No video

#zandaaani

  Рет қаралды 132,115

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 95
@abdullywahab1074
@abdullywahab1074 5 ай бұрын
Thes first one 🎉 leo kam unakubali za ndani nipe like zangu
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 5 ай бұрын
momo mzee wa code ngumu leo nimekubamba wasafi fc simba kunguru ni simba...doctor wa azam fc ALLAH akujalie kauli thabit Amiin 🤲🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@user-ey6oz6zs1g
@user-ey6oz6zs1g 5 ай бұрын
na aliyekua anapaki gali huku anaenda kule ni ngassa na huyo namba 6 ni mafisango
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m 4 ай бұрын
Dube njooo yanga mwanangu. Tupo nyuma Yako
@festovenas502
@festovenas502 3 ай бұрын
Nyuma ako pia kuna mwiko😅😅😅
@Mon-Mastori_15
@Mon-Mastori_15 5 ай бұрын
JAMAN YANGA NA AZAM NI KAMA MTU NA DADA AKE KWAIYO WAANGALIE MDATHIRI,SURE,NA FEITOTO WALIVYOACHANA NA TIM ZAO...YAHANI APO MWENYE MACHO AAMBIWI TAZAMA KIUFUPI AZAM NA YANGA SIO WA KUWAINGILIA WENDA TAYALI HATA USAJILI WAKE UMEKAMILIKA BADO TU KUMTANGAZA kama unaungana na mm gonga likes apaa😅
@ivanpatrick6479
@ivanpatrick6479 5 ай бұрын
Umeshau bangala😅😅😅
@Mon-Mastori_15
@Mon-Mastori_15 5 ай бұрын
@@ivanpatrick6479 😄 🤣 nlisahau hata juma shaban yupo uko
@storytime1204
@storytime1204 5 ай бұрын
​@@Mon-Mastori_15juma shabani ayupo kwenye mpango wa Azam, alafu bangala aliachwa alihisiwa aliuza match
@mwanangusana
@mwanangusana 5 ай бұрын
😂😂 madunduka acheni unzala unzala .... Kapombe , manula , John Boko , Patrik mafisango ondoeni kizibo kwenye akili yenu ilikumbukumbu zenu zikae sawa 😂😂😂😂
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 5 ай бұрын
Bangala aliachwa aliambiwa tafuta timu
@AlfredNzige
@AlfredNzige 3 ай бұрын
Yanga
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 5 ай бұрын
Safi sana ubunifu mzuri sanaa
@amosimalila7751
@amosimalila7751 5 ай бұрын
Kunguru ni simba huyo😂😂😂😂😂
@shukurusaria8527
@shukurusaria8527 5 ай бұрын
mzee wa kudere muda wote huwaga ana vibe
@tutumarzouk9803
@tutumarzouk9803 5 ай бұрын
mtoto wa mfalme kutoka zimbabwe
@EmmanuelKishiwa
@EmmanuelKishiwa 5 ай бұрын
👉Ewaaaaaaa "Atakunywile tikoma✓"👈akufanyiaye husuda mpe kisogo🤝🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
@abednego3876
@abednego3876 5 ай бұрын
Kipindi numberi 1 East na Central Africa 😎😎
@Juniorclasic
@Juniorclasic 5 ай бұрын
Nikupe maua yako yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@albertchuwa9055
@albertchuwa9055 5 ай бұрын
Kunguru ni simba,ukimsikiliza vizuri kila kunguru anaponyakua mchezaji timu yake ina imarika...manula na bocco,ila panzi ni YANGA na AZAM,so wanagombana kunguru anazengea....(feitoto,sureboy,mudahatir) so ishu ya dube au kipre wakae mkao kinguru asifaidike
@user-wl9wn4zj2f
@user-wl9wn4zj2f Ай бұрын
Kweli Ulisema kuhusu Dube
@godwinrurio9060
@godwinrurio9060 5 ай бұрын
Kunguru na wasafi ni Simba. Mifano ya zamani aliyotoa ni Patrick Mafisango na akina Bocco, Shomari, Nyoni
@KijidamsutaMuna-ow1zd
@KijidamsutaMuna-ow1zd 5 ай бұрын
mmmmmmh ila jamaa mbeya sijawahi ona
@sulehamad8700
@sulehamad8700 5 ай бұрын
huyu jamaa mjinga kwel hahahaha
@TwalibuAlbaamiryShoka
@TwalibuAlbaamiryShoka 5 ай бұрын
Dube asitusymbue tumpeleke kwa mkopo jkt Tanzania
@khajjhajjkhamis7867
@khajjhajjkhamis7867 5 ай бұрын
Jamaa😅 liongoo ety yes yeees 🤝🏼🤝🏼
@JumasMedia001
@JumasMedia001 5 ай бұрын
😂😂
@abubakarykivo7366
@abubakarykivo7366 5 ай бұрын
Leo umechelew zilishavujishwa muda tu😂😂
@user-zn7vw3pj6p
@user-zn7vw3pj6p 2 ай бұрын
Kweli momo.kunguruwazanzibari hao.wanaviziatu
@frenciustryphone4531
@frenciustryphone4531 5 ай бұрын
Ila momo sijui data anazitoaga wapi😂😂😂😅😅
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 5 ай бұрын
Ukute viongozi wa yanga hawana hats shida nae munawapa simba la kasema tu wakimpata watangaze ushindi Kwamba yanga walikuwa na rengo nae
@jumasharifu5837
@jumasharifu5837 5 ай бұрын
Duh nimekuelewa ni kwel yanga hawana mpango nae Simba ndy wanamuhaitaji
@storytime1204
@storytime1204 5 ай бұрын
​@@jumasharifu5837ata simba hawana mpango nae, aimba wanamtaka kipre jr
@mwanangusana
@mwanangusana 5 ай бұрын
​@@storytime1204wamekuambi a 😂😂😂 ???
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 5 ай бұрын
Simba hao walimchukua mafisango kipindi kile
@ramadhaniabdulabi4035
@ramadhaniabdulabi4035 5 ай бұрын
Yang
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 5 ай бұрын
Gadiel michael
@SumoZabron
@SumoZabron 5 ай бұрын
Hans yanga mwenzetu kafurahi😆😆😆😆
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga 5 ай бұрын
Wasafi FC ni Simba, Kunguru ni Yanga 😂😂😂
@elninonegrito3825
@elninonegrito3825 5 ай бұрын
Dah yani SIMBA ndo kunguru kwenye vita ya panzi wawili YANGA na AZAM. Momo mpuuzi sana 😂
@amosimalila7751
@amosimalila7751 5 ай бұрын
Kunguru ni simba
@mwasa_tv
@mwasa_tv 5 ай бұрын
code nyepesi sana
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 5 ай бұрын
Dube ndani ya simba izo za ndani aliniambia tokea mwaka wa jana
@ramadhaniabdulabi4035
@ramadhaniabdulabi4035 5 ай бұрын
Simba ana uwezo yanga ana kwend kubeba duby
@user-ge3yd1tx5e
@user-ge3yd1tx5e 2 ай бұрын
Ehe Za Ndaaaaaaaan hadi kumwelewa lazima tuwe na D 2
@user-ye5fq1wc3g
@user-ye5fq1wc3g 5 ай бұрын
😅😅😅 kunguru ndo ashanufaika mpungu upo
@user-yd9vn1tb9b
@user-yd9vn1tb9b 5 ай бұрын
Kwani hawa nao wachambuzi au waimbaaa taarabu
@abou.salimu1795
@abou.salimu1795 5 ай бұрын
wasafi f.c
@AmriAlly-fu4fk
@AmriAlly-fu4fk 2 ай бұрын
Wana wanelewa ata ukiishia la 7ww
@kibatikibati5485
@kibatikibati5485 5 ай бұрын
Ajee tu jagwan
@user-ex1xn1sx9g
@user-ex1xn1sx9g 3 ай бұрын
Momo
@KomboD
@KomboD 5 ай бұрын
Mnyama kafanya yake ooooohhh
@ibrahimbenedict1513
@ibrahimbenedict1513 5 ай бұрын
Hauna lolote ingekua unajua ungesema kbl ya Azam kutangaza
@SaidyHamza-it1tg
@SaidyHamza-it1tg 5 ай бұрын
Iiivitaa simbaa haweziii
@allamanomakoga8190
@allamanomakoga8190 5 ай бұрын
Siyo Usol bwana Ni Iodine tincture
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 5 ай бұрын
We mbona kama unamtuma kunguru bhanaa, acha siasa bhana jamaa anakuja jangwani uku
@donkhan6841
@donkhan6841 5 ай бұрын
Ricardo momo leo kweny mechi ya simba na prison ukwel umethibitika wa 100mil Kwa 500mil
@EnockSDady
@EnockSDady 5 ай бұрын
Kunguru ni simba 😂😂😂😂
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 5 ай бұрын
Kunguru ni yanga wasafi ni simba
@stephenmagoti2588
@stephenmagoti2588 5 ай бұрын
Ujaelewa code we
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 5 ай бұрын
Viva YANGA
@Gonga94tz
@Gonga94tz 5 ай бұрын
Simba bado tuna muitaji dube
@miltonnathan3946
@miltonnathan3946 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@user-kd8iz5jo7w
@user-kd8iz5jo7w 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
@fitinakisamuhagakisamuhaga693 5 ай бұрын
Huyo ni dube jamani hapo hakuna code wala bibi yake pini
@mwilesamson3165
@mwilesamson3165 5 ай бұрын
Kunguru hapo simba😂😂😂
@sadickshaban1762
@sadickshaban1762 5 ай бұрын
wazee wa kunyakua
@sadickshaban1762
@sadickshaban1762 5 ай бұрын
wazee wa kunyakua
@onanarosse9657
@onanarosse9657 5 ай бұрын
😂😂
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re 5 ай бұрын
Eti wasafi fc 😅😅😅 badala ya simba mnyama
@NeysamElias-dp7nl
@NeysamElias-dp7nl 5 ай бұрын
Ricardo momo jamn kweli ww hatar kaaaah😅😅😅
@user-xr4hy9cg2c
@user-xr4hy9cg2c 5 ай бұрын
Kunguru ni yanga na wasafi fc ni simba kwa ambao hamjaelewa code
@choggyslyymrisho5931
@choggyslyymrisho5931 5 ай бұрын
Kunguru Ni Simba ndio atakenufaika kama yanga hawatotoa hela ya kumnunua dube
@DerricusJohn
@DerricusJohn 2 ай бұрын
S​@@choggyslyymrisho5931 nazan sas umeelewa nan ni kunguru😢 pole ila😁
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@fitinakisamuhagakisamuhaga693
@fitinakisamuhagakisamuhaga693 5 ай бұрын
Kunguru anayetaka kupewa mchezaji akapumzike ni simba atakaye mchukua kiulaini ni yanga ila mchezaji hawezi kukubali kwenda simba hiyo vita ni yanga wanahusika😏😏😏
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 ай бұрын
Code hiyo ni kwamba Yanga wanamtaka mchezaji lakini hawataki kwenda mbele, Azam wanataka timu inayomtaka iende na offer, Yanga hawataki sababu wanataka kulipiza kisasi kwa issue ya Feisal, wakati Azam nao wanasema issue ya Feisal wamelipiza issue ya Mudathir. Sasa, mzee wa kudere anachodai ni kwamba Yanga wakikataa kwenda front, Azam atampeleka Dube Simba hata kama ni kwa mkopo ila atampeleka tu.
@fj8317
@fj8317 4 ай бұрын
Ishu ya Feisal sio Malipo ya muda bro ni Malipo ya sure boy na pia ​ gadiel Michael @@BedroomTvKe
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 5 ай бұрын
Yanga wanadaiwa na azam pesa kwa gadieri maikokamagi na shua boy kumpata dube sio kweli
@nassirkassim7681
@nassirkassim7681 5 ай бұрын
ujuh kitu tulia
@SaidiAyubu-of8zt
@SaidiAyubu-of8zt 5 ай бұрын
Kweli wewe ujui kitu tulia
@jorammafwenga1742
@jorammafwenga1742 5 ай бұрын
Weka hoja acha ya ujui kitu tulia katoa hoja jibun hoja
@jumasuleymani
@jumasuleymani 3 ай бұрын
Wewe ndio mkaguzi wa madeni?😂😂😂
@Tulizombago7633
@Tulizombago7633 5 ай бұрын
😅😅😅
@SilaMinanda
@SilaMinanda 5 ай бұрын
Kwani vipi Guede? Si mnasema bonge la striker au? Machoko nyinyi kaz kuikandia simba
@mwanangusana
@mwanangusana 5 ай бұрын
😂😂😂😂 sawadogo je ??
@stn4873
@stn4873 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 5 ай бұрын
Pumbaaaaaavu xan momo 🤣🤣
@IddyAron-pr9ll
@IddyAron-pr9ll 5 ай бұрын
Huyu muongo
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 4 ай бұрын
Anayapanga tu😅
@francepaul7711
@francepaul7711 5 ай бұрын
😂😂😂
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 28 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3 МЛН