No video

ISHA MASHAUZI AZAMA KWENYE PENZI ZITO NA KIBENTENI.! WANAJIITA DIAMOND NA ZUCHU

  Рет қаралды 58,899

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 269
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 ай бұрын
So sweet wenyewe washikaji wanacheka mpaka basi nimewapenda bure Mungu awatunze ndugu zangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 2 ай бұрын
Mapenzi hayachagui .hata mtume aliyoa mwanamke SI saizi yake na maisha yakaendelea.mbona wanaume wakioa mabint wadg hamsemi? Mapenz maelewano❤❤❤❤❤
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 2 ай бұрын
Mie naona huyo kijana ni muhuni tu, Isha hapo unapigwa na kitu kizito
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 2 ай бұрын
Kwaiyo mtume ndo alifanya hayo tu ya kuoa mke aliemzidi umri mingine mbona hatuyafati haya ndo tunaona yanamaana SHUBAAAAAMIT
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 2 ай бұрын
@@hassanihussein2731 hapana brother vyote vinaumuhimu .ila nilijaribu kuwakumbuxha 2ktk Yale matendo ya mtume hili ni 1wapo lakuoa mwanamke aliyemzidi umri.na mapenzi maelewano 🙏
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 2 ай бұрын
@@hassanihussein2731 lawama zimekuwa nyingi sana kwa sister.huenda baadhi yetu hatujui hili .kifupi mi nimefutahi dada yetu kupata mwenza..usingo Maza unachosha.mi nampa maua yake dada insha 🙏🙏💪
@wemakalama6458
@wemakalama6458 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣​@@hassanihussein2731
@mamaswaas_kitchen
@mamaswaas_kitchen 2 ай бұрын
Nimesoma comment nyingi tu before niandike yangu na wengi wanamponda Isha ooh umri ooh kijana muongo sioni kama ni poa ile minimeona ni wanapendana wanheshimiana na kizuri zaidi ni marafiki, nimewapenda bure sema tu kweli hapo kwa ndoa mutie bidii ndugu zangu kuna na kesho napia kuowa mwanamke mkubwa chambilecho ni sunna mtume wetu (S.W.A) alifanya ivo so sio ajabu.
@AfricaQueen
@AfricaQueen 2 ай бұрын
🙄🙄🙄🤔🤔🤔🫣🫣Dah! Huyu bwana mzima wa kichwa kweli 🤔🫣Anaulizwa mashwali anachanganya maneno na eti huyu sio mwanamkwe wa mwisho na Aisha anajichekesha dah! Bwana mshamba sana na anaongea sana anamtia aibu 😂🤣🫣kijana ngosha anatafuta maisha kama Rommy wa shilole 🤣😂🤣😂🫣Bi dada lajichekesha 🤪🤪🤣😂😂Because of love ❤️😂🤣🤣🤪
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 2 ай бұрын
Nini tatizo mabint wanakosa vijana ila Shangazi wapo vizur vijana tafteni pesa mwisho wa cku unafukuzwa kama.......😮
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 2 ай бұрын
Romy🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@Mina.15
@Mina.15 2 ай бұрын
Uchebe 😂😂
@kibouttv7148
@kibouttv7148 2 ай бұрын
Mabinti wengi bado hawajajitambua wengi wanaume wanaangalia pia na akili yako je ni ya kujenga maisha au kutwa mnaomba vocha na hela za mawigi alaf mishangazi ni watamuuu uliza wanaume wakwambie mwanamke umri ulioenda na ameshazaa utamuu ni mwingiii
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
🐕🐕🐕
@user-wp5pu1zs8i
@user-wp5pu1zs8i 2 ай бұрын
Vijana wasasa wanataka mtelezo kulelewa msisingizie kuombwa pesa
@user-rd8dz3kp9f
@user-rd8dz3kp9f 2 ай бұрын
Huyu kaka kunakitu anatafuta kwa isha minishaona😂😂
@BMboss108
@BMboss108 Ай бұрын
Pia Aisha atafuta kitu😂😂😂
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 2 ай бұрын
Mhm kazi kweli kweli Wakna shishi wako wengi
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 2 ай бұрын
Zuch ❤❤❤❤❤
@user-rd8dz3kp9f
@user-rd8dz3kp9f 2 ай бұрын
😂😂😂
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 2 ай бұрын
Sina la kusema yangu macho na masikio👁️👁️👂👂
@hamismbekae3050
@hamismbekae3050 2 ай бұрын
Habari ndio hiyo mwanaangu ausio wamama wamjini duh😮
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 ай бұрын
Mmmmmmh.......kazi kweli kweli hakuna mapenzi hapo ni swala la maslai
@kassimchuo5290
@kassimchuo5290 2 ай бұрын
Mamboo
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 2 ай бұрын
Mwanaume haongei sana huyu ni mpiga dili tu😅😅😅😅
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 ай бұрын
Jamaa mjanja mjanja😂😂
@user-hz5nf8qp5w
@user-hz5nf8qp5w 2 ай бұрын
Nakubali braza kwa maneno yko umri n namba 2❤❤❤❤
@ggvv9970
@ggvv9970 2 ай бұрын
Mwanzo wamaelezo uwanirahaa😂😂 Masha Allah kila laheri inshallah ❤❤❤
@user-gj2mm3ko8m
@user-gj2mm3ko8m 2 ай бұрын
DIVA NA Abdul sheikh WA mchongo (mke wangu WA mwisho)haya basi ....ILA Chuma kibiji hiyo kinamula mashauzi weeeee😂😂😂😂
@AmanaHussein
@AmanaHussein 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@esterpaul5856
@esterpaul5856 2 ай бұрын
Nimewapenda sana ❤ kwanza huyu Dada hanaga skendo za umalaya..Umri just a no
@faridapandu7579
@faridapandu7579 2 ай бұрын
❤❤❤ nakupenda daisha mlee kijana
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 2 ай бұрын
vijana wa natafuta sehemu za.kutulia na.kutuliza akili.ila ndio.mtulie sasa.na.fanyeni jambo . ili msizini
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 2 ай бұрын
Ok, 👍 Amen 🙏 ni jambo jema kua wapenzi 🥰🥰🥰
@ainessfoya4463
@ainessfoya4463 2 ай бұрын
Isha hongera..biinafsi nakupenda mwanangu...huna makuuu..
@winfridapiusmalisa6712
@winfridapiusmalisa6712 2 ай бұрын
Nampenda sana isha ❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Kweli dada Khadija. Halafu dada Mashaunzi aangalie sana kuna kitu anakifuata huko mbelen:tena mchaga awe makuni Aisha.
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t 2 ай бұрын
Nina miaka 29 na utuuzima wangu huu nilichokiona huyo kaka ni muongo mpk muongo tena..ila kila kheri sis
@YasminYasmin-vj5ih
@YasminYasmin-vj5ih 2 ай бұрын
😢yn unaemuona kbsa km muongo hiyo mwanamke tapel kweli mwanamke mwalimy wetu kipofu huyu sikuelewi jmn
@salamasefu5494
@salamasefu5494 2 ай бұрын
Mapenzi yakiwa mapya yana nguvu.mungu awajalie ameen
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Bora wali nyama kuliko walimwengu Furahia penzi lako Isha mashauzi
@dayana5513story
@dayana5513story 2 ай бұрын
Love is beautiful things 😍 😊
@lovirinaa
@lovirinaa 2 ай бұрын
Mh vinaume viongo no matter how old a lady is a young man can lie to any old woman wanawake hakili ni ndogo sana uyo jamaa yuko hapo for his own reason hakuna mwaume anaependa mwanamke mkubwa kwake
@wemakalama6458
@wemakalama6458 2 ай бұрын
SubhanaAllah mitihani kwa kweli mhh
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 2 ай бұрын
Zuch Na Diamond 💯💯💯💯
@user-zz7jr7yj9m
@user-zz7jr7yj9m 2 ай бұрын
Tukiachanaaa na shishi utakutanaaa na ISHA
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 2 ай бұрын
Kazi ikooo😂😂😂
@joyce55727
@joyce55727 2 ай бұрын
😁😁
@user-lc4yg2hf4g
@user-lc4yg2hf4g 2 ай бұрын
Mungu awaongoze vema❤❤❤
@Habibtyjojo
@Habibtyjojo 14 күн бұрын
Ukweli nilikuwa namuonea huruma mabango ila sasa Nina furaha kuona Aisha amemsamehe mpenzi wake am so sorry wallhi😊
@jadetoto
@jadetoto 9 күн бұрын
Kamsamehe wapi hii ya zamani
@chinamilenas3375
@chinamilenas3375 2 ай бұрын
Hamna penzi hapo daaah...
@MeniJr
@MeniJr 2 ай бұрын
Saivi haya sio mashangazi tena ni magurdumu
@ramboiddrambo3056
@ramboiddrambo3056 2 ай бұрын
sema uyu jamaa anaonekana mzinguaji anataka kuonekana tu kama anaigiza
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo 2 ай бұрын
Isha anaonekana kapenda sana
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 ай бұрын
Hii mishangazi hii mna mambo sana.
@user-dz5jc6pp8e
@user-dz5jc6pp8e 2 ай бұрын
Mmmmmmm jamaniiiiiii usijimalizeeeeee mdogo anguuuuuuu hayaaaaaa mchaga mama mkwe mualikeni mama angu tabu mwaimu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Kila la her inshallah..mdumu kwenye ndoa yenu
@MohamedMkota
@MohamedMkota 2 ай бұрын
Yn kijana wa watu umewekwaaa😅😅
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed 2 ай бұрын
Mwendo kasi na mashngazi
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Mashauzi ana kisura furani kizuri❤❤❤❤❤❤
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 ай бұрын
Fulani sio " furani"!!
@user-gj5jp7iu1y
@user-gj5jp7iu1y 3 күн бұрын
Maneno yakaka nayaamin sasa isha ndo ataki kumsamehe
@RehemambodzeJefa-bw8vv
@RehemambodzeJefa-bw8vv 2 ай бұрын
Nice couple❤
@rajabessa3675
@rajabessa3675 2 ай бұрын
Mashangazi ❤
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 ай бұрын
Ni mapenzi mzidi kupenda mbona mnaendana haya tafuni sasa mengine ya maana maishani.achaneni utoto.
@ElishaOisso
@ElishaOisso 2 ай бұрын
Maigizo hayo
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 2 ай бұрын
Kwa Sasa ni Mwendo wa Mishangazi!!!😂😂😂😂😅😅😅
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 2 ай бұрын
😂😂😂nimecheka tena mishangazi yenyewe mibonge bonge
@MohamedMkota
@MohamedMkota 2 ай бұрын
😅😅
@joyce55727
@joyce55727 2 ай бұрын
😁
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 2 ай бұрын
Mishangazi yenyewe yamenenepeana kweli
@Kidotii
@Kidotii 2 ай бұрын
Mishangaziii tuko vizuriii, tunaupendo wa dhati na tuna helaaa😂
@user-ni6xq5jt9q
@user-ni6xq5jt9q 2 ай бұрын
Yaan maelezo tu yanajitosheleza kuwa dada kaamua kukusaidia😅
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 2 ай бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔 yan hapa ujajipata yn mwakani uyu kwao🫣🫣🫣 amna kitu apoo
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Lakini kijana mzuri kama wataendelea ❤❤❤❤
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Ninzuri arakini anaonekana mhuni furani
@aggiemarley5742
@aggiemarley5742 2 ай бұрын
Huyu kaka anampenda sana Isha. Ona anavyomtizamadada wakati anaongea.
@jadetoto
@jadetoto 9 күн бұрын
Ndo wameachana sasa
@user-ht5tc5yv5t
@user-ht5tc5yv5t 2 ай бұрын
Mmmh uongo huo bwana kick hyo😂😂😂😂
@Lulucut
@Lulucut 2 ай бұрын
Ila waschana tukiwa wadogo vibinti tunataka mibaba tukisozeza umri tunataka vijana.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 ай бұрын
Joshua pumzi zinakuhadaa niko pale mungu atakavo kuzalilisha
@Naju645
@Naju645 2 ай бұрын
Allah awadumishe
@user-jk7tq7xq2f
@user-jk7tq7xq2f 2 ай бұрын
Nimaisha magumu au Kwa vijana au Nini tatizo
@danimtenga6962
@danimtenga6962 2 ай бұрын
Jamaa kakwambia ana kazi usichoelewa hapo nn?
@user-jk7tq7xq2f
@user-jk7tq7xq2f 2 ай бұрын
@@danimtenga6962 kutembea Na watoto
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Kipi kigum hapo kijana Ana kaz yake ingia Instagram yake ya Isha kamtag
@zenasalum2231
@zenasalum2231 2 ай бұрын
​@@ukhutfatumah1154 kamtagi jina gani chaumbea Mimi nikaone
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 2 ай бұрын
Acha kukalili we fala
@ZaitunShaban-vr2vi
@ZaitunShaban-vr2vi 25 күн бұрын
Huyu kaka mkweli...ila isha angalia ndg yangu usiingie mzimamzima
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o 2 ай бұрын
Uyoooo naeee wakufikishaaa miezi duuu Vin
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Kaz ambayo sito ifanya ni hii kwa umri kam huu et niziniw na vijan aaah hapan mungu aninusuru pesa na zitafuta kwa shida nisile na qatt wangy nikatafuta mtuy tunae enden nae anizidi yy siyo mim nimzid nikikosa mzee kam mim ni bora ni baki na watt wangu w mtihan
@Kidotii
@Kidotii 2 ай бұрын
Hao watu wazima dada wanavisukari! Shaur yakoo😅😅
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
@@Kidotii siyo kweli kwa hiyo watuy wazima wakike ndo hawana kisukar am
@roseafrael75
@roseafrael75 2 ай бұрын
​@@Kidotii😅😅😅😅😅
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno 2 ай бұрын
Visukari na preshaa
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 ай бұрын
Wanalongana sema isha ana mwili mkubwaaaa😂😂😂😂
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Huyu kaka ni mhuni sana maneno yake sizani kama watadumu
@ameenaameena422
@ameenaameena422 2 ай бұрын
Ila ss wanawake tunajizalilisha sanaa
@messaabbas739
@messaabbas739 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaa Vibe aisee vitu vya wanawake wanavyopenda
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 ай бұрын
Umri ni nombre tu.
@RamadhanBassam
@RamadhanBassam Ай бұрын
Kwani huyo Isha Ana ukubwa gani? Mwili tu huo na uyo mwamba c mdogo kivile
@Marjeby
@Marjeby Ай бұрын
Mshua wangu anapiga muda wowote anapotaka😅so dogo usijimalize sana
@mamadida6100
@mamadida6100 2 ай бұрын
Isha hana ukubwa wa hivyo
@barackmoses7003
@barackmoses7003 2 ай бұрын
Dah Dunia inaelekea wapi
@user-pf2cf4hp6w
@user-pf2cf4hp6w 2 ай бұрын
Mm mbona natafta mishangazi sipati jamani mie nataka mshangazi wakunilea
@user-fo2on5rg6t
@user-fo2on5rg6t 2 ай бұрын
😂😂😂😂tafuta ela
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 ай бұрын
Nenda kwenye nyumba za malezi😂😂😂
@user-pf2cf4hp6w
@user-pf2cf4hp6w 2 ай бұрын
@@rajabdibwa6415 duuu umetishaaa
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 2 ай бұрын
Kwan kijijin kwenu huna shangaz
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Njoo ujeruman nikuconnect na MISHANGAZ ya kizungu
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 ай бұрын
Nmewapentaaaa😂😂😂😂
@NAYLASULTAN-td4ks
@NAYLASULTAN-td4ks 2 ай бұрын
BETTER FANYENI HALAL MUOWANE NA AUTIE ISHA MASHALLAH ANAJUA KUFEKA NA ANAJUA KUPENDA AND MUME MTARAJIWA UKIFANYIWA KITU NA ISHA SEMA THANKS UNAONA YEYE UMEMUEKA SAWA NYELE ZAKE AMEKUBIA THANK LAKINI YEYE ISHA KAKUPANGUSA KITU ON YOUR FACE HATA THANK HUJAMPA THAT IS NOT RIGHT TO HER SHE LOVELY WOMEN YOU ARE LUCKILY TO HAVE HER IN YOUR LIFE
@evancetilya167
@evancetilya167 2 ай бұрын
Dah
@tuntufyemwasyete3834
@tuntufyemwasyete3834 2 ай бұрын
Hawa wasanii wana rahana
@fbr5113
@fbr5113 2 ай бұрын
KWELI AJIRA NGUMU ILA NIMEWAPENDA NA NIMECHEKA HADI NIMELIA
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 2 ай бұрын
Isha kama sikosei nahisi kazaliwa 82 sasa ana uzee gani ni mwili tu huo
@MauaDumba
@MauaDumba 2 ай бұрын
Ila isha ana baby face❤
@khalfanmohd7019
@khalfanmohd7019 2 ай бұрын
Mbona mim sipatagi mashangazi jaman munawapataej kila nikiwatongoza nakomeshwa na kesi hupelekwa nyumbani kwa wazee😢
@AminahasiraMakoti
@AminahasiraMakoti 2 ай бұрын
😂😂😂😂njoo mm pia natafuta vibenten
@user-ne4fl7kc8h
@user-ne4fl7kc8h 2 ай бұрын
❤❤❤
@user-fk1io4yp3j
@user-fk1io4yp3j 2 ай бұрын
Afu kuna mm msichana mdogo sina mpenzi duuuuuh! Kweli shangazi zetu mna balaaa
@amosihokororo9702
@amosihokororo9702 2 ай бұрын
Njoo
@user-fk1io4yp3j
@user-fk1io4yp3j 2 ай бұрын
@@amosihokororo9702 😅😅
@hassantuva3765
@hassantuva3765 2 ай бұрын
Sema Shangazi ukimzingua anakuacha paap
@roseafrael75
@roseafrael75 2 ай бұрын
😅😅😅😅 yani ni shwaaaaaaa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
:dada Aisha huyo mrembo anaonekana kama anabeza hivi hapo pembeni ni nani?
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 2 ай бұрын
Maisha yanakwenda mbio jamani daah😂😂😂😂😂😂
@user-se9no4rg3k
@user-se9no4rg3k 2 ай бұрын
Muwe mnaona aibu wanawake ata kuwavulia nguo navitoto vidogooo😢😢😢😢😢😢
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Hizo nguo wanazowavuria na na hizo Kuma wanazowapa ni vyawo wewe unawashwa wapi
@rerisamba
@rerisamba 2 ай бұрын
Lakini Isha Masauzi nilianza kukuona kitambo kumbe ulikua single
@rhodarichard4494
@rhodarichard4494 Ай бұрын
Tatzo we domozege
@RoyMangale
@RoyMangale 2 ай бұрын
Yaani mtangazaji kamzidi muonekano huyo kibenten wa Isha mashauzi,,, mpaka Isha mashauzi anaona aibu
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 2 ай бұрын
Vijana atafuteni kazi badae mnapigwa chini kinomanoma
@QeenPrince-lm7ci
@QeenPrince-lm7ci 2 ай бұрын
Nilikuona unamaana kumbe akili kama za mtingila 2
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 2 ай бұрын
Mhm kijana kashapata mseleleko😂😂
@bennamush4616
@bennamush4616 2 ай бұрын
Mashangazi tuashieni my wetu au kisa pesa😂😂😂
@ednahumazi777
@ednahumazi777 2 ай бұрын
Aibu.poleni wenzangu muda ukipita tafuta rika lako ambaye hana mtuu looo huyu dada.hawaendani wanawake twajilalilisha huyu ni mwanayo
@mkamajames2786
@mkamajames2786 2 ай бұрын
Hii ni Kiki tu
@user-zz7jr7yj9m
@user-zz7jr7yj9m 2 ай бұрын
Makubwaaa mshangaziii
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 2 ай бұрын
Shida sana
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 ай бұрын
Kwani mashangazi hawana haki ya kupendwa???na mapenzi hayana umr,kikubwa maelewano!!
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 2 ай бұрын
@@twiseghekisilu8845 Wanahi ya küpendwa Ila na wezee wenzao siyo siyo vijana
@mariamibrahim6544
@mariamibrahim6544 2 ай бұрын
Tusubiri nyimbo ya mapenzi hapo
@zennahashim
@zennahashim 2 ай бұрын
Mashangazi tupo vizuli,nyama Zina tulinda
@user-kg7yq3on9j
@user-kg7yq3on9j 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 2 ай бұрын
Ukute jamaa ana mguu wa mtoto aisee
@MarianaMartin-rr7nx
@MarianaMartin-rr7nx 2 ай бұрын
Isha mwanamke nangai
@dubai8594
@dubai8594 2 ай бұрын
KIKI OG
@MchagaUk
@MchagaUk 2 ай бұрын
Wanatumiana
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 2 ай бұрын
Isha mzur jmn❤
@aminasalum-yh4fh
@aminasalum-yh4fh 2 ай бұрын
KWELI HATA MIMI NAMPENDA
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 37 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 46 МЛН
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Isha Mashauzi
Рет қаралды 180 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН