Ukipika miji na waru samtyns weka ata carrot.... Then weka kitunguu isiive sana then weka miji itaiva na steam then weka nyanya iive then weka carrot na waru pia usisahau chumvi kulingana na chakula mummy buh utajua kupika kabisa worry not mtu ni kujiamini