Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi

  Рет қаралды 2,400,355

Jennifer Mgendi

Jennifer Mgendi

2 жыл бұрын

Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi
Follow me on;
Facebook: / jennifermgendi2019
Instagram: / jennifermgendimwimbaji
TikTok: / jennifermgendi

Пікірлер: 506
@aminamgimba295
@aminamgimba295 3 ай бұрын
Nipeni like mnaoangalia 2024
@user-ss2he5et9m
@user-ss2he5et9m 2 ай бұрын
Like nyingi kwako🎉🎉
@davidkyalo4900
@davidkyalo4900 Ай бұрын
Toka 2017 nikiwa campus struggling with my life😢 God pays with time
@nasibukatelephone1633
@nasibukatelephone1633 Ай бұрын
❤❤❤
@KazadiCedrick
@KazadiCedrick 17 күн бұрын
Nipoli siya ebwana yubani wako
@stellapaul-kr4yj
@stellapaul-kr4yj 10 ай бұрын
Huu wimbo umeniliza sana jmn nimejifunza kitu God bless you mum 🎉🎉
@BolingoKigula
@BolingoKigula 6 ай бұрын
Mungu akutie nguvu katika utumishi madam janepher, hakika umetupa funzo kubwa sana kupitia wimbo huu.
@user-cu1mp5qp4x
@user-cu1mp5qp4x 5 ай бұрын
Hakika ujumbe wa wimbo unatufundisha jinsi Tania ya Mungu ilivyo Basi tuiishi hiyi Amen
@user-tx4yv8bn6y
@user-tx4yv8bn6y 7 ай бұрын
Duuh, asanteh mtumish Kwa ujumbe mzuri mungu akupe maisha lefu uendelee kutupa mafundish mengine
@veterangeneral7998
@veterangeneral7998 9 ай бұрын
Wimbo nzuri sana hongera Jennifer M.
@innocentmpawenimana3214
@innocentmpawenimana3214 7 ай бұрын
Nabalikiwa n'a wimbo huyu kabisa wema ni akiba
@user-gm6sc8qu7e
@user-gm6sc8qu7e 3 ай бұрын
Kilicho namwazo hakikosi mwisho ❤❤❤❤
@jacoblaban2589
@jacoblaban2589 9 ай бұрын
Niongoze MUNGU katika kutenda mema.
@AlphaMwafumbila
@AlphaMwafumbila 8 ай бұрын
Amina
@yvesndayishimiye8257
@yvesndayishimiye8257 2 ай бұрын
Mama Gloria hapo mwisho ((( Siwezi kukuelewa kwa style hiyo 😂😂😂
@JenniferMgendichannel
@JenniferMgendichannel 2 ай бұрын
,,😃😃😃 Ni shida
@fredericmbokobest
@fredericmbokobest Жыл бұрын
Tutende mema kila siku, maana tutavuna tusipo zimia roho. Hilo ndilo somo kubwa nililojifunza kutoka wimbo huu. Mungu wetu azidi kukufunulia dada
@user-so6md6rm2w
@user-so6md6rm2w 2 ай бұрын
Kama unaroho ya chuma huwezi uelewa huu wimbo kabisa. Huu ni ujumbe mkubwa sana hasa kwa sisi ambao tunahofu ya Mungu haswa wema ni kila kitu ndugu zangu
@user-cm5qg7sr6v
@user-cm5qg7sr6v 6 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa dada angu ujumbe mzuri sana
@user-xp2mn7mu6b
@user-xp2mn7mu6b 3 ай бұрын
Daaaah hiyo nyimbo nzuri
@jacoblekoyo6264
@jacoblekoyo6264 Жыл бұрын
Aki dada Jennifer barikiwa sana wimbo huu inaguza miyoyo yetu kweli kweli maulana akujali avya daima na akupe nguvu daima ya kutupikia vitu tamu tamu kama hiii we love you our champion all the best in your life my dear friend
@pascalbarekebavuge
@pascalbarekebavuge 4 ай бұрын
Songa mbele Mama wetu!
@user-ws5rr7vk2e
@user-ws5rr7vk2e 10 ай бұрын
Dah! Nimejifunza k2 jmn
@nerriszawadi2302
@nerriszawadi2302 10 ай бұрын
Nahisi kuinuliwa ,,,,be blessed,,🙏🙏😭😭 thankx for the spiritual teachings
@genevievesunday
@genevievesunday 2 ай бұрын
Nyimbo zako nazieleawa sana pokea maua yako 🎉🎉🎉❤
@user-tz9qy4wu2i
@user-tz9qy4wu2i Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa ujumbe wenye mafundisho ya kiroho na kijamii nakutakia huduma njema
@amankichondo7650
@amankichondo7650 11 ай бұрын
Wimbo huu umenitoa machoz Jennifer umenikumbusha mbali Mungu akubariki
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 Ай бұрын
Leo nimeiangalia tena! Ni Wimbo uko Moto Sana! 27. May. 2024
@charlesnyuma299
@charlesnyuma299 Жыл бұрын
Yaani jamani bila mungu ,,,hakika huu mwema hautaweza kuutenda,,,tuombe saana,,,hakika mwenzenu wimbo huu unanifikishaga mbali,,,saana,,,ubarikiwe mwimbaji
@allanmapito3688
@allanmapito3688 Жыл бұрын
Huu wimbo ndio umeniguza hata sina LA kusema nimelia sana Hapo mwanzo nilikua nakuona muimbaji wa kawaida tu Ila nimegundua wewe ni MTU wa mungu sana Dada Jenifer mgendi Daah kuanzia Leo ntaku support 100% Much love from eldoret city, Kenya
@RobinaSharon-rt3hn
@RobinaSharon-rt3hn 4 ай бұрын
Umbarikiwe mum mgendi den umugotee mama glory
@patrickalonya
@patrickalonya 9 ай бұрын
Wimbo wako umenibariki sana
@AlphaMwafumbila
@AlphaMwafumbila 8 ай бұрын
Amina
@user-hp8zi8jd2z
@user-hp8zi8jd2z 4 ай бұрын
Mama barikiwa Sana katika utumishi wa Rabana,I'm so blessed madam
@EsaieKasombo.kamukad
@EsaieKasombo.kamukad Ай бұрын
Que Dieu soit loue' pour ce cantique,que Dieu te bénisse maman Jennifer
@user-yh2ny3yj6t
@user-yh2ny3yj6t 7 ай бұрын
Mungu akuongezee kwa ujumbe mzuri watu tujifunze hapo
@Siaralose2024
@Siaralose2024 2 ай бұрын
Huu wimbo umebeba ujumbe mzito sana mmh kwakwel ni darasa.
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 жыл бұрын
Mungu niwezeshe kuwatende mema adui zangu ,nisilipize mabaya kwao.
@StephenOmutoko-mc7bs
@StephenOmutoko-mc7bs 3 ай бұрын
Mwenyezi mungu akubariki mum❤❤❤❤❤
@KishegenaMbuga
@KishegenaMbuga 2 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu❤
@philipomemba7465
@philipomemba7465 8 ай бұрын
Jennifer mgendi ubarikiwe nimeupenda,wimbo huu unamafundisho mazito
@NzabampemaAudace
@NzabampemaAudace Жыл бұрын
Balikiwa saaana mtumishi wa Mungu Baba yetu Sote.Mungu alitenda Vilivyokuwa mhimu saaana kukukabidhi kipaji cha Utunzaji na ugawaji wa nyimbo za thamai kwa watu wengi hususan nymbo hii inayo dhihilisha vilipo vya matendo ya kila mwanadam.!!!
@noahwekesa2097
@noahwekesa2097 3 ай бұрын
These songs encourages my heart.Father touch my soul and forgive my sins.
@user-ws5rr7vk2e
@user-ws5rr7vk2e 10 ай бұрын
Mungu akutunze sana jenifa nyimbo zako zina ujumbe mzuri sana
@Irene-ff3ml
@Irene-ff3ml Ай бұрын
Naiwe kwangu pia roho ya wema ,mungu naomba aniajalie.
@watchmankingstone9602
@watchmankingstone9602 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Niliuona siku moja na nikajaribu kuitafuta sikuiona tena. Asanti sana kwa kuileta hapa tena. Recieved from Kenya
@jacquesuweklembe5642
@jacquesuweklembe5642 2 ай бұрын
Mafidicho zuri sana wema ni akiba mubaya niakiba mungu abarikisana
@josphatchomba4688
@josphatchomba4688 3 ай бұрын
wimbo wako uko sawa mungu asidi kukuinua na ambariki yimbo sako
@NubisonBunera-em7oy
@NubisonBunera-em7oy 7 ай бұрын
Ni kwelii kabisah wema ni akiba na ubaya ni akiba piaaaaaaah mana utavuna ulichopanda❤
@stellahjoel546
@stellahjoel546 7 ай бұрын
Mungu Akubariki Sana Huu Wimbo ni Mzuri ni Funzo kwetu
@fajerfajer4664
@fajerfajer4664 2 жыл бұрын
Hongera mtumishi Jennifer nasikiliza nyimbo zako tangia nko mdogo Kenya tunakupenda Sana ukonamafunzo Mazur mno nakupenda dear God bless you
@djunykeneka5114
@djunykeneka5114 Жыл бұрын
Mungu ukubariki kwa kazi nzuri ilionao nyimbo zako unakuwaka inanimbariki
@gilbertnduwayo5436
@gilbertnduwayo5436 2 жыл бұрын
Thank you Jennifer! Nimekumbuka mengi kweli wimbo huu umenihukumu kabisa. Ubarikiwe sana mama Mwinjilisti. God bless you forever, I hope you will be successful whatever you will be!
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 Жыл бұрын
Barikiwa sana sana sana Mtumishi Janifer. Nyimbo zako zilinifanya nimpende na kumtafuta YESU Kristo. Ukapewe taji ikifika mbinguni
@user-ob7pf3hm1e
@user-ob7pf3hm1e 10 ай бұрын
Mungu anatupa fundisho
@safatiMoushekuru
@safatiMoushekuru 8 ай бұрын
Mungu wabingu aendelee kukutiya Nguvu maishani mwako
@user-ge3lw8qx5f
@user-ge3lw8qx5f 9 ай бұрын
Wow be blessed dear
@salimramadhani6984
@salimramadhani6984 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭 Huu wimbo umenigusa sana
@judithkavira8812
@judithkavira8812 Жыл бұрын
Who us here this year 2023 thanks sis Jennifer be blessed deae
@ianodundo5451
@ianodundo5451 Жыл бұрын
The song is real and of a blessed. But I shared tears at that moment when the sun came into the office and the truth was found.
@Victory37129
@Victory37129 Жыл бұрын
I wish people could listen to the preaching of pastor Joshua selman of this week November 2022 entitled.....I SHALL NOT DIE....This video will not leave you the same....There is a real enemy around . Christians must get to understand the battle is real and here.
@kahindialfred7
@kahindialfred7 7 ай бұрын
My teacher Mr joshua
@marytitus3922
@marytitus3922 11 ай бұрын
Wow what a powerful message,,,,God bless you,,,sisi hapa Kenya twa kupenda
@naketizainabu7803
@naketizainabu7803 10 ай бұрын
Very powerful 😢
@user-qm5iy3bc5o
@user-qm5iy3bc5o 7 ай бұрын
thank you for information huu wimbo umenifusa mambo mengi sana God bless yoiu
@MwakaziJanet-qq2be
@MwakaziJanet-qq2be Ай бұрын
Nakupenda Bure good luck 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-ko5un9zx6u
@user-ko5un9zx6u 8 ай бұрын
Mawazao😢😢😢😢 mungu akutunze kwl
@RobinaSharon-rt3hn
@RobinaSharon-rt3hn 2 ай бұрын
Aky dada jenny niliuliza tw kama hii acting ilikuwa ya ukweli sababu sometimes huwa inaninguza kabisa am from kenya
@AgnesBeja
@AgnesBeja 25 күн бұрын
Ubarikiwe mama nmejifunza kitu🎉❤
@mosesmwakha3264
@mosesmwakha3264 9 ай бұрын
😢nimeguza mtumishi
@stephencheah2325
@stephencheah2325 3 күн бұрын
Pongezi sana jennifah mungu azidi kukuinua
@Boniphacekiula
@Boniphacekiula 7 ай бұрын
Barikiwa mpaka ushangae 🎚
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Wimbo safi hongera 🙏 kazi safi ⭐✨ 🎙️.......
@mohammedsachu2510
@mohammedsachu2510 2 ай бұрын
Nimeipenda huu wimbo❤
@mohammedsachu2510
@mohammedsachu2510 2 ай бұрын
Hakika huu.wimbo mzuri
@user-hs8zv5ws9s
@user-hs8zv5ws9s 9 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu
@Richard_Kilimba
@Richard_Kilimba 9 ай бұрын
Ubarikwe dada angu wimbo mzuri sana
@POTRPAUL
@POTRPAUL 9 ай бұрын
Amn😢iyi nyimbo niliya San mam mungu aku baliki
@JoselyneMigese
@JoselyneMigese Ай бұрын
Mgendi naipenda Sauti yako sana nina mtoto hua anajiita kama wewe❤
@user-sz9ip2pp1z
@user-sz9ip2pp1z 6 ай бұрын
Barikiwa 👏
@husnarume7221
@husnarume7221 10 ай бұрын
Dada napenda sna nyimbo zako yaniii
@ghrs818
@ghrs818 Жыл бұрын
Stella omwata from saudia Arabia thank u God bless u nice song
@seifmcharo2704
@seifmcharo2704 Жыл бұрын
barikiwa dada.yetu.jenipha.mgend
@mugusiagretrude7230
@mugusiagretrude7230 2 ай бұрын
❤❤❤wema ni akiba naubaya ni akiba🙏🙏🙏🙏🙏
@user-fr7vk4vn9u
@user-fr7vk4vn9u 5 ай бұрын
Big up sana Jenipher mgendi
@mayarajulius
@mayarajulius 11 ай бұрын
Hakika ukitenda wema utalipwa mema daima 🙏🙏🙏
@valdiquecarinhanhadejesus9509
@valdiquecarinhanhadejesus9509 2 ай бұрын
Eita glória a Jesus aleluia minha irmã Deus te abençoe
@ChrisniceKasongomwanabute
@ChrisniceKasongomwanabute 25 күн бұрын
Amen je reçois tunashukuru music
@elesiameshaki2171
@elesiameshaki2171 2 жыл бұрын
Mungu nisaidiee niwe na roho ya kutenda wema kwa watuuu najua MUNGU atanibariki.. Nakupenda dadaJen
@matayomulongo151
@matayomulongo151 Жыл бұрын
A soul touching song-keep up sister!
@kevinmukabwa4020
@kevinmukabwa4020 Жыл бұрын
Whenever I listen to this song tear of joy gushes down my cheek find myself dancing to the rhythm........ I'll be an example to the guy who lost his wallet n got helped NTAPANDA MEMA MAVUNO YANGU YAWE MEMA just as u have sung Mam Jennifer Mgendi UBARIKIWE ZAIDI🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ElisafiAron
@ElisafiAron 2 ай бұрын
Nakupenda Dadaang uko vizur
@user-gj9gh1xq7u
@user-gj9gh1xq7u 2 ай бұрын
huuu wimbo unantoa machoz
@FaustinusKhayanje
@FaustinusKhayanje 19 күн бұрын
Amen ❤❤really nice song
@teresaatieno4132
@teresaatieno4132 2 жыл бұрын
😭😭😭Thank you so much for this piece... It's so touching and of moral
@josphatmanyange3128
@josphatmanyange3128 Жыл бұрын
I really love this Song, Tenda Mema kila wakati, ama Tenda Mema nenda zako, God bless you Jennifer 💯🔥🔥🔥 huu Wimbo umenitoa Machozi kabisa. 😢
@JENOVIVAKITANDU
@JENOVIVAKITANDU 2 ай бұрын
Hakika ni wa kipekee mungu akujaze nguvu
@user-dc2fb7fc5y
@user-dc2fb7fc5y 10 ай бұрын
be blessed in everything you dou
@pastoreliyawasike4333
@pastoreliyawasike4333 2 ай бұрын
Kazi safi sana mungu akubariki
@user-ft5ci3fy3u
@user-ft5ci3fy3u 6 күн бұрын
Hakuna anae ijua kesho mungu mkubwa na piah usimzarau usie mjua kesho hujui atakusaidia nan
@user-ex8gf9kk2p
@user-ex8gf9kk2p 6 ай бұрын
Mama mungu akubariki funny kubwa kwa kizazi chetu
@user-jv4sj5ph5s
@user-jv4sj5ph5s 2 ай бұрын
Je suis vraiment touchée que Dieu vous bénisse abondamment
@michealodwori662
@michealodwori662 Жыл бұрын
wema ni akiba hakika, ubaya ni akiba kweli kabisa
@simonyeri1378
@simonyeri1378 2 жыл бұрын
Be blessed Jeniffer ......your song is si greatful......barikiwa sana💕💕💕💕💕
@damamwelu357
@damamwelu357 Жыл бұрын
I love you ❤️💖
@dorahnzighe6197
@dorahnzighe6197 2 жыл бұрын
I really love ur songs. u r indeed a great inspiration to many....the enemy can never delete what is inside u..God bless abundantly Madam Jennifer
@dianaakall2643
@dianaakall2643 2 жыл бұрын
Akih indeed God's grace is much appreciated hiyo wimbo hutoa machozi Mungu akubariki
@philipmayani7550
@philipmayani7550 2 жыл бұрын
John
@philipmayani7550
@philipmayani7550 2 жыл бұрын
John tuvya
@happinessdanda3649
@happinessdanda3649 Жыл бұрын
wimbo wako ni mzuri sana,ahsante
@allyrajabu4962
@allyrajabu4962 Жыл бұрын
Wema ni al
@lisphermoraa5445
@lisphermoraa5445 2 жыл бұрын
Wherever am down I listen to this song,so touching.
@AdrinSibomana-to4ii
@AdrinSibomana-to4ii 7 ай бұрын
Munaimba vizuli Dada
@JohnjohnMnonjela-br3xl
@JohnjohnMnonjela-br3xl 23 күн бұрын
Wimbo huu umeniliza sana
@FaustinusKhayanje
@FaustinusKhayanje 19 күн бұрын
When u do good surely u will be reward with God
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 4 ай бұрын
Hongera kwa ujumbe wa kiroho na
@ashuralihinda9065
@ashuralihinda9065 Жыл бұрын
Akhsante Kwa wimbo mzuri tenda wema utalipwa mema
KINGWENDU KAPAKIZA ABILIA JINI  KAZI YA BODA BODA NGUMU
7:37
Kibibi Comedy
Рет қаралды 4 МЛН
Family Tears 2B - Wema Sepetu, Steven Kanumba (Official Bongo Movie)
1:09:00
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 37 МЛН
BARUA YA BABA by Jennifer Mgendi Ft. Senga & Bibi Esta
8:56
Jennifer Mgendi
Рет қаралды 38 М.
BABAYANGU KIPOFU Full episode /2/ /#love
25:07
BabaJoan
Рет қаралды 418 М.
TAMAA MBELE by Jennifer Mgendi (Official Video)
9:39
Jennifer Mgendi
Рет қаралды 1,4 МЛН
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 52 МЛН
SEMA KWELI By Jennifer Mgendi (Official video)
10:47
Jennifer Mgendi
Рет қаралды 1,4 МЛН
Joto La Roho Part 1 - Jennifer Mgendi (Official Bongo Movie)
30:50
Africha Movies
Рет қаралды 340 М.
Bahati Bukuku - Sitaki Tulaumiane (Official Music Video)
8:48
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1 МЛН
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 4,6 МЛН
Sadraddin - Если любишь | Official Visualizer
2:14
SADRADDIN
Рет қаралды 747 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 3,1 МЛН
Көктемге хат
3:08
Release - Topic
Рет қаралды 192 М.
Duman - Баяғыдай
3:24
Duman Marat
Рет қаралды 102 М.
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 592 М.
Dildora Niyozova - Bala-bala (Official Music Video)
4:37
Dildora Niyozova
Рет қаралды 9 МЛН
Say Mo - LIL BIT & 1 shot 2 (Waysberg Music Remix)
2:43
Waysberg Music🇰🇿
Рет қаралды 94 М.