asante sana, nmenunu hii kitu imebid nije nijifunze kuitumia kwanza
@user-sh5me6si5n4 ай бұрын
😂 kama mm tu
@user-sh5me6si5n4 ай бұрын
Kipenzi nielekeze jinsi ya kupka nyama Kwa pressure cooker
@marycianamasota647811 ай бұрын
Ya kwangu cha kuhesabu dakika hakijirudii nafanyaje?
@user-iu4pt1ip1x6 ай бұрын
Naomba namba zako za sinu
@beatricehumphrey-sn7yi5 ай бұрын
je kama na ikiweka taa ya kijana na maharage yanakuwa hayajaiva bado inakuwaje hiii
@AliceMboya-bj1ln10 ай бұрын
Ikitokea imeunguza tatizo ni nini??
@AliceMboya-bj1ln10 ай бұрын
Me ya kwangu jamani hiyo lock ikianza kutoa hewa hakibani tena mvuke unatoka moja kwa moja then inaniunguzia😥na mwanzo haikua hivyo. Nisaidieni tatizo ni nini??
@Zainab_salat6 ай бұрын
Kwani hakuna fundi na inakula umeme
@user-xb4ex1yp3n5 ай бұрын
Aunt samhn mm ninayakwang lkn kunabaadhi ya vitu haijaandkwa je nawez nkapikia kit chcht mfn maharag makande yaan chchte hakiykuwa havijaandkwa hp kwny hilo jiko