WAZIRI ATOA AGIZO, AZUNGUMZA HAYA SAKATA LA ZUCHU KUFUNGIWA ZANZIBAR

  Рет қаралды 26,882

Millard Ayo

Millard Ayo

4 ай бұрын

Пікірлер: 64
@isamony58
@isamony58 4 ай бұрын
😢😢😢😢Bongo mnafuga matatizo sana yani wasani wavae uchi nyie kimya waimbe matusi nyie kimya mmetiwa aibu na wazazibar
@MuznaSaid-hw6kz
@MuznaSaid-hw6kz 4 ай бұрын
Yaani ni ujinga watoto wetu wanafundishwa nini aibu kwa watanzania mapusu kuchezeani jukwaani kwani vyumba hakuna masomo yapi kwa watoto wetu au wadogo zetu
@MuznaSaid-hw6kz
@MuznaSaid-hw6kz 4 ай бұрын
Yaani wewe umezungumza sawa na mabusu jukwaani kwani hakuna vyumba wanafundisha tabia mbaya watoto wetu hatutaki
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 4 ай бұрын
Ni kweli diamond na zuchu ndio zao hizo wamezidi mno
@muuminsaid-bd6cm
@muuminsaid-bd6cm 4 ай бұрын
Ila zuchu ww ni mtoto kisilam acha uhuni mshamba ww
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 4 ай бұрын
Mnaocoment kwa kutumia makalio yenu na wala sio akili kwani ninyi mmekamilika?huyu mnaomnyoshea zuchu vidole hali yakuwa ninyi mnafanya maovu zaidi ya zuchu jitambueni ninyi kwanza kisha ndio mkumbushe watu kwa hekima zuchu ❤❤❤❤kazi iendelee mti mwema hupigwa mawe utavuka tu yashapita hayo ganga yajayo
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 4 ай бұрын
Zuchu ni kiioo Cha jamii ndio akikosea anapotosha jamii ww kama unafanya yako uchochoroni anakujua nani
@MuznaSaid-hw6kz
@MuznaSaid-hw6kz 4 ай бұрын
Ni sawa kabisa na pia kuvaa uchi na mabusu hayo sio maadili ya kitamzania ni aibu wanawake wanafundishwa maadili gani ya kitanzania tunaomba wafanye shoo za heshima
@Bahati47
@Bahati47 4 ай бұрын
Zuchu kutembea na chibu anaona km anatembea na raisi wa nchi yaani anaona km yule dai ndio mwenye nchi yke
@MuznaSaid-hw6kz
@MuznaSaid-hw6kz 4 ай бұрын
Dharau zimezidi kwani anadini gani sijaona mtanzania mwanamke anatembea chupi yote nje mabusu kunyonyana siupuuzi huu looo
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 4 ай бұрын
Zuchu hana nyimbo za maadili Matusi tu zuchu anaujinga sana Kama una jiona mtt hakuna mtt anatukana
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Zuchu anatuharibia maadili kwa watoto wetu ikiwezekana Mungu amchukue tu Maana tuliowengi tumeshamchoka mshamba huyu
@mariammpamka
@mariammpamka 4 ай бұрын
Kha🙌wewe utakuwa mchawi ungependa Mungu amchukuwe mtoto wako?
@FatumaBaruti-qw6jm
@FatumaBaruti-qw6jm 4 ай бұрын
Unaugonjwa wa akili.au unataka coment😂😂😂😂
@KaizaMfuse
@KaizaMfuse 4 ай бұрын
Zuchu akafie mbali huko ili kunusuru watoto wetu,hafai kuishi duniani
@ericdaniels2608
@ericdaniels2608 4 ай бұрын
Jamani Mhe. Upitie tena maswali hayo, na majibu yako.
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Huyu zuchu ni limbukeni sana
@FatumaBaruti-qw6jm
@FatumaBaruti-qw6jm 4 ай бұрын
Mi naona apo ni kumbi sio kucheza banaaaa😂😂😂😂😂. Wivu uwoooo.
@adelaidafrancis6374
@adelaidafrancis6374 4 ай бұрын
BINAFSI NIMEFURAHI MNOOOOOO YAAN KANIKERA KWENYE MANENO YAKE MACHAFU TU YA KWENYE ULE WIMBO ETI HATA NIMPE ........ NIMEKEREKWA MNO😢😢😢😢 ALAFU NIMEGUNDUA WENGI WAMEUPENDA
@user-id8bu6lw8x
@user-id8bu6lw8x 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@adelaidafrancis6374
@adelaidafrancis6374 4 ай бұрын
@@user-id8bu6lw8x 😂😂😂😂😝😝😝😝😝
@user-dl3ns2df4n
@user-dl3ns2df4n 4 ай бұрын
Utabaduni wa Zanzibar jaman lakini mnaujua kuna watu wanatoka sehemu mbali mbali wanakuja kuvunja utamaduni wa Zanzibar mbn mnawaachia
@AshroffBrown
@AshroffBrown Ай бұрын
Masdili my foot acheni kukandamiza wasaniii hakuna jipya na wazanzibari waache ubaguzi
@SilaMinanda
@SilaMinanda 4 ай бұрын
Kwani hawa vipngoz wa utawala wa mama samia wameokotwa wapi?
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 4 ай бұрын
Hakuna aliekamilika duniani ila zuchu ni kioo cha jamii anafu ndisha nini watoto w engi wanaimba nyi mbo zake Sasa ndio waimbe nyimbo hiyo anawafundisha nini watoto na marik a mbali mbali afungi we tu
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 4 ай бұрын
Mheshimiwa waziri na huku Bara pia mu mfungie hawezi kui ngiza mapenzi yake na diamond kuimba nyimbo za matusi k wenye Halaiki ya wa tu watoto wapo naki la rika mimi naona a fungiwe na huku bar a
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 4 ай бұрын
Zuchu aache uhuni na ujinga na arudi kwenye Imani yake, kwani inakataza machafu. Hayo anayoyafanya zipo imani nyingine zinaruhusu.. km anaweza abadili aende kwenye hiyo Imani na hata akiwa uchi kabisa hatazuiwa
@user-yw3kf6ki2o
@user-yw3kf6ki2o 4 ай бұрын
hakuna imani inaruhusu mtu kuvaa uchi,ni watu tu wameamua kuvaa ila kila sehemu imani inakataza....Na kuvaa uchi ni mtu mwenyewe na ujinga wake na kuvaa hijabu hakukufanyi uende mbinguni.....Never
@cheafroby_tz
@cheafroby_tz 4 ай бұрын
Kabisa.
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa kama zuchu hajaanza Leo lakini bara awajawahi kukemea watu wanalalamika wapi sijui zuchu ni nani hadi Kuna mwalimu alifutwa cheo chake lakini hakuna tamko bara
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 4 ай бұрын
Kufungiwa Kwa makosa sawa sawa ila Kwa Hilo la basata ya Tanzania na Zanzibar tofauti basi Bora nchi igawanywe tu coz ni nonsense
@MuznaSaid-hw6kz
@MuznaSaid-hw6kz 4 ай бұрын
Yaani waziri watanzania anakuwa amfungie miaka sababu kaifadhahisha bara Zanzibar wanamsimamo wanaogopea watoto wao kua kama zuchu mpiuzi huyu mtoto umalaya umemdhuru Islam gani unamruhusu mtu kua na mwanaume bila ndoa na kuvaa uchi
@user-ol8xz7cp2j
@user-ol8xz7cp2j 4 ай бұрын
Mimi nahis viongozi wote wa BASATA🇹🇿 awaja soma sasa apo kinacho mtetemesha nini 😏 yani ana ogopa swali lifuatalo
@junkloketo9485
@junkloketo9485 4 ай бұрын
Waziri mwenyewe anatetemekatetemeka tu
@user-mx2tx5eg9x
@user-mx2tx5eg9x 4 ай бұрын
Maneno tu,nyimbo ngapi za matusi ziko hewani na hakuna hatua zozote zinachukuliwa?
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 4 ай бұрын
Zuchu nyimbo zote matusi ujinga mtupu
@MuznaSaid-hw6kz
@MuznaSaid-hw6kz 4 ай бұрын
Yaani nyinyi mbazungumza vyaa maana sana huyu mtoto mchafu saana
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 4 ай бұрын
Huyu jamaa Ata cmuelew
@MuznaSaid-hw6kz
@MuznaSaid-hw6kz 4 ай бұрын
Muheshimiwa tunakuomba pia kuwa stejini na kubusiana yote hayo yanafindisha nini watoto wetu mapenzi na mziki vitu tofauti yaani mzee wetu tunakuomba maadili ya kinzania yafatwe kama wataka kupoteza watoto waende America muheshimiwa waziri sheria ya Zanzibar iko sawa hata hivo hukum ndogo wamempa waende vyumbani kwao kufanya uvhafu wao watoto wetu hatutaki wapotee muheshimiwa haya ni muhim sana samahani 😂
@nahimanashabani7976
@nahimanashabani7976 4 ай бұрын
Wa kwanza
@HussnaMussa-dd2ox
@HussnaMussa-dd2ox 4 ай бұрын
Na ndo peke ako😅😅
@richardhezron2588
@richardhezron2588 4 ай бұрын
​@@HussnaMussa-dd2oxxmwylw😢 L😊😮😮😮
@AndrewMoses-cs4ym
@AndrewMoses-cs4ym 4 ай бұрын
Mbona faini ndogo sana
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Zanzibar hatuna shida na pesa zake tunajitosheleza huku
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 4 ай бұрын
Huyo Waziri wa wapi? Mbona mm simjui
@ahmadjuma-xx5nd
@ahmadjuma-xx5nd 4 ай бұрын
Hana adabu halafu anatembeya uchu anatuharibiya maadili
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 4 ай бұрын
MAREKEBISHO KIDOGO: - SIO MUUNGANO WA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR.....HAPANA...NI MUUNGANO WA "TANGANYIKA NA ZANZIBAR" -TUKUMBUKE VYEMA ,ZANZIBAR NI NCHI NYINGINE...NA TANGANYIKA NI NCHI NYINGINE....
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 4 ай бұрын
Mbona unaongea ww Uwe unamwacha mhusika anaongea yy Mamba ya kutafasiri mwachie Rufufu
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 4 ай бұрын
Bongo mna ruhusu ushoga nyinyi zuzu anatukana nyinyi mna angalia halafu muje kwenye bunge kina babu tale kumwambia mario anatukana kazi kuwa sanna wadogo
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
Waziri mwenyewe anatetemeka ovyo tu .
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 4 ай бұрын
Sielewi hapo, ulipie mara mbili au?
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 4 ай бұрын
Kwanini hats huku bars msimfungie kwani huku sio tanzania
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 4 ай бұрын
Ameimba wimbo gan?
@mohamedmasud4037
@mohamedmasud4037 4 ай бұрын
Hata umpeeee mkuuuuuuu nimakosaaaaaa
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Hata ongea yake sio
@user-is4xo4pp8v
@user-is4xo4pp8v 4 ай бұрын
Wasaf hawana nyimbo za maadili
@user-eu3xx5kn1w
@user-eu3xx5kn1w 4 ай бұрын
Hakuna msani asiyejua kuimba matus hairuhusiw sema wanajitoa ufaham acha adabishwe 😏😏
@ttss7716
@ttss7716 4 ай бұрын
Kwa hivyo wazanziba ndo wajinga wenyu ama si kila nchi wajipange kivyao huu ni uwonezi iyonekane zenji ni wanafik ama 😢😢😢😢😢
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 4 ай бұрын
Wewe huna maadili ,kwako uchi mbele za watu na matusi kwako ni sawa. Ungeenda kwenye nchi zipo ili ukanufaike na hayo maisha ila huku utapata tabu
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Huyu inaonekana hana watoto wa kike ndio maana hajui madhara ya anachokitetea Mungu akujaalie upate mtoto wa kike halaf awe anavaa uchi na kunyonyana na wanaume hadharani
@fdizzo
@fdizzo 4 ай бұрын
Wa nzanzibari ni wapuuzi tu kwa wazungu wakivaa ni watalii waona fresh kabisa
@mkandaabushiri5382
@mkandaabushiri5382 4 ай бұрын
Ivi
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 95 М.
HOUSE GIRL EP 59 || love story💞💕
22:09
BUSATI TV
Рет қаралды 20 М.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН