If you believe regrets comes after or late 😂gonga like tukienda
@Jesuslovesus10670Ай бұрын
Mama kaelly stay away from frank and Stephie,,wewe ni mwanamke mjinga..ulimbomoa ndoa ya kijana wako na mikono Yako miwili.
@user-vs6jg4ez4qАй бұрын
KILIMRAMBA NA BADO KITAMRAMBA ZAIDI
@user-gh7hb2fh2gАй бұрын
What goes around comes around mama Kelly ,you will someday pay for what you did to stephy
@pamelashikhule9443Ай бұрын
She will pay through her daughter and son, mpaka vile ataona na majo yake
@eunicengonyo7301Ай бұрын
Pride comes after fall ,mama Kelly amechange kabisaa hadi anatembea kwa leso kichwani ,huyu akona a story to tell
@toplaggerАй бұрын
Na amebeat
@zawadig4235Ай бұрын
Mama dochument amechapa 😂😂😂😂
@danielmosiria5063Ай бұрын
Mama . Kerry pls, forget about, 💔💔Stephie & Frank . move on with your family, look another, lady for Kerry
@beatrizbibiana130Ай бұрын
Siku zaenda kwa kac nyakelly amebadilika maisha ya ushago ama
@ivymugeiАй бұрын
Hey,mutwambie Kwanza kama grace alipatikana,utu tumapepo ya mamake Kelly achaneni kwani
@julianaonyango1702Ай бұрын
Vayo ni mkoraa sana😂😂😂😂😂
@judymungai1314Ай бұрын
Sasa hizi ni gani simuache watu na maisha yao juu hapa mwatonesha vidonda tena
@LucyNdunge-yy4nbАй бұрын
Wewe mama Kelly wewe ni ngombe tu ata unafaa uaze kula nyazi umemboa ,nyumba ya kijana yako nausijaribu kuongea mbaya kwa frank steps wewe mama nakuchukia kabisa
@afandiemily4021Ай бұрын
PASTA SHOW WAS GOING ON WELL BUT CALLING PEOPLE WHO HAVE BEEN THERE AND ASKING THEM LEADING QUESTIONS AND AFTER WORDS YOU USE THE SAME ANSWERS HE/SHE ANSWERED TO TURN THEM AGAINST ONE ANOTHER IS NOT A GOOD IDEA.
@lucywachira7709Ай бұрын
Very true..... waendelee na maisha waache kufuata yaliyopita
@bakhoyaАй бұрын
Very true
@eunitakesioАй бұрын
True and asking nonsense questions
@jacklinekinya9800Ай бұрын
Kama kwa Joshua hapo ndio kuboeka kuko😅
@judymungai1314Ай бұрын
Very true sio poa nikugonganisha watu
@sarawacu-gz4ldАй бұрын
huyu mama amechapa ile mbaya sana aki pride comes before afall
@godwinkingori5871Ай бұрын
Mama maconfidence. Karibu wewe ndio dawa ya Vayo maringo.
@lilianadhiambo1003Ай бұрын
Ndochmenta
@roseotera4828Ай бұрын
Hawa nao sasa ni kugonganisha watu sasa so mlikuwa mnahoji mwikali mkarudishie mama Kelly surely
@SusanKaranja-go7keАй бұрын
Na muite muriithi na mma yake 😂😂😂
@denahtingwe5549Ай бұрын
😂😂😂I was thinking of this story tunataka kujua Celina's whereabouts
@nillap767Ай бұрын
"Mimi ndiye kusema" huyu kimemramba😢
@user-oc7un8cq7yАй бұрын
Mama kelly kilimuramba woiiiiii
@chustekimaniАй бұрын
Ndochment 😂😂😂amekuja tena amezeeka sana mchawi ...kelly mjinga tuh,, vayo ndiye anam control sasa 😂😂😂😂vayo anandanganya 😂😂😂gaidi kwanza achange nguo na wigs
@user-gu3er2ym1gАй бұрын
Ni kweli stephie amessema hadja way kufagna slap kwa mama kely
@user-jz9jb8hy6fАй бұрын
Wewe director unachocha huyu mama😅😅😅😅😅 unamenjoy
@mamaliam5658Ай бұрын
Kumbe si mm pekeangu nimeona vile huyu mama amechapa😂
@danielmosiria5063Ай бұрын
Mama Kerry, Kushu Vayo ,alisema ni mifugo alifuga kwake wakati wasiokua na makao,🤣🤣🤣
@user-wk9uh5mk1hАй бұрын
Hii kipindi sasa imeanza kuboo tafuteni content ingine
@user-rz3sb4tm6uАй бұрын
Kusema ukweli vayo ni mkora sanah vayo jua kufaa kwanza hata mama Kelly anafaa vizuri kukuliko
@winfredgithinji9204Ай бұрын
Waah mama kerry amechapa😂😂 sema kurambwa
@evalynenyanjau982Ай бұрын
I trust mama Kelly. Vayo ni mkora
@AllygibisonАй бұрын
Director it’s true Stephie alisema she’s never slapped mama Kelly
@user-jz9jb8hy6fАй бұрын
Weh msikanyagie ya grace 😮😮😮
@everlineeverlinewamalwa243Ай бұрын
Ahahahahaaaa! Mm ndo kusema! Kitithu iliisha nguvu ama??? Never joke with God, he is always awake 😂😂
@soniagrace3296Ай бұрын
Niko na pesaaaaa where did it go😂😂😂😂😂😂😂
@everlineeverlinewamalwa243Ай бұрын
@@soniagrace3296 am telling you nn haiishi mama Kelly?🤣🤣🤣
Mama mchawi, achana na Frank na stephy. Nasikia kelly ni MCA masikini.😂😂😂
@Marthamary3377-nk3uuАй бұрын
SI mama Kelly amechapa Kweli mpanda gazi hushuka
@kyusa7002Ай бұрын
😅😅😅mi ndo kusema
@MercywangariGititiАй бұрын
Kwani mama Kelly wewe sio mama mzuri urihalibia kijana yako mbona sai umekonda pesa ya mtoto wako ulipeleka wapi mama pesa
@adamapollo9859Ай бұрын
Na alitoka ushango akaje kwa nyumba ya keli😂😂
@eunitakesioАй бұрын
Na kush ako wapi asichunge mamake Kwa njia inayofaa alikua anapiga mdomo na pesa ya MCA
@chustekimaniАй бұрын
@@eunitakesiokaliachwa bwanke😂😂😂
@faidanyevuАй бұрын
Me ngeomba mtafte content xai mtaanza kugonganisha Stephie na Frank na xai wametulia wanaendla na life yao
@user-tl7xs3de5xАй бұрын
Huyu mama na muhurumia sana she had a beautiful family but kuskia mwanawe ana cheat badala ya kuja kujega ama ku suluisha alikuwa kumpiga stepy Sasa mwanae Hana bibi amebaki kuagaika huku na uko kama kuku wa kidimu asiye na kwao
@JesicahMoraaАй бұрын
Waah vayo ako na mambo nikama anatanganyea mama kelly maneno ata Joshua mukichungusa vayo ata ayuko na kelly kwa nyumba moja huyu vayo ako na mdomo kubwa tu kualipia watu manyumba yao vayo kama amesidwa kununua ata nguo anasinda na nguo moja kwa mwili atapata pesa wapi ya kununulia mama kelly shopping 😂😂😂
@gladysmueni2534Ай бұрын
Mama yetu,nn uso yake imefanya? Ama ni kuchomeka na jua.pole mama kwa kila Jambo.We had missed you.
@perisjepkorir5275Ай бұрын
Huyu ni mama Kelly kweli
@JosephineKageha-qx7utАй бұрын
Simuache hinzi vipindi ju watu wako wengi wanaitaji usaidizi,,,, tafuteni wengine
@user-sw2yv3zz4yАй бұрын
Wakati huyu mama alikua anazunguka hii Nairobi kwani huo wakati hakua na ngombe
@eunitakesioАй бұрын
Maybe alienda kununua baada ya vayo kuwafukuza
@divinahmachuka1859Ай бұрын
Intro inawenza unaponga poa camera man big up
@Faith-ou1nbАй бұрын
Huyu ni mama Kelly najua majabu
@miriamwambui8719Ай бұрын
Vayo senye dunia itamgeuka atajua ya Mungu ni mengi akome kuhalibu doa za watu juu c poa hii dunia iko na mwenyewe kanyanga pole pole vayo
@user-fj3jg5gm6bАй бұрын
Hyu mma amejikaraga namafuta yake kama nguruwe.
@vincentayuku2089Ай бұрын
Leta Nyaito na baba cate
@Esendi564Ай бұрын
Siku hizi ni leso na style ziliisha
@millicientnoreen9601Ай бұрын
😂😂😂😂😂huyu mma hataki aibu anaumia akiulizwa mambo ya stephy ,,what I know if stephy is from my tribe 😢you will never see stephy again back in ur life NEVER coz we dont takeback what once we rejected
@julianaonyango1702Ай бұрын
Udaku udaku udaku all around tamu sana
@emilynjue6907Ай бұрын
Weeeeee mama Kelly amepalala haki akai kama yeye. Pesa gani ati Ata gari 😂😂😂😂😂😂😂
@faithimannkings5997Ай бұрын
Show off imeisha sasa, huyu mama kilimramba kitamboo
@user-dj1io8uy5fАй бұрын
Mama Kelly wachs kujifanya ndio mana umekosa umekua mweusi nywele imenishinda kusonga wacha kujifanya
@maryhebrew9480Ай бұрын
Waa hii story bado 😂😂😂
@ekiruekiru8728Ай бұрын
Huyu mama akiskia stehpy wazimu inamtoka Mali ilienda yotee😅😅😅😅😅😅 kimekuramba mamaa kaa ushago ukalime
@SusanMaroa-bb6vjАй бұрын
Wewe mama Kelly mjika sana ŵakati ulikuja kufurunga mboma ya Stephen haukua na kazi ya kufanya ukambani heshimu miaka yako mama kusema eti mtosi hehe he wewe ni mtosi wa wapi mama mjika
@user-gg8dc7sv5dАй бұрын
Sisi tunataka kuon TU Steph na frank hiyo ndo tunangoja bt story za Hawa wengine wachanga nazo,,mtuletee Steph na frank tuwapigie makofi
@LucyNdunge-yy4nbАй бұрын
Mimi ni mukamba sijai ona mukamba mujinga kama wewe ata ningekua mwikali ningekuchapa uone ngiza tulikuambia ukakataa kusikia mwishowe kimekuramba ulikua unasema kithitu mimi ni mukamba kithitu inafuatanga ukweli ata ungepika hio kithitu ingemaliza mboma yako
@monicanderitu7378Ай бұрын
Mathee amechapa weeeeuh
@godwinkingori5871Ай бұрын
Mama Kelly on fire.
@eznahnyaboke7249Ай бұрын
Mama Kelly ulialibu ndoa ya kijana yako na mikono miwili
@carolynemusavi7829Ай бұрын
Mama Kelly kilikulamba zamani
@soniagrace3296Ай бұрын
Maswali na fare😂😂😂😂😂
@JanetMaliatsoАй бұрын
Ndochuments 😂😂😂
@flurancembone4824Ай бұрын
Vayo demon 👿
@nyokskinyah8246Ай бұрын
Mmeanza kuleta mama mchawi hapa ati ako na boma hakuwa nayo. What goes around comes araud wicked woman
@flurancembone4824Ай бұрын
Mwikali alisema Hana mimba.ma Kelly hausema kizito kwake mbali kwa ndoa ya stepnie
@eunitakesioАй бұрын
Vayo pesa za MCA ndio anakula Kelly Hana loan mama jenifa bwana wake aliaga na hajawai chukua mume WA watu vayo gaidi mkora jambasi mnyanganyi madharau ni kampuni gani ako nayo na ni conlady
@Esendi564Ай бұрын
Huyu ni mchawi walai na sirii
@johnkimani7944Ай бұрын
Inakaa Stephie alifanya ile kitu...she's so furious on mentioning Stephie...mali yote ni kama ilienda ikiendanga na Stephie
@Anviy620Ай бұрын
Mama ya MCA I remember mama kelly akitingiza kichwa
@Mercymagie966Ай бұрын
Na alichapaa kwani anaishi street
@zawadihudson8351Ай бұрын
Mmmh maisha yana kimbia haraka sana ni nini kimempata huyu mama mbona kachakaaa Sana?
@salngas902Ай бұрын
Mama Kelly changed too much,,ama kirimramba😂😂
@eunitakesioАй бұрын
Hadi amezeeka jamani vayo alimfunga bank ya mama Kelly
@Mercymagie966Ай бұрын
Githitu kamgeukia jamani
@MeryNdegwaАй бұрын
Mama Kelly mama Kelly. Devil completely. .sema tu kilikuramba. Hujaolewa na Kelly wako. Naumekonda 😂😂😂😂pesa kwisha 🤣🤣. Kwenye ulitokaga watu walipataga amani ngombe. Huna any . Just admit .saitan.
@Yuca878Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@damariskissy-pj4qhАй бұрын
Director please, lete frank Kwa stage frank hataficha chochote
@DrThomsonАй бұрын
Poa
@gugub9783Ай бұрын
Aki n voice imefanya nkajua n mama Kelly juu weeh
@Mercymagie966Ай бұрын
Kuchapaa!!😂😂
@sarahswalez4971Ай бұрын
Huyu mama Kelly amekonda😂😂😂
@FerricksАй бұрын
We need to know if Grace was found then we could follow this episodes later
@maryachuti4997Ай бұрын
Mama Kelly ukweli kithitho namimba ya mwikali hakusema. But it doesn't mean I agree with her.
@teresiawilliams3041Ай бұрын
Hata sauti tuu ndio inafanya mtu anjue ni mama document
@aplokimo405Ай бұрын
Ukweli alikuwa nyumbani
@soniagrace3296Ай бұрын
Aki muikari😂😂😂😂😂😂
@veronicahnderitu321Ай бұрын
Ety mama Kelly ameajiliwa na vayo,,😃😃😃😃
@okko-le8syАй бұрын
mama Kelly ulifanya poa wakati ilikua na pesa ukanunua tunguo tupoa but umembadilika unafunga reso kwakinkwa🤦Jua ya ukambani imekungoga sawasawa🤓
@paromaprevious217Ай бұрын
Mama Kelly why always bring ur issues in studio,kuwa mku mcha mungu
@muthonibeatrice4568Ай бұрын
Kumbuka matendo ulitendea Stephie very wicked woman
@johnkimani7944Ай бұрын
I think Vayo grossly exaggerated. She isn't as rich...if at all...as she acts...
@mamaboizpure842Ай бұрын
Mimi nataka chief Bonnie aki
@faithmutua2694Ай бұрын
😂😂😂😂😂 na pia nanny, muriuki
@Brenda-xl2owАй бұрын
Mbona munarudia mambo ya kitambo jamaani
@SusanKaranja-go7keАй бұрын
Mwili ilienda wapi 😂
@Patricianicholaus24Ай бұрын
Mama Kelly vp mbona mavitambaa kwa kichwa😂😂
@Marthamary3377-nk3uuАй бұрын
Pesa iliisha Pesa Ina mabawa
@BeatricemidechaАй бұрын
Mimba ya vayoo ilienda wapi???
@MaryMuthoni-rf2quАй бұрын
Inakaa mama kithito mambo haikumuendea poa siku hizi anakaa kuchapa
@fridahfridahsabasi6833Ай бұрын
Hii story iliisha mbona mnafuatilia life ya huyu mama Kelly mchawi cos Hana good advice to tell us, evil woman
@KhayekiMaryАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@eddahkithimba9125Ай бұрын
Is it breathing or birthing jameni,hii kisungu nayo,ilicome na meli