I Think is not true...mmm hier in Europa kuna watu zingi wanene my dear..but hamuna dawa kupungua unene..wema sepetu alichoma sindano ile iko mafuta mazito Muno kujaza matako..hii kitu very cheap ..Afrika Women they do it in China..not hier Europa
@zuzuiri56345 жыл бұрын
Kweliii hizi nishindano zakuongeza makalio sasa time yahio sindano imekwisha
@azizayassin36233 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣unajuwa viva hao ndio walimpeleka india kufunga utumbo wako kenya hyo yte akawapiga changa la macho juu amekaata kusema ukweli sasa viva wanasema atalipa pesa yote😁😁😁😁🤣🤣🤣alipe pesa ngombe hii
@suzanmlaki39354 жыл бұрын
Na unekua ka mama yako iyo sura du umekua wema
@sadeabdallah4974 жыл бұрын
Badilika wema
@zuzuiri56345 жыл бұрын
Muda wamakalio umekwisha hahahahah pole
@annydeborah20875 жыл бұрын
Nice
@aggyparty29905 жыл бұрын
Bongo movie mnaupuuzi mmoja wa kupenda kuigana hadi vitu vya kijinga now mpo kwenye neno kukua na kusema naficha mahusiano yangu yawe private sasa kama unaficha kwa nn useme ninaye mtu ila namficha mnajua maana ya kuficha? Si ungejibu sitaki kuongelea maisha yangu binafsi nihoji kuhusu kazi yaan kila mtu siku hizi akifanya interview utasikia now nimekua 😂 nyie ndiyo watu pekee kila siku mnatangaza kukua halafu hakuna mabadiliko 😂 mnatia aibu
@nellytaughi65815 жыл бұрын
You should teach ur media personalities to be more professional b4 coming for these ladies
@aggyparty29905 жыл бұрын
Nelly Taughi kabla ya media hawa ndiyo wamezoesha media kufanya wanachokifanya tena huwa wanalipa kabisa media ili wazushe jambo wawe on top