This song is a different type of vibe everyone loves it
@lucymtuka31998 ай бұрын
Hongera zuu wetu
@SharonteShah-iz9zn8 ай бұрын
Smart sana Zuchu
@colethachaula5928 ай бұрын
We Dada kumbe hata ukivaa vizuri unapendeza zaidi kuliko vichupi unavyovaa Tanzania.
@PhyonaPhesterlyne8 ай бұрын
Kumbe hatawewe umeona
@HusseinMohamed-jq7hu8 ай бұрын
Yarabbi tuogozee njia iliyonyooka
@user-wi6uk1vz1h8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@TuluvejensiKaloli-kr3ml8 ай бұрын
Ila weee siteri mzuri sana
@em_vee_josh8 ай бұрын
Alafu mbona kama sauti yake ni kama haiko sawa vile😅
@user-nj9hm6xd5u8 ай бұрын
❤️💚💚💚💚💚💛💛💛🤲🔥💯
@Espe20098 ай бұрын
❤❤❤
@yetumusic77488 ай бұрын
Honey
@everrineanyango74108 ай бұрын
Zuchura 😂😂😂
@Elsah-ee4ec8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-fc3ip3kp6x8 ай бұрын
😂😂😂😂
@ramadhanimwinyi-74458 ай бұрын
washenzi wote nyie
@user-bl2gn2mb4o8 ай бұрын
Zuchu nn mby saut mbn ivo,,, sorry
@hawaramadhani69548 ай бұрын
Tz ndo mahala pa uvaa ushenzi😢😢
@Chettymlambalipsi-lb9km8 ай бұрын
Mbna kavaa kama anaenda sokoni
@user-uo9vp9tv8w8 ай бұрын
Pendeza san
@sanurahimid18338 ай бұрын
Kuna nyimbo baadhi ya sehemu hazipendezi kuimbwa ni ushauri tu
@beyondintrusion16638 ай бұрын
kuna baadhi ya comment hazipendezi kuandikwa ni ushauri tu
@lucymtuka31998 ай бұрын
Ulitaka aimbe nyimbo za swala
@bimumaulid11718 ай бұрын
HIVI KWA NJNJ UNAPENDA KUTOA ULIMI NJE NI UCHAFU WA HALI YA JUU
@Elsah-ee4ec8 ай бұрын
Mbona kama chura vile??😂😂😂😢😢😢😂😂 honeyyyy!!!!😂😂😂😂 na hilo gauni vipi?ama ndo magauni yamekosa Zanzibari😂😂😂😢😢😢..
@user-xb2yk6jl6p8 ай бұрын
Vwewe acha makariko rohombaya tu ntoo
@Queen-be1uf8 ай бұрын
Jamani zuchu zanzibar havai vichupi. Vichupi anawavalia wabongo tuu ndo hawana adabu kama yeye au vipi? Nauliza tuu si kwa ubaya. Zanzibar ina hadhi yake usifanye mchezo hata wakristo hubadili majina na shungi wanavaa. Wafanyakazi wa ndani wote wakifika huwa waislam jina😅😂😂😂😂
@Chettymlambalipsi-lb9km8 ай бұрын
Eti wabongo kwani weye mzungu
@albertkadyanji97228 ай бұрын
Choko kweli wewe mara ngapi uko zanzibar anavaa vichupi kama kawaida hakuna cha maadili wala nini ni maamuzi tu ya mtu kuamua avae nini
@emmadora78488 ай бұрын
Mpumbavu mmoja kweli ,kati ya mahali ukristo unakua ni zanzibar , then avae chupi, akae uchi ni yeye na mwili wake sisi wengine haituhisu wala kutusumbua, tuna mambo mengi ya kufanya
@hawaramadhani69548 ай бұрын
Zanzibar anamuogopa nani??? Mtu hupaswa kuwa na hofu na mangu na si mahala Wala wanadamu
@albertkadyanji97228 ай бұрын
Acha ushamba wewe izo porojo zako kawapelekee washamba wenzako nani kakudanganya zanzibar ni kama sehemu zingine tu mavazi ni jinsi utakavyojisikia kuvaa hakuna sheria ya nani avae vipi peleka udini wako ukooo