No video

WAZIRI SILAA AKUTANA NA MAAJABU KOROGWE |TUTAMPIGA HUYU DIWANI ANATUTUKANA |MAKONDA ATAJWA HADHARANI

  Рет қаралды 37,263

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 3 ай бұрын
Tunakupenda wewe na makonda mpa vizuri
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 3 ай бұрын
Kweli kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤tunawapenda sana sana mwenyezi mungu awape afya njema ila muheshimiwa wazir silah mbunge wetu barabara yetu ya kitunda haifaii tusaidie muheshimiwa❤❤🙏
@yohanajelemia7116
@yohanajelemia7116 3 ай бұрын
😢​@@hadijauledi6995😢😢😢😢safi
@user-uo5em7im6b
@user-uo5em7im6b 3 ай бұрын
Afisa wa ardhi korogwe chanzo Cha migogoro korogwe
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
❤❤Yaan Majembe ya Samia wangu ni Kassim Majaliwa Waziri Mkuu'Makonda' Silaa waziri wa Aridhi'Ali Hapi'Chalamila'.Yaan watu hawa wanatisha wazuri wazuri tena.Chukuen Maua yenu.Hawagopi jambo lolote.❤❤❤❤
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 3 ай бұрын
Yaani umewaona km mimi haswaaa ❤❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Mzee wa kwamsisi hao ..wanatembeaga na majini hao...mungu akulinde tu mweshimiwa
@reaganevral5258
@reaganevral5258 2 ай бұрын
Uyu ajuwiii kitu makonda njo ana anajuwa saaana…awezi shika wamwiziiii
@MohamedMkota
@MohamedMkota 3 ай бұрын
duh hawa 😂😂 utafikiri watoto wachekechea😂😂
@SwaumuHassan-k9s
@SwaumuHassan-k9s Ай бұрын
Mungu.awasaidie
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Waziri salaa mbona hii kwesi inaelekea ni gumu. Mbona umeshidwa kutoa uwamuzi Mzuri. Napenda utoe haki
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 ай бұрын
Mwenye kiti wa zamani aende kwa waziri wa zamani nime ipenda sana hiyo Mweshimiwa Jerry Wazigua ni Kichefu chefu hao😂😂😂
@IbrahimMadulo
@IbrahimMadulo 3 ай бұрын
Ukoo huo ukioa una kazi 😂😂😂
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 ай бұрын
Waziri mungu akupe moyo wa busara sana kwani watu wanaumia sana
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 3 ай бұрын
Daaah wazigua ni kuupanda mchongoma kuumbe kushuka ni ngoma😂😂
@dalalihakweahakweya6662
@dalalihakweahakweya6662 3 ай бұрын
DAAAAAH KIONGOZI WANGU POLE SANA MAANA HAO WAZEWANGU WATANGA NYUMBANI KWANGU KOLOGWE MMENIANGUSHA SANA HAMJA JIPANGA KABISA WABISHI SANA KUELEWEKA NIKAZI SANA HAPO WAZIRI KAPATA TABU SANA KUTATUA
@yussufhashim4472
@yussufhashim4472 3 ай бұрын
I love Tanzania
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l 3 ай бұрын
Silaa endelea kusimamiya sheria mungu yupamoja nawe
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 3 ай бұрын
Makonda na slaa juu juu zaidi tunawakubali majembe ya kazi hayapepesi macho arusha wakuu wa vitengo matumbo joto😂😂😂😂😂
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 3 ай бұрын
😂😂😂
@user-mz4gx2ek9y
@user-mz4gx2ek9y 3 ай бұрын
We mzee hujui kujieleza b
@RoseMziray
@RoseMziray Ай бұрын
Kazi ngumu hii
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 3 ай бұрын
Hapo waziri umechemka wananchi wanaonekana wanaonewa😢😢
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
Kosa kubwa ni la Serikali mnamwacha mtu anatumia ardhi ambayo Serikali imeishapanga matumizi lakini wananchi hawaeleweshwi. Hilo ni tatizo kubwa. Waziri nenda kwenye msingi wa tatizo. Wasaidie wananchi kutokana na msingi wa tatizo.
@HappyEmanuel-u1i
@HappyEmanuel-u1i Ай бұрын
Dada mwenye kitambaa cheusi ni suzy bale mtupu
@deniskaguo4698
@deniskaguo4698 3 ай бұрын
Hii familya balaaa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
TATIZO SERIKALI NI YA CHAMA KIMOJA. KAMA SERIKALI INGEKUWA NI MSETO BASI HAO VIONGOZI WADOGOWADOGO WA VIJIJINI WANGEKUWA NA ADABU.
@MnubiMm
@MnubiMm 3 ай бұрын
Usifanye Mseto ndio utatizi wa Matatizo watendaji ndio haohao Sio Kila unachowaza sahihi huo ni mtazamo wako chama hichohicho ndio katoka huyo
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 3 ай бұрын
Tatizo si chama kimoja, tatizo ni sisi wenyewe tunapenda dhuluma. Msonge wa dhuluma ni rushwa wakati wa kuchaguana. bila kujali chama gani! Adhabu zingine hazisubili Ziko ndani kitendo chenyewe unacho kitenda. Mwl Nyerere
@user-bp2cc9eo6g
@user-bp2cc9eo6g 3 ай бұрын
Dhuruma haina chama,ni suala la mtu mmoja mmoja,huyu waziri anae washughurikia Manyangumi ya dhuruma ni CCM sio chadema wala ACT
@josephminja7953
@josephminja7953 2 ай бұрын
😂 serikal ninan🤣
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Hawa wazee wa mezulumiwa haki zao.
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 3 ай бұрын
masikini hana rafiki
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 3 ай бұрын
Ukioa kwenye hiyo familia shuhuri 😅
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Tuijue ratiba ya mkoa wa Singida tujiandae
@yussufhashim4472
@yussufhashim4472 3 ай бұрын
Wewe mzee nakupenda bure mpaka waziri amesalenda
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 3 ай бұрын
Mzee nimempenda buree
@Josephineexsuper
@Josephineexsuper 3 ай бұрын
Hii familia imeshindwa kijipanga ktk maelezo..wana hasira sana na wanaongea kupitiliza.. ila wasiingize itikadi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Wazee wamsisi hao mmmh wanamajini hao
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Watendaji wazuri mwingine nilisahau Rc wa Manyara Bi Sendega ni hatari sana huyu mama❤❤❤
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 3 ай бұрын
Ccm hoyeee!!!
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 3 ай бұрын
Duh huyu mzee mzigua ni shida mbishi kinyama
@moyolameck555
@moyolameck555 3 ай бұрын
Jaman wazee wa KWA MSISI HAO. OOOHHH MSICHEZE NAO SHAURI YENU
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Rai TV jirekebishe saiti habar zako nyingi zinasumbua sauti
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 3 ай бұрын
Asant kwa Ushauri tunaufanyia kazi kaka Abdul
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan 3 ай бұрын
Walikuwa wanalala kwa sababu ya watoto wao walikuwa hawez kwenda barabara zilifungwa
@aslaykweka7408
@aslaykweka7408 3 ай бұрын
Silaa utapata sukar wala pressure
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 3 ай бұрын
Uwo ukoo usiombe umpe mimba mtoto wao 😂😂😂😂
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 ай бұрын
Waziri oparesheni vijiji tulipewa maeneo ya kujenga makazi mashamba tukawa tunalima kulekule kwenye mashamba yetu yale yale mkuu
@user-vv9kk3gz5f
@user-vv9kk3gz5f 3 ай бұрын
Masikini tunaonewa silaha hujatendahaki kwenye shamba labwembwera tulisha pewa wajanja wana tuzulum mungu anaona
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 ай бұрын
Msimamizi wa mirasi hajui kiongea
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 ай бұрын
Mkuu tunakusubiri kigamboni bado atupo sawa
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 3 ай бұрын
Sauti hamna
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 3 ай бұрын
huyu mzee mwenye kofia kanifanya nicheke sana kila akiambiwa anyamaze hakubali
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 3 ай бұрын
Ha ha Uongozi sio mchezo Mh silaa apewe heko kwa kweli wengine hatuwezi hivi hapa Nishampiga mtu kichwa cha Mdomo
@senseiamani4684
@senseiamani4684 3 ай бұрын
Haaaaaahaaaa
@asifiwematimbwi8600
@asifiwematimbwi8600 3 ай бұрын
Nimecheka sanaaa😅😅😅
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
Waziri una kazi
@MedrinaUtonga-dg5lg
@MedrinaUtonga-dg5lg 3 ай бұрын
Mh unakutana na vingi
@susananyasani6526
@susananyasani6526 3 ай бұрын
Watendaji wa Serikali wengi hawafuati Sheria kwa haki wanachukuwa Rushwa kutoka kwa Wananchi wanyonge
@user-vv9kk3gz5f
@user-vv9kk3gz5f 3 ай бұрын
Silaha unapo twambia sisi ni wavamizi alafu wanachukua matajiri sisi masikini tukale wapi
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q 3 ай бұрын
Hapo panashida eti tutampiga🤣🤣🤣🤣 kkkk
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 3 ай бұрын
Ha ha ha akileta za kuleta wata Mtwanga
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 3 ай бұрын
Ila unayechukua videos tafadhali sauti ipo Chini
@eppiemodest
@eppiemodest 3 ай бұрын
Mh. Slaa. Huku barabara mbovu ukianzia Mwanagati hafi kitunda na Banana uje uangalie. Ukienda benki kutuma school fees ya mwanafunzi unatozwa pesa pembeni eti diwani wenu haturekebishii barabara tumemchagua bure wanasema. Benki zote hawafanyi hivyo ila ni benki ya Mwanagati mdomo wa simba. Imefunguliwa juzijuzi tu. Siyo ile benki ya mama Mary Nchimbi.
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q 3 ай бұрын
Hapo Kunamambo ya siasa majilani zao waliuza je kwanini wengine wazuiwe
@libeberu
@libeberu 3 ай бұрын
Huku ndo Tanga sasa, ukitaka kwenda kujifunza sheria nenda mahakama za huku
@DanyEnto
@DanyEnto 3 ай бұрын
Kumi tena kwa mheshimiwa🙌🙌🙌🙌🙌
@frankyjohn9629
@frankyjohn9629 3 ай бұрын
Wazirhapo hakuna no Bora makonda
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 3 ай бұрын
Masikini hawezi kuwa na haki hata siku moja
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
Huyo diwani kama Anatukana viongozi wa serekali simu za mikononi mnazo mlicodini muwe na Ushaidi wa kumpeleka jela mshenzi kwanini Atukane viongozi huyu mzee Anategemia majini yake ndio Mdomo mlefu
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 3 ай бұрын
Kumbe hapo pana uongozi wa chadeee na usisi m hapo hawapati kituuu
@zaharamlau8817
@zaharamlau8817 3 ай бұрын
Hiyo familia ni konyoo asee😂😂😂😂😂
@kashindesalha8107
@kashindesalha8107 3 ай бұрын
Mweshimiwa nakuaminia Leo pangumu hapo
@lightnessmarwa1755
@lightnessmarwa1755 3 ай бұрын
Ukiooa kwa huyo mama mwenye kilemba chekundu umeenda na maji😂😂😂
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 3 ай бұрын
😂😂😂 imeaisha hiyo
@mudhihirIbrahim-hb7ry
@mudhihirIbrahim-hb7ry 3 ай бұрын
Raia wamedata hao
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 3 ай бұрын
Ila ukweli hiyo familia ni mbovu
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 ай бұрын
Mzee ana mawenge😂😂
@user-mz4gx2ek9y
@user-mz4gx2ek9y 3 ай бұрын
Shida hamjui kujieleza
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 3 ай бұрын
Hiyo kesi ni rahisi sana waziri kutoa maamuzi,kama historia inaonyesha ni lao serikali wapeni hilo eneo mkitaka kutumia kwa serikali wapeni pesa za fidia kwisha.wakipata mamilioni ni raia watanzania hao wapeni tz ina ardhi malumbano ya nini?Mtaanza kuuana kisa ardhi.Hapo kuna tatizo kubwa sana.
@user-kh1tn6yr8b
@user-kh1tn6yr8b 3 ай бұрын
Nirichoona apo diwani hana history ya kijiji awo wazee wahaki
@HashimYahya-ic2wn
@HashimYahya-ic2wn 3 ай бұрын
Waze wamajini hao
@giftmusa6543
@giftmusa6543 3 ай бұрын
Waziri katupiwa kitu
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 ай бұрын
Waziri shauri hili nKuona leo limekuzidi kimo. Mbona umeshindwa kulitatua?
@HashimYahya-ic2wn
@HashimYahya-ic2wn 3 ай бұрын
Nani nani ndo nini
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 3 ай бұрын
Sıkılızeni nyie uongozi hauna umri ..
@rashidabdallah5825
@rashidabdallah5825 3 ай бұрын
Diwan anataka kujifanya eneo la serikali ili alifanyie mchakato
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi 3 ай бұрын
Apo mueshimiwa kazi unayo
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Mbona hapa Dr slaa kama ameelemea sana upande wa serekali hawa raia mbona wanaonekana wanahaki
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 3 ай бұрын
Serikali pia ina haki
@jamesmailo8780
@jamesmailo8780 3 ай бұрын
Wakolofi sana ningumu kupata haki hawajui kujieleza
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 3 ай бұрын
Usije dhan serikali haina haki
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 3 ай бұрын
Haha wasambaa shuhuri
@shafiijuma3282
@shafiijuma3282 3 ай бұрын
piga kazi
@anastaziashihumbi
@anastaziashihumbi 3 ай бұрын
Slaa hamna kitu...ukonga barabara ni shida kuanzia mombasa hadi bombambili shida lakini hata kuonekana kwa watu wake haonekani....25 hayupo bungeni
@rehemakilapilo3507
@rehemakilapilo3507 3 ай бұрын
Barabarabza mitaa zipo chini ya Tarura ndio wahusika wa kukarabati na kujenga
@anastaziashihumbi
@anastaziashihumbi 3 ай бұрын
@@rehemakilapilo3507 acha kumtetea ww...ukonga imemshinda na hatakiwi kabisa...mbona mbunge gwajima anafuatilia barabara zote kwenye jimbo lake yy yupo tu ...hata kama ni zarura yy ni msimazi mkuu wa jimbo la ukonga ameferi sana
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 ай бұрын
Barabara ni changamoto ya kawaida kaka ata ulaya mpaka Leo wanatengeneza
@CharlesNkanda
@CharlesNkanda 3 ай бұрын
25 slaa yupo bungeni upende usipende yupo kwa nguvu ya watanzania wote tena atabaki kuwa waziri
@othumanomari1589
@othumanomari1589 3 ай бұрын
Mrango8
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 3 ай бұрын
Hao ndio Waziguwa 😂
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 ай бұрын
Hawa nikiboko
@frankgichuhi8993
@frankgichuhi8993 3 ай бұрын
The guy next tu waziri always rude..and corupt
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 3 ай бұрын
Huyu diwani achunguzwe
@damianikimario5695
@damianikimario5695 3 ай бұрын
Waziri uko vizuri wakati mwgine inaleta hasira kuwasikliza nikipaji tosha ongera saanaa..piga kazi kaka sllaa mwenyezi mungu akusimamie unabusara sana na hekma.
@jtheophil5499
@jtheophil5499 3 ай бұрын
Bongooo😂😂😂😂
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 ай бұрын
Kwani ndg waziri mahame ni sawa na kuipoteza haki? mbona watu wengi tulihamishwa na bado tunamiliki maeneo yetu? Ina maana tumevamia?
@HashimYahya-ic2wn
@HashimYahya-ic2wn 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@yussufhashim4472
@yussufhashim4472 3 ай бұрын
Huyu waziri ni chalii anacheka tu
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 ай бұрын
😂😂😂kivumbi na jasho
@humphreyjosephat5002
@humphreyjosephat5002 3 ай бұрын
Hii familia sio yakuoa kabisa
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 3 ай бұрын
Cha moto utakiona utakua jahanam ya duniani😂😂😂.
@jescasanga2005
@jescasanga2005 3 ай бұрын
😂😂
@Commentsplus
@Commentsplus 3 ай бұрын
Hahahahahahahahaha
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 3 ай бұрын
Hii familia kiboko 😂
@bilid4128
@bilid4128 3 ай бұрын
Wazigua ni wajinga sanaa😊
@zainabumohamed600
@zainabumohamed600 3 ай бұрын
acha dharau
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 3 ай бұрын
Hiyo kauli sio njema kama ulivyo itamka kwa mjumuisho,bilashaka unatatizo la (kutofikiri jambo kabla ya maamuzi) hii inatafsiri maisha yako halisi,pole sana, bora ya huyo mjinga kuliko hilo kabila lako kama ndio hivyo watu wa sampuli hii ya mjumuisho hawawezagi hata kujisimamia binafsi ktk familia,wanataka mjumuisho kila jambo wakifikiri watu wote ni sawa na wanakua watu wa lawama siku zote kwenye familia hilo ni tatizo
@SwaumuHassan-k9s
@SwaumuHassan-k9s Ай бұрын
Mungu.awasaidie
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 3 ай бұрын
Waziri umeshindwa kuwasaidia wananchi😢😢
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 43 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 13 МЛН
Aliyepona KICHAA, AELEZEA ALIVYODHULUMIWA Mjengo MBELE ya WAZIRI
21:35
Global TV Online
Рет қаралды 394 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 43 МЛН