapana. Wakishapata kura matokeo yake Ni hayo. Maeneo ya misikiti, makanisa, shule, vituo vya huduma za afya, Viwanja vya michezo, jeshi na hifadhi zinavamiwa hovyo.
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 27 күн бұрын
Mtu anachimba. Msingi anajenga bila shaka amefanya ujenzi huo miaka mitatu au zaidi anahamiaa. Mwenye eneo anaangalia tuuuuu naona hizi Sheria zifike pahala zibadishweeeee Yani hawa wamiliki. Hata uzio hawakuweka kwani mnapotoa viwanja sii Kuna mda maalumu kuendeleza tutaku
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Mnajenga semu za serikari msiwe moyo wakisiasa zingitie Sheria
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Жыл бұрын
Jamani toka msingi mpaka majumba yote hayo walikuwa wapi?
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Hii nchi ya ajabu sana, watu masikini na bado serikali(ambayo haina msaada wowote Kwa wananchi wao) haina huruma na wananchi wao wanaojitahidi kujitafutia maisha. Mahakama ikiamua haitoi muda WA wahanga kujiandaa? Serikali hii ni shida sana.
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Жыл бұрын
Nchi ni Matokeo ya Wananchi Brother,tuanze sisi kufuata sheria na taratibu tuone km tutaonewa
@user-od5si7ld6b
@user-od5si7ld6b Ай бұрын
Pole sana
@zaynakhalfan4438
@zaynakhalfan4438 Жыл бұрын
Maisha yalivyo unamvunjia mtu nyumba daaa magufuri baba najua hata Kama haupo Ila roho yako unaona huuunyanyasi unao endelae kwenye taifa lako baba vitu bei huku hai nihii punzika kwaaman baba
@geofreyanderson9115
@geofreyanderson9115 Жыл бұрын
Wakati wanachukua hela hawakujua kuwa patavunjwa sisi watu weusi tunashida sana
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 3 ай бұрын
Basi bhana, ilitakiwa Mwenyekiti wa mtaa apewe taarifa hata kabla ya siku 14, Ili akae na wananchi mapema.
@stevenlazaro9176
@stevenlazaro9176 Жыл бұрын
Nimeskia jina la moja
@saumsaum1916
@saumsaum1916 Жыл бұрын
Magu pumzika kwa amani,ulisema tutakukumbuka kwl tunayaona
@mohammedmbwana245
@mohammedmbwana245 Жыл бұрын
Sisi watu wa mbezi tunamkumbuka magu kwakutuvunjia nyumba Zetu kibabe Yani Mungu amchome
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
There you are Mr DC.!
@ksmally1985
@ksmally1985 Жыл бұрын
Acheni kujenga kiholele mijini!
@maombijofre2302
@maombijofre2302 Жыл бұрын
Mungu wangu ndo nini tena?
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 Жыл бұрын
Kweli jamani bila taarifa SDA church huwa watu wautaratibu usiseme uhuni sema SDA wangetoa taaarifa au mmetinga kama Yesu atakavyorudi?
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 Жыл бұрын
Mm ni mtoto wa kimaskini najua uchungu wa kujenga kuanzia kununua plot adi paa aki inauma kwani hakuna serikali kisha pakijengwa kanisa watu wataenda kuamini
@matsawilihamud4750
@matsawilihamud4750 Жыл бұрын
Jamani oneni bc na hii barabara ya olasiti.... Kila siku vidala vinafia barabarani, short route but expensive kwasababu ya ubovu wa barabara, hii barabara si rafiki kwa magari jamani
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Hao wasabato kweli au ... Kama wanahubiri watu halafu wanawabomolea nyumba.... Hiyo injili ikoje.... Hawa ni wachungaji wa maslahi na mishahara tu..... Hakuna muumini wa SDA anayekubaliana na hili ..
@ulaweboy9826
@ulaweboy9826 Жыл бұрын
Kumanina zenu wote mliye sqbabisha
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Tanzania hii bhaaana ina mambo sasa watu waanikwe hapo juani mbaka lini hakuna notes hakuna nini mbona watu wanapewa vyeo wanatumia vibaya
@user-gx3jp6uk2f
@user-gx3jp6uk2f 3 ай бұрын
Acheni kuvamia maeneo. Vunja hizo nyumba ili iwe fundisho kwa wengine wenye nia ya kuvamia maeneo /viwanja hovyo.
@CharlesNkanda
@CharlesNkanda 2 ай бұрын
Hilo mh makonda ataliwek swa sinawasiwasi mm huyo mh makonda nimkombozi wetu
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Duhhhh
@ksmally1985
@ksmally1985 Жыл бұрын
Watu wana mazoe ya kujenga bila kufuata sheria .
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 Жыл бұрын
Mpaka zinajengwa nyumba mia mmiliki alikuwa wapi? Tusisumbuane
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 3 ай бұрын
Mbona haitendeki HAKI..NA BUNDUKI NI SILAHA YA KILA MTU ATUMIE???
@gadielmungure9711
@gadielmungure9711 Жыл бұрын
Mahakimu inawaonea watu wanyonge kunyanganywa ardhi zao na matajiri wenye uwezo wa fedha. Viongozi wa Mila ktk jamii wa siku hizi wamejiingiza kwenye migogoro kwa tamaa za hela wanatengeneza vielelezo vya uongo kwa Hila za kulipwa fedha na wanunuzi matajiri.
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Mawazo yangu mm naona nyumba zingine zitabaki, mbona hizo zitabaki? Mbona mkoa wako ajakwambia tutabomoa,nataka niombe kwaserikali mkiona nyumba ambazo anejenga bila utaratibu msiweke umeme hata maji,kwann nyinyi ndo mnawavuta watu aje semu ya serikali,cjui mnanielewa,but for me niseme pole Sana nimsiba mkubwa
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 Жыл бұрын
Na ni kwanini hawa watu wa kanisa ndio hugombea sana ardhi yaani tz hawa kanisa ni kina nani
@williamboniphace5887
@williamboniphace5887 Жыл бұрын
Acha udini msrnge wew ingekuwa msikiti ungeongea hvo
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 Жыл бұрын
Mimi wala sijali unatukana lkni huo ndio ukweli watu wa kanisa mnamatatizo sana ya kugombea ardhi mkiambiwa eti udini fanya research sio uropoke tuu
@jumasoli7818
@jumasoli7818 Жыл бұрын
@@abdallahmuttaq7306 unakurupuka kutoa maon yako bila kuangalia tatizo haswa
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
Kwanini wasitadhmini mwenye kudai eneo alipwe pesa sio kuvunjwa,maana mwananchi yeye kanunua hana makosa, aliyeuza ndo ana makosa
@enickosanga4921
@enickosanga4921 Жыл бұрын
Kwahio toka ujenzi unaanza hao wasabato walikua wapi? Jamani unajua hata shelia zetu sijui zilitungwa na wazungu dah
@alexlipili9343
@alexlipili9343 Жыл бұрын
Daaah hamna kitu kinauma Kama hiki..hivi haiwezekan kabisa hii migogoro ikaisha..haiwezekani kuwatafutia eneo lingine kiustaarabu tu kuepuka haya daaah
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 2 ай бұрын
SIO kweri. NI WAHUNI HAO ZAMBII SANA
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 Жыл бұрын
Hyo yanatokea mama ypo kwenyehaflayalishe selekalihii niyamambo blablaa yamaana nayamaonezikwawanyonge haiyajadli htakdgo niselekaliya semina na makongano
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 Жыл бұрын
Wauweni wasenge ao mngechoma iyo greda moto
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Жыл бұрын
Mmmhhh napita tu
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 Жыл бұрын
Sio haki
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Жыл бұрын
Uhuni huo...gambo umeongea vyema sana.mabloka hao ni vibwengo tu
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 3 ай бұрын
WENYE KUFANYA UNGUVU KAMA HIVI.AWE WA KWANZA KUKAMATWA NA KUHUKIMIWA.SERIKALI IPO SIO KUTUMIA NGUVUU ! WAO WALIPE MALI ZENU
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Kwani mbona vitu vyankipuuuz kanisa linataka mitaa tote kwajil yakanisa moja tuu mbona vitu vya ajabu kanisa mt200 inatosha lbs HV vitu vyankipuuuz sana
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Plan za kanisa huwezi jua, inaweza kua wanataka pajengwe shule, hospital nk
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Madalali wa mahakama maanake Nini????mahakama Wana madalali???
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Жыл бұрын
Asima kabla ya kununua uchunguze
@thaniakassim7687
@thaniakassim7687 Жыл бұрын
Minahic hii dunia kunakizazi chafirauni kimebakiaaa ndokinachoitesa dunia khaaah...
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
🙄
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Жыл бұрын
Mjomba magufuli njoo uone
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Serikali ya kijiji ina makosa kuuzwa eneo mara 2,Mlionunua eneo kwa kijiji hamkua makini. Mahakama haina tatizo imeamua pande zote kisheria, upande wa kanisa ukashinda!
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 Жыл бұрын
Hio kanisa italipa hizi dhuluma mtakuja kuchomwa ndani ya kanisa sku moja nyie na mapasta wenu
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 Жыл бұрын
Kuwa na maneno ya akiba ndugu yangu yasije yakakukuta ukaacha familia ikilia kwa maneno tu rafiki yangu acha kbsa changia tubmaneno mengine ila syo kama haya ipo siku yatakukuta utapata tabu
@gracemtanga1404
@gracemtanga1404 Жыл бұрын
Kwa kweli inaonekana hata hao wasabato wenye kuvunja nyumba za watu nao hawana heima ya kimbingu
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 Жыл бұрын
Jamani kweli mnavunja nyumba?hata huruma hamna?pole yao duuuh
@barakasiame1115
@barakasiame1115 Жыл бұрын
Duh! Huenda hawana familia wao
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Жыл бұрын
Gambo acha mambo ya siasa wananchi wanavamia sana maeneo ya watu Sasa kama mahakama imeshaamua
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4,7 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4,7 МЛН