"MWIGULU UNAJIITA DOKTA! DOKTA wa WAPI WEWE" - MFANYABIASHARA BILA UWOGA AONGEA MBELE WA WAZIRI MKUU

  Рет қаралды 391,483

Wasafi Media

Жыл бұрын

"MWIGULU UNAJIITA DOKTA! DOKTA wa WAPI WEWE" - MFANYABIASHARA BILA UWOGA AONGEA MBELE WA WAZIRI MKUU
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: wasafitv || wasafifm
TWITTER: wasafitv || wasafifm/
FACEBOOK: wasafitv/
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 787
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 Жыл бұрын
Jamaa kaongea point sana uyu paka kapewa cheo leo hii amekuwa mjumbe wa kamati iliyo undwa na waziri KAMA UNAUNGA MKONO UTEUZI WAKE GONGA LIKE HAPA CHINI
@annamakusa3740
@annamakusa3740 Жыл бұрын
Huyu ajengewe sanamu na ulinzi apewe kawakilisha vizuri sana👌👏👏
@sadamissa5687
@sadamissa5687 Жыл бұрын
Akifika huko anapewa bakuli la keki anashiba anawasaidia kumega😂😂😂
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Apewe maua yake kabisa?
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@@sadamissa5687 🤣
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Yaaaani anamaumivu sana ana uchungu
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Yaani wafanyabiashara wadogo twafa
@frankwilliam144
@frankwilliam144 Жыл бұрын
What a beautiful speech. Hawa ndo watu wanaostahili kuwa viongozi kwenye nchi hii
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 Жыл бұрын
Huyu ni raia lakini mwenye elimu ya master's na elimu ya biashara ila waliopewa kazi ni vizibo hawajitambui wala impact inayokuja hawajui nawala athati hawazijui mafuta tuu ulaya yameshuka ila huku bado tumepigiliwa
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 Жыл бұрын
Mimi kama mfanyabiashara Mdogo Nimepiga Makofi japo sikuwa kwenye Eneo Husika Huyu Jamaa Ni Balaa..!! 🔥🔥🔥🔥
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Mimi si mfanyabiashara Ila nimepiga makofi
@amanimsuya3354
@amanimsuya3354 Жыл бұрын
Nimependa utulivu wa PM kwani umemsaidia kufahamu mengi toka kwa msemaji. Big up PM Kassim Majaliwa Majaliwa
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Kama jpm vile 😊
@stelamusa2322
@stelamusa2322 Жыл бұрын
💪💪
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Daahhh huyu baba nimemkubali sana kichwa chake kinafanya kazi vizuri mno
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 Жыл бұрын
Enzi zile akitajwa tu mtu mzungumzaji anastopishwa kwanza na mtajwa anashughulikiwa titifotati kiweredi huku mazungumzo yanaendelea. Huyu jamaa Mungu amtunze, ameongea kwa uchungu sana. Tunahitaji Power, only.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Umeonaaa
@marianablessed7135
@marianablessed7135 Жыл бұрын
Nimemiss sana hizo moments. Service Levy hii Hapana aisee.
@laprincevonkingpin2538
@laprincevonkingpin2538 Жыл бұрын
matatizo yalitatuliwa moja kwa moja
@ankotemba7369
@ankotemba7369 Жыл бұрын
Ilikuwa raha sana aseee 🤗🤗🤗
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 Жыл бұрын
Kuna faida na hasara ya maamuzi ya hapohapo,pia kuna mambo marahisi kutolea majibu hapohapo kama hayo ya kuhamisha mapolisi,wafanyakazi wa tra n.k lakini mambo mengine ni ya kisera zaidi ambapo ni lazima kuwe na utulivu ktk kuyatatua. Pia sometimes kutoa majibu ya hapohapo unaweza kuvunja katiba na sheria tena ikawa mbaya au ukaonea watu,subira inahitajika kwa baadhi ya mambo.
@silvergold5855
@silvergold5855 Жыл бұрын
Hapo kwa mwigulu nimepapenda safi sana
@cmpoo5869
@cmpoo5869 Жыл бұрын
Tanzania kumbe kuna watu..?? Hawajajua tu hasira za watu wanazoteseka nazo..,,,Big up kwa huyo jomba
@franklinmsamila1347
@franklinmsamila1347 Жыл бұрын
Katika maisha ni vizuri sana watu kutengenezewa Breathing space kama hii watu wapumue.
@cammycamilius6856
@cammycamilius6856 Жыл бұрын
Point
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Жыл бұрын
Unaakili sana ww, Ni tiba kubwa sana hiyo watu tunabeba hasira kwenye mioyo yetu hatuna kwa kuitua.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Tafadhali sana serikali ya Tanzania huyu jamaa kaongea zote facts, hakuna alichoacha.
@361NEWS
@361NEWS Жыл бұрын
I love you Tanzania people they have freedom to express their feeling without worry…
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 Жыл бұрын
Hii uja baada ya watu kuchoka saaaaana
@edwinbayona7395
@edwinbayona7395 Жыл бұрын
While now you start hiding because they hunt you badly
@joykapaya1970
@joykapaya1970 Күн бұрын
May the truth bring peace in Jesus name.​@@edwinbayona7395
@annamakusa3740
@annamakusa3740 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaakili Sanaa amejipanga kuongea 👌👏👏👏
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 Жыл бұрын
Sio kujpanga tu yan maumiv unayoyaptia kila sku ndio yanayo umiza
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Жыл бұрын
Jamani wafanya biashara mko vizuri bila shaka Serikali yetu sikivu itayafanyia Kazi...
@Glennyndossy-ug1zi
@Glennyndossy-ug1zi Жыл бұрын
Huyu mzee wangu sina chakusema nimwanaume sana yani nidamu ya Jpm hii kabsa.wachane usiache tonelaukweli
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 Жыл бұрын
Ukimtaja huyo Mzee "JPM" nahic joto, alale salama Mzee.
@aminamkindi922
@aminamkindi922 Жыл бұрын
Kupitia haya nadhan viongozi wajue namna watanzania wamechoka na maisha haya na huu uchumi, Iwe wake up call aseeeee
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 Жыл бұрын
Kabisa Amina, it's a red flag
@nanadady7408
@nanadady7408 Жыл бұрын
Natamani kama Baba magufuli angekuwepo ayasikie haya 😢RIP BABA
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Angefanya nini wakati ndiye aliacha hawa watu wakaonea watu hasa wafanya biashara hii ni kasumba yake tunakukumbusha labda ushauri TRA watumishi wawajibishwe habari ya Magufuli ifutiliwe mbali katika nchi hii
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
@@marcokaroje8980 JPM HAJAACHA HAWA WATU, ALIWAKUTA. MTU SAHIHI ALIKUA JPM SIO WALIOMZUNGUKA, WALIOMZUNGUKA NDIO WALIOBAKI NDIO HAO WENGINEO NDUGU ZENU NA BABA ZENU LAKINI WALIMTUSI JPM AKIWANYOOSHA HAO WATU.. MLISEMA NI DICTATOR HAWA WATU JPM ANGEKUWANYOOSHA.
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
​@@marcokaroje8980unajisahaulisha au unajitoa fahamu? Magufuli si ndo aliweka vitambulisho vya wamachinga ya shiling 20 Kwa mwaka au? Alijua TRA watawasumbua na wataweka mianya ya rushwa. Kwa taarifa yako kuna wafanyakazi WA TRA ninaowajua waliaacha kazi wenyewe Kwa kumuogopa Magu
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
​@@richardboaz-mashagospel2346wengine wanajitoa fahamu Tu!
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
@@marcokaroje8980 hivi yule baba aliefirisiwa na tra na Mpira akatupiwa huyuhuyu majaliwa lilfikia wapi maana alianza kuwekewa mitego ya kutaka kuuwawa
@gililwise
@gililwise Жыл бұрын
Jamani nilishasema huyo mnyiramba hafai.ana dharau sana.lakini Mungu yupo.atamshughulikia tu maana haya machozi ya watu hayatakuwa Bure.
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Gilliana lema SI shemeji yako lakini huyo,mabasi YOTE mazuri kawletea Moshi,Leo HUMTAKI? HAHAHA 🤣🤣🤣
@gililwise
@gililwise Жыл бұрын
@@IsraelKisaila hafai kabisaaaa
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Nitoe pongezi kubwa sana kwa mama Samia kwa mpango huu nchi itaendelea. Hizi sumu zingeleta mlipuko ambao kuzimika kwake ingekuwa mbinde
@dannythegreat8017
@dannythegreat8017 Жыл бұрын
Just imagine that pain guys watu wawe na utu... Mheshimiwa Waziri mkuu siku zote wasemaukweli wanatengeneza uhasama please hao watu wote waliowasilisha maoni kwa niaba ya wengi wanahitaji ulinzi wasidhurike ni watu wa muhimu mno kwa Taifa letu... Mfano halisi hyu mwasilisha mada aliwahi kutoa maoni akaishia kufungwa jela kwa Siku 10 huo ni uonevu..
@jamessimbaire3016
@jamessimbaire3016 Жыл бұрын
Kujiamini na kusema ukweli ni jambo ambalo Mungu anafanya upaee kwenda hatua nyingine barikiwa sana mzee wetu kuongea ukweli big up father 🙏🙏👏👏🎤🎤
@erodeshayo123
@erodeshayo123 Жыл бұрын
Ilove you Waziri mkuu Mwigulu watakumaliza kama Mungu aishivyo nakuambia Badilika
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
Mwigulu hafai kabisa sijui kwann mama bado amenwacha tuu.
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Жыл бұрын
Kweli kabisa tunavisukali hatarrrr baba ongea ongea point tupo safi
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Very true wafanyabiashara tunatengenezewa mazingira magumu
@clementinambwile3012
@clementinambwile3012 Жыл бұрын
Mwamba Huyu Hapaa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿👏🏿👏🏿
@altamando
@altamando Жыл бұрын
Tumemuona mwamba hata akizurika ukweli keshasema
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Shoo ilikuwa TAMUUU Sana Leo iludiwe😊
@Bungejackson
@Bungejackson Жыл бұрын
😂😂😂☑️
@luisojr3480
@luisojr3480 Жыл бұрын
😂😂
@renatusmahombwe3093
@renatusmahombwe3093 Жыл бұрын
Mtanga afunika Dar Big up bro Mawazo mazuri ni zaidi ya bunge
@godfreymwaisaka1598
@godfreymwaisaka1598 Жыл бұрын
Wananchi wanamengi jamani tengeni muda wa kusikiliza kero zao mzee ubarikiwe sana kwa kusema na kutoa lililo LA moyoni ❤❤🎉
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Asieee ni balaaa watu wana hasira sana😢😢😢😢
@fatumamkondo3858
@fatumamkondo3858 Жыл бұрын
Jamani hii nchi ina mambo ya hovyo sana viongozi wawajibike Watanzania wanauchungu sana Rushwa imekuwa ni kawaida Hapo hali ni mbaya mbayaaaa
@meryerick6053
@meryerick6053 Жыл бұрын
Huyu Jamaal amesoma na ana overconfidence sijui anatokea Kanda ya ziwa
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Huyu baba anaakili nyingi sana.... Mpeni kitengo Huko serikalin awasaidie
@msekoali
@msekoali Жыл бұрын
uongozi siohio kuongea2 mzee
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
@@msekoali kumbe kufanyaje
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Kabisa
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
​@@msekoali na hao wanaocheza bungeni wana faida gani. Wangekuwa wana ubongo wa kufanya kazi hawa watu wangetoa kero hizo
@ricklandennis
@ricklandennis Жыл бұрын
Bora anaeongea watu wapone sasa ukiwa na akili nyingi halafu umekaa tu kimya una faida gani
@athanasathanas2238
@athanasathanas2238 Жыл бұрын
Natamani Mwamba moja hivi aamke alipolala JPM ❤
@catherinelandas1938
@catherinelandas1938 Жыл бұрын
Yan kak umesema kwel mwamba angekuuwepo hapo hata asingeshirik hapo hila cm ingepigwa na mwingulu angetenguliwa
@andrewcharles929
@andrewcharles929 Жыл бұрын
Talking with passion, pain, heartbreak nzuri sana hii na katoa na mawazo kabisa ya nini cha kufanya thats good.
@priscamsuya-xd4tu
@priscamsuya-xd4tu Жыл бұрын
Nimefurahi sana Tanzania tumeamka
@davidlukumay2226
@davidlukumay2226 Жыл бұрын
Uyu mzee ana kitu kikubwa sana ,apewe nafasiii ❤❤❤❤
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 Жыл бұрын
Mzee kaongea kwa uchungu sana Tanzania haijawahi kuwa fear toka magufuli aondoke mambo ni vululuvululu yani , R.I.P magufuli😭
@jameskahamba4023
@jameskahamba4023 Жыл бұрын
nikweli kabia nchi imerudi kua shama la bibi
@petromaley
@petromaley Жыл бұрын
I can feel the pain of this man.
@alphanmatanza5148
@alphanmatanza5148 Жыл бұрын
Bila polisi hapa mtu angekula kichwa
@petromaley
@petromaley Жыл бұрын
@@alphanmatanza5148 kwa kweli aisee kuna mambo yanatia hasira sana
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Thanks for thati
@changanataliforlife3760
@changanataliforlife3760 Жыл бұрын
​@@alphanmatanza5148 😂😂😂
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Yani mwingulu mchemba nakuapia wewe ujangili wako una mwisho una miliki mabass yaliyo andikwa ester ila akuna MTU anakuhuliza ila utaulizwa na mungu jangili mkubwa wewe siku asigandi ipo siku utajibu mble za mungu wewe mwingulu mchemba jangili mkubwa wewe
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 Жыл бұрын
The people who have power have no idea and the people who have idea have no power.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
like president we have a clawn 🤡;
@simontamba2189
@simontamba2189 Жыл бұрын
Lumumba my papa said that
@magorahassan3491
@magorahassan3491 Жыл бұрын
Definately
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 Жыл бұрын
Unaakili sana
@wargall2
@wargall2 Жыл бұрын
I disagree, the people who have power employ people who have ideas. if you have money and power it means you are smart, therefore hire or buy ideas from someone with ideas who cannot move or use his or her ideas.
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Well said huyu ni akili nyingi achaguliwe atetee wafanyabiashara
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Ngoja alambe asali
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Kazi pole Waziri Mkuu ila Ndio wanapona Ubarikiwe Mungu Atusaidie Amani isitoweke Tanzania
@saidialiy
@saidialiy Жыл бұрын
Ndomana magufuli hakumuweka
@farajaleonard9793
@farajaleonard9793 Жыл бұрын
More confidence more skills good speech hongera big
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
Daah tulimis sana hivi vikao vya familia kuweka nidhamu sawa,RIP JPM
@Noela-dk2xu
@Noela-dk2xu Жыл бұрын
Service levy inatuumiza sana sana sanaaaaaaaaaaaaaaa Dodoma
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Hata tegeta ipo hiyo service leavy
@monicanabarikiwasana5396
@monicanabarikiwasana5396 Жыл бұрын
Awa alimashauri wamezidi sana
@Noela-dk2xu
@Noela-dk2xu Жыл бұрын
Inachosha sana
@Noela-dk2xu
@Noela-dk2xu Жыл бұрын
Na tabia waliyo nayo sasaivii wanakusubirii unalipia lesenii kwanza ,ukishalipia hupewii wanaizuia kwanza, wanakuambia lesen haitotoka mpaka utakapolipia service levy..yaan kwa kwel tumechoka
@margrethjonesmshana8555
@margrethjonesmshana8555 Жыл бұрын
Hongeraa sana kaka yangu MWENYEZi MUNGU akulindeeeeeee
@donjailer8827
@donjailer8827 Жыл бұрын
Safi sana mzee kuongea kutoka moyoni
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Huyu baba apewe ulinzi jamani kaongea ukweli mchungu 😂😂😂 hongera san baba
@rossemissusomuchmjsungura8890
@rossemissusomuchmjsungura8890 Жыл бұрын
Hongera kwake huyu baba wamezidi dah
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
Safi sana!! Kazi kwako Waziri Mkuu.
@ayshahussen7452
@ayshahussen7452 Жыл бұрын
Kidonge kichungu💪🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@officialdanijay6521
@officialdanijay6521 Жыл бұрын
magufuri pumzika kwa amani hukufa bure sadaka uliyo itoa magufuri hujaenda bure naamini umeacha akina magufuri wengi sana hapa tanzania wazalendo kama hawa wapo wengi sana nawatazidi kuwepo asante magufuri pumzika kwa amani😢😢😢😢😢
@aronatv47
@aronatv47 Жыл бұрын
Kwani akiondoka hayo Makodi siyalikuwepo Tu kila Kitu kina Mwanzo na Mwisho
@carloschomola9219
@carloschomola9219 Жыл бұрын
huyo magufuri kafilisi watu, kapora pesa watu, ccm yote janga
@ibrahimhodabaksh3939
@ibrahimhodabaksh3939 Жыл бұрын
HI NI KAZI YA BUNGE BUNGE KIMYA
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
Mwigulu na Makamba hii inchi wanaifaidi sana, nahao ndiyo umwambii kitu Mama akuelewe
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Wazulumu watu ila wakumbuke kuna kufa na kuacha kila kitu
@erkkimaro1967
@erkkimaro1967 Жыл бұрын
Mungu aingilie kati atuondolee mawaziri pm mungu akubariki
@rehema971
@rehema971 Жыл бұрын
Kweli rushwa ningimno hata Jiji maduka mengi huwa wanatoa rushwa wasikate leseni ambao leseni tunazo tunaindwa kuza tumefilsika ha sa ilemela mwanza
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
@@rehema971pole my
@benjaminntwale1325
@benjaminntwale1325 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana mkuu, serikali hili swala ni nyeti sana. Huyu jamaa anaongea points sana.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Asante kaka
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Ana udocto wowote uyo labda ana. Udoctor wa kiburi
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Doctor wa kiburi na wizi
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Savi sana mweshimiwa waziri mkuu tunaomba uyo mwingulu nchemba ondoka naye pamoja na kameshina wa t r a
@beatricechuma7828
@beatricechuma7828 Жыл бұрын
Pongezi kubwa wa waziri mkuu msikivu na amemwacha aseme sumu yote, lakini pia hongera ww baba umeongea point sana tunaamini selikari itasikiliza na kufanyia kazi.
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Dah huyu baba sijui km hajaumwa leo maana ameongea kwa hasira sana masikini hd huruma 😢
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 ай бұрын
Nampenda na namkubali sana mhshmw Majaliwa..Mungu azidi kumlinda
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 Жыл бұрын
Kaka umeongea vizuri sana . Naomba ukienda kwenye hiyo tume naomba uwashauri kuwa. Hili suala la kukadiliana Kodi halina afya Kwani unaweza kukuta watu mpo eneo moja hata mtaji unafanana lakini kila moja akienda kukadiriwa Kodi inatofautiana maadamu ajue kujieleza au anayekukadiria Kodi umpe Hela ya chai ili kutengeneza urafiki ndiyo utakadiriwa Kodi ndogo ndogo
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Duuh kumbe Tz kuna watu wanaakili nying hivi hongra sana Baba
@salumazizi7217
@salumazizi7217 Жыл бұрын
Muheshimu kila mtu, usikutane na mtu mahali ukamdharau...elimu ana taarifa inayopatikana kupitia hizi hoja ni kubwa mno
@esperancenathali
@esperancenathali Жыл бұрын
Mwenye elimu yake amekosa nidhamu kwa wananchi wake wewe km umeridhia kuna wenzako wanalalamikia kidogo wanacho kitafuta kwa jasho lao pia ukiamua kuwa kiongozi lazima ukubaliane na kila jambo 😢😢😢
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Katika izo nafas 10 huyu mzeee apewe iyo nafas mashallah kaongea ukweli mtupu nipo Omani ila nasikitika wa TanzaniaI wenzangu wanavopata tabu katika biashara zao naamin mungu atawasimamia litaisha salam❤❤
@francethomas8059
@francethomas8059 Жыл бұрын
Hongera kaka tena sana una tetea taifa
@nakali79
@nakali79 Жыл бұрын
Asante sana, ndugu umewakilisha mawazo yetu wa Tanzania tulio wengi, kimya chetu sio kuukubali wizi wanaoufanya, bali kimya chetu ni "hasira na chuki tuliyonayo dhidi yao, tuna subiri siku na saa tu ya kulianzisha"
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Жыл бұрын
This is exactly Tanzanians have to be! No fear from corrupt leaders
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Wananongenezana hiyo mizigo
@emmanuelmussa2643
@emmanuelmussa2643 Жыл бұрын
This man as a gem
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Tutapata raisi kati ya hawa wafanya biashara 🙌✌️
@saadasuleiman4746
@saadasuleiman4746 Жыл бұрын
💪💪💪 mwamba huyo hana siasa
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Kweli kabisa kodi imezidi kupita maelezo so much wageni wakija wasemewe na mzalendo wafisiwe kwa kwe unyojaji
@joelmwanja211
@joelmwanja211 Жыл бұрын
Watanzania wa sasa, siyo watanzania was zamani. Watumishi wa umma mnapaswa kubadilika sanjali na generation unavyo badilika. Generation ya sasa Ni ya ukweli, ndiyo maendeleo yadunia.
@lasteckmmary9741
@lasteckmmary9741 Жыл бұрын
Mzungumzaji, nimekuelewa sana bro,
@joelmwanza6009
@joelmwanza6009 Жыл бұрын
Mwigulu Wizara ya fedha imemshinda, aondolewe kwa maslahi mapana ya taifa. Anaweza kuwa mchapa kazi lkn anakuwa perceived kama incompetent and perception is "reality" !
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
haya yote mbona sijawahi kusikia wapinzani wakiyasema , wapo na hoja ya ubabaishaji ya katiba mpya
@raybby9291
@raybby9291 Жыл бұрын
Me katika viongozi ninaowachukia mwigulu ni wakwanza yani anakela na sijui kwanini hawamtoi
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Жыл бұрын
​​@@raybby9291 uongoz wa sasa upo kwa ajili ya watu wachache matajir sio kwa ajili ya walio wengi ambao ni maskin au wenye kipato cha kawaida, kama hujagundua hilo utaumiza akili yako bure tu. Ndo maana huyo mwigulu na makamba wanajibu kwa nyodo tu
@consesaphelician9266
@consesaphelician9266 Жыл бұрын
@@raybby9291 haahaaaa
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 kwanini hta familia yako haijawahi kuyasema?? Mkuki kwa nguruwe!!
@ekisuka1
@ekisuka1 Жыл бұрын
Safi sana very knowledgeable
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 18 күн бұрын
This man is prudent. Take heed.
@bennyframa4505
@bennyframa4505 Жыл бұрын
Hapa ndo nimeamini sasa kweli Magufuli umekufaa. Hakuna mwanaume angeweza kusimama hivi kumsema waziri namna hii mbele yako. Demkrosiaa imerudiii. RIP Chuma Magufuli.
@edwarddavid8076
@edwarddavid8076 Жыл бұрын
Mshamba wewe!
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 Жыл бұрын
Asante kutusemea ndugu
@mwitagabriel7200
@mwitagabriel7200 Жыл бұрын
Mwiguru ni mwiziiii kwani jpm si alikuwa anamjua?
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
JAMAA ANAAKILI ZAIDI YA TUNDU LISSU... ZITTO KABWE, NA WAPINZANI WOTE MAANA WOTE HAWAKUZUNGUMZA POINT ZAKE ZAIDI YA KUITWA IKULU.. HONGERA MZEE
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Жыл бұрын
Eti wapinzani...!! We babako nae mbona hajawah kuzizungumzia??
@Manyara-Jr
@Manyara-Jr Жыл бұрын
HUU JAMAA NIMESKILIZA VIZUR ANATEMA MADINI MATUPU
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Watanzania wengi wanajiuliza kilicho mfanya huyu anayeteua mawaziri kilicho mfanya amrudishe mwingulu kwenye wizara nini jipm alimfukuza kama mbwa Leo hii amerudishwa tena matatizo yamerudi tena akuna mtu mbaya au kiongozi mbaya kama mwingulu mchemba
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Mwigulu out, out.🏃‍♂️😂
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 Жыл бұрын
Hii tufanye kampeni wallah
@beatricejohnkomba3076
@beatricejohnkomba3076 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwakutusemea baba
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 Жыл бұрын
Mwamba huyu mungu ambaliki sana
@eliaminja3648
@eliaminja3648 Жыл бұрын
Well Said...DAH BIG UP
@yohanasiminzile2096
@yohanasiminzile2096 Жыл бұрын
Kwa maelezo mazuri haya yaliyotolewa na huyu bwana pamoja na mapendekezo yake kupata wawakilishi wa makundi hasa wafanya biashara kama itampendeza mama yetu Rais mpendwa awateue baadhi ya hizo nafasi kumi, ombi langu kwa mama huyu bwana awe mmoja wa miongoni mwa wateule katika nafasi ya Ubunge hii. Huenda na Mimi nikaanza kufanya biashara maana nasita kwani, wengi wa wafanya biashara wanalalamikia TRA kusimamia vibaya ukusanyaji wa kodi hadi kuwafanya watu kukoswa imani na chombo chao hiki kizuri hapa TANZANIA.
@kizaanthony9162
@kizaanthony9162 Жыл бұрын
Keshateuliwa tayari
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Tatizo pia tuna miradi mikubwa ambayo gharama za matengenezo yake ni kodi.hii ilitarajiwa kutokea maana bila kuminya walipa kodi hiyo miradi itasuasua ama kufa kabisa. Cha msingi inatakiwa kuwe na mfumo wa kodi ulio wazi na sio kulipishwa kodi nyingi tra, mara halmashauri tozo...etc
@agapesoka615
@agapesoka615 Жыл бұрын
Kwa kweli nimemkubali yuko vizuri ndugu yangu Nina mtoto wangu alipata nafasi ya duka geita ameshindwa kufungua anasema watu wanalalamika tra inasumbuwa wanashindwa wafanyeje wangalie Tanzania nzima hali siyo nzr tra inaumiza mnoo
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Mwisho WA siku watu watafunga maduka tu halaf tuone
@sebastianmathew8475
@sebastianmathew8475 Жыл бұрын
Mungu atusaidie watanzania viongozi wamewekwa na raia au wananchi lakini thamani yake inapatikana wakati wa kuomba kura binafsi serikali ni chombo chema tunapaswa kuiheshimu na sio kuiogopa kwani anayepaswa kuogopwa Mungu peke yake. Lakini mkubwa akijiheshimu na kuwa mwadilifu inapendeza sana. Mbaya sana kumwabia mwanao usizini wakati una watoto 5 nje ya ndoa. Viongozi wanaapishwa na biblia na msaafu lakini maadili hakuna watanzania wmekata tamaa kwenye nchi Yao. Bahati mzuri Mungu kawaumba wanadamu na macho na masikio. Nahisi Kuna watu wanamuomba Mungu watu waondoshewe macho na masikio ili wafisidi zaidi. Ila Mungu anawaona serikali ya mbinguni itaingilia kati mambo yake SAWA. Ushauri itakuwa bora viongozi waapishwe kwa mijusi majiwe na miti mikubwa ili kuendane na kukosa maadili na kumwogopa Mungu wa kweli. Mungu awabariki watanzania.
@martinmsigwa9066
@martinmsigwa9066 Жыл бұрын
TRA inaumiza sana, I know and I feel this pain , ubabe na Rushwa unakosa pakusema 😢
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 Жыл бұрын
Msambaa kachachamaa,cjui mbwai😂😂
@gosplevibetvtz
@gosplevibetvtz Жыл бұрын
Hongera sana 😢😢 wasafi 😢😢kwa habari kamili
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
Washenz watimuliwe .wazir mkuu Mungu atulinde
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Maashaallah baba umewapa ukweri Munguakulinde
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 Жыл бұрын
Pole sana kaka, Mungu wa Mbinguni akurinde na mabaya yote
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Mzee kama ulikua kwenyekichwa changu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏mungu akushike mkono vm asante magufuri matunda yako tunayaona ulale pema peponi 😭😭😭😭🙏
@kawanga0073
@kawanga0073 Жыл бұрын
Wenye nacho wanasikilizwa lkn sisi makanyanga tukiomba mambo yetu tunaambiwa tuhame twende Rwanda, bando juu, tozo kibao kwny miamala, vyakula bei juu, mambo kidakida 😢😢😢😢
@sdtz344
@sdtz344 Жыл бұрын
Twende Burundi 😓
@kissimbasaid4779
@kissimbasaid4779 Жыл бұрын
😥😢😥😢
@Piscesblair
@Piscesblair 19 күн бұрын
Hongera sana kwa kuwaambia hawa viongozi ukweli
@richarddavidmk
@richarddavidmk Жыл бұрын
Mama Samia Yuko good freedom of speech. Than the days of Magu
@danielmgeni1703
@danielmgeni1703 Жыл бұрын
Mungu mlinde Huyu mzee kaongea poit sana
@johnsonmshana4695
@johnsonmshana4695 Жыл бұрын
Tuliambiwa tuende tukaishi Burundi km hatutaki tuzo hyu Waziri amejawa na kiburi Mungu inusuru TZ
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Жыл бұрын
Da! Poleni Sana country yetu ni sikivu italifanyia kazi
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Hujatoa lisit ya laki tatu faini milion 4.5 hiyo si ni Sheria ya kukaribisha rushwa hiyo inahitaji udokta kujua big up mzee well well said
@rojaroti2013
@rojaroti2013 Жыл бұрын
safi sana mungu akubaliki
@mdsaid1527
@mdsaid1527 Жыл бұрын
❤❤❤mungu akulinde Kaka maana mwigilu anataka kukurukia
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@AntusaMtei-yl4ss
@AntusaMtei-yl4ss Жыл бұрын
Asante baba tupo pamoja endelea kututetea
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 Жыл бұрын
Huyu ana hasira ya kuwekwa ndani siku kumi...aisee! ....aisee...alionewa ..kumbe watu Wana machungu mengi moyoni...
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Magufuli pumzika kwa Amani Hii inshu Magufuli angekuwepo hapa, aise watu wengi wangefukuzwa kazi leo leo
@mjunikiobya
@mjunikiobya Жыл бұрын
Hii ishu ya matatizo ya wanyabiashara nchi nzima imeanza leo?
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 Жыл бұрын
Wakati yeye ndie chanzo
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Жыл бұрын
Fireeee fireeee fireeeee fireeee fireeee fireeeee...
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 63 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 51 МЛН