DA-WAA NA USTADH YUSUF WAMBUGU NA USTADH HUSSEIN MWENJA
Пікірлер: 24
@hassaniddsu92993 ай бұрын
Alhamdulillah rabil alamiin waswalatu wasalam ala rasirulillah (s.a.w), yaa Allah kwa baraka zako waongoze tawhiid Islamic kwa kazi ngumu wanyoifanya kwa aajili yako yaa Rabi, wajaalie afya , riziki na wajaalie watu wa kuwaunga mkono katika juhudi, ya Allah wajaalie wote wanaosilim kudumu na kuufuata UISLAM licha ya fitna za wanafiki, Ya Allah wafanyie wepesi wahadhili wote na wanaowainga mkono ya Rabbi
@HusseinAli-fx1ld3 ай бұрын
Mankana laa ilaha illa Allah dahalal jannah
@sarahronoh5403 ай бұрын
Ameen
@user-rc7oi2hp8l3 ай бұрын
Shukran sana kw ukumbusho walim ngu
@kanchorujarsomohamed48603 ай бұрын
Masha Allah mola awape afya njema mwalimu yussuf na wenzako wote