M/KITI CHADEMA MBEYA ATEMA CHECHE AKITANGAZA UONGOZI WA MUDA -WANAOMSEMA MSIGWA NITADILI NAO MIMI"

  Рет қаралды 12,501

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MWENYEKITI CHADEMA MBEYA ATEMA CHECHE AKITANGAZA UONGOZI WA MUDA "NI KIBURI, WANATAFUTA NJIA YA KUONDOKA"
Mwenyekiti wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Mbeya Joseph Mwasote amesema hata sita kufanya maamuzi dhidi ya viongozi wanaofanya mchezo ndani ya chama wenye lengo la kugawa wanachama.
Mwasote ameeleza hayo katika mkutano na viongozi wa chama Cha CHADEMA kutoka katika Kata zote za Jimbo la Mbeya Mjini uliokua na lengo la kutangaza kamati tendaji mpya itakayo fanyakazi Kwa muda baada ya kuvuliwa uongozi Kwa kamati tendaji iliyopita chini ya aliyekua mwenyekiti John Mwambigija.
Amesema kitendo kinachofanywa na aliyekua mwenyekiti wa chama hicho John Mwambigija kupinga maamuzi ya chama ngazi ya Kanda ni kufanya fujo za makusudi kitu alicho kiita ni kiburi na kutafuta njia ya kutaka kuondoka ndani ya chama.
Cc @enocksaimon
#WasadiDigital

Пікірлер: 15
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 жыл бұрын
SAFI SANA, KIONGOZI HESHIMA IWEPO, SIYO MTU 1 AU 2 WANAFANYA VIKAO MAFICHONI, MH. MSIGWA ALIENDA KUKIWEKA KIKAO VIZURI AKAKIWEKA WAZI
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 2 жыл бұрын
Angalieni yule jama mliemtimua ,mwangalieni kwa jicho lingine, asijewatoa kwe mstari. MTU makini sana yule
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Tunakuomba muondoeni kbs yule fala na kikundi chake anaejisifia hawezi kuondolewa kwenye chama akimponda Sugu na Msigwa wakati hiku anakula visent vya nzi wa kijani mpumbavu sana yule
@julianasanga4899
@julianasanga4899 2 жыл бұрын
Atolewe huyoooo anayejisifu
@renathaapollo3124
@renathaapollo3124 2 жыл бұрын
Safi sana
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 жыл бұрын
TIMUENI YULE BOYA ANAYE JISIFU UBABE NA ANAWADHARA VIONGOZI WA KANDA ANAMDHARAU HADI MH. PETER MSIGWA NA MH. SUGU
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 2 жыл бұрын
Safi sana kamanda vinyonga wote wapigwe chini
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Kweli kabisa wachawi wote watimuliwwe kabisa
@jacobmasoko7399
@jacobmasoko7399 2 жыл бұрын
Safi Sana mwenyekiti China kamanda
@stanfordpopitolo4757
@stanfordpopitolo4757 2 жыл бұрын
Chama hiki Ni kikubwa kuliko mwambigija China tunakuelew maamuzi mmefanya sahihi
@kelvinmwakyusah7311
@kelvinmwakyusah7311 2 жыл бұрын
Uyo hafai hata kidogo
@alexander19077
@alexander19077 2 жыл бұрын
Timua wachawi wote kwenye chama.
@saladaniel9274
@saladaniel9274 2 жыл бұрын
Safiiiii
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 2 жыл бұрын
Safi
@kapondamsita476
@kapondamsita476 2 жыл бұрын
Chadema makini
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 171 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
MAPYA KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI, MCHUNGAJI IPM AWEKA WAZI
21:24
Mbengo Tv
Рет қаралды 2,2 М.
LIVE: CHADEMA WATOA TAMKO BAADA YA MBOWE KUACHIWA HURU
11:46
Millard Ayo
Рет қаралды 20 М.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,5 М.
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН