No video

#WCW

  Рет қаралды 15,541

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Its a Beatful Wednesday, and Today on #WCW for the week on WASAFI TV we Present to you Jacqueline Ntuyabaliwe Maarufu kama K Lynn Moja Kati ya Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva na Mwanamitindo wa Siku Nyingi Hapa Nchini.
K Lynn maarufu kama K- Lynn alizaliwa Desemba 6, 1978, na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa kati ya watoto watatu kwenye Familia Yao
Alianza muziki mwaka 1997 akiwa na bendi ya Tanzanites na Mwaka 2000 alishinda taji la Miss Tanzania na kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Miss World
Mwaka 2004 alitoa Album yake ya kwanza kama ‘solo artist’ iitwayo ‘Nalia kwa Furaha’. Miaka mitatu baadaye alitoa albamu nyingine iitwayo ‘Crazy You’ na ni moja kati ya Wasanii ambao wanaangaliwa Zaidi kama Mfano kwa Wasanii wa Kike.

Пікірлер: 23
@mikelmasanja2522
@mikelmasanja2522 6 жыл бұрын
Kama unamkubali K LYNN gonga like hapa
@allychaye3446
@allychaye3446 6 жыл бұрын
Mtangazaji nampenda anavyo tangaza
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Nakupenda sana *KYLN*
@selemanihussein5073
@selemanihussein5073 6 жыл бұрын
Namkubali sana huyo dada
@mkudesimba6413
@mkudesimba6413 6 жыл бұрын
Nice
@yohanamsafii3404
@yohanamsafii3404 6 жыл бұрын
Chombo kwa hewa
@issadesmond477
@issadesmond477 6 жыл бұрын
Pesa zina nguvu sn ameolewa na babu yk mhhh makubwa atari
@karimoualiou3254
@karimoualiou3254 6 жыл бұрын
Issa Desmond 🤔🤔🤔kwani mwanamke wa miaka 40 ulitaka aolewe na ki ben10
@emanualkadutu4130
@emanualkadutu4130 6 жыл бұрын
Issa Desmond Halafu wanasema eti ana mchango kwa jamii mmmmmm na wengine ni role model wao kwel yajayo yanafurahisha
@emanualkadutu4130
@emanualkadutu4130 6 жыл бұрын
karimou aliou Angalau wa miaka 50 mzee mengi ana zaidi ya miaka 80 huoni kama ni babu yake?
@edwardbazaneza6234
@edwardbazaneza6234 Жыл бұрын
Murindi wa ukweli
@joycejoes
@joycejoes 6 жыл бұрын
HAkuna kubwa alilolifanya. ila kwakua kaolewa na mengi mke wa pili, basi ndo mnamshobokea
@emanualkadutu4130
@emanualkadutu4130 6 жыл бұрын
Inamaana kama amezaluwa 78 means wakati anashiriki miss tz mwaka 2000 alikuwa amezidi umri??? au anajikuza angalau variation ya umri kati yake na mzee mengi isiwe kubwa xana???
@matarisuma9036
@matarisuma9036 4 жыл бұрын
Miss tz mwka 2000 she was 22 years old..dont judge much ni sawa2 man.
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz 2 жыл бұрын
Ile ngoma alio nchilikisha Norah inatisha
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 жыл бұрын
Bahati tuu
@lissamsalu2179
@lissamsalu2179 6 жыл бұрын
Penda wew k
@tiffahtiffah7881
@tiffahtiffah7881 6 жыл бұрын
Jam on😘😘😘😘
@hildahillary9586
@hildahillary9586 6 жыл бұрын
next time muwekeni Zari
@morisekasuku3206
@morisekasuku3206 6 жыл бұрын
youtu.be/non punt hedi
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 11 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 23 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 24 МЛН
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 5 МЛН
Reginald and Jacqueline
5:13
Kreatif Studio
Рет қаралды 403 М.
Fid Q  Agosti 13 Feat Juma Nature  Salama Jay
4:24
Bantu Mc's
Рет қаралды 163 М.
BUSHOKE FT K-LYNN - NALIA KWA FURAHA
5:19
ElodieMelodie
Рет қаралды 7 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН