Wimbo maalum wa Historia ya Askofu Askofu JM Ngalalekumtwa, Ulioimbwa na watoto wa vipapa katika sherehe ya maadhimisho ya JUBILEI IRINGA 125 YA UINJILISHAJI NA MIAKA 50 YA UTUME WA ASKOFU.
Пікірлер: 37
@mariahaule2979 ай бұрын
Ningekuwa karibu huyo mtoto mdogo mstari wa mbele amenities moyo Sana. Hongera kipapa Iringa
@voiceperler33828 ай бұрын
Huyo mtoto mungu ansaidie afike mbali kwakweli
@AnestaMwitaАй бұрын
Mungu awalinde watoto hawa
@HaithamShabani2 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@FlorenceWanjiku-kv4xc3 ай бұрын
So wonderful ❤️🙏🌹
@DeograsiaNziku-xx2go9 ай бұрын
Amina kipapa wa kihehe mkovizuri Mungu apewe sifa azidikuwabariki azidi kuwatunza❤
@DagetuMasalu10 ай бұрын
Mungu awatunze watoto,mzidi kubarikiwa.
@marysrevocatus141310 ай бұрын
Walimu wa vipapa mko vizuri 🥰🥰🥰
@m.mmarckus629810 ай бұрын
Hongereni watt wazuri ❤mmeimba vizuri sana
@GoodnessNickoled-uw2ou10 ай бұрын
Nice nimekumbka san enzi zetu n mwalim joyce Mungu awatunze ktik njia zake daima
@user-wg3zf9gf2f4 ай бұрын
Umeona da Joyce ukiwa mzito wa kucheza mbn utakoma
@tumainkomba39686 ай бұрын
Hongereni sana kwa utume watoto wazuri, MUNGU awajalie neema ya kumtumikia daima katika maisha yenu.hongera pia kwa walezi wa utoto mtakatifu,MUNGU awariki sana mnafanya kazi kubwa na nzuri.
@haikaelshishira20619 ай бұрын
Very nice mbarikiwe sanaaaaaa❤🎉🎉
@JaneChristopher-ep1re2 ай бұрын
❤❤❤❤
@ambrosiamlinga84025 ай бұрын
Mungu awabariki wote nimefurahi sana ningekua karibu ningewanunulia soda wote
@user-ct4jp1ux1z4 ай бұрын
Hongereni sana wana_Utoto Mtakatifu
@benjaminjoseph17478 ай бұрын
Wow wow. I am wowed 😂😂 hongera saaana wana Iringa. Nimependa sanaaa. Proud to be catholic ❤❤😊😊
@CharlesKateba4 ай бұрын
Hongereni..watoto wazur
@Mamie2866 ай бұрын
Hongereni sana kanisa katoliki Tanzania 🎉🎉
@user-by5dh2wx1e7 ай бұрын
watoto wa kipapa. mko vizuri❤❤❤❤
@othmarluwawilo83086 ай бұрын
Ktk mambo yanayoambatana na imani Mungu huwainua watoto wake. Tazama katika tukio lote hakuna kosa limefanyika.
@user-wg3zf9gf2f4 ай бұрын
Dada Joyce unamoto❤❤❤
@user-rm1np8qi2e6 ай бұрын
Waooooh asanteni sana mbarikiwe
@judithkisinini85462 ай бұрын
Iringa haijawahi feli.Kwina ng'ambako inzegale.
@user-kb6qi5dg9e6 ай бұрын
Mbarikiwe saana ❤🤝
@user-cw6kk2rw8f10 ай бұрын
Nimekumbuka izi zile jamani laha sana jamani nikiwa namkalibisha mkude wetu msitaafu daa
@consalbakasuga36848 ай бұрын
So sweet so fun keep it up my youngs
@robbyman62138 ай бұрын
Hongera san
@ambrosiamlinga84025 ай бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki
@tegemeajustice26028 ай бұрын
Ulutogo kwa Yesu, mnogye swee, ena vana mgendelage lulo!
@robbyman62137 ай бұрын
❤❤❤
@mariettagfyinagware99697 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏
@m.mmarckus629810 ай бұрын
Mpk nimetoa machozi
@francismigongwa41468 ай бұрын
Mubarikiwe Sana ktk maisha yenu watoto Kwa utume mwema Baba askofu Ngalalekumtwa kongore sana Kwa jubilee ya miaka 50 ya utume mwema wa upadre Mungu akubariki Sana na atukuzwe Mungu Milele 🙏 nimetokwa na machozi ya furaha Amina wana wa Mungu najivunia ukatoriki na Asante Mungu Kwa zawadi ya Imani katoriki
@ROBERTBALAMA8 ай бұрын
Wametubariki sana kzfaq.info/get/bejne/jdepkrGKq6vLm5c.htmlsi=7v7yas-vBwuIepKu
@ROBERTBALAMA10 ай бұрын
Watoto hawajawahikosea wako vizuri kzfaq.info/get/bejne/mph9dM5_ra6vcn0.htmlsi=20QRlygrsUYBsnGB