Dogo wee mkali sana diamond hawezi kukuacha nyimbo zako nyingi kali sana unatisha sana mdogo wangu simba iko razi zuchu haondoke ila wewe haiwezekani wewe ndo mrithi mkuu wasafi endeleya ivo ivo.nidhamu yako nzuri ndo maana mondi kavutiwa na wewe anataka uwe kama yeye.
@CollisBill-mu3zp2 ай бұрын
Sawa ni msanii mkalii...ndio umuite dogo😂
@Taito-brand2 ай бұрын
Sas kama kamzif umr amuitr nan ni dg tu usanii aufany tusikuite dg yy ni dg tyu
@ImaniMadiba-yu7wn2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@john_1trader2 ай бұрын
Baba anachana saaana 🔥
@MasudiJuma-rs4gjАй бұрын
Nakukubari sn mboss
@elizabethchabluma-zw5qz2 ай бұрын
Mashaallah mboso❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉wcb for life
@user-pk1yl7zt8p2 ай бұрын
Mbosso Khan good man sana
@NkusiFred2 ай бұрын
Mbosso kiuhalisia (pretty sure) nimsani msafi kwenye kipaji iwe kuyimba iwe kimashairi Yani kaka Braza kwangu Mimi nimetii mfano wangoma for instance zilizo na umakini ( nadekezwa, maajabu, napepea ,mambo ya Gizani inje tusiyaruhusu) 🇷🇼💯% straight from Kigali Rwanda
@NajmaAmos2 ай бұрын
Nakupenda mbosso❤
@Masterkhantz2 ай бұрын
Mbosso respect ❤🎉🎉🎉🎉
@EnockLubengo-uu3zi2 ай бұрын
mbosso well done 👍✅
@JanethJohn-cg6fu2 ай бұрын
Unajua sana mboso
@richardburundi30902 ай бұрын
Ukiondoka jipange lakini kuna ngoma zingekufikisha lakinisikuoni popo kunguru Selemani Umecerewa hapo urikuwa no 1 Ukitaka gutoka gipangezaidi mungu mbere
@kingbonnie27022 ай бұрын
Kikati kwatiia utungi vau 🔥🔥🔥🔥 mashahiri tamu tamu kama kamukyo na vendaa ou
@ElibarickAman2 ай бұрын
Oi mbosoooo we unajuaaaaa saiv tokaaa wasafiii kajitafuteeee we masaaaniiii mkubwaaaa na weee kaaazisheee ganggg lakoooo
@HappyGoldenRetriever-yt6sd2 ай бұрын
Mmtie wew
@user-vo1on1zm9y2 ай бұрын
❤❤
@JanethJohn-cg6fu2 ай бұрын
❤
@user-ly5im2pi2m2 ай бұрын
Nipo sauth Africa mbosso ni mwana san namkubali kinoma.
@pascalmusana21372 ай бұрын
Mboso khan unyama sanaa
@FrancisKajange2 ай бұрын
Kwelii hii redio ya familia 😂😂😂 haipit wiki mwanafamilia kazma ahojiwe