No video

#ZaNdaaani

  Рет қаралды 53,488

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 115
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 Ай бұрын
Wamechelewa usajili umeisha, kikosi kiko full😂😂😂
@SijapataMathiasJosephat
@SijapataMathiasJosephat Ай бұрын
Me binafsi namwomba Eng Hersi aelewe uongozi ni gunia la misumari aswaze kuhusu maumivu inabidi atizame zaidi makusudio na malengo yako kwa ajili ya maslahi ya Young Africans
@xfamefatetv
@xfamefatetv Ай бұрын
Shame on you too Maskini😂
@putilegamagama6049
@putilegamagama6049 Ай бұрын
😂😂INGEKUWA SIMBA HAPO STUDIO MAMAMAMAMAAA.
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Ай бұрын
I LOVE YOU 🎉🎉❤❤ SIMBA NGUVU MOJA MAJILAN MKOWAP 😢😢😅😅😂😂😂😂
@zakaria924
@zakaria924 Ай бұрын
Mnajifariji, bahasha inafanya kazi, wengine mnacheka kwa kujilazimisha
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 Ай бұрын
Jamanii sipati picha ingelikuwa ni Simba iyo studio leo ingekuwa ni furaa
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n Ай бұрын
Acha2😂😂😂
@binkokisalikoi9019
@binkokisalikoi9019 Ай бұрын
Sana
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 Ай бұрын
LEO YAMETULIA KINA JOB, MKULE,KITENGE, NA WENGINEO HAKUNA KUCHANGIA MADA YAMETULIA MNO
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Dah mafanikio ya yanga yata towa watu roho😢
@Conrad-c4r
@Conrad-c4r Ай бұрын
Swali langu kwenu nyote hapo studio" Hivi mnahisi Hilo Jambo Lina madhara gani kwa wanachama na mashabiki pia na wachezaji kwa ujumla ??
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Ай бұрын
Hongereni hapo studio,na nina wakubali kinoma.
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Mbona mambo ya Simba mnafurahi sana
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Ай бұрын
Studio Ina uyanga ....
@bymnyaru
@bymnyaru Ай бұрын
Napenda kuuliza kwenye huyo magoma yupo kwenye balaza la wazeee
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 Ай бұрын
hahah wazee wenyewe wanasema wamemfukuza mzee wamigogoro
@DottoMoshi-x9o
@DottoMoshi-x9o Ай бұрын
Hakuna ata anae mjuwa kwenye balaza chura tu huyo
@Funyvideos708
@Funyvideos708 Ай бұрын
Yani ingekuwa Simba wangeua sanaaaaa yani
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Ай бұрын
HATA SIMBA SUALA LA LAWI SIMBA IMETULIA TULIIIIIII......
@zakaria924
@zakaria924 Ай бұрын
Assumptions & Gossip za wapokea hahaha 🤣🤣
@martinejohn714
@martinejohn714 Ай бұрын
Huyo magoma njaa zinamsumbua atafute chakufanya yanga siku hizi imeacha kushibisha matumbo ya watu
@bone102
@bone102 Ай бұрын
😂😂😂 we kweli dishi limeyumba kushibisha matumbo wakat mshatapeliwa billioni 1 mnaambiwa ni hasara ya timu😂😂
@user-np4di2lg5u
@user-np4di2lg5u Ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 eeeeee nchi yangu eeeeee
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Yanga uwaneniii kabisaa tutakula nyama zeni
@kamandamlimaog3430
@kamandamlimaog3430 Ай бұрын
wasafii mnauyanga yanga sana katikaa uchambuzi wenuu Simba hawana shidaa na matatzoo ya yangaa Simba wanaangalia Yao ya lawii
@rbayoub1181
@rbayoub1181 Ай бұрын
Wasafi na yanga yao
@user-hj9fc6it1y
@user-hj9fc6it1y Ай бұрын
chuki ni katumiwa ni vtu vibaya sana mzeee unatumiwa 😂 mungu atujaliee maishaa mazuri atuepushe na njaaa tusije kuwa kama hawa wazeee kutumiwa kufanyaaa ujinga😂
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 Ай бұрын
Ndio maana nmeacha kusikiliza hili li REDIO uchwara. Hawa sio watangazaji, ni machawa wa Utopolo.......
@why-ir8zl
@why-ir8zl Ай бұрын
Yanga fm ipo hewani😂
@samwelmasunga8293
@samwelmasunga8293 Ай бұрын
Kama anauwezo huyo magoma apeleke mguu wake apo jangwani aone
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 Ай бұрын
ONA KITENGE NA WASENGE WENZAKE ETI WAMETULIA TULIIIIIIII😂
@user-xr2hw3om9z
@user-xr2hw3om9z Ай бұрын
Makomandoo wanatafuta njia ya kuingia kwenye mfumo. Njaa imekuwa kali mtaani huko.
@tirathegreat8839
@tirathegreat8839 Ай бұрын
Kubababake...wanaona watoto wadogo tuu wanatamba
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 Ай бұрын
Wakajiunge na jeshi wapelekwe ukrein watapata pesa.
@RashidRajab-oz5ec
@RashidRajab-oz5ec Ай бұрын
Mzee wa zandani wewe c ni mdudu mwenzetu tu
@ZubeidaRashid-tq1yd
@ZubeidaRashid-tq1yd Ай бұрын
Sasa mbona maamuzi yametoka bila hata mshtakiwa kuulizwa?
@Conrad-c4r
@Conrad-c4r Ай бұрын
Jibun koment
@davidjohn540
@davidjohn540 Ай бұрын
Ingekuwa Simba mamamaaaaaaa
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Ай бұрын
maambo ya simba mnashabikia lakn ya yanga aaaah kuma zenu
@ludovickkimaro6362
@ludovickkimaro6362 Ай бұрын
Wasafi na Yanga yao sasa ingekuwa Simba ohooo sipati picha
@imanimwampagama8390
@imanimwampagama8390 Ай бұрын
Kama efm na nyie
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Ай бұрын
Mbona tunakereheka na huyo magma ambassador sio mwanachama? Nahiyo mahakama inatoaje hukumu kwa sahihi za kugushi,kama nikweli waligushi ni aibu sana kwa mhimili huu
@ZubeidaRashid-tq1yd
@ZubeidaRashid-tq1yd Ай бұрын
Kwa hiyo kumbe mnajua km jamaa hakukaa kihalali? Sasa mbona mnatetea
@JohnEugeni-f8m
@JohnEugeni-f8m Ай бұрын
SUBILINI MO MUIONE HII STUDIO
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d Ай бұрын
Ingekua Simba hapo studio kungechafuka
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy Ай бұрын
Ingekuwa simba Leo hpo cjui ingekuwaje wangese nyinyi Leo mmepoaaaaaaaa😁😁🏃🏃🏃
@imanimwampagama8390
@imanimwampagama8390 Ай бұрын
Kama efm inavyokua
@salumobed5980
@salumobed5980 Ай бұрын
Simba Huwa inakomaliwa balaaa dah.... Ila kwa sabAbu ni Yanga
@HappyKitindi
@HappyKitindi Ай бұрын
Za simba zinakuwa na evidence ndo maana zinakomalia, mfano unakumbuka mzee kilomoni na hati ya Simba? Sasa huyu magoma ya kwake haina hata circumstancial evidence 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt Ай бұрын
Kipindi Cha michezo kimebadilika kimekuwa udaku wa dida
@gilbertfrancis217
@gilbertfrancis217 Ай бұрын
Wachambuzi hamnazoo hasa maulidi kichwa majii kabisaa
@why-ir8zl
@why-ir8zl Ай бұрын
😅😅Kisu kimechoma kwenyewe!
@JabirAthuman-d6d
@JabirAthuman-d6d Ай бұрын
Mlikuwa wapi kujua kma ayupo mwenyewe
@goodlucksalumu1818
@goodlucksalumu1818 Ай бұрын
nani akupe like kenge wewweeeee
@khamisihussein8777
@khamisihussein8777 Ай бұрын
nimewaelewa wakuu
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Ай бұрын
INGEKUWA SIMBA MNGESEMA SIMBA Haijielewi.....LEO .MNASEMA kimajungu
@HappyKitindi
@HappyKitindi Ай бұрын
Ongea fact bro, we hapo unadhani magoma ana evidence gan ya maana katika Hilo?
@HappyKitindi
@HappyKitindi Ай бұрын
Za simba zinakuwa na evidence ndo maana zinakomalia, mfano unakumbuka mzee kilomoni na hati ya Simba? Sasa huyu magoma ya kwake haina hata circumstancial evidence 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Ай бұрын
Za ndaniiiiiiiii
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Ай бұрын
Mmmmmmmmhhhhhhhhhhh mrudisheni madarakani huyo ataleta tafrani jangwani
@AthumanKais
@AthumanKais Ай бұрын
Mzee wa kudele nkbl sana🤜🤜🙂
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 Ай бұрын
Kuanzia leo viongoz wa simba na wansimba tuhme hii media inauyanga sana sasa mamb ya yanga na simba wapi kwa wpai eti wakti sisi tunaongea mzee kaamkia avic na wanae aloo dah nije nion msemaj wa simb akiend wasafi nahama timu
@nickdr_tv
@nickdr_tv Ай бұрын
MWAIPOPOOOOOO.....
@user-np4di2lg5u
@user-np4di2lg5u Ай бұрын
Malipo hapa hapa dunian
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Mhuuuu magoma chambo atakoma
@LucyMtweve-i9b
@LucyMtweve-i9b Ай бұрын
Sipati picha ingekuwa simba momo unavyoivumisha zandaaaaaaani
@HappyKitindi
@HappyKitindi Ай бұрын
Za simba zinakuwa na evidence ndo maana zinakomalia, mfano unakumbuka mzee kilomoni na hati ya Simba? Sasa huyu magoma ya kwake haina hata circumstancial evidence 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@williammajani2152
@williammajani2152 Ай бұрын
Hawa ndio watu wameaniniwa na TV walete habari za michezo shame of you
@user-mz4ik1hx1q
@user-mz4ik1hx1q Ай бұрын
Makumaaaaaa awaaaa
@HamisMdamu-en5fe
@HamisMdamu-en5fe Ай бұрын
Popo ni mnyama sio mdudu wala ndege
@aminangano3635
@aminangano3635 Ай бұрын
Popo mnyama😂
@manfredmlay2743
@manfredmlay2743 Ай бұрын
Popo ni mbuzi sio mdudu
@user-jy1wm8do8w
@user-jy1wm8do8w Ай бұрын
Ubaya ubwela machambuzi machoko
@Athmanichambuso
@Athmanichambuso Ай бұрын
nimikulewa hap
@felixmwayeya6716
@felixmwayeya6716 Ай бұрын
Huyu ndo debora magoma mwenyewe sasa😂😂
@thejoeclassicsoldier
@thejoeclassicsoldier Ай бұрын
Popo sio ndege, acheni ujinga
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy Ай бұрын
Machawa😁😁😁😊
@dicsonbiko-wz7ym
@dicsonbiko-wz7ym Ай бұрын
wasafi imekaa kiuyanga yanga tu😅😅😅
@Mrwilliamgames20079
@Mrwilliamgames20079 Ай бұрын
Kakae ww ujadili Simba yako
@user-ft4ii2jx5d
@user-ft4ii2jx5d Ай бұрын
mjukuu wng momo upo sawa mie babu yako muba
@SaimonAnton-rj3vt
@SaimonAnton-rj3vt Ай бұрын
Mwaipopo
@WilfredSaidi-st3tn
@WilfredSaidi-st3tn Ай бұрын
GEN Z'S are typing 😅😅😅😅
@HermanJoseph-mi2og
@HermanJoseph-mi2og Ай бұрын
Mnazinguaaaaa mna waponda simba sana acheni ushabikiii naona Leo habar y yangaa yn mnawadefend
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Ай бұрын
Studio yenu ni utopolo kabisa Yani Yanga
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Wote hawa ni uto wanaongea kiwoga woga
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Ай бұрын
Magoma Yuko sawa😂😂😂
@zainabbakari-vw4jy
@zainabbakari-vw4jy Ай бұрын
Na huu ndo ukwel
@edwardlesian9318
@edwardlesian9318 Ай бұрын
Mwai popo hyo
@chamyluna8030
@chamyluna8030 Ай бұрын
Mnadhihirisha wazi kua mnaongea kiyanga yanga tu mbona Mambo ya simba hamuyapambi hivyo mungeongeza chumvi kibao mbwa nyie
@user-ft4ii2jx5d
@user-ft4ii2jx5d Ай бұрын
momo msalimie ndg yng mauridi
@JechaMakameIssa-gs2bl
@JechaMakameIssa-gs2bl Ай бұрын
wakwanza nipeni like zngu😢
@AziziAbdala-tw6uf
@AziziAbdala-tw6uf Ай бұрын
bundi limeanza kuzagaa yanga
@bonfacemassawe3394
@bonfacemassawe3394 Ай бұрын
Popo si ndege bali ni mnyama.
@mussakunenga8866
@mussakunenga8866 Ай бұрын
Acheni uyanga
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Ай бұрын
Momo wacha uongo
@SimonAmon-dr8xw
@SimonAmon-dr8xw Ай бұрын
msenge Wewe
@agnetorjohnson102
@agnetorjohnson102 Ай бұрын
Makasiriko ya nn sheikh ​@@SimonAmon-dr8xw
@PaulMuasya-z8c
@PaulMuasya-z8c Ай бұрын
Hivi wewe Kitenge wataka kusema Yanga hawakuwahi kufika mahakamani kwa hii kesi ? Hii ni mahakama ya kisheria na sio wale Tff. Wacha kuwapotosha wanachama wa Yanga.
@jonasfrank1758
@jonasfrank1758 Ай бұрын
Ingekuwa lunyasiiiii
@AyubuMwakalibule
@AyubuMwakalibule Ай бұрын
Sheli zipo ili zilindwe ko kama mtu kawafanyia mema ndio avunje shelia mgebadili ndio mmpe mtu uongozi mbona ingewezekana tu alaka sio nzuri,
@abddillahkatte6734
@abddillahkatte6734 Ай бұрын
Kwanza kajifunze kuandika
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d Ай бұрын
shelia ndio nini?
@mjuaelias3681
@mjuaelias3681 Ай бұрын
Bundi huyoo jangwani,
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 Ай бұрын
Kafia mferejini, tuma mwingine.
@GosheSecurity
@GosheSecurity Ай бұрын
Mwaipopo ni mshamba toka malawi ndio maana anatumika kifala afu hana hata kadi ya uanachama
@BarakaMalekela-nf6gv
@BarakaMalekela-nf6gv Ай бұрын
Bola mgombane tu
@user-xf3lv5xp1i
@user-xf3lv5xp1i Ай бұрын
Jangwani kumekucha
@SijapataMathiasJosephat
@SijapataMathiasJosephat Ай бұрын
Hakuna kilicho haribika kichapo kipo palepale
@JohnEugeni-f8m
@JohnEugeni-f8m Ай бұрын
Hapa angekuwa Mo hii studio wangeshambulia lakin hapa wanajaribu kutetea kila kaeneo hapo ndipo utatambua hawa wachambuz wala lushwa
@user-fu7pg8ei6j
@user-fu7pg8ei6j Ай бұрын
Ingekuwa Simba wangeongeza moto
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 Ай бұрын
Simba angalieni ya kwenu
@peterkissiri9821
@peterkissiri9821 Ай бұрын
Magoma ni Messi mtupu😂😂😂
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 29 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 25 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 93 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 29 МЛН