Watu 5 wakamatwa wakipanga kuiba benki, Nairobi

  Рет қаралды 30,154

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

2 жыл бұрын

Polisi hapa Nairobi wanawazuilia washukiwa watano waliokuwa wakipanga njama ya kuiba pesa katika tawi la benki ya Prime eneo la Kamukunji. watano hao walifumaniwa walipokuwa wanachimba ukuta wa benki hiyo kutoka orofa ya kwanza baada ya kukodi vyumba vya kulala katika eneo la burudani lililo pembezoni mwa benki hiyo.

Пікірлер: 59
@chemoimetkpatrick5829
@chemoimetkpatrick5829 2 жыл бұрын
Better hawa than wenye wanaua watu.
@franknjoroge8930
@franknjoroge8930 2 жыл бұрын
Thats a legend, heri kuiba bank kuliko kuhangaisha wananchi kuwaibia kuku na simu
@rosekadzokillian9700
@rosekadzokillian9700 Ай бұрын
🤔🤔🤔🙄🙄
@danielkyalo5666
@danielkyalo5666 2 жыл бұрын
Wah!Heri wao wanatumia akili ndio waibe!
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 жыл бұрын
Kumbe simara yakwanza
@florencembone4513
@florencembone4513 2 жыл бұрын
But hawajaiba kitu.nedeni mshike wenye kuua watu na kutupa mtoni.
@ashaomina8094
@ashaomina8094 2 жыл бұрын
Hongera sana police mna fanya kazi na bidii sa,na mungu awa linde sana
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Ata polisi wenyewe niwezzi majahasusi wauwaji wakubwa niwao ndio uchangiya Sana visa vyote ivo
@bettymwangi9069
@bettymwangi9069 2 жыл бұрын
They are better...than those killing innocent souls
@christineokwiri4720
@christineokwiri4720 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@happytimes9747
@happytimes9747 2 жыл бұрын
Hapo ndio nilifungua bank account yangu hao wasiachiliwe pls. Huyo alisha iba akatoka na bond sasa anatafuta pesa ya kutupa kesi bahati mbaya kwake nzuri kwetu ameshikwa
@phillsnafuna5962
@phillsnafuna5962 2 жыл бұрын
Tutaskia tu wameachiliwa hii ni kenya
@karanjagladys7781
@karanjagladys7781 2 жыл бұрын
Walikuwa wamefanya hesabu ya life nivire mkosi imewapata better wao kuliko wenye wanaua watoto watajilike
@luciahmwai567
@luciahmwai567 2 жыл бұрын
Wapewe kazi na serikali waache wizi
@blessedfamily816
@blessedfamily816 2 жыл бұрын
I totally prefer them than those killing innocent souls....
@janeselineselinejane4377
@janeselineselinejane4377 2 жыл бұрын
Ngojeeni waimbe muwakamate
@lucymwai7645
@lucymwai7645 2 жыл бұрын
Kwanini huwa wana patiwa (bond) akuje tu kuangaisha watu. Haki mahakama zetu akuje utafitii mwengine. Sio mtu wakiimba anashaliwaa tu.
@gracenzomo9386
@gracenzomo9386 10 күн бұрын
Hustlers 😮
@godi3430
@godi3430 2 жыл бұрын
ii strategy wangeaaply tactics za Professor
@rosekadzokillian9700
@rosekadzokillian9700 Ай бұрын
Bado hawo WA Mombasa washikwe
@beirut9750
@beirut9750 2 жыл бұрын
98 % kikuyu2% wengine wajaze
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Jaluo🤣🤣
@daughterzion8886
@daughterzion8886 2 жыл бұрын
@@lovvy854 mugo ni mkamba
@Jane-uw9ow
@Jane-uw9ow 2 жыл бұрын
@@daughterzion8886 wee sio mkamba
@matts6894
@matts6894 2 жыл бұрын
When will they descend on Kemsa ones?
@mskimtai5258
@mskimtai5258 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@alvinkelvotov2304
@alvinkelvotov2304 Ай бұрын
Money heist influence😂😂
@Dun_m
@Dun_m 2 жыл бұрын
Wow
@ashaomina8094
@ashaomina8094 2 жыл бұрын
Congratulations police good job
@254shorttrendystories4
@254shorttrendystories4 2 жыл бұрын
Should be 80 days are over …he had been arrested before 🤣🤣ata sura ni exhibit ngai
@SirKelvin
@SirKelvin 2 жыл бұрын
Sad they were arrested !!! May they be released soonest !!. The real thugs are our Mpigs !!! ...
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
What
@ruclaingachogu9518
@ruclaingachogu9518 2 жыл бұрын
Hii ndio matokeo mahakama ikiwaachilia kwa dhamana
@lucymwai7645
@lucymwai7645 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli mutupu
@danielmurathe9282
@danielmurathe9282 2 жыл бұрын
Wizi bila umabavu. Shinda iko wp?
@sarahmunga5885
@sarahmunga5885 2 жыл бұрын
Gikuyu 😅
@anneakinyi4916
@anneakinyi4916 2 жыл бұрын
I think for that guy Ngunyi it's 80 days not 40 since he's bn arrested before. Akiachiliwa aahikwe tena will b 120dys
@faithligaka7619
@faithligaka7619 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ni mkali
@anneakinyi4916
@anneakinyi4916 2 жыл бұрын
@@faithligaka7619 umeona sura yake? Exhibit
@monicamwangi3122
@monicamwangi3122 2 жыл бұрын
😀😀😀
@rennishmboya9840
@rennishmboya9840 2 жыл бұрын
Yake imebidi aongezewe day count
@ruthbosibori1482
@ruthbosibori1482 2 жыл бұрын
Finya tena finya
@khadijamwalimu6763
@khadijamwalimu6763 2 жыл бұрын
Kaachiliwa kwa dhamana na munajua ni jambazi haya huyo ndie tena kaenda kufanya tukio hilo hilo mulilo muachia kwa dhamana haya mpeni tena dhamana atoke tena munajua mtu nijambazi alafu munamuachilia kwa dhamana lkn aneiba kuku anahukumiwa kifungo bila dhamana
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@fajarfajar7855
@fajarfajar7855 2 жыл бұрын
khadijah mwalimu umeonaa
@gracenzomo9386
@gracenzomo9386 10 күн бұрын
😂😂
@ummuadam2423
@ummuadam2423 2 жыл бұрын
Hzo majina zao tu utajua
@mayakatamu3608
@mayakatamu3608 2 жыл бұрын
Old men😂😂
@jameswaruingi2554
@jameswaruingi2554 2 жыл бұрын
Wamefaulu aki nahitaji pesa
@khalidahmed8050
@khalidahmed8050 2 жыл бұрын
They're not culprits but rather victims...Hakuna kazi na maki yao inaporwa na wanasiasa with zero opportunities..They will always improvise to put food on the table..They gotta eat too
@pk-tv9wg
@pk-tv9wg 2 жыл бұрын
Funny criminals
@alexgitau143
@alexgitau143 2 жыл бұрын
They will be out on bond tunajua tu , nothing will happen Covid-19 millionaires wako tu mtaa.
@MartinGacheruTuts
@MartinGacheruTuts 2 жыл бұрын
Kuna mwenye aliwauza
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Nihizo kelele za kuvunja ukuta ndio ziliwauza
@calistersiocha2788
@calistersiocha2788 2 жыл бұрын
Siku za mwizi ni arobaini
@kitony
@kitony 2 жыл бұрын
Wrong,arubaini is by death...they will walk out free again with bail from courts.
@umpump8472
@umpump8472 2 жыл бұрын
Ujinga wanadhani hatajulikana
@winniewayesu6876
@winniewayesu6876 2 жыл бұрын
Wow
Polisi wanamsaka jamaa aliyewapiga risasi polisi Kasarani
2:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 25 М.
MAKALA MAALUM: #Chechemua @alexkiarie
7:03
NTV Kenya
Рет қаралды 34 М.
How I prepare to meet the brothers Mbappé.. 🙈 @KylianMbappe
00:17
Celine Dept
Рет қаралды 48 МЛН
¡Puaj! No comas piruleta sucia, usa un gadget 😱 #herramienta
00:30
JOON Spanish
Рет қаралды 22 МЛН
Кәріс тіріма өзі ?  | Synyptas 3 | 8 серия
24:47
kak budto
Рет қаралды 1,7 МЛН
Seven Forks, the tales of flooding and impending destruction
24:22
Wakuu wa usalama wakutana kuweka mikakati ya kukabili maandamano
3:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 42 М.
Polisi jijini Nairobi wanachunguza kutoweka kwa mwanafunzi
3:46
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 70 М.
Watu 4 wamefariki baada ya kusombwa jijini Nairobi
3:46
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 76 М.
Shajara na Lulu | Senjee Helena nadni ya sanaa na uigizaji
20:49
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 192 М.
DAY BREAK | Gachagua's political wars with Ruto men
36:55
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 96 М.
DAY BREAK | Why MPs denied counties more funding
24:33
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 669
How I prepare to meet the brothers Mbappé.. 🙈 @KylianMbappe
00:17
Celine Dept
Рет қаралды 48 МЛН