Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe play.google.com/store/apps/de...
Пікірлер: 191
@Mohamudnoor5821-gw5qg4 ай бұрын
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun,Allah amjaalie Qauli thabit na pepo yenye darja,Amuepushie adhabu za qabri na fitna za masihul dhajjal
@kudratshabaan52574 ай бұрын
Amiin
@hailinhelen46754 ай бұрын
kichwa kimeodoka ...Allah akujalie rehma na maghfur unako kwenda yarabb akusamehe makosa yko na kukubalie mema yko na pepo janat fardous iwe makazi yko yarabb ..wewe mbele na sie nyuma yko .Allah atupe mwisho mwema yarabb 🤲
@asyakhatib79424 ай бұрын
Ameen
@sangokipozi46114 ай бұрын
Allahumma Ameen ya Rabbal Alameen🤲🏾
@sangokipozi46114 ай бұрын
Ameen
@safiaothman51754 ай бұрын
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin
@aishadotto36404 ай бұрын
Allahuma amiin 🤲
@user-ml5tq8hj2x4 ай бұрын
Wazazi wangu wamenihadithia kuwa mzee. Alifanya vzuri sana katika uongozi wake watu walikuwa pagumu mnoo mzee kikwete rais mstaafu umebaki wewe tz tunakutazama kwa ushauri mkubwa Mungu mkuu akutie nguvu
@TPW_FLUXY4 ай бұрын
Eeee nani kikwete hata marehem hasemei vibaya tuu tuendelee kumuimbea
@user-zt6re1dr5f4 ай бұрын
Maisha ya watu wa hali ya chini sana,watumisgi walikua na maisha magum hd mavazi,Mzee wetu Mwinyi ndie alieruhusu nguo za mitumba kuingizwa Tanzania,mungu akurehemu baba ulijali watu wa chini pia.
@sophiesadick55104 ай бұрын
Amina.
@tataii65204 ай бұрын
Rais Mwinyi ni moja kati ya Marais waliokuwa na moyo mweupe na safi mno kuwahi kutokea
@magrethmswahili93974 ай бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu mzee ruksa bila wewe sisi maskini tusingekuwa na tv baba upokelewe na upate pumziko la milele amina
@frankgama13744 ай бұрын
R.I.P Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wetu Mstaafu Awamu ya Pili ya JMT, Mwenyezi Mungu aendelee kukupatia Pumziko la Milele Amen 🙏🙏🙏.
@murattywamuratty97784 ай бұрын
Maisha ni Hadith tuu na leo tunakumbuka maneno yako, na hadith yako inasimuliwa yoote ni ya kheri tunakutabiria mema na ulipo kosea Allah akusameh pamoja na sisi ya Rabbi Atusameh
@SwaleheChege-ss5lc4 ай бұрын
Mwenyezi mungu amueke mahari pema baba yetu
@lyrics_forum4 ай бұрын
Ukiona Hadi Wananchi wa Hali ya Chini Wamehuzunishwa na Kifo cha Rais wao hatakama Amestaafu Jua Aliishi vyema na Alitenda haki kwa Kila Mmoja. Pumzika Salama Rais wangu, Nimezaliwa Zama zako, Msalimie Mwamba Magufuli na Kamanda Nyerere Waambie Legacy zao bado zinaishi. Tunaendelea Kuteseka na Umeme huku.
@jenisalanga60974 ай бұрын
M/Mungu amlaze mahali pema peponi,bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.AMINAA 🙏🙏🙏🙏
@asteriashios18524 ай бұрын
Angezikwa hukohuko mkuranga km alivyotaka
@kiri58074 ай бұрын
Watajiitaje kuwa WaZnz bila ya makaburi ya babu zao . Hayo ni matayarisho ya mjukuu wake kuja kushika uraisi . Ukitaka maendeleo weka target miaka 30 ijayo .
@modestwenceslaus94 ай бұрын
@@kiri5807😂😂😂😂😂😂😂
@leokamil62844 ай бұрын
@@kiri5807Exactly wanafumba watu ili wawe madarakani mpaka vinyinginya
@rizikibakar31864 ай бұрын
@@kiri5807Zanzibar watu wote wahamiaji km Marehemu,mm mwenyewe Mzaramo wa Zanzibar
@mariamfritsi49434 ай бұрын
Mungu akampe kauli dhabit,na amuepushie na adhabu ya kaburi, na akampe pepo daima.Inna Lilah Wainnailah Rajuun. 🙏
@omaryjumaa77304 ай бұрын
B.
@Izonecommunity4 ай бұрын
Alikuwa ni Al-Haji Dr Ali Hassan Mwinyi, kama itakuwa nimeielewa vizuri wasifu wake.
@zainabmaulidi98464 ай бұрын
Innalilah wainaileh rajiun Sisi ni ALLAH na kwake tutarejea Mwisho mwema YAA ALLAH 😭😭🤲🤲🤲🤲
@tumainimwaifunga38844 ай бұрын
Alikuwa mzuri mno, haki ilikuwa ndio neno lake. Kulikuwa na fulsa kwenye uongozi wake
@marysona99994 ай бұрын
Pumzika Kwa amani baba yetu Mwinyi😭😭😭😭😭Kwa hakika umekuwa hadithi nzuri kwetu tunaosikiliza huu wasifu wako tangu miaka hiyo ya ASP! Asante Kwa kazi zako katika Taifa letu la Tanzania😭😭😭Pumzika kwa amani baba.
@rahmasalim19894 ай бұрын
Innalillah wainnailaihi rajiun, Mwenyeez Mungu amrehem Insha'Allah na amsameh makosa yake. Amjaalie kaburi lake kua miongoni mwa nyumba za peponi Insha'Allah.
@Habiba-tq8jm4 ай бұрын
May Allah grant him janatul fridausi😢😢
@menalikechildren88364 ай бұрын
Ila ukiachana na siasa bora mzee wetu alokua nazo pia alikuwa ana umakini wakuchajuwa wake pisi kali😊
Inna wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri Allah amrahamu nakukumbuka kwa mazuri ulio tufanyia Allah akusamehe kaburi lako Njana firidous
@muharamiesther59084 ай бұрын
Alikuwa mtu Muhimu na Nyerere aliona ubora wake
@SwaleheChege-ss5lc4 ай бұрын
Tulimupemda sana lakini mwenyezi mungu kamupenda sana
Vijana zaeniii mmemuo na Mzee alivotumia mayai yake vzr
@EzzyEddy-il3ce4 ай бұрын
Kuzaa siyo shida kijana shida ni jinsi ya kuwalea ndo mtihan Sasa mzee yeye alikua na uhakika wa maisha wakula had vitukuu Sasa utashindwaje kuzaa Sasa?? Huo ushaur washaur kina kikwete na viongoz wa serikali
@aviwaomar4394 ай бұрын
@@EzzyEddy-il3ce kwa hio kwa kua huna uwez utupe mbegu buree zaa kwa mujib wa uwez wako
@johnmalembo64644 ай бұрын
Kumbe hata digrii Hana....Lakini Kawa rais wa Tz. Hekma. Utu.na tabia njema ulikuwa ndio Msingi wa viongozi waasisi wa taifa letu. Eti Leo u_ Dr. Ndo imekuwa sifa ya Ma rais wetu... Eee Mola mfanyie heri
@samsonmweta50404 ай бұрын
Hata hao wa phd, walivyozipata inatia shaka
@merrystephano29034 ай бұрын
Mwenyezi mungu ukurehemu
@salimkassim60204 ай бұрын
Hayati Alhaji 😢😢
@user-cv9qn9sx9n4 ай бұрын
Iv ata kusoma hujui ata picha tuu taja watoo wote acha kuluka sawa
@ukhutfatumah11544 ай бұрын
Hakika sisi ni m/mungu na kwake tutarejea
@user-ip4ve4rf4s4 ай бұрын
Apumzike kwa Amani mbinguni
@MussaMulinde-pg1rp4 ай бұрын
Inalillah wa inalillah rajihun 🙏
@user-pe3bb2yc4w4 ай бұрын
Poleni.sana
@AnethEdward-nf6sc4 ай бұрын
Nimependa jumla ya watoto hakika umeacha familia ya kutosha .ujenzi wa Tanzania utaendelea vizuri,.
@roudhamahmoud7634 ай бұрын
Hapo kuowa umetudanganya aliowq wake zaidi ya hao bi khadija wtt wake 2 bi siti wtt 7 na walobaki alizaa kwengine
@SashaRamadhani-uu1wv4 ай бұрын
Kweli??
@user-dj2kj7gs5p4 ай бұрын
Tutamkumbuka.daima
@user-yi1qb5ot8i4 ай бұрын
Innalillah wainalillah rajiun
@KijaLimbu-qk9cc4 ай бұрын
Mungu auweke mwili mahali pema xhujaa wetu.
@asizaasiza56844 ай бұрын
Pumzika kwa aman mzee ruksa
@user-ti5yd2lv4k4 ай бұрын
Mungu akupokee Kwa wema wako pumzika Kwa amani baba yetu
@bwengoabdallah25564 ай бұрын
Innallillah waina ilayhi rajiun😊
@sangokipozi46114 ай бұрын
Allah Amjaalie pepo ya daraja la juu. Innalillahi wa inna ilayhi rajiuun