WAZIRI LENGO LANGU LAKUSILIMU. NDACHA AMEPANGA KUTUUWA BAADA YA SISI KUSILIMU..BY SH YAHYA

  Рет қаралды 39,472

KENYA DAWAH TV

4 жыл бұрын

Пікірлер: 300
@kareemsukri3256
@kareemsukri3256 4 жыл бұрын
Hakika kweli anaeongoza ni Allah mungu awazidishie imani karibuni katika dini ya haki
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 4 жыл бұрын
Subhanallah Subhanallah..Kwel Allah humwongoza amtakae Masha Allah
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 жыл бұрын
Maasha Allah, Allah awasimamie katika Imani yenu, sasa muwe askari wa kweli wa Allah katika kuusambaza na kuusimamia ukweli huu.
@mwawekomiuda5777
@mwawekomiuda5777 3 жыл бұрын
Takbirrrrrrrr! Kusilimu dió kwa uezo wako ni kwa nguvu Za ALLAH. Karibu ktk dini ya hakhi. Ila tu jitahidi uwarudishe ktk uislamu uliosababisha kutoka ktk uiislam
@rahmaabdi3056
@rahmaabdi3056 4 жыл бұрын
maashaa Allah, nawajua hawa mabwana kwa muda mrefu katika mihathara za mtandaoni. Allah amewaongoza kwa ukweli, na inshaa Allah wale wote wana akili na maarifa watauona ukwli. Habari njema kwao ni vile mtume amesema, "uislamu yanavuta maovu na mabaya yote ya kabla yake". 100% mumesamehewa.
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 жыл бұрын
Uongofu unatoka kwa Allah.Masha Allah brother Nimefurahi kukuona ndani ya uislamu.Tushikane mikono hadi peponi.Aamin.
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 4 жыл бұрын
Mashallah hakika Mungu anakupenda sana pale alipo kutoa ktk ngiza kuuweka ktk nuru
@mkongomanidrc849
@mkongomanidrc849 Жыл бұрын
Tuko pamoja ndugu yangu karibu ktk uislam jisikie huru na tuko na wewe pamoja kwa shida na Raha uislam wenyewe au Imani za kununua
@supumoto6819
@supumoto6819 4 жыл бұрын
Waislamu wenzangu anapotajwa mbora waviumbe nilazima tumswalie Kwa uwingi , hapo tutaonesha mapenzi makubwa Kwake rehma na amani zimshukie
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
ALLAHUMA SWALLI WASALLIM WABAARIK ÀLYH
@MohammedMo-ew7el
@MohammedMo-ew7el 3 ай бұрын
Allahu maswali waswalim alehe
@ummabdulrahman170
@ummabdulrahman170 4 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah twawaombea kila la kheri ndugu zetu waislamu karibuni saaanaa katika dini yetu yakiislamu mungu atuongoze sote yaarabb
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 жыл бұрын
Aamin
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin
@hasahm1995
@hasahm1995 4 жыл бұрын
Sheikh yahya ningesihi be-ithnillah wajitokeze kwa muhadhara na wa approach head-on na waonyeshe haki ..... Tonawasubiri InshaAllah
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 жыл бұрын
InshaAllah
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 Жыл бұрын
Mashallah mungu awape Moto huohuo mungu awalinde nawapongeza sana huyo ndacha anajigamba sana nakumtukana mtume mungu awaongoze yote
@ilovejesus666
@ilovejesus666 4 жыл бұрын
Ukweli unajidhihirisha Allah akbar
@user-nx7jd3cf1m
@user-nx7jd3cf1m 2 ай бұрын
ALHAMDULLILAH. ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA AMEKUJAALIA NURU. ALHAMDULLILAH THUMMA ALHAMDULLILAH.
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 3 жыл бұрын
Dundi alishakuja arusha. Du subhanallah amesilim maashall
@guyogalora2736
@guyogalora2736 4 ай бұрын
Alhamdulillah of the gift of islam..
@saidabae7101
@saidabae7101 4 жыл бұрын
Alhamdhuliah Allah karim
@ikramukapemba9562
@ikramukapemba9562 4 жыл бұрын
Allah awaongoze Uislamu ndo dini ya kweli tangu Mwenyezi Mungu anaumba ulimwengu katuumba katika umbile la Kiislamu. Sijui ndugu zetu waliobakia huko upande wa kushoto wanasubili nini.
@abdulmalikngola9244
@abdulmalikngola9244 4 жыл бұрын
Masha Allah welcome to islam my brothers I believe u will defend islam from your heart and soul,S.yahya great work
@nak3477
@nak3477 4 жыл бұрын
Allah anasemehe zambi zote..mumezaliwa upya.zambi less
@mkombozimstaff4830
@mkombozimstaff4830 4 жыл бұрын
Mmetoa siri kubwa m'mungu awaifadhi insha'Allah 😭😭😭
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 жыл бұрын
Aamin
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Allahuma Aamin
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Nyie Allah keshawasameh na mko kama mmezaliwa upya basi atazidi kuwahifadhi
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin
@ilovejesus666
@ilovejesus666 4 жыл бұрын
Mashaallah mungu akurehem
@hashimmhashim2663
@hashimmhashim2663 4 жыл бұрын
الله أكبر كبيرا والحمدلله كثيرا وسبحان الله بكرة و أصيلا
@ikramukapemba9562
@ikramukapemba9562 4 жыл бұрын
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyeumba vitu vyote karibuni katika Uislamu kuanzia sasa nyie ni ndugu zetu katika Imani karibuni sana Dar es salaam muafundishe wasabato wanaojiita A.M.R
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 3 жыл бұрын
Mashaallah wisilam ustadh mungu awalipe kheri waliosilimu mungu awafanyie wepes insha'Allah 🤝❤️ 🙏
@hashimmoote3587
@hashimmoote3587 4 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الرحمن Mungu awazidishi imani
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 2 жыл бұрын
Mungu awajalie Kila kheri
@happyfraha5649
@happyfraha5649 3 жыл бұрын
Poleni sana mulipo kua wkristo sura zenu zilikua zime oshwa na YESU angalia sasa hayo unayo ongea
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 Ай бұрын
Wewe kaa tu uamini msalaba wako basii kwa ukilisto bili msalaba si kitu sasa we baki uko
@kichwayussuf
@kichwayussuf 4 жыл бұрын
Ma asha Allah Allahu Akbar sheikh yahya mungu akulipe sheikh
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182
@mwabwagizojaytummumwabwagi7182 4 жыл бұрын
Aamin
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
MashaAllah laaquwwata illa billah...Allah awaongoze na wao waongoze wenziwao waliokua wakiukashifu uislamu..leo wameuona ukweli wa dini ya haqq..nawaombea kila la khairi..na almarhum ndithiAllah atamsameh amtie peponi na jamii islamu
@user-ks4hh8jb6k
@user-ks4hh8jb6k 2 ай бұрын
Mashaallah Alhamdulilah Allah Akbar
@janethfugamila5848
@janethfugamila5848 3 жыл бұрын
Allah hamndulillah mwenyewezi mungu Awalinde
@saadali838
@saadali838 2 жыл бұрын
Allahu Akbar, Allah awanusuru InshaAllah.
@foodcook3626
@foodcook3626 Жыл бұрын
Karibu sana tena sana katika uislamu hao ndio wachungaji watumiyao akili yao kutafuta ukweli khalisi na hao hao ndio mwisho wao Allah hujifunua kwao akawapa uislam na kesho wakawa vidume kweli kweli vya dini ya Allah na kuitangaza dini bila shaka wasabato mumekwisha!!!!!! Faida gani upewe mapesa kupiga vita uislam pesa ambazo hazikununulii starehe ya jana?!!!
@abuhassan9552
@abuhassan9552 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah awatilie Tawfiq dunia na akheyra thamani yenu iwe pepo
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@sammotv6920
@sammotv6920 4 жыл бұрын
Shekh tunaomba uendelee kurusha clip nyingi zaidd
@guyogalora2736
@guyogalora2736 4 ай бұрын
Bila shaka dini ya haki na ukweli mbele ya mwenyenzi mungu ni uislamu
@muradomer684
@muradomer684 4 жыл бұрын
Alhamdulillah hakika wengi wanatafuta ukweli Leo Allah awaonyesha katika njia ya haki ambae ni uislamu wallahi mimi nawapenda kwa ajili ya Allah na mzidi kwaita ukweli walio potea
@d-manb-free3478
@d-manb-free3478 4 жыл бұрын
Karibu kwenye Nur’,Allah awalinde
@ilovejesus666
@ilovejesus666 4 жыл бұрын
Allah bless you
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@asdfnfmd5466
@asdfnfmd5466 4 жыл бұрын
SubhanaAllah kweli ukiona mtu kapotea muombe duaa badili yakuwalaani
@lachariteamani2842
@lachariteamani2842 3 жыл бұрын
Muna amini ni vema Mungu awalinde nyote
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 4 жыл бұрын
Mashallah
@mwajumamwajuma3756
@mwajumamwajuma3756 3 жыл бұрын
Mashaallah wisilam 🤝
@ibrahimkhamis8648
@ibrahimkhamis8648 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Alhamdulillaah Karibuni kwenye dini ya haki ya Uislamu Dini ya Manabii wote. Allah Awahifadhi na Azidi kutuongoza sote In Shaa Allah.
@rayaali7551
@rayaali7551 3 жыл бұрын
BISMILAAAH MAASHA ALLAAH TUNAO AKILI ZETUU TUNAAMINI KUWA MUMESILIMU KWA KHIYARI YENUU NA KWAAJILI YA DINI YA ALLAAH NA NDIO DINI YA HAKII HAMUKUSILIMU KWAAJILI YA PESAAAA KAMA NI PESAAA MUMEZIWACHA MAKANISANIII NA ZILETWAZO NA MISWADA YA MAKANISAAA KWAAJILI YA KUPOTOWA WATUU ILAAA NNAKUNASIHI POWA NA UTULIEE NA WALAA USIWE NA HASIRA KWANII AMAANII HULETWA KWA IMAANI KUWA NA SUBRA NA UVUMILIVU HUOO NDIO UISLAAM KWANI HATAA KIONGOZI WETUU MTUME MUHAMMAD YALIMKUTA KULIKO HAYOO NA KAIPIGANIA DINI NA UISILAAM NDIO MAANA MPAKA LEO HII MIMI NAWEEEE YUKAIJUWA IPI NI DINI YA KWELII NA NI YA HAKI YAARABY MMUNGU AZIDI KUTUONGOWA NA KUTUONGOZA KATIKA NJIA ILIYO NYOOKA NA TUSIKATE TAMAA KATIKA NEEMA NA REHMA NA USAMEHEVU WAKE ALLAAH KWANI ALLAAH AMETUWAHIDI KUWA TUTAPO RUDII NA KUMUOMBA MSAMAHAA KWA MAKOSA TULIYOYATENDAA HATAKAMA WINGI WA BAHARII BASI ANATUPOKEAA NA ANATUSWAMEH SOO TUEGEMEE KUPOKELEWAA NA KUSWAMEHEWA NA MOLA WETU KWANI NDIE YEYE PEEKEYAKEE ALIE GHAAFUUR RAAHEEM AAMEENA YAARABY LAALAMEENA🤲🤲🤲🙏🙏🙏NNAWAPENDA NYOTEE KWAAJILI YA ALLAAH
@raymondngajagu66
@raymondngajagu66 3 жыл бұрын
Haujamkomoa yeyote sisi tuko na Yesu utahangaika Ndudi alishatangulia wewe ndio unahangaika tu Mungu akusamehe
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 2 жыл бұрын
Kwani wale waisilam walookoka walimkomoa Nani ?si maamuzi ya mtu
@mariamali1887
@mariamali1887 4 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah Allah barik. Wallahi Allah atawalinda hatakama wakiwakashifu. Msijali ninyi mollah amewachagua. Mko ktk nuru wallahi
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 3 жыл бұрын
Wallah sichok kuingalia hii video Mungu ni mwema
@godsservantrimo9844
@godsservantrimo9844 4 жыл бұрын
Inna Allah yahdi man yashaa ila swiratil mustaqeem..Hakika mwenyezi Mungu humuongoza anayemtaka katika njia iliyonyooka... May Allah reward you the best for the sacrifice you have done🤲🤲
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@ilovejesus666
@ilovejesus666 4 жыл бұрын
Takbiiiiiiiir
@saradubai6974
@saradubai6974 3 жыл бұрын
Allahu Akbar!!!
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 4 жыл бұрын
MashaaAllah sheikh nawakumbuka vizuri sana tena waziri alikuwa mkaidiiiiiii, Alhamdulillah, Allah anaweza chochote sisi wanadamu tunaweza fikiria hakiwezekani kama kuondoa usiku kuleta mchana Allah Akbar, inshaallah,,,,,Allah awazidishie hekma na Elimu Wahubiri wetu na afya nzuri kwa umri wao wote💚💚💚💚💚🤲🤲🤲🤲
@evalettmuthoni5996
@evalettmuthoni5996 3 жыл бұрын
Allahu Akbar
@supumoto6819
@supumoto6819 4 жыл бұрын
NDUGU waziri , shkuru ALLAH kukuondoa katka ukristo. Jitayarishe kwa mapambano zaidi , HIO ni dhihirisho Kua una imani yakisawasawa, SUBRA ndio itahitajika na sisi kama NDUGU zangu waislamu tuko pamoja na WEwe tunawaombea DUA , ALLAH atawhifadhi in sha ALLAH
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Allahuma Amin
@ramadhanmalick4312
@ramadhanmalick4312 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah awajaze imani in shaa allah
@saradubai6974
@saradubai6974 3 жыл бұрын
Ndacha huyu ana chuki ya kuuwa mtu hilo sio ajabu kabisa maanake tumeshuhudia misemo zake mbovu dhidi ya waislamu bt nataka nimpe mawaidha kuwa atamuua mwislamu lakini hautauua Uislamu...chuma dhambi ww Ndacha na kesho akhera utalipa mbele zake Allah....karibuni ndugu zangu katika uislamu in shaa Allah
@AbdulAbdul-vp2np
@AbdulAbdul-vp2np 4 жыл бұрын
Sheikh Yahya Allah azidi kukuhifadhi na kukulipa kwa kila la kheri hapa duniani na kesho akhera kwa kazi njema mnayoifanya.
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 4 жыл бұрын
MashaAllah mimefurahia sana kalima ya huyu aliyesilimu mwenyeziMungu aendelee kumuongoza
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@mohdibnsaleh9949
@mohdibnsaleh9949 4 жыл бұрын
Mashallah Allah akubariki sana na akuongoze katika dini ya haki
@idrisamlondwa9195
@idrisamlondwa9195 Жыл бұрын
Mungu akubariki waziri na allah akupe rehma zake duniani na akhera aamin
@AbdulAbdul-vp2np
@AbdulAbdul-vp2np 4 жыл бұрын
Mashallah Allah yuko pamoja nanyi nothing will affect u Inshallah, Alhamdulillah for Allah guiding u to straight path. Allah Akbar
@issakaroli1517
@issakaroli1517 3 жыл бұрын
Tunahitaji Mwanga mwingi kwa kila mtu nuru husababisha ufahamu ufahamu husababisha upendo upendo husababisha uvumilivu uvumilivu husababisha umoja ukweli unauma Allah atuwekeye wepesi sisi wote waislamu
@hamadamabali2895
@hamadamabali2895 4 жыл бұрын
Baada ya CORONAVIRUS kuisha tutaitaji muhadhara wa nguvu dhidi ya Wakina Ndacha maana nahis patakapo kuwa na hawa ndugu zetu walio Silimu itakua vizur Zaid In sha Allah
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Asalam alykum www karibu kwa dini yahaki mungu abaongonze ishallah
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Takbiriii takbiriiiiii
@tumajunior6080
@tumajunior6080 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah awalinde kwa wale wanaowapiga vita kwa kuingia dini ya haki
@guwileguwileyasini758
@guwileguwileyasini758 4 жыл бұрын
Maashaallah. Kk. Kwakujuwa. Haki. Ukasilimu. Allah. Awaongoze wate. Wamwili. Kwakusilimu. Hongera. Sn.
@isareje8579
@isareje8579 4 жыл бұрын
Mungu awasamehe Kwa ubaya wote mliofany na Kwa wale mliowapoteza Nao waone mwangaza
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Taqabirrrr nawafahamu vzr hawa wallah mola ww ni mtukufu wetu Sheikh Mazinge wa Tz anawajua vzr hawa duh
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 4 жыл бұрын
Daduyako itakutetea sheikh Mohammad Allah akutilie Nuru katika kaburilako🤲🤲🤲
@bashazashaks4554
@bashazashaks4554 4 жыл бұрын
Hakuna yeyote anaye uwezo wa kuwadhuru kwani Allah atawalinda wacha Ndacha hamna wa kuwadhuru InshaAllah
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 3 жыл бұрын
Mashaa-Allah sheikh yanya ALLAH akulipe hapa duniani na kesho akhera
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa imani hainunuluwi labda la wakiristo ndio wanonunuwa kwa maskini Allaah atakuzidishieni imani
@nak3477
@nak3477 4 жыл бұрын
Mashaallah. Allah akulipe kheri..
@ahmedsalim2800
@ahmedsalim2800 4 жыл бұрын
Alhamndulilla kweli mwenyezi mungu huongoza amtakae nakumbuka huyu bwana alikuwa mbishi sana lakini mungu ni mkubwa nilifatilia hoja zake
@jamaljama1093
@jamaljama1093 4 жыл бұрын
Maasha Allah. Nur ala nur
@ugaascashaale1869
@ugaascashaale1869 4 жыл бұрын
MashaAllah
@kelvinmurithi7255
@kelvinmurithi7255 Ай бұрын
Ole wenu jianamu inawangija
@abukulthum6598
@abukulthum6598 4 жыл бұрын
Allah akbar!!
@sadikiathumani7115
@sadikiathumani7115 Жыл бұрын
Allah ni mjuzi
@shirs5917
@shirs5917 3 жыл бұрын
Mashaallah taqbiiiir Allah akibar
@domansalim9111
@domansalim9111 3 жыл бұрын
Masha Allah Great Guys. Mungu Atakusameheni.
@rilkabuya6519
@rilkabuya6519 4 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah takbiriiii
@rehemanduli3781
@rehemanduli3781 4 жыл бұрын
Mashaallah
@akhuumpweche.7935
@akhuumpweche.7935 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah 💖
@salmasele1327
@salmasele1327 2 жыл бұрын
Takbiriii
@Noahhersi
@Noahhersi 4 жыл бұрын
AllahuAkbar ×3 Allah awape kila la kheri awasamehe yote mlio mkosea Allah. ManshaAllah
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@aishasalim5093
@aishasalim5093 4 жыл бұрын
Ma sha allah mshasamehewa tayari kwa kuukubali uislam
@jajjxjx8762
@jajjxjx8762 Жыл бұрын
Takbiiiir . Mashaallah
@fatmaali4794
@fatmaali4794 3 жыл бұрын
Mashallah 👌👌👌
@glorynoely4955
@glorynoely4955 4 жыл бұрын
Allah Akbar
@sabrinapogal9463
@sabrinapogal9463 4 жыл бұрын
Mashallah Allah amewaongoza
@juariaswabrina4549
@juariaswabrina4549 4 жыл бұрын
Karibuni kwa dini ya haki hakika mmenusurika Allah awaongoze inshaAllah
@supumoto6819
@supumoto6819 4 жыл бұрын
ALLAHUMA swalli wasallim wabaarik aleyhi
@omarynguli5910
@omarynguli5910 3 жыл бұрын
Kila ktk zuri hapakosi majalib ata izo shutma ni majalib tu kwakua muko ktk kheir bakin tu na msimamo wenu aliokupen Allah Insha Allah
@mahmoudjellanial-waily1460
@mahmoudjellanial-waily1460 4 жыл бұрын
قال تعالى: " والله يدعو الى دار السلام ويهدي من يشاء الى صراط مستقيم " Allah invites to the Home of Peace, and guides whomever He wills to a straight path.
@omarjumaan2735
@omarjumaan2735 4 жыл бұрын
MashaALLAH ALLAH AKUZIDSHIE IMANI NA SUBRA NA KILA KHERI
@kenyadawahtv90
@kenyadawahtv90 4 жыл бұрын
Amin
@mimahmimah8793
@mimahmimah8793 4 жыл бұрын
Allah akikutaka uongoke utaongoka tu ata ukiwa nani Allahu Akbar huyu waziri alivyokua mbishi lakin leo amelainika subhanallah
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Allahu Akbar,Allah umuongoza amtakae mm pia nilisilimu na siwez nimefahamu uislamu ndio dini ya Mwenyezi Mungu
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 4 жыл бұрын
Mashallah
@frankrichard5712
@frankrichard5712 2 жыл бұрын
Ukristo n every things hatuigizi mbingu ipo wazi wazi kwa maan tupo sahih dini yetu inauponyaji na inamtenga mtu mbali na shetan
@frankrichard5712
@frankrichard5712 2 жыл бұрын
Din safi haina ugaidi na hailazimish mtu kuokoka lakn mamia ya watanzania wanaokoka maan wanajua iliyo kwel
@frankrichard5712
@frankrichard5712 2 жыл бұрын
We umeslim wapi ww acha mbwembwe khaa ahaha sema wew umezaliwa umekuta wazaz wako n waislam ndio maan acha kudanganya
@frankrichard5712
@frankrichard5712 2 жыл бұрын
Na nnavo jua mm katika ukristo shetan hana urafik na mungu hata kidogo sasa nyie inakuweje mseme kuna jini mwema na jini mwovu ,,ahahaha ..kuweni makin nyie mnatakiwa mjihoji
@user-ee8js6jx7d
@user-ee8js6jx7d 3 жыл бұрын
Allwahu akbaru
@mwanashamohamednjama2289
@mwanashamohamednjama2289 Жыл бұрын
mashaallah 🙏🙏🙏🙏
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН